KAULI YA ALLY KAMWE BAADA YA DROO YA CAFCL KUTOKA | AZIZ KI, CHAMA, PACOME WAANGUA KICHEKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi #AllyKamwe
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 319

  • @MzeewaYanga-hm8jq
    @MzeewaYanga-hm8jq 21 день тому +119

    Like za injinia tunaesabu hapa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-zf1kh1ct5i
    @user-zf1kh1ct5i 21 день тому +110

    Likes za chama,,, Wanayanga tushow love kwa likes za CLATOUS CHOTA CHAMA Like hapa

    • @eliathomas8446
      @eliathomas8446 21 день тому +2

      Aziz,chama pacome😅Pacome,chama, aziz❤🔥🔥🔥

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 21 день тому +101

    Tunao tamani ligi ingeanza hata kesho tujuane kwa like 👍

    • @eliathomas8446
      @eliathomas8446 21 день тому

      Bora hata wewe unaiwzia kesho mm nataman yaani ligi ianze leo

    • @aishafranco1055
      @aishafranco1055 19 днів тому

      @@eliathomas8446 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @BakariShabani-nf4rz
    @BakariShabani-nf4rz 21 день тому +8

    Like za pacome aziz k na chamaa yanga raha sana

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 21 день тому +12

    Mungu ibariki Yanga yetu Mungu wabariki wachezaji wote Amen

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q 21 день тому +46

    Yanii😢natamani ningekuwa namm Tanzania niende namm burundi nikaishangilie tim yangu jamani 💚💛💛💚

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 21 день тому +1

      In Shaa Allah utaenda kaka!

    • @RACHELATHANASIDAUDI
      @RACHELATHANASIDAUDI 20 днів тому

      Hakuna umbali siku hizi Kila kitu kiganjani mwako,💚💚💚💛💛🔥🔥🔥

  • @jr_mkumbojr
    @jr_mkumbojr 21 день тому +42

    Team yetu ikiwa Avic Town huwa najawa na faraja sana kuliko kwenda nje ya nchi kufanya maandalizi🎉🎉🎉

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 21 день тому +12

    MUNGU ni mwema hongera Sana nime furahi kuwaona pamoja kazi njema kwenu nyote kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga

  • @AfidhaAlfan
    @AfidhaAlfan 21 день тому +17

    Ilove Azizi ki Ilove pacome Ilove chama Ilove young African

  • @AberyMathias
    @AberyMathias 21 день тому +16

    Like zs azz kii mwamba gonga hap mwananchi

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 21 день тому +6

    Safi sana wanajeshi wetu Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉

  • @user-vq5vn4gi9t
    @user-vq5vn4gi9t 21 день тому +32

    Mm mwenyewe kama mwana yanga naomba siku zote team yoyote duniani isidharauliwe, tutakuwa Burundi ❤❤

  • @TausiKitundu
    @TausiKitundu 21 день тому +63

    leo mimi wakwanza nipeni like zangu

  • @lwzmangulu7532
    @lwzmangulu7532 21 день тому +11

    Naipenda Sana yanga yangu 💚💚💚🙏🔥🇹🇿

  • @MasudiUledi
    @MasudiUledi 21 день тому +15

    ynga tamu sn❤❤❤❤❤❤❤

  • @johnjames-pw1dp
    @johnjames-pw1dp 21 день тому +16

    Wananchiiii 👍👊👊👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💚💚💚💚💚🏆🏆🏆🏆🏆

  • @frankfulgence
    @frankfulgence 21 день тому +25

    Yanga ni timu kibwa so tutegemeee mazuli 🎉🎉

  • @CHACKRYABDALA
    @CHACKRYABDALA 21 день тому +15

    Ni kuwapelekea moto tuuuuuuu❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @paulhenry6253
    @paulhenry6253 21 день тому +15

    Yanga BINGWA

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 21 день тому +10

    Hongera 🎉🎉🎉🎉🎉injinia

  • @user-qn8mh2el2d
    @user-qn8mh2el2d 21 день тому +19

    Naikubali sana yanga

  • @nickolassimion
    @nickolassimion 21 день тому +6

    Kuna wamasai wajuta kushabikia Simba. Ilikuwa usiku wa Giza. Wasema. Like kwa masai mwelewa.

  • @ZarafiAlly
    @ZarafiAlly 21 день тому +5

    Wanaotaman jezi zitoke ata leo tujuane kwa like 👍 hapa

  • @bongodata
    @bongodata 21 день тому +22

    Jamani njooni tuangalie bongo data

  • @husseinabdallahmkupulo1784
    @husseinabdallahmkupulo1784 21 день тому +12

    Mungu atasimama na ss mpaka final safar hii

  • @Pox_media
    @Pox_media 21 день тому +11

    KWA LIKOSI HILI LAZIMA YOUNG AFRICANS SC ITIMIZE MALENGO YAKEE MZEEE 🔥🔥🔥

  • @martingodfrey7105
    @martingodfrey7105 21 день тому +19

    Hawa VITAL O Tutawapiga Bao 10-0 kwa kikosi hiki cha Gamondi 😅 Hakuna cha msamaha kila mechi ni Vita tu uwanjani Uwanjani

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 21 день тому +8

    Tunaimani na timu yetu hakika makundi tunayataka

  • @comfortkitiwi2879
    @comfortkitiwi2879 21 день тому +7

    Naomba matawi ya Mikoani tujuzane center ya kupanga safari ili tuhudhurie.

  • @rajabukamis9411
    @rajabukamis9411 21 день тому +1

    Yanga ya moto 🔥🔥

  • @dannymkogoti961
    @dannymkogoti961 21 день тому

    ACP aziz chama pacome mbona wahalifu wite watapiga salute 👮

  • @MasterG-dc1tx
    @MasterG-dc1tx 20 днів тому

    I love all member's of young Africans asanteni sana, wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @MosesWilliam-oh8tt
    @MosesWilliam-oh8tt 21 день тому +7

    Injinia uish miaka mia😊

  • @EliamgendaMasunga
    @EliamgendaMasunga 20 днів тому

    I love you mdasili pakome Ki na yanga yote hakika ninyi mnaikoga mioyo yetu mungu atujaalie mafanikio tere❤❤❤❤

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 21 день тому +3

    Aziiz pacome chama🎉🎉🎉🎉

  • @filemonkwaja6181
    @filemonkwaja6181 21 день тому +1

    Jamani viongozi wa yanga,naomba msimu huu kusiwe na mechi za bure,haiwezekani ukawaone pacome,Aziz,chama,max,aucho dube, bure. Tunajua viongozi mnatupenda Sana mashabiki na sisi tunawapenda,lakini timu inatakuwa iwe na mzigo wa kutosha.
    Pia wanachama inatakiwa tulipe Ada zetu,kwa wale ambao si wanachama nao wajisajili ili wawe wanachama,na timu itapata hela itakayo saidia kwenye uendeshaji wa timu.

  • @abdulzanzibar7154
    @abdulzanzibar7154 21 день тому

    Likes kwenda kwa uwongozi Bora na himara🎉

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 21 день тому +4

    Aucho Bacca Musonda Mkude likizo yao inaisha lini 😢

  • @jamaldeenmakenga
    @jamaldeenmakenga 21 день тому

    Yaaniiii, leo nampa like kila mtu 😅

  • @user-lm6wc8gw3z
    @user-lm6wc8gw3z 21 день тому

    Mungu ibarikie yanga ushindi hadi fainal cfccl

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 21 день тому +3

    Yanga mna maajabu sana kwa kweli mnabiresha safu ya ushambuliaji huku mabeki wa kukaa na diara mnategemea mwamnyeto bacca ni kama mmeshamuuza

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 21 день тому

      Wewe ni KOLO WAHID
      BACCA ANA DHARURA
      KAUZWA WAPI??😢

  • @samychomakantastymela7175
    @samychomakantastymela7175 21 день тому +4

    Burundi tuanze mapema maandalizi ya safari watu tutumie hizi siku kujichanga kifedha

  • @user-if2yf3gp6k
    @user-if2yf3gp6k 21 день тому +5

    kamer man mbn mud wot kamer kwacham2 kwawachezaj wengin aaaaaah

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 21 день тому +1

    Yanga oyeeeeeeee raha kama zote

  • @AllanAluma-ss8lb
    @AllanAluma-ss8lb 21 день тому +1

    Daima mbele nyuma mwiko! Yanga for life

  • @sabiyozeissa689
    @sabiyozeissa689 21 день тому +6

    mm nimurund nayipend san yang uzalend wakuitwa murund naon utanishind kwakwl

  • @JadonKuyokwa-oe7mp
    @JadonKuyokwa-oe7mp 21 день тому +1

    Wow! Niwakati wa ushindi 🔥🔥🔥🔥

  • @JANE-jv4eq
    @JANE-jv4eq 21 день тому +2

    Sawa semaji letu pendwa 🎉🎉🎉🎉

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 21 день тому +4

    Yanga oyeeeeee

  • @ezrageofrey9668
    @ezrageofrey9668 21 день тому +2

    nani nishare naye izi raha dadeki 😁😁😁💛💚💚❤‍🔥

  • @FaridaMhagama-fc1kr
    @FaridaMhagama-fc1kr 21 день тому +1

    naipenda sana yanga

  • @rehemaothaman486
    @rehemaothaman486 20 днів тому

    Naipenda sana yanga

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 21 день тому +1

    Haya mapicha yanatisha wapinzani💚💛💛💚💛

  • @Fabianfideltz
    @Fabianfideltz 21 день тому +2

    🎉🎉🎉 finally yetu

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove 21 день тому

    Naam nina imani natimu yangu pendwa inshallah allah tuta fika mbali

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 21 день тому +3

    😂😂😂jmn Simba aina staa ata mmoja wanazidiwa na Azam Ako fei

  • @BangutuErick
    @BangutuErick 17 днів тому

    mungu ibariki yanga daim❤

  • @massatujeli3158
    @massatujeli3158 21 день тому +2

    Naomba kujua yuko wapi daktari wa timu yule mtunis

    • @contempo_builders
      @contempo_builders 21 день тому

      Gamondi hakumhitaji tena. So hakuongezewa mkataba mwingine.

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 21 день тому +3

    Yanga 🎉🎉🎉🎉

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu 21 день тому +2

    huko huko Burundi wata jua Hawa jui🔥🔥🔥

  • @allymtapera5370
    @allymtapera5370 21 день тому +2

    Nyie mabwege hatuingizi team kama kufungiwa poa

  • @OkimasterO
    @OkimasterO 21 день тому +2

    Burundi 🇧🇮 hakuna team nyingine tunajuwa young africans tu

  • @AbdallahMussa-zl3wx
    @AbdallahMussa-zl3wx 21 день тому +4

    Wananchiii🎉🎉🎉🎉

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo 21 день тому

    LIKE ZA ABUYA hapaaaaaa... speed Chita, huku Chadrack kazi wanayooooo mamaeeeee

  • @AbaidiiniNgweti
    @AbaidiiniNgweti 21 день тому +8

    Yajayo yanafurahisha 😂😂😂😂 mafund wanapiga story wakiwa na furaha

    • @jamesmartin7026
      @jamesmartin7026 21 день тому

      Ogopa sana kambi ikiwa na furaha kama hivi 😂

  • @AziziKimbeJeradyJR
    @AziziKimbeJeradyJR 21 день тому +3

    Dream team

  • @AzoryIgnas
    @AzoryIgnas 21 день тому +1

    Kwa kikosi hiki Azz ki pacome na chama ata Mimi nikiwa kocha naipatia matokeo... engineering gamondi akiondoka jicho lako linione

  • @law93king
    @law93king 21 день тому

    aiseee yanga rahaaa sana

  • @BraytnessYese-j7h
    @BraytnessYese-j7h 21 день тому

    🎉🎉🎉 daima mbele nyumaa mwiko

  • @princemhina5366
    @princemhina5366 21 день тому

    Yanga Daima Mbele

  • @petersynto2043
    @petersynto2043 21 день тому

    Chama langu 🙏

  • @dkasfilmstudio4641
    @dkasfilmstudio4641 21 день тому +1

    Yanga timu yangu Vitalo timu yangu daaah 😢

  • @claratango9262
    @claratango9262 21 день тому

    Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏

  • @GodfreyHenryDaimon-yo6ix
    @GodfreyHenryDaimon-yo6ix 21 день тому +3

    Natabasamu2 na vichozi vya furaha😂😂

  • @ObeidPaul
    @ObeidPaul 21 день тому

    Wanashow love Aziz zizou na treple v💚💚💚💛💛💛

  • @MRJ1308
    @MRJ1308 21 день тому +2

    Burundi tunaenda wote

  • @priscairene4605
    @priscairene4605 21 день тому +2

    Innshahrah

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 21 день тому +3

    😅😅😅kweli yanga ina sifa sana

  • @KelvinRobert-mn2mn
    @KelvinRobert-mn2mn 20 днів тому

    Kama waipenda yanga weka like 👍

  • @kanyeshahigirimana5686
    @kanyeshahigirimana5686 21 день тому +2

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @johanesahmed5876
    @johanesahmed5876 21 день тому

    Yanga yangu naipenda sana

  • @NaftalyNgeze
    @NaftalyNgeze 20 днів тому

    mungu nimwanifu yanga 💪🙏💯

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 21 день тому

    Waooo chama langu pendwa ✅✅🔰🟢

  • @DamaIbra-gk4lr
    @DamaIbra-gk4lr 20 днів тому

    Tumwombee chama akafanye vzr zaidi

  • @Shadia544
    @Shadia544 21 день тому +4

    😂😂😂Mambo ni 🔥🔥🔥🔥

  • @user-yi1qp6qu4n
    @user-yi1qp6qu4n 21 день тому +1

    Kaz kaz

  • @saidifaraji9743
    @saidifaraji9743 21 день тому

    Mambo ni fire 🔥

  • @AbdulysuleimanShemashilu
    @AbdulysuleimanShemashilu 21 день тому +2

    Ntaaibika sana ngojeni ligi ianze

  • @ckevents3593
    @ckevents3593 21 день тому +2

    Safi sana utatu mtakatifu

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 21 день тому

    Kikubwa sana kuliko wachezaji wawe na chemistry nzuri uwanjani na coordination safi wakati wote ndani na nje ya uwanja hakika we as wananchi we wanna win every game

  • @user-hk4hk4gd5x
    @user-hk4hk4gd5x 20 днів тому

    Allah atufanyie wpc

  • @kateadam8204
    @kateadam8204 21 день тому

    Allah atujaalie tufike mbali ikiwezekana tufike paka final nakubeba kombe Insha Allah na iwe kher Aamin.

  • @ChidySuleiman
    @ChidySuleiman 21 день тому +2

    Kumbe naweza kunenepa sasa walau kimbaumbau mm😊😊😊

  • @KondoNgoma
    @KondoNgoma 21 день тому +1

    Safi sana

  • @MtashobyaJosia-wt9jq
    @MtashobyaJosia-wt9jq 21 день тому +1

    mtashobya josia nikiwa Kenya isibania tunakupata kwauzuri kamada wetu tuko pamoja mpaka mwisho

  • @calvinlyimo4703
    @calvinlyimo4703 21 день тому +6

  • @lelasule2608
    @lelasule2608 21 день тому +2

    💚💚💛💛

  • @LilyKoba-wx2pj
    @LilyKoba-wx2pj 21 день тому

    Daaaa nimeskiliza kwa makini sana yani maneno mazuri mfano wa injili naipenda daa yanga mwaaaaaa

  • @samweledward7664
    @samweledward7664 20 днів тому

    Yanga Bingwa ✅

  • @mrindeezekielly8828
    @mrindeezekielly8828 21 день тому +1

    Hatuji tenaa