Jitengezeeni maisha mazuri kabla ya kustaafu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Watumishi wa umma mkoani Songwe wameaswa kujitengenezea mazingira mazuri ya maisha kabla ya kustaafu, sanjari na kupata elimu sahihi kuhusu masuala ya mikopo ili kuepuka kujiingiza kwenye mikopo umiza, hali inayosababisha kukumbwa na ugumu wa maisha baada ya kustaafu.
    #AzamTVupdates
    Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi

КОМЕНТАРІ •