praise God,kwanza ni kushukuru mungu wa Jesus winner na pastor wote kwa neno na kutushikiria kiroho, mmi nko dubai na ninashukuru mungu kupitia maombi na madhabahu ya Jesus winner nilikua na test ya driving huku dubai na inakuanga ngumu kupita lakini na inua mungu wa pastor mwai kwa watu 15 mmi pekee ndiye nilipita sifa shukurani kwa mungu na mafuta ya Jesus winner amen
AMINA. Wakristo Mungu Mwenyewe Amesema leo maadui zetu kifo kinawangojea. Maadui hawataweza kukwepa hasira ya Mungu. Kile walitufanyia kinafanyika kwao. Ile kilio tumelia na ile kuteseka tumeteseka imefikia Jehova. Kile tunapitia na sio mapenzi ya Mungu tupitie hayo na kuna wale wanafanya tupitie nao watapitia hiyo. Waisraeli hawakuisha. Hata nasi hatutaisha.Wanangojea tuishe lakini hatutaisha. Badala ya tuishe hao ndio wataisha. Maadui wanasema sisi ni wao lakini hatuna deni na maadui, shetani, waganga wala wachawi. Sisi ni Mali ya Mungu. Watu wa Mungu ile kilio wamelia na kuna watu wamewapitishia nao wasikie hiyo kilio. Maadui zetu watajua kuna Mungu wakati Mungu Atawafanyia vile walitufanyia. Mungu amesikia matusi na dhihaka.
AMINA. Ewe Mlima wa JWM sikia Ujumbe wa Mungu, toa Unabii! Na Unabii ikiachiliwa tunaipokea. Wale walisema tutakuwa jangwa, tutakuwa ukame, mifereji na mito yetu ikafungwa leo inafunguliwa. Watu wa mataifa jirani watatukanwa wao wenyewe lakini kuhusu sisi watu wa Mlima wa JWM miti yetu itatoa matawi na matunda. Miti ni kile tutajishikia, kile tutashika na mikono yetu. Matawi ikitokea matunda inatokea. Ile mahame tulitoka, kule baraka zetu zilikuwa leo tutarudi. Mungu Ako upande wetu na Atahakikisha kuwa tunalima na kupanda mbegu. Watu wa JWM Atatuzidishia sana. Nasi tutatambua kuwa Yeye ni Mwenyezi Mungu. Atafanya sisi watu wake tutembee juu ya maadui na Amesema hatakubali tena mataifa yatutukane.
AMINA. Wakristo hata ingawa maadui walitushika mateka, leo unabii unatumwa na unabii utafika kwa sababu ni Mungu Ako pamoja nasi.Ujumbe unatumwa, ujumbe imeachiliwa na ujumbe ambao unatumwa siku ya leo haitakuwa ujumbe yetu ya kushindwa. Sisi ni kama Israeli na siku ya leo ni sisi tumelilia Mungu na Mungu Amesema Amesikia kilio chetu. Katika hiyo shida kuna mlima tulipanda lakini mlima haikutusaidia, lakini hata ikiwa haikutusaidia Mungu Anaongea na hiyo mlima.Hata kuna watu walikuwa watusaidie lakini badala ya watusaidie wamekuwa maadui wetu. Unabii unakuja. Hata kama tulikosea Mungu, Mungu Ako pamoja nasi na Anatupenda. Hata wakati tulikosa shukrani Mungu Alikuwa Anatupenda kwa sababu Ni Mungu wa Huruma.
AMEN AMEN THANK YOU JESUS CHRIST 🙏🙏
Thankyou God amen amen mungu asante kwa mwaka huu mungu akumbariki sana

Very true it's their time to take the cup 101 times cz our God is our refuge
@@edithnderitu464 Amen and Amen. It's their time to reap what they've been sowing
This is our God nasi ni Mali ya Mungu haleluyaah
Amen amen amen
New Revelation Halleluyaaaaaaa
Amen Glory be to GOD 🙏
Amen l receive it
Unabii umeshuka kwa maadui zangu mungu atanilipishia kizazi hallelujah
I receive it
Amen Amen!!!
Amina unabii umeshuka kilio ifike mwisho na umasiki ifike mwisho kwa jina la yesu
Amen ❤..
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen.. .
Amen
Yes, mimi ni mali ya Mungu!!! Deeper deeper Apostle...
Amen 🙏🙏🙏 blessed apostle
Ameeeniii 🙏
Amina unabii unashuka machozi ifike sh
Kwa jina la Yesu kilio yangu imefika mwisho
Mungu wetu hawachi maadui waishi tena tumelia tumeumia mikononi mwao but never again will God let it
God remember us
Haki baba amen amen baba
AMINA. Ewe Mlima wa JWM sikia Ujumbe wa Mungu, toa Unabii! Na Unabii ikiachiliwa tunaipokea. Wale walisema tutakuwa jangwa, tutakuwa ukame, mifereji na mito yetu ikafungwa leo inafunguliwa. Watu wa mataifa jirani watatukanwa wao wenyewe lakini kuhusu sisi watu wa Mlima wa JWM miti yetu itatoa matawi na matunda. Miti ni kile tutajishikia, kile tutashika na mikono yetu. Matawi ikitokea matunda inatokea. Ile mahame tulitoka, kule baraka zetu zilikuwa leo tutarudi. Mungu Ako upande wetu na Atahakikisha kuwa tunalima na kupanda mbegu. Watu wa JWM Atatuzidishia sana. Nasi tutatambua kuwa Yeye ni Mwenyezi Mungu. Atafanya sisi watu wake tutembee juu ya maadui na Amesema hatakubali tena mataifa yatutukane.
... Go deeper, Apostle!
God bless you uncle for nice word
Turned in
Maadui wangu hawana bahati sasa
AMINA. Wakristo hata ingawa maadui walitushika mateka, leo unabii unatumwa na unabii utafika kwa sababu ni Mungu Ako pamoja nasi.Ujumbe unatumwa, ujumbe imeachiliwa na ujumbe ambao unatumwa siku ya leo haitakuwa ujumbe yetu ya kushindwa. Sisi ni kama Israeli na siku ya leo ni sisi tumelilia Mungu na Mungu Amesema Amesikia kilio chetu. Katika hiyo shida kuna mlima tulipanda lakini mlima haikutusaidia, lakini hata ikiwa haikutusaidia Mungu Anaongea na hiyo mlima.Hata kuna watu walikuwa watusaidie lakini badala ya watusaidie wamekuwa maadui wetu. Unabii unakuja. Hata kama tulikosea Mungu, Mungu Ako pamoja nasi na Anatupenda. Hata wakati tulikosa shukrani Mungu Alikuwa Anatupenda kwa sababu Ni Mungu wa Huruma.
Praise Jesus my sis hope you are doing well
@@CeciliahMuthoni-fe2sp Amen my sis. Am doing well by God's Grace. Hope you are also doing well
God remember me
Ngai wa ihinda ringi
Unabii umeachiliwa hatutalia tena
Unabii umeashiliwa ya kwamba kilio imefika mwisho
Mimi ni Mali ya mungu
Adui wa Israeli kifo Ina wagoja
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
Amen🙏
Amen
Amen and Amen 🙏🙏
AMEN 🙏
Amina
Thankyou God
Amen 🙏
Amen 🙏🙏
Amen
Amen
Amen🙏
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen
amen
Amen