Damu ya Yesu [What the Blood of Jesus does] | Rev. Edward Mwai
Вставка
- Опубліковано 18 вер 2023
- #kenya #sermon #blessings
Catch inspiring sermons Mon -Thur at 5pm
Follow us on
INSTAGRAM @Mwangaza_tv
/ mwangazatvkenya
FACEBOOK @Mwangazatv
/
TWITTER @Mwangaza_tv
/ mwangaza_tv
DAMU ya YESU haijakauka,,Kuna nguvu katika DAMU ya YESU
Amen Amen damu ya yesu kristo yanitosha
Damu ya yesu inatakasa kabisa ACHA nitembee na damu ya yesu
Yes daddy l love the blood of Jesus so much
Blood of Jesus Christ is powerful Amen Hallelujah ❤
God is geater phionah Namugalu from Jesus winer kikuyu the
Yesu ni yule Jana leo namilele
Ninapenda kabisa Damu ya Yesu Kristo ❤ thank you dad
Damu ya YESU 🙏🙏🙌
Damu ya yesu ikanisimamie nikafaulu Kwa kila jambo
AMINA. Wakristo tukitaka mapepo yasituguse, tukitaka uchawi usituguse tuweke Damu ya Yesu Kristo. Damu ya Yesu Haijakauka, kama yao ilikauka yetu haijakauka na kuna Nguvu katika Damu ya Yesu! Shetani akigusa Damu ya Yesu ataokoka. Tukiwekwa Alama ya Damu ya Yesu Kristo shetani hawezi kutugusa. Tungerogwa na tungekufa kitambo isipokuwa ni Damu ya Yesu. Tukiwekwa Damu ya Yesu waganga watapitia karibu nasi lakini wakiona Alama ya Damu wanatuondokea.Tukiwa na Alama hata watu wanajuanga tumeokoka. Damu ya Yesu ndio tuliachiwa. Yesu Alilia matone ya Damu ndivyo sisi tupate Nguvu. Damu ya Yesu iko na Uwezo wa kuondoa magonjwa, mapepo na maroho chafu.
Damu ya yesu
Damu ya Yesu itufunike
Damu ya yesu...
Ooh yes the blood of jesus
Hallelujah,,my namesake
Amina
God willing when I get back to my country I would like to testify in the church,Amen 🙌
Annoited message of God 🙏🙏
Damu ya Yesu itutetee kwa kila jambo🙏
Alama ya yesu
Amen 🙏,Damu ya Jesus Christ ndio nahitaji nikunywe ini ponye tumbo yangu,Bishop Mwai ako very smart na White suit 🤭
Amen
Amen 0:39
Amen 🙏 🙏 🙏
Hallelujah
Damu healing
Damu ya yesu itutee
Amen 🙏🙏
Blood of Jesus
Halleluya
Damu ya yesu Yesu🙏 witching from Lebanon...Damu ya Yesu itembee nyumbani kwetu
Aamen
AMINA. Tunaongea kuhusu Damu ya Yesu Kristo. Mahali kunamwagwa damu kuna agano. Damu ya kondoo na mbuzi haiwezi kufanya mwenye haki. Kama umeokoka hakuna damu ingine itakayomwagwa isipokuwa Damu ya Yesu Kristo. Damu zingine zote haziwezi zikabadilisha maisha yetu. Ile Damu iko na Nguvu na Uwezo, ile Damu tunaita inatuponya, ile Damu inaondoa uganga na uchawi, na ile Damu inaondoa mapepo ni Damu ya Yesu Kristo pekee Yake. Lazima tuachane na hizo kafara. Sisi ambao tumeokoka tunajua tuko na Mungu Wetu. Tukikubali Damu ya Mwana Kondoo tupakwe kwa nyuso zetu tuwekwe Alama ya Yesu, wakati Malaika wa Mungu Atatembea kuangamiza maadui zetu Akute Damu kwetu hakuna siku tutamalizwa.
AMINA. Wakristo kwa kuungana na Kristo hatuko pekee yetu, tulikuwa mbali lakini tumekaribishwa na Damu ya Yesu. Watu wa mataifa hatungependeka, tulikataliwa na watu wetu, tulikataliwa hata na dunia lakini tulipatanishwa na Damu ya Yesu. Tuache kujidharau! Tushikanishwe na Huyu Yesu. Tukishikanishwa na Yesu na Damu Yake hatutakuwa watu wa kawaida kwa sababu yale mambo tutafanya ni mambo yasiyofanywa na watu wa kawaida. Tutakuwa extraordinary!! Tuko kitu kimoja. Kile waisraeli walikula tutakula pia. Yesu Habadiliki, Ni Yule jana, leo na milele. Hiyo Damu itembee kwa nyumba zetu na kama kuna waganga,mapepo na wachawi waondoke. Damu ya Yesu itutakase sasa.
Blood. Of jesus
AMEN the precious blood of Jesus Christ.
Amen
Amen
Amen
Amen