TAASISI YA KHATAMUL ANBIYAA YATOA MSAADA WA CHAKULA KATIKA KIJIJI CHA KISIMIRI JUU ARUMERU ARUSHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Taasisi ya Kahatamul Anbiyaa yenye Makao makuu yake Mkoani Jijini Arusha imeweza kuwapelekea msaada wa Chakula katika Kijiji cha Kisimiri Juuu Wilayani Arumeru Mkoani Arusha ,
    wanakijiji hao wameshushukuru kwa msaada huo wa chakula kwani wamesema chakula hicho kitawasaidia katika kipindi hiki cha Kiangazi
    Pia wanakijiji hao wameahahidi kuachana na uzalishaji / Kilimo cha Madawa ya kulevya Bangi kwani wamesema kwa sasa wameelimika vizuri.
    wameiomba serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Iweze kuwatengenezea Barabara kwani barabara iliyopo ni mbovu sana pia wameomba kuletewa Maji safi kwani kwani wanapata shida sana ya Maji.

КОМЕНТАРІ • 5