MSIGWA ACHAFUKWA, AMVAA MBOWE, ADAI ANAIVURUGA CHADEMA, MNYIKA NA KIGAILA WAGAWANYIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • #TANZANIA: Peter Msigwa achafukwa, amvaa Mbowe, adai Mnyika na Kigaila wamegawanyika kisa Mwenyekiti wao.
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 133

  • @bakariiddy5387
    @bakariiddy5387 Місяць тому +5

    Njaaaa kalii

  • @ramadhanimntambo6053
    @ramadhanimntambo6053 Місяць тому +7

    Wasaliti wa wananchi ni wengi mno,eti mchungaji,kula ulichopewa lakini hali ngumu ya maisha ya waTanzania itawahukumu sana tu,laana kubwa unaimwaga kwa kizazi chako tu.

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 Місяць тому +9

    Msigwa kwisha habari yako.
    Siasa imesha kushinda
    Nenda kalime nyanya

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 Місяць тому +9

    Msigwa mchungaji mnafiki, miaka hiyo yote umekuwa Chadema, uliposhindwa uchaguzi ukakurupuka. Umejiandaa kwenda kuuza mali zetu na mamako.

    • @jdanny497
      @jdanny497 Місяць тому +2

      Pumbavu kabisa msingwa hata useme vipi hatuhami chadema

  • @oscarmnyawami6667
    @oscarmnyawami6667 Місяць тому +2

    Aaah kumbe sababu huna kazi....njaaaa!!!

  • @SaadIssa-c9o
    @SaadIssa-c9o Місяць тому +3

    Ama kweli siasa ni unafiki mtupu,leo msigwa anaweza kuongea haya😅

  • @samwelmwanga254
    @samwelmwanga254 Місяць тому +4

    Hiyo sasa inasaidia nini?😊

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 Місяць тому +2

    Msigwa ongelea hali ngumu ya maisha achana na chadema baba lao

  • @user-cd9re4wt2b
    @user-cd9re4wt2b Місяць тому +3

    Mbowe yuko vizuri tuna mpenda

  • @isaacndashuka5959
    @isaacndashuka5959 Місяць тому +4

    Msigwa kuna jambo alituambia msukuma kuwa ulikuwa unalipwa na ccm.sasa nimeamini

    • @user-rn9og1rk3l
      @user-rn9og1rk3l Місяць тому +1

      Kumbe ilikuwa kweli makamanda alikuwa analipwa kweli

  • @oscarmnyawami6667
    @oscarmnyawami6667 Місяць тому +2

    Brother tatizo Ni kukosa uenyekiti na Mbowe au Ni Chadema potea safari ndo imeanza....

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 Місяць тому +3

    Bandari wamasai na vikokotoo naomba uongelee mzee tupe kauli yako juu ya bandari zetu

  • @benolduka
    @benolduka Місяць тому +2

    Msigwa Huna aibu, utachukiwa sana, una uso wa kufa, haya ongea ya ukohamia achana na ulikotoka. Sahau ubunge hupati tena

  • @tiberymbossa4294
    @tiberymbossa4294 Місяць тому +3

    Njaa mbaya

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 Місяць тому +4

    Msigwa unajiumbua, ndo hivyo umekwisha. Onyesha vyeti tuone km Samia atakupa Uwaziri. Njaa tu.

  • @andrewlwanga2157
    @andrewlwanga2157 Місяць тому +2

    Huna points Msigwa, toa vyeti tuone kwanza

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому +6

    Haka kamepewa kazi ya kuitukana chadema nafikiri kanatetea ugali

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому +1

      Ndio badala aongee shida za watanzania kakazana kutukana alikotoka mpuuzi kweli

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 Місяць тому

      😂😂😂😂

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu Місяць тому +1

      Inamana wee Kazi uliyopewa ni kuitukana tu Chadema si ndo manake?

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 Місяць тому +4

    Nipeni kipaza msigwa asimame kulia mm kushoto nachukua jimbo LA iringa

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 Місяць тому +3

    Mch Kuwa makini, Mungu anakuona, wewe ni njaa tu hauna lolote pita hivi na FISIEMU Yako.

  • @oscarmnyawami6667
    @oscarmnyawami6667 Місяць тому +1

    Umejimaliza kubali usikubali kwishaaaaa

  • @uswegemwakalobo6220
    @uswegemwakalobo6220 Місяць тому

    Umeeleweka sana mchungaji

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 Місяць тому +2

    Authority ikishapotea, huwa hairudi. Kama jana ulisema vingine na leo ukasema vingine, sio rahisi ukaaminika tena.

  • @paull8659
    @paull8659 Місяць тому +3

    Msigwa huko ulipo sasa hakuna ufisadi wa mabilioni , uuaji, wizi wa kura? Huko kuna demokrasia? Je unaweza kwasasa kumpinga Samia? Samia aliyesema Lissu kupigwa risasi ni sawa? kuwa ccm lazima ichukue dola ni sawa. Wewe ni mchj. wa Ibilisi, mnafiki, muongo, hovyo.

  • @PinelMlay
    @PinelMlay Місяць тому

    Ooooooooyaaaa Msigwa

  • @uswegemwakalobo6220
    @uswegemwakalobo6220 Місяць тому

    Nomekuelewa sana Mchungaji 😂😂😂

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Місяць тому +2

    Ongea nini utatufanyia Watanzania hali mbaya ya nchi kila kona sio utembelee kik ya mipasho na kumchamba Mbowe wakati lamaana zaidi huna la kuongea

  • @aminieljohn5475
    @aminieljohn5475 Місяць тому +1

    Mchungaji msigwa!!....what goes around comes around!..,unajisikiliza kweli?..kweli siasa mchezo mchafu...

  • @AbdulJamal-xp4pn
    @AbdulJamal-xp4pn Місяць тому +1

    Nivizuri utupe sera ya chama chako kweli lowasa atabaki kua mwanasiasa bora kwangu wa karne

  • @majutoomari7445
    @majutoomari7445 Місяць тому +1

    Magari yametumika kusomba watu kuwaleta kwenye mkutano halafu hawawapi chakula watu wa watu

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 Місяць тому +1

    Hatutaweza kuijenga nchi kwa kuongozwa na akili ndogo kwa maneno ya Nape labda haiwezekani ila usije ukashangaa ukajikuta ukifunga mdomo

  • @user-cd9re4wt2b
    @user-cd9re4wt2b Місяць тому +1

    Maamuzi uliyoyachukua ni maamuzi magumu kweli umepewa pesa ameshindwa uchaguzi na sugu umehama

  • @user-lu9ln4bd8b
    @user-lu9ln4bd8b Місяць тому +1

    Njaa mbaya , imepanda kichwani huyu siyo Bure

  • @leonardmao3311
    @leonardmao3311 Місяць тому

    Acha ujinga needs katubu Dhabi hiyo. Mungu akusamehe mjinga

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv Місяць тому +1

    Jamani msigwa ww ni mnafki mpk nimekupenda

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso Місяць тому +2

    We mjinga unatumiwa kupiga kampeni na uchaguzi ukiisha utarudi nyumbani kulima mihogo,hutaambulia hata ujumbe wa nyumba 10

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 Місяць тому

      Wapi?
      Mwenzio kaandaliwa Mkoa ila ataanzia Wilaya mara baada ya kukamilisha kazi hii. 2025 atapewa Mkoa.
      ... Ukiwa karibu na Ua Waridi, ...

    • @ElishaOisso
      @ElishaOisso Місяць тому

      @@pirminmatumizi5464 akipewa hata utendaji wa kijiji atanikuta ofisini

  • @FADHILICHIKOLO-pb8iy
    @FADHILICHIKOLO-pb8iy Місяць тому

    Ongea ya CCM umeshanunuliwa umejivua nguo

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 Місяць тому +1

    Sasa mbona unawapiga wenzako mawe acha unafki

  • @bicorugina1452
    @bicorugina1452 Місяць тому

    Kaz unayo pol sana ukipitia comments utapata jibu

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 Місяць тому

    Huyu ni shetani hafai kuwa kiongozi kabisaaa

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko Місяць тому

    Bila shaka hata sili za mke sijui kama ziko salama!!? Pili waumini wako wanavyokuangalia na kukusikiliza wanajifunza nini kwako pumbavu sana

  • @jumadawa1968
    @jumadawa1968 Місяць тому +2

    Weka hakiba nya maneno utakapo shindwa ulundi

  • @eliasmariwa1087
    @eliasmariwa1087 Місяць тому +1

    Kama kulikuwa na uozo miaka yote ulisubiri kutoka huko sema njaa imekushinda ukaamua kuondoka chadema

    • @user-rn9og1rk3l
      @user-rn9og1rk3l Місяць тому +1

      Alafu akaondoka baada ya kushindwa uchaguzi
      Huko south Africa anakotaja alienda kuuza mitumba hana vyeti hapo

  • @pendaelmollel1847
    @pendaelmollel1847 Місяць тому +1

    Nonsense

  • @CharlesWaite-wl6ns
    @CharlesWaite-wl6ns Місяць тому +2

    Hauna lolote

  • @JemeslaizerJemeslaizer
    @JemeslaizerJemeslaizer Місяць тому

    Meno mchungaji uufute kuwa Jina lako.. Uko na njaa.

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 Місяць тому

    Msimgwa mpumbavu awe na heshima

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 Місяць тому

    >KAULI YA KUJENGA NYUMBA MOJA NI KINYUME KABISA NA HALI HALISI!
    >TAASISI ZINAZOPAMBANIA MISINGI YA HAKI NI TOFAUTI KABISA NA ZINAZOKINZANA NA MISINGI YA HAKI.

  • @oscarmnyawami6667
    @oscarmnyawami6667 Місяць тому

    Kumbuka ukitapika usiridie matapishi yako,vipo ungepata uenyekiti haya ungeropoka?

  • @selegioelias9076
    @selegioelias9076 Місяць тому

    Magufuri angelikuwepo angelijionea nduguyake karudi nyumbani kumenoga

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 Місяць тому

    Kwa maisha haya mzee sizani kama vijana wenye akili timamu wanaweza kukusikiliza wewe Laurent Bagbo

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 Місяць тому

    Naona mauzauza...🙄🙄🙄🙄🙄

  • @user-qu8qt2gr3h
    @user-qu8qt2gr3h Місяць тому

    Malaya mkubwa usingeshindwa uchaguzi ungeomdoka

  • @dulasaid2581
    @dulasaid2581 Місяць тому

    Haki oliyokua unapigania teyari umeipata?

  • @franciscowilliam2575
    @franciscowilliam2575 Місяць тому

    Hivi huyu angeshinda uenyekiti wa Kanda angeyasema yote Haya kwa jazba?

  • @aminieljohn5475
    @aminieljohn5475 Місяць тому

    Chama chenu??? ...

  • @joanmutabihirwa5254
    @joanmutabihirwa5254 Місяць тому

    Msigwa sasa tunakunyangaya Uchungaji wewe ni mchumia tumbo tu, Unawaachia lahana kizazichako nakushauli Murudie Mungu wako na utubu kweli

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому +2

    Najiuliza kwanini hamtukani tundu lissu

    • @LeticiaCharles-hi2wf
      @LeticiaCharles-hi2wf Місяць тому +1

      Huo ni Moto hawezi

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 Місяць тому +1

      Kwanini usijiulize kwanini aongei shida za wananchi

    • @samuelmakara
      @samuelmakara Місяць тому

      Katumwa na master wake. Alietamani siku zote amchafue akashindwa akapatikana ile zamani inaitwa his masters voice

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x Місяць тому

      @@samuelmakara nachojua walikua marafiki

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 Місяць тому

      Hana ubavu wa kumtukana mwamba, Tundu A. Lisu..🤣🤣🤣🤣

  • @rwezimulastephen3713
    @rwezimulastephen3713 Місяць тому

    Mtu mfupi na mawazo ya ovyo

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa Місяць тому

    Chadema mtulie 2 hio ndio siasa lzn msemwe tujue ambayo hatujawahi kusimuliwa....

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu Місяць тому

      Msukuma Alishatuambia Kila kitu juu yako tunajua Msigwa unalipa Hela za Ccm ulizokula, maana mpango uliotegemewa wakutumika Ukiwa Ndani ya Chadema umeshindikana

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Місяць тому

    Huyu fala

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 Місяць тому

    Sema una agenda gani achana na chadema umeshatoka huko na wewe ulikuwa sehemu ya hayo unayosema je unadhani huko uliko utabadilisha lolote jibu ni hapana zaidi sana ni kulamba viatu saa hii huwezi tena umeshanunuliwa hivyo useme umelipwa bei gani

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni Місяць тому

    Daaah

  • @bakariiddy5387
    @bakariiddy5387 Місяць тому

    Cccm wanatumianini mbona huyu alikua mtu kabisa Sasa hivi amekua fala kabisa

    • @samuelmakara
      @samuelmakara Місяць тому

      😢😢😢😢😢😅😅😅 hujuagi. Peleleza kila alieenda huko 😮😂😂😂

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo Місяць тому

    𝑈𝑗𝑖𝑡𝑎𝑡ℎ𝑖𝑛𝑖

  • @user-lu9ln4bd8b
    @user-lu9ln4bd8b Місяць тому

    Hivi kweli huyu ni mch, au,

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Місяць тому

    usijifanye mfitinishaji wewe ya chadema yanakubusu nini

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 Місяць тому

    Hebu mwambie mwenyekiti wako wa chama taifa apunguze matumizi mabaya fedha za uma

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 Місяць тому

      Mwambie wewe au Msigwa ndiye msemaji wako?

  • @HulumaKisakali
    @HulumaKisakali Місяць тому

    Huna huja majungu to toa huja zako

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 Місяць тому

    Nadi sera ya chama walicho kuhonga na kukununua acha chuki hazita kusaidia, wewe ni tapeli kama matapeli wengine wa ccm, wewe huna hadhi ya kujibiwa na viongozi wa chadema cc wenyewe wananchi tutakujibu na kukupa fact, njaa yako imetoka tumboni ikahamia kichwani, hovyo kabisa.

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 Місяць тому

    Kwa maisha haya mzee sizani kama vijana wenye akili timamu wanaweza kukusikiliza wewe Laurent Bagbo tuambie ile misitu yetu na bandari itakuaje? Bado utazipigania au na wewe uko na hisa huko

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 Місяць тому

    Poyoyo ndio watafanyia kazi hayo maneno

  • @conasmalale1073
    @conasmalale1073 Місяць тому

    Tulia foundation vipi kuhusu hii

  • @bakariiddy5387
    @bakariiddy5387 Місяць тому

    Taahiraa

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv Місяць тому

    Utasifia sana theni ukalale

  • @DavidMutiba-hr3vo
    @DavidMutiba-hr3vo Місяць тому

    Mbona unatumia nguvu sana kujitetea kwa kuhama kwako.Hivi huko CCM hakuna mapungufu unayoyazungumza dhidi ya mbowe? Subiri ila.omba tu wakupe nafasi fulani ya upendeleo la sivyo kesho utayarudia hayohayo tena dhidi ya ccm.

  • @bakariiddy5387
    @bakariiddy5387 Місяць тому

    Uroho wa kukosa uongoz

  • @samuelmakara1475
    @samuelmakara1475 Місяць тому

    Kama kuna makundi wewe si umeshaondoka

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv Місяць тому

    Jamani uongozi wa Kanda umekushinda huna lolote

  • @eliasmariwa1087
    @eliasmariwa1087 Місяць тому

    Ungepata uwenyekiti wa kanda ya Nyasa ungetoka chadema?

  • @user-cd9re4wt2b
    @user-cd9re4wt2b Місяць тому

    Acha kutudanganya njaa inakusumbua

  • @EzekielSitayo
    @EzekielSitayo Місяць тому

    Msigwa tumejitambua wadanganye wajinga wenzako

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw Місяць тому

    Chadema hatuwezi kuwapa hii nchi wapumbav sana hao chadema

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu Місяць тому

      Ccm ndo wapumbavu wanaotumia Kodi zetu kuwahonga akina Msigwa wakikosa Vyeo Chadema wahamie Ccm

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 Місяць тому

    Matako yako huna lolote pita hivi Pumba Mwanzo Mwisho...

  • @tiberymbossa4294
    @tiberymbossa4294 Місяць тому

    Wale watu walipofika Kisimani, wakakutana na Yesu, walisema tumeamini siyo kwasababu wewe ulisema ila sababu sisi wenyewe tumemuona tumeamini.
    Sisi tunaujua uovu na tunaujua lipi jema.

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 Місяць тому

    Ukatafakari baada ya kupewa gari na mshiko

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 Місяць тому

    Mwenyekit wako akikosea ndiyo unahama? Mageuzi makubwa ya Nchi hii yatafanywa na nani kama umeungana na wanaohitaji kuoingwa?

  • @KabujeFulaha
    @KabujeFulaha Місяць тому

    Njaa msigwa

  • @jacoblongo6814
    @jacoblongo6814 Місяць тому

    Acha kutaja biblia wewe ni tapeli tu mnafiki

  • @leonardmao3311
    @leonardmao3311 Місяць тому

    Were ni mpumbavu sana mbwa wa kuchinjwa. Taamaa imekupeleka huko, hupati cheo hata upige kelele mj9nga sana hufai hata kuitwa mchungaji. Mjinga sana.

  • @aloycejames4862
    @aloycejames4862 Місяць тому

    Huyu Kwa sasa hatumi akili

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv Місяць тому

    Umeisha wewe huna jipya

  • @BorySaronge
    @BorySaronge Місяць тому

    Wanaohamia cdm sio Malaya ,sio wajinga,sio wapumbavu nyinyi mnaomtukana msigwa kutoka cdm hamjuiyanayofanyika ndani ya cdm siku mkigundua mtampiga mawe huyo mbowe wenu

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu Місяць тому

      Huyu Msigwa Mla Rushwa mkubwa Nani hajui? Amekosa Cheo kisa Rushwa aliopewa na Ccm, Msukuma alishasema Mchungaji Msigwa mpenda vyeo ameamua kutumia Nguvu kubwa saana kuhalalisha Rushwa aliopewa na Ccm anajisumbua Bure kutuaminisha hayo, amshauri Rais basi arudishe Bandari zetu, Hataivo hakuna mwenye akili Timamu atamuelewa Msigwa mpenda vyeo huyu amekosa Uenyekiti anajifanya kuhama Hana lolote, Anamuonea tu Mbowe Mstaaarabu hajui kujibu vijembe

  • @bakariiddy5387
    @bakariiddy5387 Місяць тому

    Ungeshindaa usinge nuni liwa

  • @bakariiddy5387
    @bakariiddy5387 Місяць тому

    Yote hayo kushindwa

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 Місяць тому

    Kuna.mbwa.wana.kuliko.msigwa

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 Місяць тому

    Hii yote njaa, imewasaliti wenzake kwa kiwango kikubwa mnooooooooo. Usaliti huo sio kwa Chadema tu bali ni kwa wa Tanzania wote wanaoteseka na maisha. Ila wewe subiri upate unaibu waziri ili mkundu wako ufunge maana kwa sasa mkundu unatoa.mavi tu.

  • @jeremiahngoka4980
    @jeremiahngoka4980 Місяць тому

    Huyu ni jibwa tena Koko la mtaani

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Місяць тому

    Bee ludesi bee! Msigwa umefilisika, wewe ni mchungaji feki uliyepoteza maadili na dira kwa tamaa huku na kule sawa na wale wanasiasa malaya malaya tu! Historia yake ya kuingia TLP,NCCR,hatimaye CDM ni njaa tupu! Ulingoja nini cdm miaka yote?! Hizo unazoongea ni uongo,na pumba tupu hata utoke povu tutakupuuza....

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu Місяць тому

      Amekazana kumshambulia Mbowe wawatu hajui kujibu Vijembe

  • @goodluckswai7496
    @goodluckswai7496 Місяць тому

    Njaaaambwa ww

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m Місяць тому

    Mtoto cliziki msigwa unatamaaa ya madaraka mbowe ananyota ya kupendwa wewe vizia kuteuliwa lakini kuchaguliwa haukubaliki