MWANDISHI WA WIMBO WA ALI KIBA na NANDY DAH REMIX AFUNGUKA NGOMA NZIMA ILIVYOCHORWA…

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

КОМЕНТАРІ • 19

  • @kevo_da_clever
    @kevo_da_clever 4 місяці тому

    Hata mbele wasanii wanaandikiwa shida ya bongo hawa waandishi hawajui kujibrand

  • @NdichiboyTz-iz4bd
    @NdichiboyTz-iz4bd 4 місяці тому +1

    Hizo nikiki 2 amuna muandishi apo dah hakuandika huyo

    • @jasmineeomary2041
      @jasmineeomary2041 4 місяці тому

      Huyu mara nyingi yupo na kiba studio mbonna

    • @BimkubwaMohd-ef6hr
      @BimkubwaMohd-ef6hr 4 місяці тому

      Hata Kiba kshawah kummesheni

    • @NdichiboyTz-iz4bd
      @NdichiboyTz-iz4bd 4 місяці тому

      Wanatafu kiki ili watoboe watafute njia zingine zakutobos

    • @juliusmaricha8836
      @juliusmaricha8836 4 місяці тому

      acha chuki🤣Passo ni muandishi mzuri sana na anaandika vingi ambavyo hapewi hata credit

    • @rashididdi5140
      @rashididdi5140 4 місяці тому

      angalia dah recording session mwamba utamuona anampa ali k mistari.

  • @issashabanihusseniwewe9024
    @issashabanihusseniwewe9024 4 місяці тому

    Muandishi atakuwa huyu bwana kichwa kikubwa mfupi kama kama kisasa izo akili anazipata wapi as kukuandalia nyimbo ali kiba

  • @BimkubwaMohd-ef6hr
    @BimkubwaMohd-ef6hr 4 місяці тому +1

    Halafu mwamba anapita mulemule njia za kiba

  • @official_kingnabiryOg
    @official_kingnabiryOg 4 місяці тому +1

    Uyu mwamba katisha salute 🔥🔥🔥

  • @dannydannizo8099
    @dannydannizo8099 4 місяці тому +1

    Uyu jamaa ni wamoto duh

  • @maleek11flacko
    @maleek11flacko 4 місяці тому +1

    Nani aliandika huo wimbo??

  • @issashabanihusseniwewe9024
    @issashabanihusseniwewe9024 4 місяці тому

    Alafu hawa planet washaishiwa content wapo kwa ajili ya kutafuta watu vifutu ili waje kuchafuwa brand za watu ali kuwa wapi wakati nyimbo zinataka wasenge nyinyi yani ali kiba awe kwa huyu kufuta aandikiwe nyimbo

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 4 місяці тому

    Tushawazoea wasanii wa bongo kuandikiwa mangoma...n vile wana majina Tu lakin hamn kitu

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 4 місяці тому +1

    Wakati wimbo unatoka kwanini hukusema izo nikiki tu ili ujulikane