26 4 life 💪huku Kenya usipime number ni 26 kila kona ya mitaa ya mombasa Kenya✌️ma bajaji shop karibia zote za pamba Kali jina n 26💪big up broh Kenya tunawakubali sana B.O.B
Joh na G hajawai badilika, sjuagi ata mnaongeleaga nin, Joh na G, kwanzia zamani wanaimbaga chorus zao wenywe, mtu aweze kuimba chorus yake ashindwe kutengeneza nyimbo nzima kwa kuimba mnaakili kweli, G ni versatile he has been that way, chorus zote za nako kapiga G, sjui mnafatiliaga mziki gani
Joh Makini anawasumbua sana akili wana HipHop wa bongo yani kila msanii akiulizwa kuhusu game ya HipHop bongo lazima aanze na joh hiyo inamaanisha kua uuwezi kuwa bora kama hulinganishwi na joh
@@audaxmlowa9953 wanachoimba ujinga ujinga tu halafu wanajiita hip hop? Hip Hop gani hiyo ukianza na style sio hip hop, lyrics sio hip hop, Beat sio hip hop, dressing sio hip hop, nguzo zote za hip hop hakuna. Wanabebwa na media za marafiki zao mf: Clouds fm
@@audaxmlowa9953 good boy huamka mapema, hufanya kazi kwa juhud, uhuni siyo sifa sifa ni werevu, ctaki dem wa kitanga kwa mapenz tuu kajipanga, lkn manka ye anauliza maendeleo, dem wa bure bure changamoto hana inatakiwa dem amsifie boss wangu ili kesho nipambane nijenge hata kiwanda changu, naona ntajaza nafasi niishie hapo kwa haraka haraka nina lines zao zipo deep sana mangi
26 yupo real makini sio king West side kivyovyote popote just weusi wanayo Pesa Kweli? Kama sio longo longo 2 bimana nyinyi sio hip hop acheni kutusumbua nakelele zetu
Hip hop ndya ndu salute🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉26 Life ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ shabiki kutoka chuga salute ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maua yako mkuuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mbili sita 26 life❤❤❤❤❤❤❤ tupo pamoja mkuuu
kibongobongo usipo wasema weusi utasema kndi lipi tena wanabonga sana toen ngoma achen uwakii hii hapa hii ni humu tuu kbabaake napenda ngoma za wa sanii wote achen kpganene mishale toen ngoma weken mezan tuone .nan mkali
We nyandu snchi tu we ndo sio hip hop uyo g nako uyo John makin niki Lord eyes icho kikos Acha tena kaaa mbali we mtoto wa dar subiria ela za kod za nyumba za urith
Planet bongo in a new face new people,nawapenda napenda mabadiliko and the first lady WA planet bongo February ❤❤
26 4 life 💪huku Kenya usipime number ni 26 kila kona ya mitaa ya mombasa Kenya✌️ma bajaji shop karibia zote za pamba Kali jina n 26💪big up broh Kenya tunawakubali sana B.O.B
Kaa mbali na weusi kaka anajua nini wanafanya Joh Joh makini noma sana kaka A city tunawaelewa❤🎉❤🎉
Noma ya nini anaimba ufala tu
@@frankkajoba8372mzee hawa hiphop ngumu wako wapi? …hakuna watoto wamepitia real hiphop life kama wa chuga masta
Man sulii napendaga huyu rapper ni mbishii long time kitambo,Sinza star❤❤
Hip hop misingi sasa wew leta upimbi mtoto mdogo utaitwa dingi
Muziki ni pesa broo. Maisha yanabadilika huwez kula ugali kila siku na mlendaa broo. Kizazi cha sasa hakipend ngumu kumezaa
Joh na G hajawai badilika, sjuagi ata mnaongeleaga nin, Joh na G, kwanzia zamani wanaimbaga chorus zao wenywe, mtu aweze kuimba chorus yake ashindwe kutengeneza nyimbo nzima kwa kuimba mnaakili kweli, G ni versatile he has been that way, chorus zote za nako kapiga G, sjui mnafatiliaga mziki gani
Weusi rapa ni Lord eyes tuu hawa wengine akina Joe ni vichomi tuu
Tozzy respect man
Tusubiri hiyo album ya nyandu elimu ya mtaa maanakee anavoipigia promo😅😅
Hii soundtrack ni ya ngoma gani.yenye inacheza chini kwa chini
Moni centrozone ft chid Benz
Song:kovu
Tooozeeee🚀📍
Uwezo mkumbwa nyandu tozzy
Respect the OGs
Noma sana
Nakubali
Shout out kwa wote
Joh Makini anawasumbua sana akili wana HipHop wa bongo yani kila msanii akiulizwa kuhusu game ya HipHop bongo lazima aanze na joh hiyo inamaanisha kua uuwezi kuwa bora kama hulinganishwi na joh
Jamaa yuko real na amesema ukweli.
26 - OG 🏁
Planet bongo saiv inabebwa na piwamagic huyu dogo rich miyeyusho sana anaropoka sana kwenye maswali hana utulivu kama piwa
Kila siku maswali yaleyale hmn mpya kbsa
Npo chuga Ila nkija bongo nataka nikuone ata 2 6 stoor
👊✌️👍.
Nyandu naelewa unachangamsha game lkn weusi siyo level zako ... Cjaskiaga material au mariifa yyte kwako... Weuc n collage mistari yao n knowledge
Wana level gani wanaharibu tu
@@frankkajoba8372 wanaharibu nn sasa, na wewe embu fanya tukupime
Knowledge gan
@@audaxmlowa9953 wanachoimba ujinga ujinga tu halafu wanajiita hip hop? Hip Hop gani hiyo ukianza na style sio hip hop, lyrics sio hip hop, Beat sio hip hop, dressing sio hip hop, nguzo zote za hip hop hakuna. Wanabebwa na media za marafiki zao mf: Clouds fm
@@audaxmlowa9953 good boy huamka mapema, hufanya kazi kwa juhud, uhuni siyo sifa sifa ni werevu, ctaki dem wa kitanga kwa mapenz tuu kajipanga, lkn manka ye anauliza maendeleo, dem wa bure bure changamoto hana inatakiwa dem amsifie boss wangu ili kesho nipambane nijenge hata kiwanda changu, naona ntajaza nafasi niishie hapo kwa haraka haraka nina lines zao zipo deep sana mangi
26 yupo real makini sio king West side kivyovyote popote just weusi wanayo Pesa Kweli? Kama sio longo longo 2 bimana nyinyi sio hip hop acheni kutusumbua nakelele zetu
Nyandu Yuko sahihi sana na mansulii wanamsimamo kama ni Hela zipo haijarishi unazpqta vepe ama nn msafi
Joh ni angle ingne broo
Huyo mtangazaji ataulizaje masuala ya Diddy kwa kina Nyandu kweli??
🏁🔐
Ukisoma comment unajua kabisa watu wanamkubal nan
Hip hop ndya ndu salute🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉26 Life ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ shabiki kutoka chuga salute ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maua yako mkuuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mbili sita 26 life❤❤❤❤❤❤❤ tupo pamoja mkuuu
kibongobongo usipo wasema weusi utasema kndi lipi tena wanabonga sana toen ngoma achen uwakii hii hapa hii ni humu tuu kbabaake napenda ngoma za wa sanii wote achen kpganene mishale toen ngoma weken mezan tuone .nan
mkali
We nyandu snchi tu we ndo sio hip hop uyo g nako uyo John makin niki Lord eyes icho kikos Acha tena kaaa mbali we mtoto wa dar subiria ela za kod za nyumba za urith
You trippin’
Kwani wew weusi kuna mumeo
Acha chuki Man, utakunya boga
Ka senge
nicheke
We dogo rich kua seriously maswali yako
Mansuli sinza star OG
Bla weusi uwezi toboa n humuuuu tyuuuuuu qba babaa kheeee
waache waangaike unazan knd lip la hp utalidic tena Kama syo weusi
Nyandu na wewe pia umeppoa hauna makalii kama zamanii,ebu rudii
Tozzy 26 4L
hampooiii