Mimi nafikiri jamii zetu hazitendi haki Mzee wa miaka 70 kuoa Mtoto wa miaka 30 ruksa Marehemu Mengi alipooa Watu waliwapongeza lkn Mwanake akiolewa na kijana dhambi wanatoa majina yote. Hao vijana wakija ughaibuni wanaoa Watu wanao wazidi umri na nisawa tu. Jamaii ibadilike nyakati zinabadilika👍

Simulizi zako ni tamu bravo!!!!!
🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹🇹🇿 ciao ciao
Karibu kweny uwanja mwingine
🙏🙏♥️♥️🎉😂😂
Hii story tamu kweli kweli msimuliaj chukua mauwa yako🎉🎉🎉🎉
❤❤🎉🎉
Ndio namka my😂😂😂😂
Weeee una raha kipenz 😆 si tulishaamka tunapambana na majukumu huku
@@MYME-u5d awapi unajua tunapishana masaa mawili my 🤩🤩
Hakika unastali mauwa yoko simuliyaji 🎉🎉🎉🎉❤❤😊😊😊
Nimeipata
❤❤❤❤❤
Hii piccha ndio ya huyo msomal😂😂😂
😂😂
Hii Sura ya msomali wa Mara au?
Uwongo bwana umri wa baba awo mama ko eti penzi if Age Go let run nawa Age wako bwana 😂
Yan nimeweka bando ili nikutane na pacha malkia
hapa ni wapi😂🔥🔥🥰
😂😂Sabrina kwan hujui hap wap?
@MYME-u5d sauti kama ya Amani kigoye hivii
Mmmmm! 🤔labda ni yy kwan wee saut za wasimuliaj unazijua?
@MYME-u5d 😂😂😂 najua ya felix,oen,Aman na lucas
Na Anko jay
Jamani mbona hajatupa pacha
Wamarkiy😢😢😢😢😂🎉🎉
Inaandaliwa
simlizi tam jamani et🤣🤣🤣🤣