MCHEZAJI NI ZAIDI YA MAGOLI NA ASSISTS / TAKWIMU ZA JEAN CHARLES ZINAMPA SIFA KUCHEZEA SIMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 15

  • @edgaranthony9305
    @edgaranthony9305 2 місяці тому +2

    Ngoja msimu uanze tuwaoneee,
    Simba nguvu mojaa🦁🦁🦁

  • @KudraZowo-y9c
    @KudraZowo-y9c 3 місяці тому +5

    Ambangile ni mwalimu wa wachamuzi wa michezo wote Tanzania,akili mingiii

  • @MuuHanc
    @MuuHanc 3 місяці тому +1

    Nawapenda san

  • @WinifridaMsirikale-y3v
    @WinifridaMsirikale-y3v 2 місяці тому +1

    Simba yass yanga ajiyandaye kura Saba tunanziya kwenye ngao yajami kufanya shoh

  • @MashakaAthumaniAthumanimashaka
    @MashakaAthumaniAthumanimashaka 3 місяці тому +2

    Mm
    Nimewapitiawote
    Tunatengeneza
    Jenz
    Ya
    Africa
    Mm
    Mtanitafta
    Simba
    Wenzangu
    Mletemrejesho
    Nsss
    Hawatoleta
    Tm
    Uwanjani

  • @NikolaiMwambene
    @NikolaiMwambene 3 місяці тому +2

    Anachambua kama Mimi binafsi mtu akiniambia Ronaldo anajua kuliko Messi nakataa kwasababu ukisoma takwimu za Messi na Ronaldo Kwa maana ya magoli utakuwa Ronaldo kamzidi Messi lakin kamzidi pia ma mechezo, ikienda uwanjani au kwenye tv kuwaangalia Hawa wawili Messi anakupa vitu vingi Sana uwanjani, na Kwa mashabiki wa chelsea wote kama mmemuelewa jamaa vizur ndo mtajua kuwa Jackson ni bonge la mchezaji

  • @HamzaMkumbange
    @HamzaMkumbange Місяць тому

    Kaka wewe unajua kuchambua mpira wengine wajifunze kwako

  • @PasianMroso-l6h
    @PasianMroso-l6h 3 місяці тому

    Hao ni wachezaji wetu tuachieni sisi watan wetu yanga tuku tane uwanjan teacher maneno

  • @Idrisaa-ko2iu
    @Idrisaa-ko2iu 3 місяці тому

    Teacha ambangir

  • @MwajabuZahoro
    @MwajabuZahoro 3 місяці тому

    Wavuta bangi angalia suma😊

  • @life_varieties9559
    @life_varieties9559 3 місяці тому

    Mimi nikiangaliaaa. Clips. Naona hamnaa kitu

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 3 місяці тому +2

      Clip zenye kitu si kama zile za skudu mwakalabela sio?

    • @MwajumaNgaruma
      @MwajumaNgaruma 3 місяці тому

      ​@@muksinimbaruku1233hahahahahaha

  • @EsauMasu
    @EsauMasu 3 місяці тому

    Dasfmn