Wimbo nzuri, Na mtungaji ni Tungwa Molai ,Mpiga sol ni Thoma sisi tulimupatia jina ingine ya Abilie Wa imbaji ni Molai!! Gaby!! Sony!! NA Mobali!!!HIYO!! Chinusi.
Msiambiwe Kasheba alikuwa na gita lake la kipekee nyuzi dazeni na alikuwa anakuwa haliachi nyuma. Nyie acheni.nyimbo za sasa hivi matusi nakusemana na kuonyeshana ubabe wala sizisikilizi
Wimbo nzuri, Na mtungaji ni Tungwa Molai ,Mpiga sol ni Thoma sisi tulimupatia jina ingine ya Abilie Wa imbaji ni Molai!! Gaby!! Sony!! NA Mobali!!!HIYO!! Chinusi.
Nkomba nakutafuta watsup +255786658658 URGENT
Kwa hakika miziki ya kale!!
Asali tupu
This was my favourite 1980s
Ama kwa hakika wazee wetu walifaidi sana....kila kitu kimepangiliwa kwenye njia
Mungu awape pumziko wazee wetu hawa na tuwakute peponi siku ya mwisho
Mimi bado hai na nina ishi sweden!
Ya kale dhahabu! Nani anapinga?Nakumbuka nikiwa sekondari kuna watu walikuwa Wanaitana na kunichungulia nilivyo mzuri😘
Hahaha!
Tungwa Molay alikuwa mtu mmoja smart sana. Nilimfaidi sana wakati akiwa na bendi ya Tuncut wakati huo nikiishi Iringa.
Yupo binti ilitwa Tausi hakua amesikia huu wimbo kila nikimuona nikawa naimba baadae alipousikia akaanza na kuringa daah lala pema Tausi
Ilikula kwako hiyo
Wimbo mzuri kama alivyo mzuri tausi!
kuna watu walienjoy sana maisha jamani these songs 🥰💯💯
Huo ndio muziki sio miziki ya sasa kuonyeshana ubabe na uhasama
Msiambiwe Kasheba alikuwa na gita lake la kipekee nyuzi dazeni na alikuwa anakuwa haliachi nyuma. Nyie acheni.nyimbo za sasa hivi matusi nakusemana na kuonyeshana ubabe wala sizisikilizi
Mziki zamani sio uhuni wa sasa.
The best thing you have given to africa
Am still listening this golen music. Nice song
Hamuwezi kunyamazi mpaka mseme kila siku uzuri wa tausi Duku dukueee
Huo ndio mziki yani umeshiba
@@thobekilemabaleka7380 Nashukuru sana!
Yani izo nyimbo kila zikipigwa kama zimetungwa leo vile
Maringo kwetu kawaida
Yap mambo hayo
Poa!
💯🔥🔥🙌🙌
za kale dhahabu
huyu aliyeimbisha "WASIWASI WAKO WA NINI,WACHA TUSEME UKWELI" ni nani?
Ni ndugu Molayi Tungwa!
Old is Gold
Hiyo sauti nyororo na nyembamba ni ya nani kumbusha mm jina yake
Kali sana...niliupenda sana enzi zangu ujanani..80s...."Maringo kwetu kawaida"
Skass
Maringo kwetu kawaida
Sawa!