Ki tunakupenda sana umetoa jasho jana na damu kwaajili ya team yetu ya yanga usiumie kiasi icho umefanya kubwa na ulishaamua mechi mapema kabla ya mipenat yao waliyoitaka kokosa kapenat kale sio bora kama ulichofanya afu wakatukatili ww ni bora ww ni muhim sanaa chukua mauwa yako yote ni kweli hatukudai kabisaaaaa we luv u siku zote❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hii ni aibu kwa África. Goli lilikuwa halali lakini wametunyima kutokana na amani tuliyo nayo. Mungu atatulipia. Tutaona kama watachukua hilo kombe wezi watupu.
Hi nafas ni yetu lazima viongozi wetu waidai, na wakikaa kimya itakua na wao wamepanga hiwe hivyo, hapo kuna upangaji wa matokeo, lazima uchunguzi ufanyika na hauwezi kufanyika bila kudai
Hi all, no offence to anyone!. The rule says 'A goal is scored when the whole of the ball passes over the goal line'. Therefore you must look at the ball when it is on the goal line. Going by the VAR a portion of the ball was let over when it touched the goal line, yet I still feel that Yanga should have been awarded the goal without this VAR nonsense, that's how football was played in the past.
YANGA tumejitahidi saaana.wachezaji wetu hongereni saaaana.🙏🙏🙏💚💚💚💛💛💛🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Asante kaka
Haki yamungu asiondoke mpk tuchukue medeli nyingne ya caf, tuko tayar kukuchangia mshahara unaotaka ki
MUNGU NI MWEMA HONGERA SANA AZIZ KI KILA LA KHERI KWENU NYOTE BARIKIWA SANA YANGA
Ki tunakupenda sana umetoa jasho jana na damu kwaajili ya team yetu ya yanga usiumie kiasi icho umefanya kubwa na ulishaamua mechi mapema kabla ya mipenat yao waliyoitaka kokosa kapenat kale sio bora kama ulichofanya afu wakatukatili ww ni bora ww ni muhim sanaa chukua mauwa yako yote ni kweli hatukudai kabisaaaaa we luv u siku zote❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu Mwamba kweli anaipenda Yanga umeona alivyo Lia Kwa uchungu
😢😢😢😢😢 jamniiiiiiiiiiiiii kama kunahela yoyote anadai tucghange ss wanachama na mashabiki
Hii ni aibu kwa África. Goli lilikuwa halali lakini wametunyima kutokana na amani tuliyo nayo. Mungu atatulipia. Tutaona kama watachukua hilo kombe wezi watupu.
Hi nafas ni yetu lazima viongozi wetu waidai, na wakikaa kimya itakua na wao wamepanga hiwe hivyo, hapo kuna upangaji wa matokeo, lazima uchunguzi ufanyika na hauwezi kufanyika bila kudai
Hi all, no offence to anyone!. The rule says 'A goal is scored when the whole of the ball passes over the goal line'. Therefore you must look at the ball when it is on the goal line. Going by the VAR a portion of the ball was let over when it touched the goal line, yet I still feel that Yanga should have been awarded the goal without this VAR nonsense, that's how football was played in the past.
Ki azizi tunaomba asiondoke tuchangisheni ata kwenye m pesa tutatuma jamani hatupendi presha sisi tunailpenda yangah
Naloli kangi
KI UNABAKI KUWA KI HAKI YA NANI YANGA TUNAKUPENDA.