Mungu wangu Asante maana kama sio wewe wanadamu wamechoshwa na mimi lakini Mungu hujawai kunichoka 😭😭😭😭 nashukuru maana najua uko nami neema yako baba imenipa nguvu ya kusimama tena 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💐💐💐💐💐
I have used this powerful song to talk to God about my losses. In the spiritual realm he's making me profitable again. All the glory to God alone, Amen 🙌
Hii song hua inatouch moyo wangu sana😢😢😢 whenever am listening to it hua nabarikiwa sana...I Know one day mungu atajibu maombi yangu 🙏🙏. Be blessed Danny 💐.
Halleluyah all groly and honour to the almighty God, touching worship I love it ,may God hide this team in His secret place to give His will thru them,coz He is worshipped too in heaven by 24men and 4 living creatures so may it b done on earth as it is done in heaven, Halleluyah
May God protect you and continue lifting you to a higher level, more grace,favour and anointing man of God, much love from this side for blessing our lives with powerful worship🙏🙏❤❤
Kwa huu wimbo najikuta nalia tyuuuu aina Cha kumwambia mungu wangu zaid ya Asante mana Kwa nilikotoka mpaka Sasa naheshimiwa mm mnyalu wa kijijini ndani hko nan angenijua mm eeee Yesu 😢😢😢😢😢😢😢😢 asante
Sylvia ndio bwana kama sio wewe mm sijui ♥️❤️🙌 maana mipango ya adui ilikuwa nikunitoa uhai😭😭 nashukuru mungu neema yako na huruma zako nyingi pokea sifa baba🙌🙌🙏♥️
Kama sio wewe yesu ningekuwa wapi mimi? Nalia nikijiuliza hili swali.. Ninapo andika hivi sasa nalia.. Nikikumbuka mahali yesu umenitoa.. Machozi yanitoka kama maji😭 Yesu asante kwa upendo wako na rehema zako🙏🙏
Moyo wanguuuu moyo wanguuuu 😭😭😭😥😥 nakuomba ck zote mwimbie Bwana 🙏🙏🙏😭🙏😭😭😭😭😭 Asante YESU 🙏 watunze watu hawa mana kupitia sifa na maabudu wakikutukuza wewe tunatiwa nguvu mpya nguvu Yako ndani iliopotea inarudi tutapata nguvu mpya 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
I say a billion amen for your agape love for me and my household almighty God bigger thanks I will forever love you shalom beloved God bless you more and more
“'If it had not been the LORD who was on our side,' Let Israel now say - 'If it had not been the LORD who was on our side, when men rose up against us, then they would have swallowed us alive, when their wrath was kindled against us; then the waters would have overwhelmed us, the stream would have gone over our soul; ...
Kama sio wewe Bwana YESU wachawi wangenimaliza Nasema asante kwa kunishikilia pamoja na watoto wangu. Leo nashagilia ushindi nikisema KAMA SIO WEWE Ningekuwa wapi?? Hallelujah 🙏🙏
Hallelujah,hallelujah,MOYO WANGU NAKUOMBA SIKU ZOTE MWIMBIE BWANA,USIOGOPE MOYO WANGU.Even if i go through storm,s/trials/fire,i know all these wont last forever, i count it all joy.I believe one day i will come out with apowerful testimony,as Avictor, and stronger.It's only you ALMIGHTY GOD who has the final say.(PHILIPPIANS 4:6_7), (2 THESSALONIANS 3:3).Remember serving the LORD is not in vain (1CORINTHIANS 15: 58),🙏🙏🙏🙏
God bless 🙏 you Danybless and prosperity be your portion,may you increase more spiritually,in believe there is one person who's their heart is converted and so the heaven is rejoicing someone confesses salvation.AMEN
Huu wimbo umenikumbusha mbali sana mana bila mungu 2021 nisingelikuwa hapa duniani ubarikiwe mtumishi wamungu kwahuu wimboo nawapenda sana mungu awabariki🎉🎉🎉🎉❤
This boy sat for his kcpe exams at katilu primary...he started just singing in the assemblies...leading ppi in school then he was made school pastor...kumbe Mungu hakumsahahu....Amen Mungu nikumbuke pia nami
Hallelujah glory to God kama si wewe mungu mimi singekuwa hai Sahi ningekuwa nilisaulika kitambo ni mengi nimepitia lakini mungu ni mwema na haezi Wacha watu wake wauliwe.may God bless you Danny Blessing song zako hunibariki sana mi pia kwa church yetu ni muimbaji na ninashukuru mungu kwa hicho kipawa cha uimbayi
Angalia baba kwa umbali umenitoa hakika naapa kwamba hakuna wa kufanana nawe🙌🙏nimejawa na rehema tele, ama kweli moyo wangu siku zote utakwimbia Bwana ❤❤❤
Nashukuru mungu kwa umbali huu na Kule pia anako nipeleka. Ameniepusha na mengi amenitetea sana isingelikuwa ni yenye nisingelikuepo nitamtumikia ingali niko hai❤❤
Niko hapaa tena Mungu wangu..kama sio wewe ningesha kufa kitambo Mungu wangu🥺🥲Baba asante kwa mapenzi yako Daddy 🙏🙏🙏
Hallelujah Hallelujah
Amen
I was sick but niliposikiza hizi nyimbo na kuimba nikapata nafuu maumivu yakapoa. Moyo wangu nakuomba siku zote mwimbie Bwana.
Mungu mwenye aliokuponya na akaponye kijana wangu🥹🙏
Praise God 🙏 team ninapenda huduma yenu sana na ningependa kujiunga nayi thafadhali
Amen amen 🙏
Am a ugandan but I like the worship songs u deliver onto the souls of ugandans bro God bless your works
Amen amen 🙏
Kama sio Mungu ningekuwa wapi, glory and honor belongs unto you my father amen
Amen amen thankyou Lord
Amen amen
Mungu wangu Asante maana kama sio wewe wanadamu wamechoshwa na mimi lakini Mungu hujawai kunichoka 😭😭😭😭 nashukuru maana najua uko nami neema yako baba imenipa nguvu ya kusimama tena 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💐💐💐💐💐
Amen
Amen
Ahsantee kwa upendo wako Adonai...kama sio wewe ningekuwa mgeni wa nani mimi😭😭😭😭😭
Amen amen 🙏
I have used this powerful song to talk to God about my losses. In the spiritual realm he's making me profitable again. All the glory to God alone, Amen 🙌
Amen amen 🙏
Me too
It is well with you brother🙏🙏
Hii song hua inatouch moyo wangu sana😢😢😢 whenever am listening to it hua nabarikiwa sana...I Know one day mungu atajibu maombi yangu 🙏🙏. Be blessed Danny 💐.
Mungu wangu nionekanie siku moja niwe na testimony 😢😢😢lkn asante hadi kwenye nimefika ni kwa nguvu zako,nifushe kwa daraja lingine
Halleluyah all groly and honour to the almighty God, touching worship I love it ,may God hide this team in His secret place to give His will thru them,coz He is worshipped too in heaven by 24men and 4 living creatures so may it b done on earth as it is done in heaven, Halleluyah
Amen amen 🙏
He saved me when attacked by thieves in my house .. he's mighty 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wonder working God
Indeed he's mighty
May God protect you and continue lifting you to a higher level, more grace,favour and anointing man of God, much love from this side for blessing our lives with powerful worship🙏🙏❤❤
Kaa c wewe Bwana cruise ñingekuwa wapi mm❤❤ I love this song
Mungu ndo amefanya ady nk hai
Kwa huu wimbo najikuta nalia tyuuuu aina Cha kumwambia mungu wangu zaid ya Asante mana Kwa nilikotoka mpaka Sasa naheshimiwa mm mnyalu wa kijijini ndani hko nan angenijua mm eeee Yesu 😢😢😢😢😢😢😢😢 asante
Amen and amen and amen siku zote za maisha yangu hallelujah hallelujah yesu wangu 🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Sylvia ndio bwana kama sio wewe mm sijui ♥️❤️🙌 maana mipango ya adui ilikuwa nikunitoa uhai😭😭 nashukuru mungu neema yako na huruma zako nyingi pokea sifa baba🙌🙌🙏♥️
Amen amen 🙏
Amen 🙌🙏🙏🙏🙌🙏🙌
Thank you for praise and worship may God blessed you l'm a Ugandan but l love your praise and worship
Hallelujah
Kama sio wewe yesu ningekua nilizikwa hai na maandui wangu🙏 Yesu asante kwa kunilinda kwa mabawa yako🙏🙏🙏 nakutegemea maisha yangu yote.
🎉
Mtumishi wa mungu unafanya kazi nzuri sana,mungu akuinue,akupe nguvu na aitunze afya yako 🎉🎉🎉
Much love God bless you,,,,,,every morning this songs they bless my heart
Amen Amen, we're nothing without God, ❤❤
Amen amen 🙏
Kama sio wewe yesu ningekuwa wapi mimi? Nalia nikijiuliza hili swali.. Ninapo andika hivi sasa nalia.. Nikikumbuka mahali yesu umenitoa.. Machozi yanitoka kama maji😭 Yesu asante kwa upendo wako na rehema zako🙏🙏
Amina maaanabila neema ya mungu Leo mm ningekua wap
Amen amen 🙏
Amen thank you lord for saving my life and reversing the shame back to the sender,thank you for loving me and fighting for me always father
Hallelujah
Amen amen 🙏
Amen 🙏
oh yes lord 🙌🏻 we exalt you king of Glory 🙏🏻🙏🏻❤️
Moyo wanguuuu moyo wanguuuu 😭😭😭😥😥 nakuomba ck zote mwimbie Bwana 🙏🙏🙏😭🙏😭😭😭😭😭 Asante YESU 🙏 watunze watu hawa mana kupitia sifa na maabudu wakikutukuza wewe tunatiwa nguvu mpya nguvu Yako ndani iliopotea inarudi tutapata nguvu mpya 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
I say a billion amen for your agape love for me and my household almighty God bigger thanks I will forever love you shalom beloved God bless you more and more
Hallelujah Hallelujah 🙌
He saved me when was attacked by thieves He's mighty
Tunaohitaji arudie kupandisha UA-cam wimbo wa Amenifanyia amani, mfalme wa amani, na Wamaana tujuane hapa likes zenu tafadhali 😁😁🥰😍
amen
“'If it had not been the LORD who was on our side,' Let Israel now say - 'If it had not been the LORD who was on our side, when men rose up against us, then they would have swallowed us alive, when their wrath was kindled against us; then the waters would have overwhelmed us, the stream would have gone over our soul; ...
Amen amen 🙏
Waiting
Hallelujah Hallelujah moyo wangu nwabudu bwana
Hallelujah Hallelujah
Kama sio wewe Bwana YESU wachawi wangenimaliza
Nasema asante kwa kunishikilia pamoja na watoto wangu.
Leo nashagilia ushindi nikisema
KAMA SIO WEWE Ningekuwa wapi??
Hallelujah 🙏🙏
Amen amen 🙏
Hallelujah,hallelujah,MOYO WANGU NAKUOMBA SIKU ZOTE MWIMBIE BWANA,USIOGOPE MOYO WANGU.Even if i go through storm,s/trials/fire,i know all these wont last forever, i count it all joy.I believe one day i will come out with apowerful testimony,as Avictor, and stronger.It's only you ALMIGHTY GOD who has the final say.(PHILIPPIANS 4:6_7), (2 THESSALONIANS 3:3).Remember serving the LORD is not in vain (1CORINTHIANS 15: 58),🙏🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Amen very powerful be blessed 🙏🙏🙏🙏
Amen amen
Hakika kama si wewe baba yangu ningekuwa wapi mimi maadui wamenizingira kila wakati lakini neema yako inatosha mimi kuwa hai Asante jehovah🙏🙏🙏🙏
Kama sio wewe baba ngekua wapiy mimi 😢😢😢😢😢😢thank u
Hallelujah
Amen 🙏🙏
Wow another hit
Amen amen
Ningekua wapi Yesu Wangu kama Sio wewe
Asante mungu wangu kwa kuniongoza katika maisha yangu kama sio ww cjui ngekua wap mm
Mniombee napitia mambo mengi sana.
Good news In Jesus mighty name
Powerfu l🙌🙌🙌 be blessed minister🙏🙌🙏❤
Amen amen 🙏
Amen amen amen amen
Hallelujah 👏 👏 👏 kama sio wewe Bwana 😢😢😢woi asante kwa matendo makuu Mungu
Hakika kama si yesu ningekua wapii adonai,uimidhiwe milele bwana.Amen.
Kama sio wewe Mungu ningekuwa wapi🎙️
Hallelujah
Kama si wewe ningrkua wapy mungu wangu thanks for everything ❤in my life
Be blessed❤
Please 🙏 🙏dear Lord protect me and my family my God help 🙏 my father &mummy 😢😢😢😢😢😢😢😢God God God
i will praise my God forever
Amen amen 🙏
God above all,Amen.
Hallelujah moyo wangu siku zote mwimbie bwana milele siku zote za maisha yangu hallelujah yesu wangu 😭😭😭
May God bless you
Mungu siku zote utabaki kuwa mungu milele ata milele umenitoa mbali jina lako litukuzwe
Asante sana kwa wimbo mutamu, kweli asingelikuwa Mungu ningelikuwa wapi !
Indeed it's only GOD,if it wasn't for him I'm sure by now I would be paying even for the breath, let's all of us say kama sio wewe YESU🙏🙏
Hallelujah thanks dear Lord kama sio ww ningeisha kitambo sanaaaa
Andae meza mbele ya watezi wetu. Kama sio wewe Bwana ningekuwa wapi😢😢
Be glorified always 🙌🙌
Amen amen Yesu na mimi usinipite ubalikiwe sana mutumishi wa mungu
Here I am Lord 😢😢😢😢 thanks for giving me another chance to live 🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌
God bless 🙏 you Danybless and prosperity be your portion,may you increase more spiritually,in believe there is one person who's their heart is converted and so the heaven is rejoicing someone confesses salvation.AMEN
Kama sio wewe baba mimi sijui ningekuwa wapi au ningeitwa nani leo, nakushukuru kwa upendo, neema na rehema zako yesu🙌🙏🙏
Kama sio wewe sijui kama ningelikua hai,ningekua nanuka uvundo nisingelikua na jina.sina Cha kukulipa ila nakupa nafsi yangu na sifa Daddy
Thank you, LORD JESUS
Hallelujah Hallelujah GLORY to OUR MOST HIGH GOD
Hakika wewe ni Mungu umenitoa mbali sana YESU bila wewe Mimi sikitu siwezi enda hata hatua moja mbele😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏naomba ongezeko la Imani kutoka kwako
Huu wimbo umenikumbusha mbali sana mana bila mungu 2021 nisingelikuwa hapa duniani ubarikiwe mtumishi wamungu kwahuu wimboo nawapenda sana mungu awabariki🎉🎉🎉🎉❤
Amina, mtumishi. Yaani sina la kusema.
Yesu asante kwa upendo unaweza baba tena unatosha
Hakuna wa kufanana na Yesu 🙌
Kama sio wewe ningekua wapi mimi 🔥🔥🔥 Mungu wa Rehema 🙏🙏🙏🙏
Amen amen asante bwana Kwa kuniokoa🙌🙌🙏❤️❤️
Haleluyha 🙏🙏🙌🙌🙌
This boy sat for his kcpe exams at katilu primary...he started just singing in the assemblies...leading ppi in school then he was made school pastor...kumbe Mungu hakumsahahu....Amen Mungu nikumbuke pia nami
Amen 🙏 moyo wangu nakuomba siku zote mwimbie bwana 😢, umenitoa bali sana mungu🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Ubarikiwe sana❤
Ooh God have seen your hand all through if not for you i will be nothing, am grateful God
kweli kama si ww Mungu ningekuwa pabaya.
Glory be to God 🙏🙏
Hallelujah shallom 🤲🧎🧎🧎 thnk you Lord kama sio weweMungu sjui Leo hii ningesema nn pokea sifa milele na milele 🙏🙏🙏
Nko hpa tena mungu wangu wasadie nimalize hii safari nirudi Kenya 🇰🇪🇰🇪kiwa mzima
Am here today flesh and blood because of his grace God am grateful father
Indeed God is good all the time thank you Lord for your protection 🙏🙏
Asante Yesu akika kama sio ww sijui kama nigefika hapa nilipo.sifa na utukufu nakurudishia were baba Yesu.
Hallelujah glory to God kama si wewe mungu mimi singekuwa hai Sahi ningekuwa nilisaulika kitambo ni mengi nimepitia lakini mungu ni mwema na haezi Wacha watu wake wauliwe.may God bless you Danny Blessing song zako hunibariki sana mi pia kwa church yetu ni muimbaji na ninashukuru mungu kwa hicho kipawa cha uimbayi
Mungu akupe maisha marefu Mtumishi wa mungu
Kama si ww mungu mangu ninge kuwa wapi Leo yesu
Kama sio wewe mungu baba ningeuwawa kwa sumu, nakuaminia mola zidi kunisingira na damu ya mwanao yesu kristo
Kama sio wewe Bwana sijui ningekua wapi asante Mungu wangu kwa upendo wako mkuu umenifanyia mengi asante Mungu wangu 🙏
Hakika ni wewe Mungu umenishika hapa nilipo ni ww baba yangu wa mbinguni ,Kule umenitoa natambua🙏🙏
Nabalikiwa sana nikickiliza nyimbo izo
Amina😭🙏🙏
Angalia baba kwa umbali umenitoa hakika naapa kwamba hakuna wa kufanana nawe🙌🙏nimejawa na rehema tele, ama kweli moyo wangu siku zote utakwimbia Bwana ❤❤❤
Amen 🙏 am nothing without you lord 🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Asante mungu
Nashukuru mungu kwa umbali huu na Kule pia anako nipeleka. Ameniepusha na mengi amenitetea sana isingelikuwa ni yenye nisingelikuepo nitamtumikia ingali niko hai❤❤