🚨 Uchambuzi Crownfm, Mapya Yaibuka inshu ya Aziz ki,Zandani kaanza safari kurudi dar es Salaam.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лип 2024
  • #arsenal #arsenalfc #football #liverpool #manchesterunited #simba #simbasc #soccer #yanga #yangaleo

КОМЕНТАРІ • 25

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 26 днів тому +3

    TIMU ZA AFRICA HAZINA UWEZO WA KUMSAJIRI AZIZI KI ISIPOKUWA YANGA

  • @MusaManyilima
    @MusaManyilima 26 днів тому

    Kwani huyo azz ni mungu aende tu kwao au kwetu

  • @godfreykibaha4441
    @godfreykibaha4441 26 днів тому

    Deal done, Stephen ni Mwananchi

  • @user-vy9oq7gq9d
    @user-vy9oq7gq9d 26 днів тому +2

    Yani kiukweli wana simba wenzangu tujiandae maana naona kama tabu iko palepale

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 26 днів тому

    Wachambuzi acheni uongo. ...km hamna taarifa sahihi kaeni kimyaaa

  • @user-ht5vo2em4f
    @user-ht5vo2em4f 25 днів тому

    Niny uto hamjitambui niny umewezaje mpaka Simba washindwa huyo AZZ ki atakuja ,,,,,,,

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 26 днів тому

    Mmezidi umbea

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 26 днів тому

    Waongo nyinyi

  • @AllyAthumani-xy4xf
    @AllyAthumani-xy4xf 26 днів тому

    katika watangazaji wakweli nyinyi mmenyooka

  • @Ba63828
    @Ba63828 26 днів тому

    Umepatia mchambuzi: UPENDO FURAHA MUHIMU

  • @Vedsastomutalemwa1980
    @Vedsastomutalemwa1980 26 днів тому

    Belozdad alitoa ofa tangia mwezi wa 6 wala sio Jana.

  • @user-vy9oq7gq9d
    @user-vy9oq7gq9d 26 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 26 днів тому

    Wwe ni mchambuz mandaz k azzi amesha ondoka

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 26 днів тому

    Aziz ki ameshaondoka kweda wapi? zaidi ya kwenda Yanga?

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 26 днів тому

    WAAMDISHI ISHINI KWA" FACT" MSIISHI KWA" SPECULATION" WENYE "D2 TUTAWADHARAU SANA

  • @AyatollahMustafa
    @AyatollahMustafa 26 днів тому

    Kwahyo mtu akipongeza ujio wa mchezaji ndo inamaanisha atabaki hata mayele alikua kipenzi cha yanga aliishi kama mfalme ila nini kilitokea kueni na kumbukumbu acheni kuchambua kwa ubunifu wenu

  • @ZakiaMgabo
    @ZakiaMgabo 26 днів тому

    Ende tu mpiran n biashara

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 26 днів тому

    Kwa taarifa yako mwanamichezo, Eng.Hersi anampadisha chart ila Anasaini yanga na MO hamhitaji Azizi Ki kwa dau lolote

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 26 днів тому

    NYIE WACHAMBUZI ni UJINGA WENU WA KUFIKIRI

  • @user-up4kd4di7h
    @user-up4kd4di7h 26 днів тому +1

    Acheni akatsfute maisha

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 26 днів тому +1

      Ndo yupo njiani kuelekea Egypt kujiunga na akina deborah

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 26 днів тому

    Acheni uongo hiyo offer fake nilioona mshahara siyo dola laki 4 hiyo ni pesa ya kusani tu mshahara ni dola 20, 000 mnatangaza vitu hata uongo wenyewe unakua na uongo ndani yake sijui mmesoma wapi uandishi KI KSAINI ZAMANI MPAKA LEO KI ANA SIKU 16 MTU YUKO FREE AJENT ANAKOSAJE TIMU MAFISI WANGEKUA WASHAMPITIA

  • @AliUsi-ms4bm
    @AliUsi-ms4bm 26 днів тому

    Nyinyi mnaweka akili ya mafanikio tu, hamuangalii Kuna na bahati mbaya ya kufeli, Kuna kuumia na mengineyo, ? Uchambuzi gn huo unaoangalia mafanikio tuu?

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 26 днів тому +4

    Makolon hawana ubavu wa kimsajili hiyu dogo....wanatafuta mlango wa kutokea ilii wapte viewers