SALAMBA: CAF YAIPENYEZA YANGA KIBABE TOP 10 LIGI MABINGWA AFRIKA/ APEWA VIBONDE NJIA NYEUPE NUSU..
Вставка
- Опубліковано 14 жов 2024
- #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #TIGO #PESA #chama #pacome #caf
MWENYEZI MUNGU AIBARIKI TIMU YETU,AMEN 🙏🙏🙏.
Asante. Sana. Salamba. TV. Mimi. Huwaga. Na. Kuelewa. Sana. Maana. Hapa. Kwetu. Kuna. Wachambuzi. Na. Wachafuzi. Wa. Soka. La. Tanzania. Hongera. Sana. Kaka. Salamba
🎉🎉
Kizuri kinaonekana😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Timu zipo kwenye nafasi kulingana na point alizokusanya caf
Salamba wewe ni mchambuzi wa mpira lakini wengine ni wachafuzi wa mpira hongera sana
Yes, ni kwa viwango vya juu 🦾
Domic Salamba tumekumic sana, we ni chambuzi la ukweli.
Hizo gemu zote nyepesi hao vital,o komesho Bank, sc villa watafungwa na kikosi cha pili
Nilimwamini Sana huyu mchambuzi England anacheA Fainal Uro kwa sababu kapita njia ya vibonde
Yanga wana point chache ndio maana wanaanzia awali wanakutana na vibonde wenzao
Unapata wapi nguvu we mtu wa nafasi ya tatu? Au ni furaha ya usajili? Subili ligi ianze usianze ohoo Mangungu aondoke mara ohoi! Gsm anadhamini vilabu saba mara Ohio! Wachezaji wameuza mech
@@sweetbertrwiza5982 kwani unàtuzidi nini labda kuloga wachezaji wa simba na kununua mechi
ACHA wivu choko
KAMA WAMEIBE NO KUFICHA AIBU WALIOTUFANYIA KWA MAMELODY
Kingoni icho bwana