Yeah...Tanzania wanawake wamepewa nguvu na hii scene ina fundisho la kwamba udhalilishaji sio kwa wanawake tu hata kwa wanaume...Ni sheria za kiyahudi kabisa...**Mdada leo akienda tu Police akisema umemtishia kupiga au umempiga ndo hapo hapo ushanyea ndooni**...Upuuzi mtupu...
Asante time kachara muungu yupo pamoja na nyi ameen
Huu ujumbe umekuja pahala pake
Naomba huu ujumbe uwafikie watu wote
Wanawke ujumbe uwafikie uo.
Kwakweli serekali imetudhalilisha sn. Kwakesi hz
Dah hapa pana la kujivunza kweli
heshima kwako kachara
Mashaa Allah mafunzo makubwa tumepatq
Pemba kuna wasanii wengi ila kachara ni mmoja tu.
Like. 3 tuuu zinanitosha
Kijuso ama kikinda chapunda em aloskia apa 2juane kwa like
😆😆😆😆
Watatuuwa hawa. Mana wamfanya kichakaa si kidogo
Kachara bn mambo funika
ujumbe umefika ndipo wajibu kuufanyia kazi
Yeah...Tanzania wanawake wamepewa nguvu na hii scene ina fundisho la kwamba udhalilishaji sio kwa wanawake tu hata kwa wanaume...Ni sheria za kiyahudi kabisa...**Mdada leo akienda tu Police akisema umemtishia kupiga au umempiga ndo hapo hapo ushanyea ndooni**...Upuuzi mtupu...
Hakika huu ujumbe uko poa Sana 🥰💯💪💪💪
Dah !!"Uso mwembamba kama makali ya kisu"
Mafunzooo ya ukwelii kabisaa
🤣🤣🤣 Maguo bado kidogo apelekwe jela
Ongera kachara 100% 🇰🇪👍
Funzo tosha kwa ambao wanatufanyia mambo kama haya
" cha tumbi na tumbi ikuche" hapa cjatoboa
Aaaahhh...eti kijuso kama kikinda cha punda..🤣😃😂😄...kachara yee, punguza maneno makali
Exactly, Masha Allah
❤❤🎉🎉🎉🎉
Wallhah mimi ni mwanamke lakini sasa hivi suala la kumbambikiza mtu eti kumbakwa ni kweli tumefanya ni biyashara
Kumbe mnajua eeh...!!
Uhakika
🤣🤣😂 kachara bwana!
Hatar sana
Sms send
Kijus km punda