.Uuuuiii.nafunga kwa maombi..LISA NA ALVIN warudiane.you can fight destiny but you cant change destiny.je,lisa atakapojua ukweli kwamba kelvin ndio alichukua picha kwa siri atamsamehea licha ya kujifanya mkombozi wake?... i miss Alvin and lisa together...kwa hayo karibuni kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 niwaonyeshe kwa ALVIN
Ivi Alvin anamtaka nn lisa jmni😂😂😂😂mbna anakua mkorofi zaidi sema kumpenda kwa sna ila hataki kujishusha... Alvin shindweeeeeee lol😅 ivi mshajua km Alvin haezi ishi bila lisaaa mnaokubaliana namm niwaone apa...daaaah kiboko
Jaman kumbe tuko wengi?? Mwenyewe nimefurahi sana tuombe mwandishi apindishe pindishe maneno Ili Waoane jamani😊❤❤❤ penda sana hii mishe Jomba wajo chukua hiyo zawadi 🍬💐🤸🤣
me adi naogopa kusikiliza koz I don't want disappointment anymore ...alvilisa wetu 😢❤❤we love you tulikesha tukiomba mpatane na alvini 😂😂😂😂ankojay we love you
Jaman tunaotaman Alvilisa warudiane gongen like tujuane ❤❤ maana story hainog bila umoja wa wale watu wawili😍😍 asante ankojay kwa muendelezo 🎉🎉🎉
Lisa na Alvin wakiwa pamoja hata kama wanagombana simulizi inakuwa tamu lakn wakitengana simulizi inaboa
Shukran sana Anko J.wetu
Kwa kweli Alvin na lisa walipo achana nilikereka sana (hadi simulizi ikawa bored❤❤
Karibuni karibuni sanaaa familia ya uncle JJ nchini Kenya karibuni yumbani twasubiri vibwanga vya Lisa na Alivn hapo mjini Nairobi❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Tunawakaribisha sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with Love ♥️♥️♥️
Mm ataa cmpendi tena nichukizo kwa kweli anapenda majivuno nazarau na kumzalilishaa
😂😊😅😅😅
Jamani timu Lisa oyeeeeeeeee nampenda sana Lisa kiukweli nataman waowane na Alven wawe Mme na mke
Team Lisa and Alvin piga kelele oyoooooo ❤❤❤❤❤❤❤❤
Oyooo
Oyoooooo
Nimefurah walipokutana 😊😊😊
Oyooo😅
Oyooooo
Maombi kwa team Lisa na Alvin waoane
Kwa kweli hata Mimi ningefurahi saana aisee
Team Lisa na Alvin mambo ni 🔥🔥🔥 Hakika Anko jay asante kwa mwendelezo 🙏 tunakupenda sana ❤❤🎉
Asante Anko jay upewe mauwa yako afazali warudiana maana imekuwa imeshaanza kutubowa Alvilisa forever ❤❤❤❤❤❤❤
Wanao amini Lisa kukutana n'a Alvin tujuan jamani💃💃🎉🎉❤❤❤
.Uuuuiii.nafunga kwa maombi..LISA NA ALVIN warudiane.you can fight destiny but you cant change destiny.je,lisa atakapojua ukweli kwamba kelvin ndio alichukua picha kwa siri atamsamehea licha ya kujifanya mkombozi wake?... i miss Alvin and lisa together...kwa hayo karibuni kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 niwaonyeshe kwa ALVIN
WAKARIBIE JIJI ILA WASIENDE BNB UKO HAKUNA USALAMA NA WAENDE HILLTON HOTEL WATAMPATA ALVIN
@@RHODAHWAMBUA-k7iwapee tahadhari kwa kweli maana BNB Ni kubaya
😂😂😂😂Asante tushamuona
😂😂😂😂😂😂 mbona utuonyeshe kwa alvin 😅 kumbe mko mtaa mmoja mwaishi jirani!!!
@@NeemaLugoye 🤣🤣🤣🤣mshikaji
Leo Anko j ametukumbuka asubuhi asubuhi 😅 nlivochekelea sasa utafikiri chizi kaona jalala jipya..Be blessed Anko
Pendo ni la mungu alivin hapenda Lisa ndiyo hanamuweka karibu
Timu LISA LIKE 10 ili tujuwe itakuwaje huko MOMBASA watakujana na MR ALVIN ✌️✌️✌️✌️MAMBO BADO NI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂natamani ningeiyona iy couple ya Alvin na Lisa live❤
Duuh watu mshaniwai jmn Mambo 🔥🔥🔥🇴🇲❤️ Asante sana mjomba wajo shukrani zako zikifukie Ahasante sana anko jay kwamwendelezo wa Lisa ❤❤❤❤❤🎉
hila jamani Alvin na Lisa Wananifa nicheke mpaka bac nawapenda mm jamani wanapenda mpaka bac nimefurhi mnooooooo ww kaka ni noma 😅😅😅😅
Tupo team gulf ❤❤❤❤karibu 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Mnaosubiri penzi la Lisa na alvin kwaham kubwa tujuwa plez🌷
Wow kazi nzuri kaka,listening from Kenya,much ❤
Welcome to Nairobi my capital city🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimefurahi sana
Ok
Ivi Alvin anamtaka nn lisa jmni😂😂😂😂mbna anakua mkorofi zaidi sema kumpenda kwa sna ila hataki kujishusha... Alvin shindweeeeeee lol😅 ivi mshajua km Alvin haezi ishi bila lisaaa mnaokubaliana namm niwaone apa...daaaah kiboko
Mkatili sana jamn,hana ubinadamu kbs
Team Lisa and alvin naombeni like zangu plz
Kama kawa kama dawa 254
Chukua hizo ni zako 😂😂
Mamb kwenda mbele tu🎉🎉🎉🎉🎉
Mambo zenu team Lisa and Alvin mikono 🤚🤚
Tuko hapa
❤❤❤❤ tunakupenda anko j sana ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 tukupe mauwa yako🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Wow nilikua naisubiri kwahamu simulizi nzuri ❤❤❤❤
Woooow asante sana anko Jay nafuraha sana kuisikiliza lisa❤❤❤❤❤❤❤😊😊
Leo mapema anko wetu 🥳🥳🥳
😂😂😂 napenda sana vita ya Lisa na Alvin wana vutuko sana wakikutana
Asante sana Anko J kwa kuyafanya maisha yetu kuchangamka. Simulizi ya Lisa ndiyo kiboko Yao. Hongera!
assante sana anko jay mungu akupe maisha marefu from burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Naisubiri san hiyo ❤🎉12
Nimezoea kusikiliza binti lisa sitamani kusikiliza simulizi zingine naipenda sana ❤❤❤
Mara yangu ya nne kuskiza hii simulizi nitamu❤❤❤❤❤❤
Alvin na lis wana vituko😂😂😂 hawaaa
Asante sana ankojay Allah akupe umri mrefu
❤❤nimefika 😂😂😂mm bora Lisa na Alvin waowane khalas. hayo mengine silazima🤣🤣🤣🙈
Alivin zooji Lisa miamia zeni maffi mushkila wallah baden bet fii heluwa maarah khalas shughuli
Wakwanza Leo ❤❤❤sante ankojay
Yan nimechelia kwakweli 🤭 lakini siosana Acha ni 🪑🎧 niinjoi AnkoJay ahsante Mungu akumbaliki sana 🙏
Mmmm karibu jiji
Wakwanza ❤❤❤❤
Waaah nimewahi Sasa, anko Asante sana
Ank j unatishaa banaa nakukubali mim ❤❤
Simulizi tamu sana ❤❤tupe part 12 tafadhali ankojay yaani nimependa sana simulizi hii ya lisa na alivin
Leo wadau mumenwai bt nko nanyi kamwe stbki nyuma
Karbu san anko jey 🇰🇪 jiisi uko nyumbni🎉🎉
Mapema ndio best ❤
Wakwanza anko j nipen like zangu
Anko Jay good job 👍 hii Binti Lisa isiishe ni tamu Sana, ifike part 100
Hapa ssa ni kitazi Lisa na dada jamani hii kali❤❤❤ part 12
Jaman hata naogopa kwa ajili ya lisa
karibu Nairobi Lisa,, tunakusikiza❤🎉🎉
Mapenzi shikamoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂simulizi tamu kweli kweli Ankojay inaonaje kesho uturushie kipande kingine plz😢😢😢❤❤❤
Anko jay asante sana kutuma lisa na alvn ❤❤❤❤❤❤🤔🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏👍
Upo kenya upande gany rose❤🎉
Umejua kutukosha sana cku ya leo❤❤❤ pamoja sana
Duuuh ank Jay tunaomba Basi ujitahidi kuitowa Lisa kipande Cha 12 kesho . mapema
Thanks anko ❤ naomben like zenu jmn no 1 today
Jamani hatuambiani nashika simu tu nakutana na mzigo huu💃💃🎉🎉🎉❤❤❤
Nitafrahi sana siku watakayo. Peana utam jamani naisubili kwahamu hiyo siku, hatal
❤Alvin na Lisa wanaendana sana.
Haya karbn kwetu sasa 🇰🇪🇰🇪😂😂kiroh safi 😊😊
Mm cmpendi tena Alvin kwa kweli nichukizo ataa😂😂😂😂😂
Anko j tunaomba kila siku utuleee hii simulizi maana nzuri sanaaa
Mambo ni fire
Anko j chukuwa 🎉🎉🎉 yako nakupenda sana❤
Waooo nimewahi jamani asante sn ❤❤❤❤
Ankojay nakupenda sn ❤❤❤
Asante sana anko we really adore your work and you MAY GOD BLESS YOU ABOUNDLY
One❤pamoja anko j wetu tunakupenda
Still number one again my friend's 🎉
Mimi wakwanza from burundi
Nimefurai hatimae Alvin na Lisa sio Kaka na dada🎉🎉🎉🎉
Kama mm hapa nimefurahi
Umeoaneeeeee
Jana nlikuwa naskia kuliahaswa😂😂😂Ila leo mambo pambeee mambo bambam🎉🎉🎉
Jaman kumbe tuko wengi?? Mwenyewe nimefurahi sana tuombe mwandishi apindishe pindishe maneno Ili Waoane jamani😊❤❤❤ penda sana hii mishe Jomba wajo chukua hiyo zawadi 🍬💐🤸🤣
Wow mapema ndo best ❤❤,, Shukran za dhati ankojay ❤ ❤ much love be blessed 🙏 🙏 ❤
Aya wakenya tumeshafika kenya muelekezini anko asije akapotea😂😂😂😂
Ngoja vkaumane 😂😂😂😂❤
Nmefika jameni🎉🎉🎉🎉
Wawoooo nakupenda sana anko
Leo nimewahi🎉🎉🎉🎉
Asant Ankojay mungu akubariki mana unatufanya kuwa wachangamfu kwenye hizi nyumba za warabu
Alvilisa em mtie Lisa bana mi mbona karb uvumilivu unanishinda 😂team strong mnisamehee 😂😂😂
😂😂😂
😂😂🖐
😂😂😂😂
❤❤❤❤🎉🎉🎉 anko j tunasubiri 12 kwa hamu
Aki lisa 😢but am glad Alvlisa ako na wewe
Welcome to Nairobi Anko Jay. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love from Saudi Arabia..❤❤❤🎉🎉
tumekutana na kikwazo chengine mama wakambo tutammudu tu💣
Naomba ata like na mimi leo wapendwa❤❤❤❤
❤❤❤ lisa
Jamani mtuzi wa hisimuliz hongera sana shukrani sana sana anko jei jmn hisimuliz zur mno dah love you inko jei
Piga kazi anko wangu, usikate tamaa❤❤❤
me adi naogopa kusikiliza koz I don't want disappointment anymore ...alvilisa wetu 😢❤❤we love you tulikesha tukiomba mpatane na alvini 😂😂😂😂ankojay we love you
Tumerudia kwenye marumbano yetu japo lisa aliachika kwa alvilissa lakin wamekutan ten kesh napend marumbano yao ❤❤❤❤❤❤❤ongera sana anko jay
Habari zenu wapendwa wa ankojay mko powa 🎉🎉🎉🎉🎉nawapenda ❤❤❤❤❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nairobi pap karibu anko J
Melanie kazi unayo dear you moyo anaeuweza ni Lisa tuu ila wewe shoo zitakuponza
Wow Asante kwa kutuletea alvlisa na Asubuhi ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Anko tumalizie lis hatutak simuliz nnyengine😂😂😂😂😂
Waooohh asantee sanaaa kipenzi Cha watu anko we love you ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wanyanduane bwana khaa😊
😂😂😂😂
Itawezekana tena kweli na hivyo vimbwanga vya hiyo familia mpya?
Hata kama mimi ndo wa mwisho naombeni like jameni🎉🎉
WAKWANZA LEO MABIBI HARUSI W ALVIN TUULIKE HAPA
Tuko pamoja timu lisa na alvin nashukuru sanaa tupo we
Waaaa hii simulizi nitamu kweli lisa karibu sana kenya🇰🇪 thanks anko jay more love from saudi 🇸🇦
Karibu sana Kenyan my country 🇰🇪🇰🇪❤❤❤ tukopamoja 🙏🏾 san
Ee leo nimejitahidi jmn like wa 82 coment wa 76 najipa maua yangu mwenyewe 🎉🎉🎉🎉 na hongereni wahusika kutuletea burudani
Wakenya tumefikiwa,,karibun i jirani ,🇰🇪🤸🤸🤸
Karibuni Kenya wa Tanzania wenzangu,❤❤❤❤, mwenyeji wenu nipo hapa🎉🎉🎉
Yani hii simlizi haishi utamu msimliaji na mwandishi nyete mkosawa mungu awabariki sana