BINTI LISA - PART 14

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 788

  • @Shadia544
    @Shadia544 8 місяців тому +119

    😂😂😂 Humu ndani duuh maana mlimmis sanaaaaaa LISA & ALVIN 😂😂maana lichungulia mpaka 😂😂 HAYA TIMU LISA LIKE 10 ILI TUJUANE 🔥🔥✌️✌️✌️

    • @girukwishakaclaudine5374
      @girukwishakaclaudine5374 8 місяців тому +3

      😂nikama Mimi 😅😂🤣💐

    • @JozeFeeen
      @JozeFeeen 8 місяців тому +1

      Wew Anko njey mm paka mwalabu kana sikiliza kutoka oman

    • @Shadia544
      @Shadia544 8 місяців тому

      @@girukwishakaclaudine5374 🤣🤣🤣🤣tupo wengi jamaniii 🤣🤣🤣

    • @Shadia544
      @Shadia544 8 місяців тому

      @@JozeFeeen waarabu huyo jamaniii 🤣🤣🤣🇴🇲🇴🇲🇴🇲wi-fi tena ya kwake🤣🤣🤣

    • @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
      @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r 8 місяців тому +1

      Kama watu wanavunjwa mikono ni noma SANA Lisa kipenzi cha Alvin kweli ALVIN kapenda kweli kweli 😢

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq 8 місяців тому +54

    Na mm wakwanza leo team Alvilisa naombeni like zenu 😢❤❤❤❤

  • @AsteriaMboya
    @AsteriaMboya 8 місяців тому +30

    Njoon huku nyie, timu Alvlisa njooni huku jamani uuuuwiiii ❤❤❤❤❤❤

  • @Rukiakimario
    @Rukiakimario 8 місяців тому +5

    Pole sana Lisa Kwa msukosuko,ila unamwonea kipenzi chako Alvin,Mimi napenda Bora waowane Wawa komeshe hawo chawa.🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 8 місяців тому +50

    My goodness 6 minutes ,na watu wamesha jazana jamani taratibu tusikanyagane ❤❤❤❤❤😂😂 gonga like basi

    • @aminaauthman1217
      @aminaauthman1217 8 місяців тому

      😂😂😂😂😂

    • @nurianaramadhan
      @nurianaramadhan 8 місяців тому +1

      Watu walikua hapa tangu 3 seconds 😂😂😂😂😂😂

    • @umi-je4qm
      @umi-je4qm 8 місяців тому +1

      Hujiw kama tunakaga kwakusubiri😅

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 8 місяців тому

      ​​@@nurianaramadhan watu warikuwa wanahamu na simulizi yenyewe ndo inaanza kunoga kama vile inaanza vile😅😅😅😅

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 8 місяців тому

      ​@@umi-je4qmamakweri turikuwa tunayi miss sana😅😅😅

  • @vivianengurinzira3626
    @vivianengurinzira3626 8 місяців тому +24

    Hata Burundi tunapenda Alvin amuoe Lissa Jamani

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 8 місяців тому +50

    Yan nimechelia kwakweli 🤭 lakini siosana Acha ni 🪑🎧 family Lisa wetu like zen jameni alafu tuinjoi sana AnkoJay ahsante ❤❤

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 8 місяців тому +42

    Nimekua wamwisho leo😢😢😢 nipeni likes bax atayakufuta machozi

  • @mildredalivitsa1186
    @mildredalivitsa1186 8 місяців тому +16

    Pongezi Bawana Alivilisa Kwa ujasiri wako Na kusimama na lisa kila wakati nimejifunza kitu Kwa hii simulizi ❤❤ from Kenya Nairobi ❤❤❤

  • @soldd-xz5ue
    @soldd-xz5ue 8 місяців тому +22

    Safi Sana ALVIN LISA PONGEZI YENU, 🌹🌹❤️❤️❤️

  • @jazilasaidi6055
    @jazilasaidi6055 8 місяців тому +18

    Timu alvilisa♥️♥️🔥

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 8 місяців тому +19

    Yaani Lisa ukidhubutu kumuach Alvin kimaro ntakuchukia hadi kuzimu. Shukran Mr jay kwa muendelezo wa simulizi tamu ❤❤❤

    • @MillyAbduly
      @MillyAbduly 8 місяців тому +2

      Sio ww tu hata mm nitamchukia hata nikikutan nae njian ntamzibua

    • @monicagerald6676
      @monicagerald6676 8 місяців тому

      Imenibidi nije kwenye hii comment baada ya kufika sehemu ya 20 anavyoteswa na Alvin, memories zinatesa sana. Alimfanya ampende sana halafu amekuja kumtesa.

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 8 місяців тому +11

    Tutafika mwisho.wa.simulizi kama tumechoka sana.😂😂😂hapa kisasi cha linnah kwa lissa na Alvin bado hakijaanza .duuh huu ni utamu usio kifani.big ❤❤❤ tu Anko j simulizi family.

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 8 місяців тому

      Lina hawezani nao atakuja kuishiya gerezani, mwanzo aritorewa meno akisubutu tena kufatilia lisa atajijuwa 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @RevocatNduwimana
    @RevocatNduwimana 8 місяців тому +5

    Alvilisa basi nawapenda muwowane mulete part 15

  • @NeemaLugoye
    @NeemaLugoye 8 місяців тому +9

    Nazidi kumpenda alvin japokua Lissa hana imani nae kutokana na tabia zake za mwanzo. Ila tangu mwanzo hawa watu wanapenda. Na ninawaombea Waoane waishi kwa amani nawapenda sana hawa watu 👌 Anko jay kazi nzur sana pamoja na mwandishi wako Mungu azid kuwatunza💐

  • @mwajumasimai2165
    @mwajumasimai2165 8 місяців тому +12

    Ankojay sehemu ya 15 tunaomba usicheleweshe❤ kwani inakuwa roho juu❤❤🎉❤

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 8 місяців тому +14

    Na Burundi tunataka Alvin amuowe Lisa.🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @janethsambu1723
    @janethsambu1723 8 місяців тому +15

    Lastborn ndo naingia kuzila tuu kidogo kurud nakuta mzigo tayar😂😂😂

  • @faizajumwa4696
    @faizajumwa4696 8 місяців тому +15

    Jamani jamani. Lisa. Hayakaribu tukusikize🙏😘😘❤,,,

  • @ntihebuwayotaty162
    @ntihebuwayotaty162 8 місяців тому +25

    Anko jay tunashukuru kwa mzigo Kaka, Allah abariki kazi Yako from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Remsyjay482
    @Remsyjay482 8 місяців тому +17

    Haloo hatulali huku asante anko kwa simulizi tamu❤❤

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 8 місяців тому +14

    Story nzuri sana lisa na alvn

  • @RosyAshy
    @RosyAshy 8 місяців тому +13

    Ndo naingia sasa, 😂 lakini sijachelewa saana🇰🇪🇰🇪

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 8 місяців тому +35

    😂😂😂😂weee!huyo mwanamke atakaye kuhonga ukaacha kutusimulia tutampiga ngumi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 8 місяців тому +2

      😂😂😂😂😂😂😂 kweri kabisa ajipange eti atahonga hata simulizi zote😂😂😂😂

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 8 місяців тому +3

      😂😂😂😂😂😂😂 wuwiii leo kanivunja mbavu zangu 😂😂😂😂

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 8 місяців тому +1

      @@avelinabaluhya2804 Anko anataka kutuacha kama mayatima kisa kuhongwa😄😄😄😄😄😄😄

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 8 місяців тому +1

      Chezea kupendwa wwe

    • @mariamahmad8261
      @mariamahmad8261 8 місяців тому +1

      Ajipage Sana naaonyeshe msimao km Alivlissa hapa tutapiga salut kwake😂😂😂😂😂

  • @sarahhagai8191
    @sarahhagai8191 8 місяців тому +14

    ❤twende kazi anko🎉🎉

  • @shukraamiri575
    @shukraamiri575 8 місяців тому +20

    Wow wakwanza Leo gonga like kama zote

  • @BintiHamisi-lh3xx
    @BintiHamisi-lh3xx 8 місяців тому +15

    🎉🎉❤tumpe mauwa yake anko wetu

  • @ashajumashaban2071
    @ashajumashaban2071 8 місяців тому +21

    Natamani kumsikia Alvin na lisa kwenye simulizi nyengine baada ya hii❤

  • @leah5307
    @leah5307 8 місяців тому +10

    alvinlisa na Lisa mm napenda wawepamojaa mau kwa Anko jay🎉🎉🎉❤❤❤😅😅😅😅

  • @zainabamir1431
    @zainabamir1431 8 місяців тому +41

    Sijachelewa jamn like zenu tafadhali Tim Lisa na alvin😂😂😂❤🎉🎉

  • @AnnNyongesa
    @AnnNyongesa 8 місяців тому +21

    Simulizi hii nilikuwa nimeingojeo Kwa hamu sana❤

  • @AsteriaMboya
    @AsteriaMboya 8 місяців тому +23

    Mambo mazuri sana Anko Jay wetu jaman,tunakupenda sana ujue

  • @Fatum112
    @Fatum112 8 місяців тому +8

    Oyooo..familia ya Ankojay tukutane harusini kwa alvlisa ni raha si raha we have we have not...📢📢📢📢📯📯📯

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому

      Tujiandae na sare na nderemo,za woyoooo ,woyoooo,woooyoooooo

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 8 місяців тому +16

    Jamani watu awalali 😂❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @shazimna
    @shazimna 8 місяців тому +13

    nawapenda sana Alvilisa mumetufulaisha jaman nakupenda lisa kwakutufulaisha

  • @lujaynahedward2715
    @lujaynahedward2715 8 місяців тому +37

    Wakwanza leo Zanzibar oyeeeeee weka kopa ❤❤❤

  • @sarakahidi6348
    @sarakahidi6348 8 місяців тому +13

    Woooohh safi kabesa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 8 місяців тому +15

    Nilikuwa nahisubiri kwahamu sana Anko Jay wetu 🙏🙏🇨🇵🇨🇵♥️♥️

  • @AbdillahMbarak-f3m
    @AbdillahMbarak-f3m 8 місяців тому +11

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ nahamu sana kuona maadui wakiduaa maana wawili hawa hawaeleweki😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RakaPk
    @RakaPk 8 місяців тому +10

    Mh watu awalali umu duh Asante anko kwa muendelezo ❤🎉🎉

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov 8 місяців тому +17

    🎉🎉🎉Asante Anko wetu twende naloo...much love from Kenya

  • @HawaSaid-ru4zq
    @HawaSaid-ru4zq 8 місяців тому +19

    Ila Lisa unapenda sana kujizima data yani kila. Mwenzie anavyo jitahidi yeye ana yatibuwa hiii simulizi ikiisha nitakuwa na miss sana vibweka vyao😊

    • @Catherinemichael1995
      @Catherinemichael1995 8 місяців тому +5

      Lisa hana shukrani na wala haoni mazuri ya Alvin sijui anajikuta nani kama vip liende kwa kelvin ili akome

    • @StellagasperSanga
      @StellagasperSanga 8 місяців тому +4

      Lisa kuna Mda anakela Ila ukweli sipendi waachane alvin

    • @HawaSaid-ru4zq
      @HawaSaid-ru4zq 8 місяців тому +3

      Miki kuna mda ana nikera mpaka napanda hasira

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому

      Sana

    • @سيدا-ص1ز
      @سيدا-ص1ز 4 місяці тому

      Kweli kabisa

  • @nismaali2982
    @nismaali2982 8 місяців тому +16

    Oyoooooo hatimae nimekuwa wakwanza maua yen😂😂

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 8 місяців тому +7

    Nimekuwa wamwisho jamani Leo ndio nasikiloza Ahasante sana anko jay 🇴🇲🇴🇲🇴🇲❤️🥰 mambo mengi muda mfupi🙏

  • @evacharles8881
    @evacharles8881 8 місяців тому +18

    Nilikua nasubir kwa hamu Asante ankojay ❤

  • @monicagerald6676
    @monicagerald6676 8 місяців тому +10

    Mwandshi ni msomaji mzuri wa novels, na mtazamaji mzuri sana wa series,ametukusanyia idea nzuri sana tunaenjoy. Hata hivyo ana akili sana anajua kupangilia matukio,pia ana exposure kubwa,ana uelewa wa vitu vingi.

    • @jombawajo
      @jombawajo 8 місяців тому

      Asante

    • @monicagerald6676
      @monicagerald6676 8 місяців тому +2

      @@jombawajo bro utafika mbali sana.Pambana utengeneze series ya hii stori,nakuhakikishia u will make it.

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому

      Hongera zao,mwandishi na msimuliaji wetu matata sana

    • @monicagerald6676
      @monicagerald6676 8 місяців тому

      @@RahelIbrahim-id2li msimulizi nae ana sauti ya dhahabu.

    • @shedrackmaige964
      @shedrackmaige964 5 місяців тому

      Better analysis

  • @AshaMohammed-m5t
    @AshaMohammed-m5t 8 місяців тому +14

    Yani family yangu yote tupo makini na story ank j unajua🙌🏻

  • @FatumaKombo-w3z
    @FatumaKombo-w3z 8 місяців тому +8

    Jamani acha tuone mana nihuzuni Jamani lisa mungu akuodole kila zito

  • @khadijaRamadhani-f6t
    @khadijaRamadhani-f6t 8 місяців тому +13

    Mambo mazur Sasa❤❤🎉🎉

  • @DinnaTymer
    @DinnaTymer 8 місяців тому +6

    Mimii huyuu lissa ananikeraa..... Yaan badala ya kumskiliza Alvin anajifnyaa ana. Kiburiii😢 mpk nakerekaa

  • @mamudequeen
    @mamudequeen 8 місяців тому +12

    7mins nimewahi leo ❤❤❤❤❤

  • @RukiaYasini-dm1tr
    @RukiaYasini-dm1tr 8 місяців тому +11

    Asante anko jay kwa utamu unaotupatia wkend njema tunakupenda sana ❤❤❤🎉🎉

  • @eliseElmama
    @eliseElmama 8 місяців тому +13

    mungu akubariki sana kipenzi chetu❤❤

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 8 місяців тому +12

    Daaaaaaaa nimewahi jamn Ila watu mko fasta sana jamn😂😂😂

  • @KitweErick
    @KitweErick 8 місяців тому +5

    Duuuh hiii simulizi ipo kama move kabisa

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 4 місяці тому +1

    Binti lisa anko j umeweza bwana ❤ nimeipenda sana hii simulizi

  • @FatmaMohamed-ej4mf
    @FatmaMohamed-ej4mf 8 місяців тому +11

    Much love ❤️ ❤anko Jay kwa mambo yako mazuri mazuri

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 8 місяців тому +10

    Mambo mazuri sana jay tunakupena sanaaaa❤❤❤❤

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly 8 місяців тому +14

    wanasimulizi waanko jay mmehuzunika kama mimi 😭😭😭😭😭lsaaaaaaaa duuu

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 8 місяців тому +6

    Nimachaliwa but tuko pamoja 😂😂asent san Ankojay kwa simulizi tamu sana ❤❤😊😊😊

  • @amissanzeyimana3895
    @amissanzeyimana3895 8 місяців тому +6

    Jamani team alvilissa najihisi mnyonge njisi lisa sio mtuu wakujiaminiii tena

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 8 місяців тому +18

    Ankojay naona kusubria mbaka kesho mbali tim Alivlissa mwenye mahaba yake ya dhati like 10❤❤

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 8 місяців тому +7

    Lisa ukimuacha Alvin 😢😢😢saiv bra ata nisiskilze tna hii smuliz yte ayo unayo fanyiw bda unawsws tu hem rdisha moyo wko kwko upte kula raha za dunia una maadui weng ww

  • @MtaliAmina
    @MtaliAmina 8 місяців тому +9

    Mashaallah nice story 👌....really admire yooohhh

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 8 місяців тому +6

    Ankojay umemaliza vizuri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 napenda sana hiyo part ya minongono jmn umejua kunifurahisha aki😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @CiciliaBoke-f7j
    @CiciliaBoke-f7j 8 місяців тому +8

    Good job Ankojay but Leo umenifurahisha ❤❤❤😂😂😂

  • @NadzuwaGofwa
    @NadzuwaGofwa 8 місяців тому +4

    Hatimae lisa amekubali kuolewa na Alvin nimefurahi sana jamani hoyeeee

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 8 місяців тому +7

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mauwa yake Ankojay 🎉🌺🌹💐

  • @AyshaNizigiyimana
    @AyshaNizigiyimana 8 місяців тому +11

    Lisa anamuuzi sana Alvin

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 8 місяців тому +6

    Duu,😂😂😂😂😂😂😂hii ngoma nzito,ubabe ubabe tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kibibi7826
    @kibibi7826 8 місяців тому +6

    Hii simulizi na iishe nshachoka kuumiza akili bana khaa yani lisa tu kila siku kuumia

    • @FatmaHassankhamisi
      @FatmaHassankhamisi 8 місяців тому

      Shonga Lisa kama tunda tu mpka ukila limeiva basi limetoka mbali tu mpka kuliwa 😂😂😂😂😂

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому +1

      Mengine lisa anayataka,mbona sio mwelewa?

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 8 місяців тому +5

    Alivlissa ndoa tunayo atuna pole kwa merania jaameni amekosamwana kwa maji yamoto😅😅 pegakerere kwa Alivlissa weeeeeeeeee😜😱😱😱👀👀👀👀👀👀👀👀👀👀👀

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 8 місяців тому

      Melanie anamashauzi sasa katoswa na Alvin hazarani ngoja tusubili kipi kitajiri huko mbere

  • @ThuwaibaMbarikiwa-l6e
    @ThuwaibaMbarikiwa-l6e 8 місяців тому +17

    Wakwanzaa leooo jamnii🎉🎉like zangu

  • @Maryalphoncedr4xo5yp8b
    @Maryalphoncedr4xo5yp8b 8 місяців тому +7

    😂😂😂 Wa mwisho tena guys naomben like 2

  • @batoolmwajuma3000
    @batoolmwajuma3000 8 місяців тому +4

    Wakwnz leo jamn wadau wa anko jy wetu kipenz ,, ahsanty San kipenz chetu ankoo mahela

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 8 місяців тому +6

    Duuh hakika finally umetufikishia mzigo salama wacha moto uzidi kuchoma nyasi za wabaya yaani kamati ya roho mbaya

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 8 місяців тому +6

    Jay tuletee part 15 weeeee simulizi ina bamba❤❤❤😂😂

  • @EstherJoram-gt4lt
    @EstherJoram-gt4lt 8 місяців тому +18

    Jamani leo n mimi wa 1 naombeni like zenu hata 5😅😅

  • @AnnethMushi
    @AnnethMushi 8 місяців тому +7

    Yaan nmekuwa mgonjwa kwasbb ya hii simuliz jamn kla mud na chungulia ty huk khaa hakika umenifanya niwe chiz simuliz za aunkj

  • @zaminangowa1677
    @zaminangowa1677 8 місяців тому +12

    Asante sana anko ❤❤❤

  • @LispaKadzoKalu
    @LispaKadzoKalu 8 місяців тому +2

    Kwa niaba ya team hammaam anko tunaomba utuletee story tamu tamu kipindi cha Ramadan maana wee simchezo hizo siku😢😢 ama vipi team strong 😊

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 8 місяців тому +12

    😔Lisa na Alvin upendo wao ume niliza. Hapo mwisho 😅😅😅 w Anko Jay ume niacha hoi 🤸‍♀️

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 8 місяців тому +119

    Jamani leo nimewahi akaa na mm leo nipewa like zangu kama zote maana nina sku ying nakuwa wa mwisho 😊😊😊😊

  • @SakinaTantine
    @SakinaTantine 8 місяців тому +7

    Lisa unataka Alvin akupende vipi mbona aujiamini amesha kutendeya mwema sana alakini lisa anatubowa

  • @monicagerald6676
    @monicagerald6676 8 місяців тому +3

    Mwanaume kama Alvin katika ulimwengu wa kawaida hayupo, eti mwanaume mzuri sana,mwenye power,mwenye hela,haendekezi ngono,ana upendo wa kweli ni ndoto. Vile vile mwanamke kama Lisa hayupo,mwenye akili,mzuri,mpishi mzuri,bikira at 20's, jasiri na mpambanaji

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому

      Wa kutafuta na darubini tena ya viwango vya juu vya uchunguzi

  • @aishasuleiman2216
    @aishasuleiman2216 8 місяців тому +3

    Aaaa lisa ananivunja moyo kuwa hampi sapota Alvin anmyima raha habadiliki hachunguzi yy kila mwanamme anamfata akimpa mualiko.naombe waowane hawa watu.tuwakomeshe wambea.

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому

      Basi atoe tarifa kwa mwenz wake kabla ya hatua zake

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 8 місяців тому +7

    Sehem yaku nanne namm14 zawad yako ankoj🎉🎉🎉 na jomba wajo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mugishabella8330
    @mugishabella8330 8 місяців тому +4

    Waooow hii simulizi ni nzur hadi nataman isiishi nzur mno ongera sana Anko J Mungu azidi kukulinda kwajili yetu🥰🥰

  • @asharamadhan9573
    @asharamadhan9573 8 місяців тому +10

    ❤❤❤Jamani tujuwane ambao bila saut ya anko hatusikiliz

  • @KelvinAngelo-h8y
    @KelvinAngelo-h8y 8 місяців тому +1

    nimechelewa sanaa 🎉🎉ila sio mbayaa ank jay tunakupenda❤❤

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 8 місяців тому +4

    Wawoo Thanks ankojay allah akubariki kazi nzuri ankojay pamoja sana broo

  • @cecilemwajuma8549
    @cecilemwajuma8549 8 місяців тому +9

    Lisa kusema ukweli unanikwanza sana una shukrani dada😢

  • @PatricalBeti
    @PatricalBeti 8 місяців тому +8

    Mauwa yangu jmn like wa 72 coment wa 69🎉🎉🎉🎉🎉🎉najianzia mwenyewe nitarudi kucoment acha niskilize utam kwanza maana niliisubir kwa ham❤❤❤❤❤

  • @JawahirMadar
    @JawahirMadar 8 місяців тому +6

    Lisa umekua na roho mbaya sana

  • @nemamwachepha1545
    @nemamwachepha1545 8 місяців тому +5

    Congratulations my kka chukua ❤❤❤❤

  • @MaryamMaryam-n1j
    @MaryamMaryam-n1j 8 місяців тому +10

    Wakwanza Leo nipeni like zangu

  • @IreneMpole-ji3nj
    @IreneMpole-ji3nj 8 місяців тому +11

    Nimewah jmn time lissa tujuane Ata kwa like 5 tuuu

  • @aminamasoud2735
    @aminamasoud2735 8 місяців тому +25

    ❤wakwanza leo😂😂 mnipe like zangu

  • @MtaliAmina
    @MtaliAmina 8 місяців тому +27

    Nmewai kuliko wote nishushiwe like zenu tujuane walevi wa simulizi 😂

  • @ivymuna553
    @ivymuna553 8 місяців тому +19

    Much love ❤️ ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪