Uradi Wa Nabii Yunusi Ni Kiboko Ya Matatizo/Kisa Cha Nabii Kumezwa Na Samak/Sheikh Hashimu Rusaganya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Uradi Wa Nabii Yunusi (A.S) Ni Kiboko Ya Matatizo / Kisa Cha Nabii Kumezwa Na Samaki/Sheikh Hashimu Rusaganya
    Mashaa Allah Sheikh Hashimu Rusaganya akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Uradi Wa Nabii Yunusi (A.S) Ni Kiboko Ya Matatizo / Kisa Cha Nabii Kumezwa Na Samaki/Sheikh Hashimu Rusaganya
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Airtel Money +255782466586
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    UA-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv

КОМЕНТАРІ • 43

  • @aishakopose26
    @aishakopose26 5 місяців тому +1

    Mungu akupe heri shekhe wetu kwakutufunza wema ❤

  • @azizamasangu5632
    @azizamasangu5632 2 місяці тому

    MashaAllah ❤, this is amazing ❤

  • @JumaMzeeAli
    @JumaMzeeAli 29 днів тому

    Asalam alekum sheikh mungu akuzidishe Imani na subra kwa kila Jambo amen amen amen 🙏🙏🙏

  • @robertkanju5490
    @robertkanju5490 29 днів тому

    ALLAH AKBAR 🤲

  • @mariammawe5500
    @mariammawe5500 10 місяців тому +4

    Alhamdulillah.
    Shekh mwenyezi akujaze kheri na umri mrefu uzidi kutuelimìsha Ameen.

  • @maryammussa7929
    @maryammussa7929 10 місяців тому +5

    Alhamdullah wa kwanz leo

  • @ZainaRashid-t3m
    @ZainaRashid-t3m 10 місяців тому +1

    Waambie kweli vijana wamezidi sana

  • @NyamiziMsabaha
    @NyamiziMsabaha Місяць тому

    Allahuma amiin

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 10 місяців тому +4

    Kuhihifadhi ni Jambo la Kheri sana.Shukrani Kwa kuhimisa Hali ya Usafi Basi Waumini tuzingatie Mawaidha Muafaka.Amiina

  • @HajiMakame-m8l
    @HajiMakame-m8l 10 місяців тому +1

    Tunakupenda shehe sana kwa ajili unatwambia ukweli

  • @manzekeleramazani
    @manzekeleramazani 10 місяців тому +1

    Ameena tunakushukuru kutuelekeza

  • @JumaKhamis-o5r
    @JumaKhamis-o5r 10 місяців тому +1

    Mashaallah Allah akuzidishie kheri

  • @EmmanuelBigirimana-y2w
    @EmmanuelBigirimana-y2w 29 днів тому

    Kheihe Rusaganya Na oba nabayako ya sim ya Wastamps InshaaAllah

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 10 місяців тому +3

    Be blessed Ameen

  • @JinaJuma-gy1us
    @JinaJuma-gy1us 4 місяці тому

    jazzaka alahu kheri

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 10 місяців тому +1

    Allahumma ameen ya Rabby 🤲🤲🤲

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 4 місяці тому +2

    Kuna maisha baada ya kifo. Tubadilikeni tujenge Akhera duniani tunapita.

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 25 днів тому

    Dhikri hii imekusanya vitu vitatu,ndio mana Ina tija kubwa sana na ni kimondo takatifu,
    1)tauhid (la ilaha illa anta
    2) subhanaka (tasbih na matakaso na matukuzo)
    3) istighfar na kuomba msamaha (inninkuntu mina dhalimina)nimeangukia kosani ewe Mola,nisamehe na univue na maangamizi niliojisababishia mwenyewe,
    Kwahio Ina lailaha illa llah, Subhanallah na astaghfirullah ktk sentensi moja

  • @asiyajuma3135
    @asiyajuma3135 10 місяців тому +2

    Alihamdulilah wa pili leo

  • @ArafaSuleiman-db9pw
    @ArafaSuleiman-db9pw 10 місяців тому +1

    ALIHMDULILAH barakah LLAH fiiqum Ameen

  • @SadamHussein-qp4jc
    @SadamHussein-qp4jc 8 місяців тому

    Alhamdulillah

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 10 місяців тому +1

    ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH 3

  • @MohdMakame-f2b
    @MohdMakame-f2b 4 місяці тому

    Sema sheghe na usiogope mwisho watajuwa hao

  • @MwanahamisiKondo
    @MwanahamisiKondo 4 місяці тому

    Allhadulilah Allihadulilah Allihamdulilah

  • @SalimMwakumanya-qb9om
    @SalimMwakumanya-qb9om 10 місяців тому +1

    Amiin

  • @Zainab-f9w5x
    @Zainab-f9w5x 10 місяців тому +3

    Nikweli maalimu mm pia ulinisaidia hii dua baada ya kuvamiwa na wahuni

  • @ZainaRashid-t3m
    @ZainaRashid-t3m 10 місяців тому +1

    Jazakallah amiiin

  • @RosyKaemdin
    @RosyKaemdin 3 місяці тому

    Nikiboko kwel subhannallah usome kwa iman kabisa kwel kwel

  • @EmmanuelBigirimana-y2w
    @EmmanuelBigirimana-y2w 29 днів тому

    Kweli Sisi was isilama tuna sali uchi

  • @JumaKhamis-o5r
    @JumaKhamis-o5r 10 місяців тому

    Sheykh wangu naomba namba yako

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 10 місяців тому

    Nimtunda gani? Alyakteen. Ni M’boga au mtango?

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 10 місяців тому

    Joto ni joto tuu la Arabuni au la Africa majasho utatoka tuu hapo.

    • @shabanimussa4269
      @shabanimussa4269 10 місяців тому

      hivi omeongea nn hapo au ww ni wahabi?

    • @shantellemwanakombo3703
      @shantellemwanakombo3703 10 місяців тому +1

      Safari ujionee usiongee usiyajua

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 10 місяців тому

      Nitofauti sana ndugu joto la africa Lina unyevu nyevu wa maji huko arabuni juwa nikali kiasi kwamba maji yanakauka na milima inafyonza nguvu ya jua inakua hata upepo unakua na moto mfano wake nikama tanuri la kucomea mikate kisha huwezi kulinganisha na jikoni sababu jikoni kunapikwa cakula kilico nmaji yatoayo mfuke.

    • @ShaniaKing-o5d
      @ShaniaKing-o5d 10 місяців тому

      Huenda hajawahi fika uarabuni akajua joto la huko tusimlaumu,

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 10 місяців тому

      @@ShaniaKing-o5d Mimi ndio niko huko kwenye joto kama tanuri 🙉ndio liko njiani Lina kuja tunajitayarisha ….

  • @NyamiziMsabaha
    @NyamiziMsabaha Місяць тому

    Allahuma amiin