MFANYAKAZI WA BANK ALIYECHOMWA MOTO HADI KIFO BABA ASIMULIA "CCTV ZIMEMUONESHA, WAMEHARIBU FIGO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 бер 2023

КОМЕНТАРІ • 443

  • @neylalyimo2457
    @neylalyimo2457 Рік тому +69

    Huyue baba anaelimu ya kutosha, Mungu akubariki ,kwa kutupa angalizo nimejifunza kitu kikubwa mno Mungu akupe faraja baba

  • @htx1873
    @htx1873 Рік тому +93

    Mzee seems so educated, wise and he know exactly what he is saying. You can tell he is in pain . ila mzee nimemuelewa sana . Pole sana baba

    • @bakarininga4100
      @bakarininga4100 Рік тому +12

      Mzee ni lecturer kcmc ushaur wake akikupa utakubali

    • @rayzezero6354
      @rayzezero6354 Рік тому

      facts una eza sema hajafiwa yeye daa Ina uma sana 😭😭

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 Рік тому

      He is a Doctor...hujasikiliza?!

    • @neemaremus4924
      @neemaremus4924 Рік тому +1

      Ako na uchungu mwingi sana, pole sana kwa family

    • @werahmuro6145
      @werahmuro6145 Рік тому

      ​@@joycekisamo4896 l

  • @josephnjau5846
    @josephnjau5846 Рік тому +31

    I am so sorry Father for the loss of your daughter. May God give you strength during this difficult time

  • @alextercisio
    @alextercisio Рік тому +48

    Very painful her father talking very bold and strong may God help you wipe away your inner tears Rip Neema from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @htx1873
    @htx1873 Рік тому +58

    Baba Martha umeongea kwa uchungu sana but very calm that’s why it hurts me deeply, I can tell mzee he loves his daughter, I can tell he knows a lot about his daughter. Mzee anaonekana was a Great Father . Which most of us missing . Mzee anasema niache niongee ni ventilate, I totally understand him . He is in so much pain, ila anajilaza sana . Pole sana sana familia nzima ,

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 Рік тому +2

      Yaani I am speechless! Siwajui, but it hit me at the core...POLENI SANA SANA 😢

  • @jacqueisaac8155
    @jacqueisaac8155 Рік тому +44

    Mungu amtie nguvu huyu baba ana uchungu sana😢

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 Рік тому +24

    Familia ya Towo poleni sana jamani kwa msiba huo mkubwa.Mungu akawafariji na kuwapa wepesi kipindi hiki kigumu😭😭

  • @halimaally2918
    @halimaally2918 Рік тому +23

    Pole kwa familia ya mzee towo wote kwa ujumla MUNGU awatie nguvu najua Hali mnayopitia kwa sasa inaumaaa ila MUNGU awape Amani mungu ailaze roho ya marehemu mahalo pema peponi Amina

  • @majidhemed8666
    @majidhemed8666 Рік тому +5

    Inasikitisha sana !! Hyu mzee yupo strong , Mungu awape subira wafiwa wote , wahusika watafutwe wawajibishwe , huu ni ukatili wa kutisha

  • @missmasao
    @missmasao Рік тому +15

    Mungu awape nguvu hii familia , huyu baba anaumia sana Mungu amfariji baba .

  • @MaaneML
    @MaaneML Рік тому +4

    Wapelelezi wakikomaa kisawasawa wauaji wanakamatwa kama kuku. Subirini. Poleni Sana wafiwa. Imemiuma tumbo la uzazi kabisa.

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Рік тому +8

    Pole sana Mzee Mwenyezimungu akutie nguvu na familia yako ! Poleni Sana!

  • @ngulumbejr1759
    @ngulumbejr1759 Рік тому +11

    Mzee Towo namkumbuka mimi alikua facilitator wetu katika semina ya blood collection mwaka 2015 Dodoma general hospital. Pole kwa familia ya mzee Towo

    • @bakarininga4100
      @bakarininga4100 Рік тому +3

      Mzee cool Sana alitusimamia mtihan mwaka Jana kcmc he was soo cool dooh

  • @Panganile1
    @Panganile1 Рік тому +22

    Faraja ya Mungu isikupungukie Baba, Pole sana 😢

    • @saidalhinai1131
      @saidalhinai1131 Рік тому

      Pole mzee ni pigo kubwa lkn mungu ataleta hukumu kwa hao waliozulumu maisha ya binti yako hawako salama na mungu atawadhihishia

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 Рік тому +9

    Poleni Sana Familia, imeniumiza sana. Martha alikuwa zaidi ya rafiki, hawezi kuja Geita bila kunitafuta. Above all alikuwa very strong na mpambanaji. Aliyefanya kitendo hiki afahamu tuu ya kwamba ameumiza nafsi nyingi, familia na sisi marafiki wa Martha tumeumia.
    Pumzika kwa Amani Martha.

  • @dicksonbenard1741
    @dicksonbenard1741 Рік тому +17

    Hivi Hawa watu wasio julikana wataacha kujulikana Hadi Lin? Mbona wanaondoa Aman kwenye Maisha ya familia hii, Roho ya unyama na ukatili, unakatisha Maisha na kuondoa uhai wa mtu, bila hata huruma, any way Mungu nihakimu wa haki hakika Damu ya mwanamke huyu haita waacha salama wale wote walio husika na tukio hili.😭😭😭 hii inaumiza sana

  • @popiya2368
    @popiya2368 Рік тому +6

    Poleni sana Kaka Towo kwa msiba mzito hivyo. Mungu awape faraja.. May her soul RIP

  • @johnkasuga3290
    @johnkasuga3290 Рік тому +8

    Pole Sana Baba kwa tukio Hilo,Mungu akupe nguvu kwa msiba huo:!!

  • @praisemsuya7228
    @praisemsuya7228 Рік тому +11

    Hakika Mungu wetu Ni wa haki atafany kitu kwa hao waliyofanya hlo tukio.inaumiza Sana😭😭

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 Рік тому +15

    Ooh my God...This is really heartbreaking 😢

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Рік тому +4

    Poleni sana baba. Inaumiza sana. Unamuchomaje mtu moto tumekuwa na roho za kinyama. MUNGU aiweke roho yake mahali pema.

  • @benardthomas8347
    @benardthomas8347 Рік тому +13

    Nimekuelewa sana mzee. Watapatikana tu mcheki simu ya mwisho kupigiwa uchunguzi uanze kwa vyombo husika, tunaamin vyombo vyetu vya usalama viko vizuri sana vitasaidia katika hili

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS Рік тому +8

    Hii kiboko. Mhm kumwagiwa petrol na kuchomwa?? Tz tz tz??? Why🥺🥺🥺Rest in peace

  • @polycarpfrance6521
    @polycarpfrance6521 Рік тому +1

    Pole sana Daktari na familia kwa ujumla ni kifo kibaya sana amepitia Martha, lakini yote ni kwa yote haki itendeke na wahusika wawajibishwe very soon. Hatuwezi kumrudisha lakini haki itarudisha imani japo kidogo.Apumzika kwa Amani Martha Amina

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 Рік тому +4

    Halafu hapo ukute Kuna lipumbavu limemuuwa sababu limekataliwa mahusiano. Binadamu shida sana hasa sisi wanaume.. na waliomuuwa Ni wanaume.

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 Рік тому +3

    Poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Рік тому +25

    Jamani binadam tumekuwa na roho mbaya sana jamani tumuogope Mungu😭😭😭😭😭

    • @petermshali5157
      @petermshali5157 Рік тому +1

      Pole sana mzee wangu Mzee Towo ... Mungu awafariji familia nzima ya Towo

  • @salomekiula8565
    @salomekiula8565 Рік тому +6

    Daaah pumzika kwa amani Martha baba amenikumbusha mbali mimi ni mmoja ya tuliokuwa tunafanya discussion kwa kina Martha na tunashukuru baba vitabu ulivyokuwa unatununulia vilitufanya tukafaulu mtihani wetu ubarikiwe na pole sana inaumiza ila tumuachie Mungu

  • @chrisdot9914
    @chrisdot9914 Рік тому +5

    Poleni sana familia.
    Ukatili wa hali ya juu.
    Wanyama hawa wakamatwe

  • @dottohami
    @dottohami Рік тому +11

    Pole sana familia mzima watu asaivi wamekua wana roho mbaya sana 😭😭

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 Рік тому +15

    Nimelia sana kwa uchungu nikakumbuka babu zangu 2013 wqlipolia sana kwq machungu wakimzika baba yangu. Kumzika mwanao awe mzee au kijana inauma sana jamani
    Mungu akupe Nguvu baba
    Poleni sana wazazi wa Neema

  • @lidyabalilemwa1380
    @lidyabalilemwa1380 Рік тому +1

    Pole sana baba najua unaumia sanaa Mungu awatie nguvu hii inasikitisha sanaaa

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 Рік тому +1

    Waliomchoma sindano ya sumu.nao wachomwe.shida nini???? Au wivu.jamani tutafute pesa haya yote yatakwisha.Mungu awalaaani wahusika wote.wakafe kifokama Cha martha.imeniuma Sana.Tanzania tumefikia huko???? Mungu awalaaani wote woteeeeee.wapumbavu wakubwa hao

  • @narlt229
    @narlt229 Рік тому +7

    Kuna binadamu wabaya sana pole sana kwa familia

  • @ezekielmollel-rv1ge
    @ezekielmollel-rv1ge Рік тому +5

    Huyu mzee ana shule xana, pole sana baba na mwalimu wangu wa medical lab

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 Рік тому +5

    She was Dadies Girl😭😭😭Mungu ampumzishe Kwa Amani

  • @anandemungure2500
    @anandemungure2500 Рік тому +3

    Pole sana Mzee Towo. Mungu awashike Kwa mkono wake wenye nguvu. Rest easy Martha😭😭

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +2

    Dah very painfull..rest in peace Martha...Baba na familia Mungu awafanyie wepesi

  • @mariammonah6106
    @mariammonah6106 Рік тому +3

    Pole sana baba angu.... Mungu pekee ndio wa kukufariji 😢

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 Рік тому +6

    ALLAH awaadhibu wote walio mfanyi unyama huo...

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 Рік тому +4

    Dah wamemfanyia unyama mkubwa Sana huyu dada jmn wamemchoma sindano y sumu kuharibu Figo jmn 😭 hata angepona Moto angekuwa mbovu wa figo

  • @jacklinenyalika5700
    @jacklinenyalika5700 Рік тому +20

    Baba said it all😥

  • @dianarajab2387
    @dianarajab2387 Рік тому +5

    Mungu awape nguvu na faraja ya kweli itokayo kwake.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Рік тому +3

    Pole sana baba Mungu akupe faraja 🙏🙏🙏

  • @user-wk1ix1gm1p
    @user-wk1ix1gm1p Рік тому +19

    Pole sana familia , baba umeumia umejitahidi kujikaza pole sana 😢

  • @eliamunuo225
    @eliamunuo225 Рік тому +2

    Pole sana, Mungu akupe nguvu uyashinde majaribu

  • @philomenamushi5606
    @philomenamushi5606 Рік тому +1

    Mwenyenzi mungu mwingi wa huruma awavushe familia na baba mzazi wa neema katika kipindi hichi kigumu🤲🙏

  • @algoforex1239
    @algoforex1239 Рік тому +4

    So sad and painful. May God grant them comfort.

  • @gracekasomwa1404
    @gracekasomwa1404 Рік тому +2

    Mungu Apumzishe Kwa Amani dada Matha

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 Рік тому

    Mungu akutie nguvu Mzee Towo, pole sana 🙏🙏🙏

  • @annamnanka-qk1bx
    @annamnanka-qk1bx Рік тому +2

    Pole sana Mzee mungu akutie nguvu

  • @stelayunami7779
    @stelayunami7779 Рік тому +1

    Dah pumzika kwa amani Neema,Mungu wa haki ashughulike na wale wote,walioshiriki kitendo hiki kiovu cha kuutoa uhai wa mtu asiyekuwa na hatia yeyote,,,,

  • @ngamugamahonzelosanga3316
    @ngamugamahonzelosanga3316 Рік тому

    Poleni sana wazazi na ndugu wote wa marehemu mwenyezi Mungu ampuzishe mahali pema. Amen

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 Рік тому +1

    Jamanii So sad. Pole sana Baba na Familia Ee Mungu uwe faraja Kwa Familia hii inaumiza sanaa.

  • @satwanthoogan6429
    @satwanthoogan6429 Рік тому +5

    Masikini!😭 mbona ameuliwa kikatili sanaaaa..😥dah..

  • @rehema3725
    @rehema3725 Рік тому +1

    Pole sana kwa familia, Mungu awafichue wote waliohusika na unyama huu

  • @Lindahevarest
    @Lindahevarest Рік тому +2

    am speechless 😭😭Ee Mungu Baba ulie juu mpe nguvu huyu baba

  • @hajiomary3766
    @hajiomary3766 Рік тому +9

    Poleni sana 😭😭 every soul will test death 🙏

  • @lastname.mulimuli
    @lastname.mulimuli Рік тому +3

    Pole sana baba , mungu awatie nguvu and may she rest in peace

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 Рік тому +3

    Poleni sana familia.Mungu atawafichua waliofanya hivo.....Rest in peace Ney

  • @marykway9610
    @marykway9610 Рік тому +6

    So painful. Pia malezi mazuri ya misingi ya kiimani Familia imejenga. RIP Dada & Mungu awape faraja Familia ya Towo, Amen.

  • @cmarealle
    @cmarealle Рік тому +2

    Familia poleni sana Ila mumuachie Mungu atoe adhabu mwenyewe ndio itakuwa size Yao aiseee Sindano moto walimpa hard time sana

  • @gloryshayo9966
    @gloryshayo9966 Рік тому +1

    Poleni sana jamani Mungu awatie nguvu.Atawatia adui zetu mikononi mwetu.

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 Рік тому +10

    Pole sana wazazi ,Mungu awape subira. InshaAllah kifo chake itakuwa ndio kiingilio chake cha makazi mema peponi, sote tutarudi kwa Mungu Ila Mwenzetu Martha katutangulia, InshaAllah waliomdhulumu Martha Mungu atawalipa wanachostahili.Majirani na ,viongozi wa mitaa tuna jipangaje kupambana na wahalifu. usalama wa taifa taifa, polisi mnatimizaje viapo vyenu vya kulinda Raia na mali zao. Jamani kahama Mwanza kunahitajika juhudi za ziada za kuzuia uhalifu dini ianze kusomeshwa tokea chekechea. Hadi watu waZima. Inasikitisha hizo sehemu zina waKatili waliopindukia mipaka na wasioogopa vyombo vya sheria.

    • @tumainwilson3329
      @tumainwilson3329 Рік тому

      I can't explain how family feel 😭,super sad jamani 💔😭

  • @zenamngombe-pn9vb
    @zenamngombe-pn9vb Рік тому +1

    Pole sana baba...Kwa mungu hakifichiki kitu wataumbuka tu

  • @kulatendaudi7671
    @kulatendaudi7671 Рік тому +2

    Kama unaamini uyuu mzee ahekima na nimsomi gonga like

    • @samwellembrice64
      @samwellembrice64 Рік тому +1

      Pole dady wangu Pole sana umeongea kwa utulivu mkubwa lakin kwa hekima kubwa zaidi ukituwasa vijana kuwa makin thank you again dady

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому +5

    Hapo ni ishu ya mapenzi au ofisini watrace call zake watampata muuaji.
    Ni rahisi sana kupata ushahidi

    • @jamesminja3273
      @jamesminja3273 Рік тому +1

      kama anatumia namba za kuchonga wanazosajili watu wa tigoooo au voda za kununua mtaaani kwa mafreee lensa unadhani watampata

  • @andrewjuma2485
    @andrewjuma2485 Рік тому +1

    Pole sana kwa familia. Allah awafanyie wepesi wakati huu mgumu.

  • @felistersmejumaa
    @felistersmejumaa Рік тому +1

    Wajikaza sana baba ila waumia sana ,, pole sana babangu

  • @jaliakamote5485
    @jaliakamote5485 Рік тому

    Pole baba ni wivu tu wawatu wamemuonea bure na kuamua kumpoteza,Mungu awape nguvu na iimani.

  • @gracealbin8247
    @gracealbin8247 Рік тому +1

    Pole Sana baba! Mungu awape faraja na Hakika Mungu atawaweka peupe waliotenda ubaya huu!😢😢

  • @agnesslyatuu8026
    @agnesslyatuu8026 Рік тому +1

    Pole sana baba duu maumivu uliyonayoo hakuna atakaye weza kuyaondoa ila Mungu akufariji tu.

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Рік тому +4

    Kwel watu wamekuwa wanyama Awana of ya mungu imepotea jaman tumuombe mwenyenz mungu atsamee Mambo ambayo tnayo yatenda dunia tnaenda mbio Sana. rest in peace 🙏

  • @MamaLorenzo
    @MamaLorenzo Рік тому +1

    Baba anaongea kwa uchungu mkubwa ukimsikiliza hii kauli ya kusema watoto wawili hwajawahi kumshinda kimahitaji kauli ya kushujaa kuwaziba binaadamu ya sintofahamu

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Рік тому +1

    Awww baba pole sana Mungu akupe nguvu babaa dah watoto wetu wanatakiwa kutuzika sio vinginevyo jamani simjui huyu dada ila ameniuma kwa kweli dunia inaenda wapi hii

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому +10

    Baba yuko strong sana

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 Рік тому +25

    Huyu mzee ni mtu wa Imani

    • @hidayahatibu7689
      @hidayahatibu7689 Рік тому

      Nimepata uchungu sn jmn ila Mungu atawahukum wote walio fanya tukio hilo😭😭

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si Рік тому +2

    Poleni sana Mungu awatie nguvu

  • @samniza1763
    @samniza1763 Рік тому

    Hii Tanzania sio ile tuliyosoma na kukua, sijawahi ishi huko tena tangu nipo 22yrs old but sikuacha Tanzania hii, this is something else. Scary.

  • @fatumahassani6987
    @fatumahassani6987 Рік тому +1

    Allah plz fix this ht kwa ajil ya baba yake tu.. Yaraby 😭😭😭🙌anaumia Sana hy mzee

  • @anjutv9788
    @anjutv9788 Рік тому +5

    Respect to this dad

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Рік тому +5

    Mdogo sana, RIP dada..

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 Рік тому +2

    Pole baba mungu akutie nguvu

  • @ummykhamis-vm7xt
    @ummykhamis-vm7xt Рік тому

    Mungu awape ujasiri zaidi kwenye kipindi hichi kigumu Ameen na mungu ailaze roho ya kipenzi Martha peponi 😭😭😭😭

  • @jasmincharles3626
    @jasmincharles3626 Рік тому

    Poleni sana! Ndugu zangu mungu awape nguvu wafiwa wote na imani

  • @zenobiagenuine537
    @zenobiagenuine537 Рік тому +2

    May her soul rest in eternal peace, Mwenyezi Mungu aiguse mioyo ya hao waliofanya ukatili huu wakatubu na waache uovu huu ,haraka😭😭😭😭,Roho mtakatifu awe faraja kwenu nyote Pole baba ,umeongea kwa busara sana

  • @enterenter7798
    @enterenter7798 Рік тому +1

    Kitu ambacho sikiwez katik maisha yangu ni lifti jmn siviwez kbs

  • @judithmafwimbo2281
    @judithmafwimbo2281 Рік тому

    Maskini jamn, eeh Mungu awapefaraja familia na marafiki katika wakati huu mgumu..poleni sana

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 Рік тому +2

    😭😭😭😭😭😭😭Pole baba mana hata kuelewa unashindwaa Pole familia

  • @marielkazibure2812
    @marielkazibure2812 Рік тому

    Poleni sana jirani zangu Towo Mungu awafariji sana na awape nguvu

  • @Official83640
    @Official83640 Рік тому +6

    Dah inauma jaman baba amenitoa machozi huyu😭

  • @samsonphilmon6757
    @samsonphilmon6757 Рік тому +3

    So sad, but our grand pa is emotional enough, may our almighty God give Martha family courage.

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 Рік тому +3

    Whatever she may have done she did not deserve this cruel act. Poleni sana familia na marafiki!! She was an ambitious daughter. May God have mercy on this soil. Haya matukio ya kutoana roho yamezidi.

  • @allymadenge4603
    @allymadenge4603 Рік тому +1

    Wana wake. Acheni. Kula. Vya Watu Mtaisha. Maana. Mmezidi

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 Рік тому +4

    Kwanini @mara watu wasiojulikana na kumchoma madawa kwanini😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @kitimotomasterz-jp1mb
    @kitimotomasterz-jp1mb Рік тому +2

    Mzee never give up 😢

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 Рік тому +4

    Sote ni wa mungu na sote tutarudi kwake

  • @judithmushi-gj9fo
    @judithmushi-gj9fo Рік тому +2

    this father seem to be very educated

  • @victoriatemu-ko8np
    @victoriatemu-ko8np Рік тому

    Amina baba pole na msiba jamani umetufundisha elimu nzuri Sana mungu akubariki Sana duuh

  • @paulmgaya337
    @paulmgaya337 Рік тому

    Pole sana Kwa Familia. Mambo ya Mapezi itakua nilivyo msikiliza Mzee Kwa umakini.