ASKARI APAMBANA NA CHUI MPAKA KUMUUA, ASIMULIA "ALINIRUKIA KICHWANI NIKAMKABA SHINGO NIKAMWANGUSHA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 208

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 9 місяців тому +30

    Jambo lingine kwanini Serikali msibuni hata mavazi ya kujilinda na wanyama kama CHUI,MAMBA,SIMBA mavazi ambayo yafanya makucha ya mnyama au meno asiweze kumwathiri mtalii au askari wetu ???

    • @mtumeananiasjohachim8760
      @mtumeananiasjohachim8760 9 місяців тому

      Ushauri Bora Sanaa,,

    • @wemaMichael-fr4th
      @wemaMichael-fr4th 9 місяців тому +3

      Tena ndo vizuri hata wasipate hayo mavazi hili wanyama wawaue vizuri bila shida tena naomba na leo simba atokee kwenye kambi yao awalalue wotee

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 9 місяців тому

      ​@@wemaMichael-fr4thkichwa box

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 9 місяців тому

      ​@@wemaMichael-fr4thkichwa box

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 9 місяців тому +1

      @@wemaMichael-fr4th kwa nn dadang kipenz? Mbona u mkatili hivyo?

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 9 місяців тому +7

    GOLI MOJA MILIONI 5 SASA TUONE HUYU ITAKUWAJE😢😢

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 9 місяців тому +26

    Sio Hongera tu na pole apewe kitu ambacho kitamfanya Aishi maisha yenye nafuu na yeye ,ajengewe hata nyumba ,pamoja sana brother

  • @MussaKingu255
    @MussaKingu255 9 місяців тому +17

    Wanaume wa daa wanaogopa hadi mende😂😂😂

  • @wemu4774
    @wemu4774 9 місяців тому +7

    Pole sana afande kwa uliyokutana nayo lakini hongera kwa ushindi,atiwe moyo kwa kupewa zawadi maalum maana kupambana na chui sio mchezo baba.

  • @madalemachemba5556
    @madalemachemba5556 9 місяців тому +6

    Pole brother na Hongera sana tunaitaji Askari kama awa Ungekua Mfanyakazi wangu Ningekupandisha Cheo kama Motisha zaidi

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 9 місяців тому +21

    Katoe sadaka kwa yatima kumshukuru Mungu aliyekuokoa

    • @Awatee
      @Awatee 9 місяців тому +2

      Kwa kweli mtihan

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 9 місяців тому +5

    Hongera sana Askari wetu..Mungu daimabakupe ulinzi..pia upone haraka.

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 9 місяців тому +7

    Hongera kamanda,unastahili pongezi.na hao askari wenzako mliokuwa pamoja siku hiyo.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 9 місяців тому +17

    Hongera sana,Askari wangu,uongexewe vyeo kibao.

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 9 місяців тому +6

    MWANAUME USIKUBALI KUFA KIZEMBE, PAMBANA MPAKA MWISHO.

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 9 місяців тому

      Hahaha wew unawez kupambn na Chui

    • @johannesssamsonambogo4125
      @johannesssamsonambogo4125 9 місяців тому +2

      @@aminatanzanya7475 SIYO CHUI TU KIUMBE CHOCHOTE AMBACHO KITA NIATTACK ILI KUTOA UHAI WANGU NAPAMBANA NITAKABILIANA NACHO IPASAVYO BILA UOGA WOWOTE, ALAFU TAMBUA SHUJAA HANA SIRI ZAIDI YA KUWA JASIRI KUKABILIANA NA TATIZO LINAPOTOKEA

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 9 місяців тому +5

    Pole ndugu na hongera Sana na Happy New year 🎉

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 9 місяців тому +6

    Pole sana kaka na ongera kwa mungu kukupa ujasili wa kupambana na chui mnyamba huyo hatari sana hawana masiara

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 8 місяців тому +2

    Kuna kazi ngumu na mazingira magumu na hii ya kufanya kazi ktk hifadhi za wanyama pori ni ngumu na hatarishi mno..mfn nyoka kuingia ndani ni jambo la kawaida kabisa ,.kupishana na tembo au nyati nyoka nk ni kawaida...ki ukweli ni Mungu tuu anawalinda! Alitulindaga🙏
    Huyu askari malipo ya kuumia kazini yanamuhusu

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 9 місяців тому +8

    Pole sana kaka mungu akuponye halaka

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 9 місяців тому +6

    Mwenye mume huyu akae Kwa adabu😢

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 9 місяців тому

      Waja mnamambo😂😂

    • @Awatee
      @Awatee 9 місяців тому

      😂​@@fettyrashid9042

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 9 місяців тому

      ​@@fettyrashid9042
      Wajamnamboooo nyimbo ya leila Rashid😂😂😂😂

    • @madalemachemba5556
      @madalemachemba5556 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 9 місяців тому +2

    Mama Samia mzawadie kama magoli ya timu zetu

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 9 місяців тому +2

    Huyu ndo mwanaume sio hao walamba lips😅 hongera sana na pole sana afande wetu

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 9 місяців тому +6

    Waaah pole sana chui 😢😢😢😢😢Nakimbuka hata kwetu kuna baba mmoja alinusurika na chui

  • @aklanhassan2917
    @aklanhassan2917 9 місяців тому +1

    Kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti. Chui kauliwa kwa silaha (bunduki) tena waliomuua ni askari wenzake. Kichwa cha habari kinasema askari apambana na chui mpaka kumuua. Karagabaho pyeeee!! 😅

    • @pakacha70
      @pakacha70 8 місяців тому

      NIi kweli kichwa cha habari ni tofauti kupambana na chui mpaka kumuua si rahisi tena mtu mmoja mnyama chui anaweza kupambana na watu zaidi ya 3 na akashinda pasipo watu hao kutumia silaha

  • @Gabonfreeman
    @Gabonfreeman 9 місяців тому +1

    Samson wa Tanzania 🇹🇿😅
    Tunamsubiri delila

  • @chuwimkali547
    @chuwimkali547 8 місяців тому

    Uyu angekuwa pekeyake asinge muweza mwamba yupo mtwara uyo alipambana nachuwi pekeyake

  • @faithnyamburairungu-hq2nk
    @faithnyamburairungu-hq2nk 7 місяців тому

    KWS jifunzeni, wanyama wakivamia wananchi wanastahili kuuliwa, hasa kama fisi huko Juja na Nyacaba

  • @RobertNdaskoy
    @RobertNdaskoy 9 місяців тому +4

    Pole sana kamanda

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 9 місяців тому +4

    Bila risasi usingepona bro,, Chui ni mnyama pekee kwenye taaluma za Martial arts,,, Riadha na Kuogelea,,,,, HAKUNA binadamu mwenye uwezo wa kumuua pekeake kwa mikono,, bila hata Kisu....

    • @alitante4279
      @alitante4279 9 місяців тому +1

      Zipo mbn njoo nkufunze dgo😅😅

    • @OmanOman-bx5du
      @OmanOman-bx5du 9 місяців тому +4

      Yupo kija mmoja. Uko tunduru wilaya nyasa aliua kwa mikono alimkamdamiza. Kwa mikono na kumshambulia akamuuwa

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 9 місяців тому

      Kwa maelezo yake kwakuwa alikuwa tayari memuamgusha chini na amemuwekea goti tumboni nauhakika Chui angekufa tu.

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 9 місяців тому +3

    Baba wabeja detele ngosha

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 9 місяців тому +3

    Dahhh pole sana ndugu. Jmn pole maana chui ni hatari sana!

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 9 місяців тому +12

    Msukuma 1 tu,askari poli jasiri kabisa.Mungu akupe afya njema na uendelee kuipenda kazi yako.utafika mbali sana.

  • @claudjoseph6932
    @claudjoseph6932 4 місяці тому

    Bwana mdogo Mungu akuongezeeujasili

  • @aloyceponela3249
    @aloyceponela3249 9 місяців тому +2

    Hongera sana kamanda.nakuombea upandishwe cheo

  • @elikanasamwel
    @elikanasamwel 9 місяців тому +2

    Hongera sana afande kwa umahili huo

  • @GeofreyNazaelly
    @GeofreyNazaelly 8 місяців тому +1

    Duuh mungu awasimamie mapolisi wote wa wanyama poli ❤❤❤❤❤❤

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 9 місяців тому +2

    Pole broo umepambana umeonyesha ujasiri

  • @SamsoniSona-sx3sw
    @SamsoniSona-sx3sw 9 місяців тому +1

    Mh rais muone huyu baba kwa jicho lako

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 9 місяців тому +2

    Apewe zawadiii ambayo hatosahau

  • @ImamHassan-v1z
    @ImamHassan-v1z 8 місяців тому

    Nyinyi ndo asikali wa ukweli na sio askali polisi wazulumati wale nyinyi ni myamba bigap

  • @dannyagaya5253
    @dannyagaya5253 8 місяців тому

    Wewe ni shujaa unastahili kupandishwa cheo

  • @RoverRoom
    @RoverRoom 8 місяців тому

    Huyu ndiye Chui sugu.hongera askari

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 8 місяців тому +1

    Utukufu Kwa Mungu 🙏 hongera sana Kwa ujasiril na atukuzwe Mungu kukulinda.

  • @BonfaceKasamba
    @BonfaceKasamba 7 місяців тому

    Pole sana na mungu ako na mpango juu yako sio raisi kumuua uyo chui

  • @alexiskubwimana8854
    @alexiskubwimana8854 7 місяців тому

    Mungu wangu! Bwana Yesu asifiwe sana kwa kukulokoa

  • @barakae.n6418
    @barakae.n6418 9 місяців тому +7

    Only God did 🙏

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 9 місяців тому +3

    hongera mwamba

  • @danielkullwa1613
    @danielkullwa1613 8 місяців тому

    Duh...hatari sana...Ayo uturudishe siku moja TRC watuoneshe zile interiors za behewa za VIP, second na first walizoleta ...

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 9 місяців тому

    Mwamba apewe cheo 🏆

  • @SululuZungu-kx8ws
    @SululuZungu-kx8ws 9 місяців тому +1

    Utapona ila hiy kaz sio kaz tafut kaz nyngine watakukula hao wanyama

  • @deusmichael2290
    @deusmichael2290 8 місяців тому

    Nawashauri muongeze protective gears.....k.v helmet za kufunika vichwa, gloves ngumu n.k......by the way huyo jamaa anastahili heshima anayostahili, ni shujaa kama mashujaa wengine....salute kwako ngosha...

  • @salummussa1139
    @salummussa1139 9 місяців тому +3

    Hongera braza

  • @HermaniMugabe
    @HermaniMugabe 7 місяців тому

    Askari kamilifu apewe

  • @lilianmoyo316
    @lilianmoyo316 7 місяців тому

    Pole na ubarikiwe sana

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 8 місяців тому

    sasa mwamba alituma CV ya kuomba kazi ili awatumikie wananchi na sio kuongeza zero zero kwa namba inayo fuata mikataba mirefu mirefu tu mnao faidika wacheche tunao umia wengi pesa zetu mnaenda kuziweka geneva huko kichomi kingine jeshi la zima moto fanyeni kazi kiufanisi 🏆💛💚💪🇹🇿🇦🇪

  • @zakayomasingoti9238
    @zakayomasingoti9238 8 місяців тому

    Kwann hamuvai elmet?

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 8 місяців тому

    Kuna mshua morogoro ali pambana nae chuku chuku hakuna panga Wala lisasi.... Hongera Police poli

  • @fahadfaraj6474
    @fahadfaraj6474 9 місяців тому +1

    Daah unavyobisha kama ulikuepo simulia wewe basi.

  • @andrewmwakisu7670
    @andrewmwakisu7670 9 місяців тому

    Milard vijana wako waache Mbwembwe, toa utangulizi acha habari iendelee wasikate kate habari

  • @BariisSamatar
    @BariisSamatar 7 місяців тому

    Pole sire na hongera ALLAH akupe afia yako kama kawaida INSHALLAH ❤

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 9 місяців тому +1

    Apewe fidia ya kutosha kwa ushujaa wake hongera sana na pole kwa maumivu

  • @magdalenamoro7629
    @magdalenamoro7629 8 місяців тому

    Hongera sana shujaa,Mungu akulinde na majanga

  • @petermremi9898
    @petermremi9898 8 місяців тому

    Hongera sana shujaa.umeonyesha uzalendo kweli. Umejihatarishia maisha Kwa ajili ya usalama wa wengine. Mungu akubariki sana

  • @NasriRamadhani-zp3og
    @NasriRamadhani-zp3og 9 місяців тому

    Pôle san kabia uko jesh kwakwel

  • @chindemasoftware
    @chindemasoftware 9 місяців тому

    Ameuua huyo, maana huyo chuwi ni mnhama anaeitunzwa katika mbuga, akamatwe afungwe ameua chuwi😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Silentman006
    @Silentman006 8 місяців тому

    Pole sana kaka

  • @calvintemu2289
    @calvintemu2289 9 місяців тому

    Wakipona huwa wanaonyeshwa kwenye TV, vipi wakiuwawa na majangili au wanyama? Sijawahi kuskia hata siku moja

  • @brightonybunani8999
    @brightonybunani8999 9 місяців тому +7

    Hongera sana kamanda kwa ujasiri

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 9 місяців тому

    Waandishi mjifunze jinsi ya kuuliza maswali
    Kwani? Baadhi ya maswali unayoyauliza hayaendani

  • @AlexDitto-l7w
    @AlexDitto-l7w 8 місяців тому

    Ujangiri

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 9 місяців тому +1

    HONGERA SANA ASKARI WETU SHUJAA.

  • @suleimanissa2089
    @suleimanissa2089 8 місяців тому

    Pole sana kamanda jasiri. Unastahili upewe cheo wewe ni askari wa kweli

  • @mariawanjiru1275
    @mariawanjiru1275 8 місяців тому

    Pole kaka

  • @kephatz2814
    @kephatz2814 9 місяців тому +1

    Ngosha kamili 🔥🔥🔥

  • @erickmugisha-qz3hq
    @erickmugisha-qz3hq 9 місяців тому

    Mlitakiwa mseme askari aliyenusurika sio aliyemuua

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 9 місяців тому +1

    Pole sama kamanda

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 9 місяців тому

    Huyu ndio ngosha sasa nilidhani komandoo wa marekani kumbe ni komandoo wa kitanzania

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys 9 місяців тому +1

    Mungu akutunze kamanda wetu.

  • @mchawaamanmchawa593
    @mchawaamanmchawa593 9 місяців тому

    Sasa wazungu watakuja kuona nini tena huyu kaua wakati siku zote mnyama nibora kuliko binadamu

  • @AndreaHamisi-fg9bt
    @AndreaHamisi-fg9bt 9 місяців тому

    Kwahiyo umemuua rayvany

  • @emmanuelywilibert2198
    @emmanuelywilibert2198 9 місяців тому

    Kwa sikuyoyote chui akiwa anataka kukujeruhi wahi kupiga magoti unamshika mikono halaf unapika ngumi yakichwa anakichwa kilaini sana

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 9 місяців тому +1

    Pole sana

  • @YasinOmar-i1k
    @YasinOmar-i1k 8 місяців тому

    Pole xan kamanda na hawa ndo watu wa kupewa motisha kwenye kaz zao

  • @maase2023
    @maase2023 9 місяців тому

    Huyu ameua chui???? Mmmhhhh si kweli huyu ! Chui akuwahi utachomoka kweli??

  • @MaliganyaZula-o9q
    @MaliganyaZula-o9q 8 місяців тому

    Pole sana Kaka mkubwa pia mungu akulinde akuponye mapema

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 9 місяців тому

    Huyu aongezwe mshahara uwe mkubwa hongera aisaidii kitu

  • @SophiaRamadhani-e6b
    @SophiaRamadhani-e6b 8 місяців тому

    😢😢😢

  • @ZawadianagodfeyGodwin-wf9jv
    @ZawadianagodfeyGodwin-wf9jv 7 місяців тому

    😂

  • @AshThadei
    @AshThadei 8 місяців тому

    😅

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 9 місяців тому

    Apandishwe cheo haraka sana kafanyaka kitu kikubwa sana

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 9 місяців тому

    Hakika ni kamanda shujaa. Binafsi nampa kongole yake/yaani pongezi yake.

  • @ramadhanimwinyi-7445
    @ramadhanimwinyi-7445 9 місяців тому +1

    safi

  • @EdgarLema-qi9or
    @EdgarLema-qi9or 9 місяців тому

    Watu washaua chui kibao tena kwa kisu maojiano kama ayo ni kutafuta views 2 ayana mashiko

  • @EnockMushi
    @EnockMushi 9 місяців тому

    Pole mkuu kwa kupambana na chui mshukuru mungu

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 9 місяців тому

    Chui chui mm nilimpga teke moja tu akakatka shngo

  • @emmanuelywilibert2198
    @emmanuelywilibert2198 9 місяців тому

    Kwann amuuwe chui hajui ninyaraka za serikali

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 9 місяців тому

    Duuh kumbe chui wa miaka kumi nambili ao kumi natano ni muzee yaani umepigana na chui muzee 😂

  • @simasima8084
    @simasima8084 9 місяців тому

    Aisee pole maana ulikua ukitetea uhai wako sio wale wa kutaka kick,mungu akulinde

  • @thinker1094
    @thinker1094 9 місяців тому +1

    Big up soldier

  • @solomonsebo2691
    @solomonsebo2691 9 місяців тому +2

    Huo Mmea hapo nyuma nime uwelewa

  • @linahmlay8512
    @linahmlay8512 8 місяців тому

    Chui ua ni mzuri sana shida ni vita zake

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 9 місяців тому

    Pole sana wenzako wasingekuwepo yangekuwa mengne

  • @fikiriadriano4251
    @fikiriadriano4251 8 місяців тому

    Mtoa taarifa ambeye ni Askari anasema walimpiga bunduki, baada ya kumrukia taarifa inasema Askari apambana na chui Hadi kumuua 😢 Pumbafffff "

    • @KwabasiThaumidi-gm7vz
      @KwabasiThaumidi-gm7vz 8 місяців тому

      Siunaskia alimrukia kwanza wakapambana ndio wenzao wakampiga sasa risas wasingevamia kumpiga risas kwasabb hata ndugu yao wangemuuwa kwahio umakin lazima uwepo

  • @cettyamandus2929
    @cettyamandus2929 8 місяців тому

    Hongera Sana blooo upewe najuwa yako