Rayvanny ft Nikk wa Pili - Siri (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @lydiakemunto9582
    @lydiakemunto9582 Рік тому +183

    Nimerudi after wamerudiana na wametoa song ingine forever 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @pettybeautysalon
    @pettybeautysalon 9 місяців тому +148

    Kama unasikiliza huu wimbo 2024 nipe like

  • @bryt_mandela1
    @bryt_mandela1 9 місяців тому +22

    Huyu mzee Nikk wa Pili ni motooo ...here in 2024 kama ya jana tuu jameni.

  • @diana.j.clement
    @diana.j.clement Рік тому +11

    I thought the was going to die. Omg the song was for Faima. ❤❤❤

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 Рік тому +17

    Mungu mwema baba nikiteleleza usiuzunike,kama umekuja kusikiliza hii ngoma baada ray kumrudia fahy tujuane na likes 🇶🇦.

  • @AngelMkenda-hn9kx
    @AngelMkenda-hn9kx 9 місяців тому +198

    Kama upo unaskiliza wimbo huu2024 gonga like

  • @MwakaIbrahim
    @MwakaIbrahim 9 місяців тому +7

    Nyimbo unaiskia inaamsha hisia vany we ni fundi wa utunzi

  • @everlynemutheu4443
    @everlynemutheu4443 Рік тому +59

    Finally they are back together❤

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 роки тому +220

    Nani kaja kusikiliza hii ngoma baada ya van boy kumpiga chini fay 🇶🇦

  • @liliankavui2887
    @liliankavui2887 3 роки тому +12

    Nani kaja kucompare hii na ya Wanaweweseka♥️♥️.. Siri is lit, 💪

  • @just.st3lla168
    @just.st3lla168 2 роки тому +4

    Fayima looks pretty 😍

  • @patriciamugambi9197
    @patriciamugambi9197 3 роки тому +78

    Oyee i feel for Fayma😭😭😭.
    Hope she finds someone who will love her genuinely 🙏

    • @ruthkemunto3733
      @ruthkemunto3733 3 роки тому +4

      Me too😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭woi Ray watu hukosana please marriage to be strong lazima mkosane

    • @monicahsyombua6712
      @monicahsyombua6712 3 роки тому +3

      Vituko vya rayvanny has made me to come and listen this song again.. Atakumbuka fayma.. Like how now harmonize is asking for forgiveness kwa sara

    • @evaeve8388
      @evaeve8388 3 роки тому +2

      wah

    • @nelsondavid9806
      @nelsondavid9806 8 місяців тому

      @@monicahsyombua6712 is it real

    • @nelsondavid9806
      @nelsondavid9806 8 місяців тому

      @@monicahsyombua6712 is it real

  • @charleskuriah7287
    @charleskuriah7287 6 років тому +128

    Am Kenyan and I believe Nyashinski and Rayvanny would do a perfect love song.

  • @elvistheawesome4864
    @elvistheawesome4864 Рік тому +5

    Hii sauti ya vannyboy humu na uandishi nimeuelewa

  • @gorethkibona5091
    @gorethkibona5091 3 роки тому +3

    Duuuu haya bhn Ila wanaume mungu anawaona 😭😭😭 pole sana mdogo wng ipo siku mungu atakufuta machozi

  • @maestro_alx
    @maestro_alx 2 роки тому +241

    Kama Bado waisikiliza ngoma hii kuingia 2023 nipee like 😚💥

  • @metrisha2543
    @metrisha2543 2 роки тому +56

    Am so happy knowing that you guys are together again may your reunion stand still and raise your child as a whole family much love from Kenya 🇰🇪

  • @faisalal-miskry4669
    @faisalal-miskry4669 4 роки тому +3

    Hii nyimbo jamani sijui niseme kitu gani na isitoshe rapa wangu bora wa Bongo yumo, Daaaaaaaaah! I say. Ray enhhh! Big up brother. Nyimbo yangu bora kwa Rayvanny. Anayekubaliana na mimi gonga like hapa.

  • @magrethluoga2282
    @magrethluoga2282 3 роки тому +7

    Nimetoka kuangalia wana weweseka ...nyieeeeee maisha yanaenda kasi sanaaa

  • @josphinelukarishi8322
    @josphinelukarishi8322 Рік тому +9

    Kilichopangwa na mungu mwanadamu hawezi kutenganisha gonga like after kuwatch hii Tena after kurudiana

  • @ondiekikepha7666
    @ondiekikepha7666 2 роки тому +2

    Hii song yanikumbusha tu lockdown nikiwa mombasa had just landed a new job

  • @saidrashidi5153
    @saidrashidi5153 7 років тому +15

    Kunatofauti kubwa kati ya mwanamuziki na muimbaji... Huyu jamaa ni nyoko.. Nice work

  • @mariammaduta8894
    @mariammaduta8894 9 місяців тому +5

    2024 nyimbo ipo hot....inaunguzaa🎆🎆🎆🎆🎆🎇❤❤

  • @daisybeverly6944
    @daisybeverly6944 3 роки тому +222

    Still love this song even after listening to his new song 'wanaweweseka' with paula..I just feel for Fahyma💔💔

  • @BeltaMuli
    @BeltaMuli Місяць тому +6

    2024 November gonga like❤

  • @eliuthamangula1791
    @eliuthamangula1791 7 років тому +20

    even my dad will LOVE this..NICE SONG VANNY BOY..NIKKI NAILED IT..Good piece of work..

  • @HesyElvy
    @HesyElvy День тому

    Wimbo huu,ulichezwa kama nimeanza mahusiano na mpenzi Moraa October 3rd 2024.nampenda mpenzi wangu Mola atulinde

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 Рік тому +20

    Kama umekuja kusikiliza hii nyimbo baada ya rayvanny kumrudia fayhma tujuane likes 🇶🇦

  • @susanonyango8616
    @susanonyango8616 5 років тому +513

    Kama unasikiza huu wimbo baada ya fununu ya Fayvanny kuachana😢 gonga like hapa. Lila twawaombea warudiane kama kawaida.

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 7 років тому +39

    Tobaaaaaaaa😂😂😂😂social media mimi hupita nikinyemelea😂😂😂,huyu c ni Fahyma naona 🙌🙌🙌kweli hapa ni #True_love ☑☑☑

  • @cyrilfernandes5164
    @cyrilfernandes5164 6 років тому +117

    Hii nyimbo Kali sana, i can listen to it from asubuhi to the next morning, Team Vanny gonga like.

  • @savionjukinthiga808
    @savionjukinthiga808 Рік тому +1

    When wasafi was wasafi ak I really miss those days

  • @sadamali41
    @sadamali41 7 років тому +166

    Kama unapenda vvany boy sema hii piga like na comment

  • @hancyboy6136
    @hancyboy6136 7 років тому +11

    kichupa kimewaka ####
    nasa port mziki mzuri..%%%1000
    van umetulia kwenye mstari ujatoka njee ya biti..
    & Niki pia

  • @kbclassicbeat
    @kbclassicbeat 3 роки тому +91

    Baada Ya nyimbo Ya Paula tulio rudi apa tujuane gonga like😁

  • @amoscharz5606
    @amoscharz5606 7 років тому +112

    All the way from Ghana I don't understand the language used but I enjoy the sweet melody Tanzanians are very talented keep stressing nigerians🔥🔥🔥🔥

  • @andrew0502
    @andrew0502 7 років тому +7

    You are talented Rayvanny, nimekubali cna ubishi tena !!!! Hata hujaingiza mitusi mingi km nyimbo zngne

  • @SofiaMwero
    @SofiaMwero 5 місяців тому +9

    Jamen nani Yuko hapa 2024

  • @duncangilberth4958
    @duncangilberth4958 7 років тому +12

    Hakika sasa mbeya kuna kichwa cha mziki mbeya city gonga like yako kama unamfatilia mtoto wa nyumbani lakini huyu nick kaua aseeeeeeeee nawapenda sana

  • @allykassim1455
    @allykassim1455 7 років тому +16

    mwenzenu ninaposikiliza nyimbo nzuri km hii.namfikiria sana producer.unaweza kusoma koment kibao huoni aliposifiwa producer.hongera tena laizer.umebeba mafanikio ya WCB.

  • @queensheilahmoses4619
    @queensheilahmoses4619 3 роки тому +1

    Hawa watu walitoka mbali nimeumiya rayvany kuacha huyu mwanamke sasa analea pekeake amesahau fayma alimpenda akiwa ana ata sura pesa kidogo amesonga na kujisahau you need deliverance rayvany

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 7 років тому +22

    Talented cnaaa@niki wa piliiii kauaaaa ni noymahhhhhhhhh cnaaaaaa

  • @fridahnduku132
    @fridahnduku132 3 роки тому +7

    Rayvanny we love ur songs u sing soo nice... U talented but hungeamwacha Fayma hata basi uwaoe wote tu😭😭😭😭

  • @winfridamsukuru9819
    @winfridamsukuru9819 2 роки тому +1

    Nipo hapa baada ya penzi kurudi mala pake 🔥🔥🔥🔥🔥, Van huyu ndio mke tupelekee kwetu

  • @preshnazziah1235
    @preshnazziah1235 5 років тому +23

    Naomba kusikuwe na breakup happy I love this couples watching after kuona Naogopa ya Rayvan

  • @allykassim1455
    @allykassim1455 7 років тому +5

    hii kweli funga mwaka.inavoelekea hawa jamaa wa wcb store imejaa nyimbo.maana km ni msanii mwengine angesubiri 2018.kabisa

    • @mcrasi3775
      @mcrasi3775 7 років тому +1

      Niki wapili danger xana kubali xanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @prizemusic454
    @prizemusic454 4 роки тому +4

    Jamani nipo apa bado.roho hunituma kila.mara kuutazama hii wimbo.congrants vii.nipeeni likes twende

  • @butemeangela3673
    @butemeangela3673 3 роки тому +50

    True love 💕 never ends.the first choice is always the best, what goes around comes around

  • @nwufochisompromise8019
    @nwufochisompromise8019 3 роки тому +24

    I'm from Nigeria, but ravanny is my favorite Tanzania musician

  • @westernniccur7838
    @westernniccur7838 3 роки тому +3

    Ryvany you broke the promise you made to Fymah in this song....Wife comes first in your life time

  • @romanomc936
    @romanomc936 2 роки тому +23

    Verse 1: Nimeanza Safari la penzi na wewe Usikatishe Mungu mwema baba mbali otufikishe Mi binadamu nakasea nikiteleza usiuzunike eeeh Milele mwana dada, nikifa unizike Kutoka kwenye Ufungu wa moyo wangu tamka (Ni wewe) Taswira pekee kwenye ndoto zangu mamaa Ufariji pekee nikimwaga choza langu mamaa (Ni wewe) Imenishinda siri kifuanu mwangu aaahhhh Nikupeleke nyumbanikwetu sheri eeeehhh Ukawajue na ndugu zangu mamaaaaaa Unipeleke nyumbani kwenu bibi weweeee Nikawaone shemeji zangu mamaaaaa Chorus: Siri ya nini (Siri) Nini maaanaka (Siri) Siri ya nini (Siri) Nini hasra zabe (Siri) Siri oooooh siri Mapenzi ya siri Pre-Chorus: Oohhh mama lohloh Oohhh mama lohloh Oohhh mama lohloh Verse 2: Eehhh Nipeutam kabla ujutamka usingizi Sikam mbka tukiamka ni sirizi Ka konko tuende kamara kibirizi Mapaja yake utamu michirizi Micheputo imenuma imzira sili sili Na we ni kachumbara naye nizer pili pili Pili plil manga tunakilikili wanga Kilimanjaro nyumbani kwetu kisimiri mwanga Si mama Nikii Simama wima Siri ni kilele nikufikishe kwa bina Si umebeba beba mkungu wa mleba Uchungu ka kwao wakajifungue labour Uchungu ka kwao wakajifungue labour Pre-Chorus: Oohh mama lohloh (Mama Lolo) Kwako sijiwezi Oohh mama lohloh Sitoficha Mdudu mapenzi Oohh mama lohloh (Mama Lolo) Kwako sijiwezi Oohh mama lohloh Mama loh loh Chorus: Pa kueka moyo mi swa (Siri) Acha nikutaje ka jina (Siri) Najua wenye vitina (Siri) Jembe nipo nalima (Siri) Basi nawe usifiche mama (Siri) Sema na watupishe maa (Siri) Vichefuchefu watashishana (Siri) Penzi letu lislishe mamaa (Siri) Oh eh eh Hook: Oh eh Oh eh Oh eh oh Oh eh Oh eh Oh Wah Oh eh Oh eh Oh eh oh Oh eh Oh eh Oh Wah Outro: Siri ya nini (Oh eh Oh eh Oh eh oh) Nini maanake (Siri) Siri ya nini (Oh eh Oh eh Oh eh oh) Nini hasara zake (Oh eh Oh eh Oh eh wah)

  • @shemejiwaxxl9563
    @shemejiwaxxl9563 7 років тому +34

    Daah!!! Hussen jumbe zamani sana mzee wangu WCB hakika mnafukua vilivyopendwa enzi hizo mulianza na SAIDA kaloli mkaja MSONDO hii tena Hussen Jumbe !!!👏👏👏👏safi sana

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 роки тому

    Kaikatisha bwana,kibaya zaidi anajiona yuko sahihi kumbe kutwa anashinda kwa waganga kushindana na Yesu.

  • @chambimagele6726
    @chambimagele6726 4 роки тому +5

    2020 February kwani nyie mpo wapi jamani ??? Huyu ndyo Raymond Rayvany Vanyboy chui!!! From Nyanda za juu kusini the green city Mbeya Tanzania

  • @johndicksom7904
    @johndicksom7904 7 років тому +14

    naondokaaajeee bilaaa ku xhow loveee....
    ##Kazii nzuriiiii mzeee baba...
    #Nqkubaliiiiii

  • @fatmamohammed9723
    @fatmamohammed9723 3 роки тому +1

    Gonga like kama umekuja kuchungulia hii nyimbo leo baada ya kutoa nyimbo mpya akiwa na mpnz wake mpya @paulakajala Sema hii iko 🔥🔥 @Fahyvanny 🙌🏻🥰

  • @susanmwangi3989
    @susanmwangi3989 3 роки тому +236

    2021 still listening to my favorite musician

  • @normantembo5415
    @normantembo5415 2 роки тому +4

    It's really a hit despite listening to his new jams you are such a blessing to your country 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 much love for you dear

  • @shanbeb7661
    @shanbeb7661 5 років тому +3

    Ghai!my best couple...kama wewe ni mkenya na unaamini ipo siku watarudiana gonga like hapo chini tukisonga

  • @itambolilian9052
    @itambolilian9052 3 роки тому +4

    After he has drop another with Paul, I come back to compere , I recognised ya fayvan inahit sana.

  • @dianaahdarlingkenya7616
    @dianaahdarlingkenya7616 7 років тому +46

    Am here bcoz of mama Watoto fayhma😍😍😍😍😍😍😍😍😍 sweat music

  • @SabrinaAlly-ri7ql
    @SabrinaAlly-ri7ql Рік тому +2

    As if he knew 🥺🥺 mi binadamu nakosea nkikosa usiuzunike♥️♥️💯

  • @strongnana2226
    @strongnana2226 7 років тому +4

    Kudekezana muhimu sana kumdhamini umpedaye ..so swit❤❤mungu alinde ndoa yenu milele..

  • @edie4269
    @edie4269 3 роки тому +4

    This will always be my favorite 💝🥰
    Nimefika huku after ya Paula😌💔

  • @angelmsonge8506
    @angelmsonge8506 3 роки тому +1

    Rayvany alivyomuimbia paulla Leo nikaja kutazama na hii nikaona utofauti mkubwa yote mema Mungu awatunze pauvany na pia Mungu ampe fahyma amani na moyo wa kupenda Tena one love 🌝❣️🥺🥰

  • @fridausbakari5163
    @fridausbakari5163 3 роки тому +10

    I keep listening to this hit. I really feel for fahyma they were such a lovely couple.💔💔😭

  • @simsotv2261
    @simsotv2261 7 років тому +226

    Anaye mkubali rayvanny kuwa BET hakukosea kuichukua gonga like

  • @hashamyusuph2912
    @hashamyusuph2912 Рік тому +2

    Kama unasikiliza wimbo huu rayvanny na faivanny wameludiana gonga like hapa tufufahi Kwa pamoja❤❤❤

  • @hollosmiles
    @hollosmiles 6 років тому +22

    Wow!💜 #NICE SONGS. KILA MTU AMEHAMINI KAMA UNAMPENDA #FAHYMA NDIYO VIZURI MUNGU AWE NA wewe #rayvanny KABISA MANY GOD BLESS YOU I GIVE YOU ALL THE BEST IN YOU LIFE PROSPERITY 😍💜🔑🔑

  • @sarahparah3920
    @sarahparah3920 7 років тому +27

    Gonga like if you shed tears of joy seeing the two love birds in the video😍😍😍😍😍

  • @nyandwiniyera5535
    @nyandwiniyera5535 2 роки тому

    Man this song jamani bado na isikiliza my couple niliyo kua na penda kulizo zingine couples bado nipo kwenye maumivu kama ni mm nili achwa fayhma na rayvanny nina wa penda saaana jamani ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @abdurahmanahmed3839
    @abdurahmanahmed3839 7 років тому +6

    Tunakupendaaa na tuna penda kazi zakoo bidiii heshima na kuomba mungu ndio inakufanya kila siku juhudii

  • @kinyokasaidi
    @kinyokasaidi 7 місяців тому +3

    wangapi tunasikiliza wimbo huu 24 like nyingi wadau wimbo unatukumbusha mbali san

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 2 роки тому +26

    Sometimes it take one song to bring back thousands memories 😔
    What a song ❤💥

  • @CentrineMuchiti-d5n
    @CentrineMuchiti-d5n Рік тому +1

    Faymah forever,, mdada mzuri, mvumilivu😍,, mnaendanaaaaa eeeeiiiiish

  • @prossynamanya2446
    @prossynamanya2446 3 роки тому +33

    I can listen to this song all day n stay wanting more

  • @ernestomtweve2275
    @ernestomtweve2275 7 років тому +81

    Hujawah kosea kam unamkubli Rayvanny twend pamoja

  • @sabrinafaki3834
    @sabrinafaki3834 3 роки тому +2

    Kaka rayvan please rudi na umsamee dada fayma mnaendana sana pia mshazaa msimtese mtoto jaman please rudi na umsamee dada fayma

  • @Sossy2010
    @Sossy2010 7 років тому +16

    Nikki Wa Pili 🙌🏿

  • @tiktoktanzania2832
    @tiktoktanzania2832 7 років тому +264

    Mbeya boy..mnyakusya anae jua kuimba na wala hajidai
    ..mbeya city stand up..gonga like hapa

  • @nelso2555
    @nelso2555 Рік тому +2

    Ndo leo najua kua video queen wa hii nyimbo n fayvany

  • @honorineumuhoza6216
    @honorineumuhoza6216 7 років тому +17

    Asante kaka ngoma hii imenigusa pia x wangu kumtumia akaumia sana juu amegundua kosa lake

  • @okangakelvin2216
    @okangakelvin2216 2 роки тому +46

    4yrs later and I can't stop listening to this. Kenyan love is real.

    • @AKN-r9z
      @AKN-r9z Рік тому +1

      this mans voice is killing me.wanikunywa cheeeiiii

  • @jemimakisaka8620
    @jemimakisaka8620 3 роки тому

    Rayvanny bigup sana i love u so big your music makes my day,,,plz achana na watu wenye bifu waendelee na bifu zao siri ya nini kuiweka moyoni mwangu,,,,kila msanii alie na bifu hupoteza mashabiki

  • @stevemoshy525
    @stevemoshy525 7 років тому +21

    Nikki wa pili ni hivi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @charlesekongo8967
    @charlesekongo8967 4 роки тому +17

    Still listening to this song.
    Excellent lyrics.
    Good soft rap.
    Good tenah.
    Waaw I can't express, my curfew in Kenya is marvellous with the song.
    Big up rayvanny ♥

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 3 роки тому

    Mwanamkeee anaye mtaka Ravanny ni maa Heydan😘😘❤❤❤ fayvanny wanaendana fayvanny mzuri saaaana tunaumiya ss mashabiki wa Rayvanny kuona fayvanny hayupo na Rayvanny 😭😭😭😭😭😭😭

  • @Iam_whinz
    @Iam_whinz 7 років тому +15

    don't get me wrong when i say I LOVE RAY VANNY. Bro thanks formaking my life worth the living. Bless you

  • @loibigirimana2840
    @loibigirimana2840 7 років тому +6

    That's ur woman rayvanny never let her go❤ if u are happy they have get back together give me a like

  • @limoghasia321
    @limoghasia321 Рік тому +3

    Nimerudia baada ya wimbo wa Foreva

  • @ummulkheirzubeir6320
    @ummulkheirzubeir6320 7 років тому +6

    Jmn wasan punguzen kiki kumbe bado mpo wote kuturusha roho huko veepe jmn nmefurahi kumuona #fayvanny gonga like kama umemuona fresh jumbe ila WCB mnajua kutukumbusha wasani wa zaman

  • @deborahelias943
    @deborahelias943 7 років тому +16

    Uuuuuwwww!!!!!! Vanny bhana nlikuwa cjaiona kabxa hii nyimbo but nmeipokea ka dedication kutoka kwa fiance wangu

  • @roycemaige-ij3ud
    @roycemaige-ij3ud Рік тому +2

    Nan mwingne kaja hapa baada ya forever mpya yy na fahvany tena??

  • @rinahtina8327
    @rinahtina8327 7 років тому +21

    Team gulf mko wapi gonga like.. kwa wenye wanakubali tz wanajua kuimba nipitishie ## like

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 7 років тому +31

    Nahisi km nasikiliza #Unikumbushe ya Vanny ft Bahati........ melody na singing pattern hajabadilisha..... great song #wcbforLIFE

  • @ManaseMoleli
    @ManaseMoleli 7 місяців тому +3

    Wimbo mkali xana 2024 lakin bado nauonaa mpya

  • @goodnewsberneth308
    @goodnewsberneth308 7 років тому +11

    This guy has the voice of Angels. More love Bro. More love Tanzania.

  • @youngboy2200
    @youngboy2200 7 років тому +37

    hatari Sana van boy mtu m, baya ft Niki wa pili like zenu hapa wadau kichupa kikali

  • @justinasyokau2020
    @justinasyokau2020 4 роки тому +1

    I love your love songs
    Mistari unapanga vizuri

  • @elishathomas2805
    @elishathomas2805 4 роки тому +141

    2naotazama ngoma hii 2020 tujuane kwa like2! Jaman