Inasikitisha Sana.Japo hakukuwa na sababu yeyote kwa merehemu Jackson kupanick kwa kuitwa jina lile kwa sababu yeye ndiye mmiliki wa bar,na kuitwa vile kusingempunguzia hadhi yake ya umiliki wa bar.Lakini tunasikitika kumpoteza ndugu yetu.Ila mtuhumiwa ataona madhara ya hasira na unywaji usio wa staha.Kama huna uwezo wa kudhibiti kiwango cha unywaji ni bora ukaacha kabisa kuliko kuingia kwenye shida kubwa namna hii.
Imetuumiza sana aiseee

Wapi huko
KAZAMILIA NO COMMENT NA YEYE KUNYENGWA KAHENDA KWAKE KACHUKUA KISU KALUDI KAUA UTASHANGAA KESI IYO ITAKAA MDA MLEFU MAHAKAMANI HUSHAIDI WOTE UPO WAZI