Mungu akubariki sana Dada yangu, ni mambo mengi nayapitia kwa sasa, ila naona ushindi mbele yangu kwa kuwa ninayemwamini ni mshindi. Ubarikiwe sana Dada kwa ujumbe na Mungu wa mbinguni azid kukuinua kwa viwango vingine.
Da vaileth nimefurahi sana kuona ukitimiza NDOTO yako ya kuwa mwimbaji bora kabisa, hongera sana dada, nakumbuka yukiya chuo kikuu ulikuwa ukisoma sana na kutuma nyimbo za kumsifu mungu, Hongera sana
Nani bado anaangangalia hii video twenty twenty...(2020)...mtumishi wa Mungu Vaileth mwaisumo nakukubari saana .NA MUNGU AMEWABARIKI MNOO MNA KITU CHA PEKEE NA MME WAKO MCHUNGAJI AMANI KIWALE.MUNGU AWATANULIE MIPAKA YA HUDUMA YENU ZAIDI.ambao bado mnaanga hii video mwaka huu naomba niwaone like zenu.
Hakika dada MUNGU Anaishi ndani yetu bila kutuchoka Atabaki Kuwa Mlezi Wetu Milele Daima Nikwambie Tu Kitu dada hii ni nyimbo Ya Kuhudimia Watu Na Kuwakumbusha Watu Kutokumtegemea Mwanadamu maana,wanadam wanatuchoka lakini MUNGU hatuchoki Ujumbe mzuri dada Angu Nimeipenda Sana
From TikTok to this platform....enyewe amebaki mwenyewe
Amen inatia nguvu sana wimbo huu❤❤
Wakati kipindi cha maisha ni kigumu Huwa ni Mungu anabaki i katika maisha Yako
Amen
It's a Jamhuri day in Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️ good song to our souls 🙂🙂 watching,,,, 12th December 2024
Hii nyimbo ukiimba kwa kumaanisha huku unacheza utaona vifungo vinapofunguliwa
Sifa na utukufu kwa aliye juu😍😍
Ohooooo hallelujah
Umebaki mwenyew ,,,,vizuli sana dada yangu nakupenda sana
Sawa nakutakia kazi njema
Amen, hakika YESU pekee ndio kimbilio letu ,barikiwa sana
Mungu akubariki sana Dada yangu, ni mambo mengi nayapitia kwa sasa, ila naona ushindi mbele yangu kwa kuwa ninayemwamini ni mshindi. Ubarikiwe sana Dada kwa ujumbe na Mungu wa mbinguni azid kukuinua kwa viwango vingine.
Hakika umebakia pekeyakoo baba unitoshae! Mungu akubariki dada
Viwango Mungu anavyo kupeleka nivya juu sana endelea kunyenyekea kwake
Gadi Edio amen kaka shukrani sana nami nitafanya hivyo
Mungu Akuinue Zaidi Mtumishi 👍
Dada Vaileth Mungu akuinue zaidi, kazi nzuri imenitia moyo sana
Amos Msambila shukrani sana kaka Amos
Da vaileth nimefurahi sana kuona ukitimiza NDOTO yako ya kuwa mwimbaji bora kabisa, hongera sana dada, nakumbuka yukiya chuo kikuu ulikuwa ukisoma sana na kutuma nyimbo za kumsifu mungu, Hongera sana
Umebaki mweyewe Baba kwa daima naakungoja Baba nakuhitaji
amen..umebaki mwenyewe baba yangu
Amina
wimbo mzuri nimeupenda sana wimbo huuu.ubarikiwe
Daah wimbo mzuri na umenibariki mnoo Mungu azidi kukuinua katika viwango wa juu zaidi
Ameen,,n wewe 2 baba umebaki kwa maisha yangu.asante mum
Amina
Barikiwa sana
Barikiwa best mungu akupiganie utimize malengo
Halima Hamisi shukrani sana
Barikiwa saanaaa
Amina🙏🙏umebaki mwenyewe Baba🙏🙏upon you we all surrender 🙏🙏
Ongera my dear mungu akubariki sana
Hakika ni yeye mwenyewe tu ndie kimbilio la kweli,MUNGU azidi kuibariki huduma yako dada
Hakika amebak mwenyewe tu ma penda sanaa ww da vaileth kipenz Mungu azd kukuvisha vaz la sifa my love
@@vailethmwaisumo Jamni kumbe ndo wew Dada angu nakupenda sana
@@vailethmwaisumo sawa Upo poa sana
Ahsante sana, naupenda wimbo huu sana
Who is here 10/2/2024 umebaki mwenyewe Tu baba❤
I'm here
Hallelujah barikiwaaaaaaa saaaanaaaaa Mtumishi
Wimbo mzuri sana dadaangu Mungu aikuze maradufu huduma yako hii
Alex Benjamin shukrani kaka
Ubarikiwe katka bwana
Amina
Barikiwa kwa ujumbe mzurii
True umebaki mwenyewe baba🇰🇪🇰🇪
Kweli amebaki mwenyewe barikiwa sana
Umebaki mwenyewe baba🙏😭😭😭
❤
Asante da mkubwa umenibariki my dada barikiwa
God bless you my mother
Barikiwa dada
Hongera sana mtumishi wa Mungu
ubarikiwe sana sana kwa huduma
claudio nyenje shukrani sana mpendwa
hongera Mamy nyimbo nzur San imenigusa
Ubarikiwe sana my dada kwa uimbaji bora kabisa
Escor Tweve shukrani sana mpendwa
Hongeraaaa wimbo mzuri
Nani bado anaangangalia hii video twenty twenty...(2020)...mtumishi wa Mungu Vaileth mwaisumo nakukubari saana .NA MUNGU AMEWABARIKI MNOO MNA KITU CHA PEKEE NA MME WAKO MCHUNGAJI AMANI KIWALE.MUNGU AWATANULIE MIPAKA YA HUDUMA YENU ZAIDI.ambao bado mnaanga hii video mwaka huu naomba niwaone like zenu.
Ujumbe mzuri Barikiwa sana Mtumishi
nice video!😃😃😃hongera sana nmeipenda na ujumbe mzuri
May God bless you servant of God vaillet
Amen
Kazi nzur ,barikiwa
Bonge la wimbo nmeusikiriza sanaa unanpa faraja bless best
Kazi nzuri endelea kupambana mdada
Aloyce Mlivatwa shukrani sana mpendwa
Daaa nimebarikiwa Sana kwa wimbo huu,Ukawe kichwa nas mkiaa ktk uimbaj wako,
Dada wimbo wako mzuri Sana ,ubarikiwe MUNGU akuongezee kipaji
Nyimbo nzuri sana Mungu aendelee kukuinua
Daniel Benard shukrani sana
Amina Dada mungu wambinguni akubaliki
Hakika dada MUNGU Anaishi ndani yetu bila kutuchoka Atabaki Kuwa Mlezi Wetu Milele Daima Nikwambie Tu Kitu dada hii ni nyimbo Ya Kuhudimia Watu Na Kuwakumbusha Watu Kutokumtegemea Mwanadamu maana,wanadam wanatuchoka lakini MUNGU hatuchoki
Ujumbe mzuri dada Angu Nimeipenda Sana
FABIAN MODERN amina kaka barikiwa
Aminaaa ni nyimbo nzur sana
Mungu akutuze na akupe afya njema ili uzid kutufundisha mema ya mungu
Amina mpendwa
Wow! wimbo mzuri sana umenibariki
Wimbo huu nausikilza kila saaa, unanibariki mnoo
Mungu akubariki kwa huu wimbo
@@mariamjuma1371O'Toole's I my friend good
Wimbo mzur saana mpendwa barikiwa saana
Mungu akubariki dada yangu ujumbe mzuri sana na hakika amebaki yesu pekee hasa katika dunia yetu hii
Barikiwa da vai Mungu akutunze
What a soul Nourishing song.........whose here 2024
Barikiwaaaaaaa
Nipoa
flora Tanzania misayo video nzuri pia ကashairi mazuri
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe wako.
hakika amebaki Yesu tu ... Mungu akubariki kwa wimbo mzuri na wenye nguvu dada yangu
Barikiwa mtumishi wimbo mzuri na ujumbe mzuri
God bless you my sister good song
Nabarikiwa dada Mungu akupandishe viwango
Hakika Mungu nishike mkono Baba maana sina mwingine pasipo wewe.....nahitaji mwongozo wako katika kila hatua ninayopiga🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen...barikiwa mumie
Balikiwa San dada kwel amebaki mwenyewe to hakuna kama yeye
Umebaki Mwenye baba
Amen
Wimbo mzuri sana. Ubarikiwe sana
Barikiwa sana mu sister
Hakika amebaki yeye tu Kwa Maisha yangu ,ubarikiwe mumy
Amina hakika amebaki Mungu mwenyewe mpendwa barikiwa mtumishi
My song Mungu akubariki
Kaz nzur barikiw Amin
Ongera sana
Nyimbo nzuur my
Wimbo mzr sana barikiwa mtumishi wa Mungu
Wimbo mzuri Sana dada Mungu azidi kukutumia apendavyo
Wimbo mzuri video nzuri hongera Umebaki mwenyewe Yesu
Who is here 2024.....umebaki mwenyewe
Am here
Hii🙏
Nimekubali ubalikiwe sanaaa
Asanteeee
Hakika ni wimbo mzuri sana unatia nguvu Mungu akubariki na aendleee kukutumia
safi sister kazi nzuri Mwenyez MUNGU akusisamie vyema kaka utendaji kaz wako mzuri
Baba Baki mwenyewe kwenye maisha yangu
Ubarikiwe Dada
Umetisha sana mwalm wangu
Hata Kama life n ngumu mungu hawezi kukuwacha Kwa sababu yeye n mweza yote,,, mungu akubariki sana mum❤❤🙏
Video nzuri sana na ujumbe Safi kabisa kazi yako ikapate kibali mbele ya Mungu baba
Nyimbo nzr xanaa🔥🔥
Ata na mimi naumia sana nimeotea nyimbo yako kali sana. et umebaki mwenyew umebaki mwenyewe
Nabarikiwa sna na hii nyimbo Mtumishi Mungu mwema azidi kukutumia na kukuinua zaidi. Nakupenda unajua mama
Ubarikiwe sana dada your songs encourages me alot
Amina
Hongeraaa dada
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Umenibariki Sana na huu wimbo. Mrs Mc Willehard
Umebaki mwenyeweee
Hakika wanadamu wanaweza kukuacha lakini Mungu anabaki na wewe daima. Asante na barikiwa pia katika huduma yako Dada.
Hakika umebaki mwenyewe 🙏wimbo mzuli sana mpendwa..
Barikiwa sana
Magreth Emmanuel amina mpendwa wangu barikiwa sana
Hongera kwa wimbo mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu
Mtumishi mwema umebaki mwenyewe hakisha mungu akupambane maisha kwako
🎶Kazi nzuri sana Dada yang
balikiwa Sana madam nyimbo imebeba ujumbe mzuli
Isack Mwakasyuka shukrani sana
Amen ubarikiwe na Bwana.
Nimeipenda wimbo mzr sana
Blessing Priri shukrani sana mpendwa
vaileth mwaisumo tuko pamoja