Amen amen. Mungu anusuru ndoa mana zimegeuka shubiri tena mbaya. Boko haramu waurumie watu. Mzozo wa sudan wakuu wa Afrika waingilie kuepusha ya libya.unaetenda juu wanawake Mungu akubariki. Mungu atusaidie wafrika. Amen.
It is a great pleasure that the BBC is running a program in the studio of African news section, a Muslim woman reporter with a headscarf, this example should be implemented in Persian and English as well.
Huwezi kuchukia mtu kama Ronald Reagan akiwa mjinga. Japo alichaguliwa na watu wengi, haikusaidia kumpa uerevu na akili ya kawaida inayotambua utofauti kati ya binadamu na mnyama mwingine. Ahsanteni BBC kwa makala na taarifa maridadi kabisa
Tuko wapi mahali salama kwa Waafrika?.... video hizi zinaonyesha jinsi Waafrika walivyokuwa wakitendewa vibaya sana kila mahali duniani ..ua-cam.com/video/5lOGI43O4EA/v-deo.html
Amen amen. Mungu anusuru ndoa mana zimegeuka shubiri tena mbaya. Boko haramu waurumie watu. Mzozo wa sudan wakuu wa Afrika waingilie kuepusha ya libya.unaetenda juu wanawake Mungu akubariki. Mungu atusaidie wafrika. Amen.
It is a great pleasure that the BBC is running a program in the studio of African news section, a Muslim woman reporter with a headscarf, this example should be implemented in Persian and English as well.
Naipenda sana bbc hogera nawapata popote Mozambique
Nipo wakwaza leo bbc swahili ❤️❤️❤️👁️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mi nkajua nmewahi kumbe sio hahaha
@@حليمهال-غ1ظ Hata na mimi pia nilidhan nimewahi. Hongera BBC kwa habar moto moto!!
Romeo Romeo heko bbc kwa haabari
Endelea kufuatilia mtandao wa kijamii taifa
Asanten BBC kwa habar
Karibu sana
Hongera BBC Swahili kwa habari za uhakika
Karibu sana
Hongela BBC swahili kwa habari za u hakika nami ni rwanda
Shukran mwanangu jadhaakalah kher kwa habar nzur dunian
Asante
Zuhura anaogopa kupanda hao punda, Shukran BBC
Karibu
We are so happy new technology in Africa we need it at Burundi 🇧🇮 too please
sawa
Hongereni BBC Kwa Taarifa murua
Mungu turehemu katika uovu wetu, wanake wa marekani epukeni uchokozi dhidi ya Mungu utoaji mimba in dhambi isiyosameheka epuka adhabu ya Mungu.
Tumeshukuru mama zuhura na BBC.
Ahsante bbc kwa habari
Wow 😮 she is hero 🦸♀️
Huwezi kuchukia mtu kama Ronald Reagan akiwa mjinga. Japo alichaguliwa na watu wengi, haikusaidia kumpa uerevu na akili ya kawaida inayotambua utofauti kati ya binadamu na mnyama mwingine.
Ahsanteni BBC kwa makala na taarifa maridadi kabisa
karibu
Vita aijawahi kuleta AMANI nibola wakaingia mazungumzo naijeria
Haswa upo sahihi
Waafrica ni nyani lkn hamuendi bila wao.
asante
Dhuuu kwaiyo sisi ni nyanii??? Duhhh
hapana
JPS vizur sana
shukran
Bbc habari
Bbc, hivi kweli mke wa mtawala wa Dubai ndo anakuwa kwenya kichwa habari??
Ni habari kubwa kwasababu ni familia ya kifalme mkewe pia anatoka familia ya kifalme taarifa inahusisha Dubai, Jordan na London
Tuko wapi mahali salama kwa Waafrika?.... video hizi zinaonyesha jinsi Waafrika walivyokuwa wakitendewa vibaya sana kila mahali duniani ..ua-cam.com/video/5lOGI43O4EA/v-deo.html
Erick . Kwa nilazima ukimpanda faras nawe uwe unacchezachea kama unatembea na mguu.
Hahahahaha
ATA MM NAOGOPA FARASI.
mke wa 6 umeupita adi uislam kweli mfalme wewe kiboko
hahahahaha
Jamani uko Iran kunaendeleaje na usa
Nimemwona huyo mtoto huyooooooooo
Mimba jamani zitolewe na Doctor iwapo Mama anaonekana yuko hatarini kufa tu,Trump Simama hapo usiruhusu ni ushetani huo
Asante sana
ZUHRRA ntakununulia punda uingie hayo mashindano mama
hahahahahaha
Mfalme WA Dubai ni kafir kuoaje wanawake 6 wakati hairuusiwi kislamu mwisho WA NNE tu kuoa
dooh huenda kwasababu ni mfalme au?
Sio wake 6 kwa wakati mmoja wengine alikua kishaacha.
Makunwa nilidhani zuhura uyo mwendesha punda hahaa