Aliko Dangote sio Tajiri namba moja tena Afrika, nafasi yake yachukuliwa na Bilionea huyu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

КОМЕНТАРІ • 47

  • @mastaplan
    @mastaplan Рік тому +8

    Dangote still on Top in Africa Continent baada ya Mansa Musa

  • @espoirbesthope5727
    @espoirbesthope5727 Рік тому +10

    Dangote for Life, hao wazungu sisi hatuwajuwi hapa Africa. Inakuwaje mzungu awe tajiri no1 Africa? Kiukweli Wasituchezee hadi na huku pia 😢😮

  • @pillympili5804
    @pillympili5804 Рік тому +20

    Tunamtambua dongotee huyo mzungu aende mbele huko😂

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 Рік тому +2

      Tunamtambua! wewe na nani?

    • @nusalim3389
      @nusalim3389 Рік тому

      Kama ni hivyo basi Oprah SI mwanamke tajiri marekani kwa kuwa sio mweupe,mbona wao hawajasema arudi kwao,mbona Forbes ya marekani wanamtambua yeye,Kisha mbona richest msanii wote wawili ni weusi Jay z na Rihanna na wamegota Forbes,SI kwasababu ni wamarekani hata kama asili Yao Africa, na huyo dangote kama wangekuwa na chuki nae miaka yote SI wangemtoa tu Forbes dakika moja,kwa njama yyt Ili wamuweke mweupe,kuwa na akili,hizi ni haki za mtu sio kwa rangi yake,tumia akili

    • @missnamwambemomentstv7753
      @missnamwambemomentstv7753 Рік тому

      ​@@Oldskulgemini9991na ww hapo...mbona swali jepec😅

    • @kizdady2544
      @kizdady2544 Рік тому +1

      @@Oldskulgemini9991 mimi hapa

    • @yolo5261
      @yolo5261 Рік тому

      @@Oldskulgemini9991aaah umezaliwa wapi ww

  • @jeremiahmsemwa8323
    @jeremiahmsemwa8323 Рік тому +3

    DANGOTE so soon anarudi top... uwekezaji wake wa mafuta Nigeria utamrudisha top

  • @irakozethierry6699
    @irakozethierry6699 Рік тому +1

    DANGOTE BABA LAO🤣🤣🤣

  • @abduljabbarmohammed4188
    @abduljabbarmohammed4188 Рік тому +1

    Johann Rupert si muafrica.
    Aliko dangote Bado ni namba Moja.

  • @pinielefraem4159
    @pinielefraem4159 Рік тому +3

    Sisi tunamtambua dangote ata awe nafasi 10 tunajua ndio tajiri mkubwa afrika

  • @hamisijumanne4137
    @hamisijumanne4137 Рік тому

    Safi sNa

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Рік тому +3

    Online money. Wao wanajua pesa ambazo wanazo usidanganywe. Africa na dunia nzima pesa za mtu ni vigumu kuzijua

  • @wazambulitv5735
    @wazambulitv5735 Рік тому +1

    *Dream Comes true🥂*

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Рік тому +1

    Hata ukiwa mzee sky ipo siku utatangaza jina langu ni suala la muda kama nakuona utakua unavaa miwan n vimvi flan amaizing unatangaza jina langu wala sina harakaaa waache hao wanisafishie njia

  • @micheluplift3291
    @micheluplift3291 Рік тому +1

    dangote bado ana funguw campany ya mafuta subir avunje jibubu😂😂😂

  • @mshindotv
    @mshindotv Рік тому +1

    Dangote kawaboa wazungu Kuekeza kwenye mafuta kwao Nigeria, so WANA jaribu KUmchezea Ki saikolojia….!!

  • @MikeliElen-rf5gn
    @MikeliElen-rf5gn Рік тому +1

    Wengine wamezama baharini wakitlii mafufu na mabati ya meli Titanic 😅😅Dah hela money 💰 so powerful

  • @annamadavid4152
    @annamadavid4152 Рік тому

    Mzungu Africa? Pita kuleee,dangoteeeee oyeeeeee

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in Рік тому

    Huyo sio muafrica

  • @ShawnBeatz
    @ShawnBeatz Рік тому +2

    dangote anafungua oil refinery biggest in africa,

  • @yasminsalim291
    @yasminsalim291 Рік тому

    Kiwanda cha Dangote cha Mafuta Kikiisha Hakuna mtu Atamfikia

  • @Ambweneonlinetv
    @Ambweneonlinetv Рік тому +2

    Huyu hatumjui tunamjua dangote full stop

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 Рік тому +1

      Humjui wewe na nani?

    • @Ambweneonlinetv
      @Ambweneonlinetv Рік тому

      @@Oldskulgemini9991 mm na mtoto wangu .! KWANI VP BOB UNAMJUA HUYO JAMAA.?

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 Рік тому

      @@Ambweneonlinetv Kwani we dangote unamjua?😂

    • @Ambweneonlinetv
      @Ambweneonlinetv Рік тому

      @@Oldskulgemini9991 bob unajizima data sio kama umejenga basi utakuwa unamjua dangote 🤣🤣

  • @dianamuhumba
    @dianamuhumba Рік тому +1

    Inakuaje mpk mtu anakuwa billionaire 🥴

  • @ozanasylvester3663
    @ozanasylvester3663 Рік тому +2

    Tunamtambua dongotee huyo mzungu aende Akaangalie mabaki ya Titanic

  • @johsen9475
    @johsen9475 Рік тому

    Duh muafirika wa aina gani huyu 🙄🙄🙄

  • @sarasarax9664
    @sarasarax9664 Рік тому

    💔💔💔💔💔🥴

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 Рік тому

    Na zari tajili namba ngapi bilionea zairi forbes tell us

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION Рік тому

    Hizi comment zingekuwa zina mhusu black huko Marekani ungeskia jamaa wabaguzi kweli,,,, kimsingi ubaguzi ni nature ndio maana hata comment zinadhihilisha so tusiwe tunalalamika sana tukibaguliwa maana ni ku express unyonge,,,,hata mm naona Dangote stll no 1

  • @goodwellmutambo7607
    @goodwellmutambo7607 Рік тому

    Dangote

  • @comfortmunuo5545
    @comfortmunuo5545 Рік тому

    Tanzania tajiri mweusi kuwahi kutokea ni nani?

  • @duvaboy
    @duvaboy Рік тому

    kapasua kibubu

  • @frankmihayo7415
    @frankmihayo7415 Рік тому

    Sns nyie ni mafundii

  • @azimioalbertongellangella8970

    Mm npo nafac ya ngap??

  • @johnnytravo
    @johnnytravo Рік тому

    Hatari ya mchepuko ua-cam.com/video/OhoDrsxAQlg/v-deo.html