DUNIA NYINGINE | ANOTHER WORLD | FULL BONGO MOVIE | English Subtitles
Вставка
- Опубліковано 21 жов 2024
- Follow Bravoo Genius on Instagram / bravoogenius
Follow Bravoo Genius on Facebook / bravoogx
Follow Bravoo Genius on TikTok www.tiktok.com...
#ruthkadiri247 #samspedy #latestnigerianmoviesthisweek #newbongomovies #chididikemovies #nollywood #marioo #zuchu #latestnollywoodmovies #fullmovie #subtitledmovies #newbongomovie #clamvevo #snakeboy16 #umenifunza #dvoiceginnu #africanmovies #americanseries
Wakwanza from kenya much love 🇰🇪🇰🇪🔥🔥
MAASHALLAH MUVI NZURI SANA HONGERENI MUNAWEZA❤❤❤❤❤❤❤
From kenya🇰🇪🇰🇪..much love. Keep up the good work.
ua-cam.com/video/9n3W40s9FOY/v-deo.htmlsi=V8YM1nNflX_fyijr😊😊
Sir we ni zaidi ya GENIUS ✅✅✅✅✅
Thank you
Umefanya vzr sana excellent kep it up broo👏👏
Nipo pamoja na wew bro ❤
Un bon film vraiment j'adore la langue 🇨🇩
Thank you
Watching 👀 from 🇰🇪 mombasani....
Fist one today more like
Thank you
Mwakatobe safi sana ukiigiza tofauti na uchawi unapendeza sanaaaa
Big flash back mix🎉
Nipende kutoa shukran zang za zati kutoka kwa bravo na timu yake yote kiukweli hii movies ni mzuri
😂😂😂Nimechk sana maan mwakatobe huu mchezo amepoa na sijazoea hali hii😅😅
Naipenda saana baba Tangu Congo 🇨🇩🇨🇩❤️❤️
Kazi yako safi kaka...endelea kutia bidii kabisa ❤
Shukrani sana
Mwakatobe, unahuzunisha kweli kwenye hii move
Wakwanza saud nime fik ❤❤❤❤❤😊
watching from 006 voi Kenya big up
Nakubali Sana timu Bravo kazi nzuri
Shukran sana 🙏🏻💥👋
@@bravoogenius❤
Quuen mbn Mzembe 😂😂😂 kweli kashindwa at kumloga kijan analilia kuongezewa nguvu 😅😂
Kazi nzur mwakatobe watching from qatar
Thank you
😢😢😢😢
Hawa jamaa ni hatari sana ❤❤❤
Thank you
Mganga na wakulungwa salute❤
❤❤nakubali sana pande za msumbiji,, ,,, fama
Nimeipenda sana kazi nzuri jaman
Asante sana
good movie
Kazi safi, congratulations for the lessons
Thanks
Mwakatobe kapatikana safari hii
Good job like it
Thank you
SAFI SANA GENIUS 👏👏👏
Thanks you
❤❤❤❤❤ napenda
Nampenda sanula mimacho yake anavyoitoaga
Nice movie I like it❤
Watching from Gatuune
Hello I'm sorry for everything🎉❤😢😮ninampenda sana
Unampenda nani
Kipindi kizuri sana🎉❤
Nilitaka kushangaa mpaka mchezo uishe Mwakatobe asiwe mganga 😂😂😂😂😂😂eti siwezi kuwa mpole mie😂😂😂nomejaa tele
Mmmh
Kumbe bravo naye handsome 😁🙌alafu mweus adi raha
Asante sana 🙌🏽
👏👏👏kazi zuri sana
Asante
Mganga unachamba weye😂😂😂😂😂hatari
Nimewaelewa so endeleeni hivo hivo
Director anqkuqngusha sana hilo giza analoweka kila kipande kimoja cha seen kikiisha kwenda kingine
Wa pili Kenya iko love
Movie kali❤
Asante
Mwakatobe ameyatimba 😂😂😂😂
Gd wrk
Jamanii mwakatobe waniuwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 so Kwa majina hayoo
C très cool mwakatobe
Mwakatobe vp mbona hapo huonyeshi maufundi ili kumsaidia bravo
😂😂❤maina unafanha vizuli
Mwakatobe🙌🙌🙌🙌🤣🤣
Following from kenya
Thank you
bravo hongr
Asante
Nzuri sana mwishoni ina fundisho kwa vijana
Mwakatobe unazingua bhana
From Burundi ,dakika ya 51 sauti haitoki!movie nzuli
❤❤❤❤
So amazing 🎉❤
Much love kutoka Kenya
Asante sana
Jaman mbona hii move inaeleweka tu vizuri😅😅😅
Wamwisho from nyapuni
Watching from Nairobi, Kenya 🇰🇪
Story nzuri sana
Bravo hi cinéma is good
Thank you
No problème
Daa kweliii wewe umenifundisha kitu
Ujo jwaniii ujo mwakatobe ujooo🤣🤣
Mwaisa
@@bravoogenius ,👏👏👏
Nimeipenda from 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 ❤❤❤❤
Thank you 🙌🏽
❤❤
Mm ndo wa mwisho nipen like Zang bas😂😂😂
Camera kali full hd
Ni nzuri haina shida
Waja umu ndan mnanini lakini? Nimepitia comment za watu wanasema awajaelewa mjaelewa nini? Mnakurupuka mno mjacheki adi mwisho, mjacheki hatua kwa hatua mnakimbilia kupeleka mbele 😁🤨msiwe ivyo waja
❤
Sio wote Wana ufahamu wa kuelewa jambo kama ww,hebu Wacha kuwafokea hata hivyo sio lazima wafahamu,umeshaifahamu yatosha,wasimulie tu kisa labda watakuelewa zaidi kakangu
Kwa kweli hapa hata mm sijui ni nini unaendelea sijaelewa hi movie
Ithinkthethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethethe
Maishallah
🌎....world!!!
Naogopa
😂😂😂😂😂😂😂iyo ndoto noma
❤
Mwakatobe usijiharbie CV we Ni mganga bhan
Mmejaribu but hii movie iko chini
Sawa tutajaribu tena
😂😂😂😂kidevu kama Kona yasambusa mganga Ana chamba hatari
😂😂😂😂
Nakubali sana wanangu bravo ❤❤❤❤❤
Pamoja
Mwakatobe humu kawa zuchu tu mchumba tu
Cool
Mwakatobe kapoa kama nazi koroma jmn😢
Like kama bado waangalia hii
Mke wa Bravo ni mkali sana
Ndan unaenda kuliwa wewe😊
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Movie ni nzuli ila sehemu iyo kijana kwenda Dunia nyingine haijaeleweka kaludije afu mama alikufa imekuwaje ni mzma
Kweli kabisa huko kwa Dunia nyingine haijaeleweka
Following
Thank you
Mhhh!
Mganga na amapiano😅😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉
mwakatobeeeeeeeeeee unanikosha mwamby
Apa Kaz kaZ
mzr sn
Nc
Nakubal
Shukran
❤❤🎉
Kaka kimungu apa nicheki mwana asee. Umenipata
Shukran