MADHEHEBU HAYO NIMPANGO WA MAYAHUDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2022

КОМЕНТАРІ • 51

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 Рік тому

    Ya Allah mpunguzie Adhabu ya kaburuni amiin

  • @abuhassan9552
    @abuhassan9552 Рік тому +8

    Allahuma gfirlahu warhamhu waskin fil janat

  • @umibrahim675
    @umibrahim675 Рік тому +2

    Mashaa Allah Mola akujalie janat fardoos

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Рік тому +7

    Allahuma igh'fillahu warahamhu wasakanahu firljannah

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 Рік тому +2

    Allahuma ghufrilahu waskinahu fyl jannah

  • @minaziparasu9074
    @minaziparasu9074 Рік тому +3

    Swadakta ulioyasema ndio uliotwachanayo leo nayazid kutufunika. Allah akufanyiye wepesi ktk safariyako naakusamehe makosa yako. Ameen

  • @mohdmohd2550
    @mohdmohd2550 Рік тому +1

    Màa shaa Allah ukimuangalia unaona nuru hasa usoni mwake
    اللهم اغفر له وارحمه واجعله من أهل الجنة الفردوس

  • @abeidabdullah6048
    @abeidabdullah6048 Рік тому +2

    Mwenyezi mungu amraham

  • @jamaljay5775
    @jamaljay5775 Рік тому +3

    Shida Mashekhe wa Tanzania kukufurishana kuitana makafiri wamekua Wasaniii kama waimbaji wao

  • @abedikapangasabiti5551
    @abedikapangasabiti5551 Рік тому

    Sahihi

  • @bonamaxnicholauskopatu1188
    @bonamaxnicholauskopatu1188 Рік тому

    Jaribu kuwa na lugha nzuri.hamna kabila la mayahudi bali wayahudi

  • @hasnuufaki5623
    @hasnuufaki5623 Рік тому

    صدقت ما نطقت يا شيخ

  • @nassirmohd2851
    @nassirmohd2851 Рік тому +2

    Allah amsamehe kwA maneno yake

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 Рік тому +2

    Madhehebu ni mpango wa Mayahudi?

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 Рік тому +1

    Huyu Baba Aliupenda sana Uislaam Allah Amsamehe
    tatizo lake huyu Baba Hakuwa Msomi
    wa Fani za Kidini
    hivyo Anakosa haki ya kuusemea Uislaam Maana Allah sub'haana wataala amekataza Kuusemea Uislaam bila Ya Elimu

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu Рік тому

      Bado hujaelewa elimu katika Uislamu Ina maana gani. Wewe unafikiri Uislamu unaona elimu ni kusoma Qur-an na hadithi basi.

    • @rabiamuhammad5714
      @rabiamuhammad5714 Рік тому

      Bado unatawaliwa na fikra za kimadhebu ndoman huwez muelewa ilungu akili kubwa

    • @imanimfuruki9040
      @imanimfuruki9040 Рік тому

      Kaka kwani elimu ni nini?

    • @ramadhanimtetu7246
      @ramadhanimtetu7246 Рік тому

      Umeuliza Swali Zuri Sana Kaka
      nhv-; Kiislam tunaposema Elimu basi Neno hili hutafsiriwa kwa Matumizi ya Kilugha na Kidini -;
      Amma kidini imesemwa " Kujua haki Kwa dalili Zake nayo ni dhidi ya Ujinga "
      Na Elimu ni aina mbili
      1- Elimu ya ibada
      Elimu Wanaifahamu Zaidi Wanachuoni
      2- Elimu ya Fani za kidunia Ambayo Wanaifahamu Wanazuoni
      Sasa Sheikh Ilunga Si Muhitimu wa
      Chuo Chochote Cha Kidini
      ni Vipi Apate ujasili wa Kuusema
      Uislaam !!!!!!

    • @magangajames4644
      @magangajames4644 Рік тому

      @@ramadhanimtetu7246 hivi unaujua Elimu ya Ilunga au unajisemea tu pole sana nyinyi ndo mmegawanywa na mayaudi mnaona dhehebu ndo dini 😄😄 ww unaona aongei kiarabu ndo unaona ana elimu kwanza ana Elimu ya Chuo kikuu Dsm elimu ya dini kasomea Yemeni

  • @crescentvscross1132
    @crescentvscross1132 Рік тому +1

    Wewe ulikuwa mlezi

  • @jumamkalamba4829
    @jumamkalamba4829 Рік тому

    Elimu mpaka kiwangogani ndio uusemee uislam saidna Omar alikua na elimu kiasigani maana yeye aliusemea uislam kwaupanga

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu Рік тому +2

    Sheikh Ilunga na Abdu Rogo Allah awarehemu hatutokaa tupate tena Masheikh kama hawa East Africa

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu Рік тому

      @@subulus_salaam2023 wewe kacheze Maulid huwezi elewa

    • @subulus_salaam2023
      @subulus_salaam2023 Рік тому

      @@officialkamdudu
      Mimi na maulid wapi kwa wapi????

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu Рік тому

      @@subulus_salaam2023 sasa u a reply vitu gani hapo ?

    • @subulus_salaam2023
      @subulus_salaam2023 Рік тому

      @@officialkamdudu
      Inadhihirisha namna gani huwafaham hao masheikh walivyo changia katika kuurudisha nyuma uislam,,,

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu Рік тому

      @@subulus_salaam2023 ndio maana nikakwambia wewe zako ni Maulid huwezi kuwaelewa hao

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 Рік тому

    Wewe mpumbavu uliyepost madhehebu yako ni mpango wa shetani

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 Рік тому

    Ukristo ulianza kabla ya uislamu fundisheni mambo ya MUNGU

    • @daudymussa4620
      @daudymussa4620 Рік тому

      Kama ukiricto ulianza kabla ya uiclaam , Adam nae aliumbwa kabla ya yecu, kristo , em nielaweshe

  • @bonifaceirungu3944
    @bonifaceirungu3944 Рік тому

    Hakuna muyahudi anayewagawa waislamu bali nyinyi waislamu wenyewe ndio hamuielewi Qurani yenu

    • @bakaribakari6444
      @bakaribakari6444 Рік тому

      Embu nendeni mkadanganywe na wachungaji wenu huko 🤣🤣🤣

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 Рік тому

    Mwanaharakat jahil huyu

    • @imanimfuruki9040
      @imanimfuruki9040 Рік тому

      Watu wa madhehebu mnashida saana wallah

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 Рік тому +1

      @@imanimfuruki9040 sasa hiyu hata usuli hajasoma atazungumza nini zaidi ya utoporo

    • @ismailchongera9812
      @ismailchongera9812 Рік тому

      @@zuheorsalim7759 kk hujasoma huwez kashf kuku ww

    • @bakaribakari6444
      @bakaribakari6444 Рік тому

      @@zuheorsalim7759 kwani lazima asome usuli kitab chenu jahil ww....yaan mpak asome kitab chako ndo umuite jahil...kwanza mpaka hapo huna chochote una sifa ya kiyahud

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 Рік тому

      @@bakaribakari6444 wewe ni khawarij jahil