INASIKITISHA, KUMBE MCHUNGAJI PASCAL CASIAN ALIMUONYA GOODLUCK ASIPOKEE GARI, UBISHI UMEMPONZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 29

  • @RUTACHCHURCH
    @RUTACHCHURCH День тому +3

    Kuna hela ulipewa,Kuna gari,na finally agano la chakula what is so special with gari,huyu Good luck hajui utentaji wa kiagano kibiblia,pili baba Geordavie big up the car delivered the most highest anointing to the extent ya kumchanganya adui na wakala wake pili huyu Good luck ana tatizo pengine la kuwasikiliza wanadamu kuliko Mungu swali,Mungu aliyekuruhusu uchukue gari ni yupi na Mungu aliyekuambia choma ni yupi,so tatizo naiona kwa Good luck SI madhabahu iliyotoa,Goodluck you need to be shaped and nurtured spiritually

  • @EnjoyMsham
    @EnjoyMsham День тому

    Good luck fanya toba ya kweli mbele za Mungu wako.maranyingi tunajifinza kutokana na makosa .nakuombea kwa Mungu akurehemu.

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 17 годин тому +1

    Mbona kama alipewa alipewa gari jeupe ?Mbona kama kalichoma jeusi?

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 День тому +1

    Goodluck alionywa

  • @nathanielmkuki3048
    @nathanielmkuki3048 День тому

    Kuchoma moto si suluhisho, suluhisho ni kujua uhusiano wako na Mungu katika Kristo ukoje, kwa maana ya njia gani iliyokufanya kuwa mwana wa Mungu. Hapo ndipo patakuwa na mwanzo wa upatikanaji wa suluhisho ingawa ni gharama kubwa kama ya mwanampotevu.

  • @OmariWaziri-h4t
    @OmariWaziri-h4t День тому +1

    Yani

  • @IreneValerian-i1o
    @IreneValerian-i1o День тому +1

    Ni nyeusi nawe

  • @SOPHIANJIGE
    @SOPHIANJIGE День тому +2

    Mmmh

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 22 години тому

    Watajuwa wenyewe na njia zao walizichaguwa.

  • @JacobMutiso-t9p
    @JacobMutiso-t9p 22 години тому

    Nikipiga darubini naona gari si shida..shida ni goodkuck mwenyewe,why? Gari lingekuwa ndo shida angepata ajali kitambo juu hiyo miaka yote amepeleka hilo gari bila shida..😢😢 angerudishia mwenyewe tu.

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika День тому

    Hakika shetani ni mbaya sana kwa sasa kamwacha godluck kwenye mateso, aibu kama mtumishi wa MUNGU kwamwacha peke yake inauma sana MUNGU amsaidie huyu kijana

    • @YasintaDaniel-vd6ci
      @YasintaDaniel-vd6ci День тому

      Asante Mungu muumba wa mbingu na nchi Kwa kuendelea kuwanasua watu wako kwenye vifungo wa shetani.Amina

    • @chrisshonga
      @chrisshonga День тому

      MUNGU wetu ni wa jana na leo na amemsamehe kwa kutambua wapi alikoangukia

  • @peterlutemela9874
    @peterlutemela9874 День тому +2

    Gali aliyopewa ni nyeupe mbona aliyochoma ni nyeus?

    • @TusaKiblaga-vp9jg
      @TusaKiblaga-vp9jg День тому

      Kama amebadil rang je

    • @carlosdigitals
      @carlosdigitals День тому

      Alibadili rangi mwaka jana.

    • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
      @RESTITUTAMOLLED-mp3pp День тому

      ukinunua kiatu cheusi hawezi kukibadili nakukifanya kiwe na rangi yoyote unayo itaka?hata magari yanabadilishwa rangi.kama huna idea na mambo kama hayo uliza fundi yoyote wa magari

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika День тому

      Ilikuwa nyeusi

    • @rickyphilemon2623
      @rickyphilemon2623 День тому

      Rangi inabadilishwa tu😅😅😅😅

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo День тому

    Du

  • @EmmanuelMussa-n1j
    @EmmanuelMussa-n1j 20 годин тому

    Nikweli huyomchungaji anaiba nyo kwann awape watu maalufu?wasiozihitaji na tunaozihitaji hamtupi