Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Casto umepungua sana mwanangu mungu akufungulie vifungo vyote vilivyokufunga
Pole sana familia, ndio maisha. Kizuri nikwamba umejuwa ulipojikwaa ! Kikubwa ni subra, naumakini wa Hali ya juu. Mungu azidi kukubariki nakukupa nguvu fam 👌🫶🙏🔥🔥🔥
Kumbe angekuwa mkubwa jamani miaka 12 Mungu amrehemu❤
Mwanangu unapitia magumSanaa mzee lakn usjali munguAnampango nawewe mzee
Pole jamanii polee kaka nimekuelewa ulikuwa mwenye matatizo so sory unaeleweka sana ni sehemu ya maisha..God is good kila kitu kina mwisho
utasherehekea birthday.mtoto amefarik .hz ni iman za kishetan
Na mimi nashagaa
Sio sherehe ni maombi kasema hivyo ndo jinsi washeherekea
Lk Dad lk sn niwazurii mlifanana Mungu ampuzshe kijana wenu, ila umepungua Mungu akuweke sawa inshallah.
Alafu umemfanana sana mtoto wko jamanii ❤
Mtu kashakufa Birthday ya nn Tena
Wewe uko sawa safi
We love you, men Period.....
Uyu kaka nampendaga
Bona kaisha sana
Tafuta pesaaa vikaooo havifai
😢😢😢💔
Mzee kubali unatumiya tungi ama unaumwa ngoma Sema usaidiwe
Yeah watu wasiopenda kukubali problems wapo katika denial kama hizi he really looks like either an alcoholic Su he is sick
Casto bdo tuna jambo nae. Naona tumuite pale Ayo TV apewe muda wa kutosha atatupa mengi zaidi
Simwelew hta anachoongea,yaan maswali na majibu tofauti kwendra usinimalizie bando
Sio kwamba ww ndo zamwamwa 😂😂 huelewi ni kichwa chako tu
@@Thebaddest255 stress kuda mwingne huwez sikia mtu anasema nn..Pole sana😂😂😊
Miaka 38 bado mdogo pambana Bado nafas unayo broh
Pollen sana Mungezaa tena katoto kengine 😢😢😢
We nae walisha achana mtoto wao kabla hajafariki alafu muna mtu mzima now
@@Thebaddest255 koma kabsa kwani hapo nimesema baya lipi fakin 😏😏😏😏
casto. acha pombe haikuitaji
yani mtu kawa nini kazeeheka na mipombe jamani ewe mungu
Watu mna maneno na masimango Mbona kaka wa watu yupo kawaida amezeeka kwani si mtu mzima huyu unataka awe na muonekano wa kitoto ?
Mbona mzikoni hukutokeya. Mshenzi wewe
Dah
muna alimgawa mtoto ili apate bata la dunia na kalipata
Ila Tz😂
🤔🤔hv bdo tu watu wanasherehekea birthday ya mtu alietangulia mbele za haki? 🙆🏾♂️🙆🏾♂️mmh
Hata Mimi nashangaa
@@JennyJma ni mtihan kwa kweli
Acha kufulu wewe mlevi fanya maisha ungeli kufa wewe vp.
😂😂😂.
Umekula kweliii
@@nickolatharwelamila776 sijala
Ivi uyu ndieyule mtoto anaeimbaga na baba yake au wamefanana
Hayanihusu ila sijui kwa nini wewe umekonda na Muna anazidi kunenepeana hasa matako na mashavu!!
Astaghafirullah 😂😊😂😂😂
Yule c kafanya surgery 😅
😂😂😂😂😂😂😂
Hahahaha ndo kusemajeee
Jamani 😂
Casto umepungua sana mwanangu mungu akufungulie vifungo vyote vilivyokufunga
Pole sana familia, ndio maisha. Kizuri nikwamba umejuwa ulipojikwaa ! Kikubwa ni subra, naumakini wa Hali ya juu. Mungu azidi kukubariki nakukupa nguvu fam 👌🫶🙏🔥🔥🔥
Kumbe angekuwa mkubwa jamani miaka 12 Mungu amrehemu❤
Mwanangu unapitia magum
Sanaa mzee lakn usjali mungu
Anampango nawewe mzee
Pole jamanii polee kaka nimekuelewa ulikuwa mwenye matatizo so sory unaeleweka sana ni sehemu ya maisha..God is good kila kitu kina mwisho
utasherehekea birthday.mtoto amefarik .hz ni iman za kishetan
Na mimi nashagaa
Sio sherehe ni maombi kasema hivyo ndo jinsi washeherekea
Lk Dad lk sn niwazurii mlifanana Mungu ampuzshe kijana wenu, ila umepungua Mungu akuweke sawa inshallah.
Alafu umemfanana sana mtoto wko jamanii ❤
Mtu kashakufa Birthday ya nn Tena
Wewe uko sawa safi
We love you, men
Period.....
Uyu kaka nampendaga
Bona kaisha sana
Tafuta pesaaa vikaooo havifai
😢😢😢💔
Mzee kubali unatumiya tungi ama unaumwa ngoma Sema usaidiwe
Yeah watu wasiopenda kukubali problems wapo katika denial kama hizi he really looks like either an alcoholic Su he is sick
Casto bdo tuna jambo nae. Naona tumuite pale Ayo TV apewe muda wa kutosha atatupa mengi zaidi
Simwelew hta anachoongea,yaan maswali na majibu tofauti kwendra usinimalizie bando
Sio kwamba ww ndo zamwamwa 😂😂 huelewi ni kichwa chako tu
@@Thebaddest255 stress kuda mwingne huwez sikia mtu anasema nn..Pole sana😂😂😊
Miaka 38 bado mdogo pambana
Bado nafas unayo broh