Kaka Casto lkn sio mara ya kwanza watu kusema unakula unga...na wanaosema ni rafiki zako wa karibu...kuwa ww ni mlevi wa pombe na una kula unga...hata kusimamishwa kazi ni sababu ya ulevi kupindukia na utovu wa nidhamu...ukiachia mbali na mambo ya dunia..ww ni bonge la presenter..mm nakukubali kinomaaa...ila acha hayo mambo kaka
Kaka casto tunakupenda xana jipambanie kaka we ni mkalia xana ila kitu ulichokuja kufeli kutembea na yule dada tuda huyo ndo alikupoteza but tunakupenda mungu atakusimamia
Nenda kanisani kinondoni biafrà km unaenda best bait zamani kulikuwa na bar ilikuwa inaitwa Marwa bar utafunguliwa ni kanisa zuri gurudumu la kinabii nenda castor utafunguliwa
Huyu anavuta unga na hawezi tena kurudi katika gemu km unamkumbuka yule kijana aliyekutuma act movie ya home Alone Calvin mccaulay mpk leo anavuta unga anajaribu kuacha ila wapi
Daaah castor kweli unakula unga inaonyeaha kabisa nimeumia sana mungu akusaidie akutoe kwenye ilo
Nilikumic Casto, nakupenda na nitaendelea kukupenda, Mungu akupiganie kaka Angu kwa kila hatua yako
Casto point to point am giving you big YESSS:::much respect…
Namkubaliii sana Casto Ishiiii mwananguu
Love you brother saluti sanaa
Kaka Casto lkn sio mara ya kwanza watu kusema unakula unga...na wanaosema ni rafiki zako wa karibu...kuwa ww ni mlevi wa pombe na una kula unga...hata kusimamishwa kazi ni sababu ya ulevi kupindukia na utovu wa nidhamu...ukiachia mbali na mambo ya dunia..ww ni bonge la presenter..mm nakukubali kinomaaa...ila acha hayo mambo kaka
My young brother all in all in life there is a challenges be cool play to God and enjoy yourself for a while
Mnaosema anakula unga mnakulaga nae???? Casto yupo kawaida na anapita mapito ya kawaida tu. Nipo nae daily sioni hizo mambo.
Kaka casto tunakupenda xana jipambanie kaka we ni mkalia xana ila kitu ulichokuja kufeli kutembea na yule dada tuda huyo ndo alikupoteza but tunakupenda mungu atakusimamia
Dickson wewe ni presenter mzuri sana.....hizi TETESI NATAMANI ZIWE UONGO NA UFANIKIWE ZAIDI USIPOTEE KWENYE GAME.
Huyu mwanangu jamani.
Bishop Dani High school graduation.
Ila kanipotea kabisaa Mc wa Kipaimara cha watoto wangu woooi.
Nenda kanisani kinondoni biafrà km unaenda best bait zamani kulikuwa na bar ilikuwa inaitwa Marwa bar utafunguliwa ni kanisa zuri gurudumu la kinabii nenda castor utafunguliwa
Jaman huyu casto anaumwa nn. Mh
Bona anajiaribisha😁😁😁😁uyo kijana
Huyu jamaa life yake toka namjua nikidenten tuu nandio hayo yanawaponza vijana mnavutishabmaunga bila kutaka hakuna wakukuonea huruma
Naomba namba zenu
Afungue UA-cam channel yake
Huyu anavuta unga na hawezi tena kurudi katika gemu km unamkumbuka yule kijana aliyekutuma act movie ya home Alone Calvin mccaulay mpk leo anavuta unga anajaribu kuacha ila wapi
Usifatishe ya watu komaa zako urudi mjini…binadam ni haters sana deal na Mungu
Mulevi 😄😘😘
Mbuzi tu huyu si ndo alichoraga ya tunda Hana maana
Casto acha kula unga😆😆😆😆😆
Ulimliesha au mlikua mnakula wote
@@idarousyussuf7070 anakulq unga no offence...tunajua mateja
@@mzirairebeca9996 tuoneshe picha ulizo mpiga akiwa anakuka unga else hatuwezi kukuamini unachokisema
Umarekani mwingi mpaka wanakula unga
Toba
Shiii
Yaani unga hata useme huvuti unga uso unakuonyesha huyu na gigy money wote wanavuta unga
A cha bangi wewe
Daaah castor kweli unakula unga inaonyeaha kabisa nimeumia sana mungu akusaidie akutoe kwenye ilo