ALICHOFANYA HARMONIZE KWA DJ WA MISSO MISONDO // TAZAMA HAPA FULL INTERVIEW...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 185

  • @jackylinemwamba3923
    @jackylinemwamba3923 Рік тому +10

    Hongera nimependa majibu yako unajibu kimakini Sana big up💪💪

  • @Ahmadilauma
    @Ahmadilauma Рік тому +22

    Dogo anajua sana mungu amzidishie

  • @EveliusEdwin
    @EveliusEdwin Рік тому +10

    Big up san Kwanza unajitambua san god bless you

  • @aziziatumanially424
    @aziziatumanially424 Рік тому +31

    Waandishi hawana maswali wanauliza uzushi ili kutengeneza tofauti .. hongera dogo kwa majibu mazuri hawa ni wachawi hawa nuksiii sana hawa waandish wetu

  • @Isael.6396
    @Isael.6396 Рік тому +16

    Huyu jamaa ni mutu muzima anajuwa jibu🎉

  • @selinasteven6258
    @selinasteven6258 Рік тому +52

    Doctor kumbuka nakukubali sana umeongea point. Hila tambua huyo ni km mwanao hakikisha hasitoke nje ya reli. Aka feli.

    • @Zamson-12
      @Zamson-12 3 місяці тому

      Pambaneni jama wangu

    • @chrisskucha6108
      @chrisskucha6108 2 місяці тому

      Tatizo Kiswahili hujui ludi tena shule

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Рік тому +3

    Miso Missondo Wametikisa Mji Kweli Kikubw Wafany Kazi Iliyowaleta Mjini Wasilew Sifa Mungu Awatanguliye Kweny Safar Yaho🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @gesusblack8414
    @gesusblack8414 Рік тому +4

    Unyamaa Yani zaidimsee..miso on top

  • @MusaRamadhani-sm3pz
    @MusaRamadhani-sm3pz 10 місяців тому +1

    Nawapenda sana wasanii wakale,wasasa ni pumba mchele tuliupika na tunazidi kuhuchehuwa.Big up sana bongo za kitanbo.

  • @FestusLouis-e3w
    @FestusLouis-e3w Рік тому +4

    Kuna wasanii wengi wakubwa ukiskiza interview zao utaona kbsa namna wanavyojibu maswali na kuzngumza kuna vile wanakosa flow nzuri y kujibu maswali.. Dogo anaflow nzuri sana y kuzungumza n kujibu maswali. Nimemskiza kw makini sana yani.. hongera zakee 👏👏👏

  • @FernandoafonsoChinduli
    @FernandoafonsoChinduli Рік тому +2

    Uyu ndio misso misondo tunamkubali sana kwetu msumbiji kuzidi

  • @issakhalid-i5x
    @issakhalid-i5x Рік тому +13

    Miso nakuelewa sana kuwa makini na waandishi hao watakugombanisha na watu

  • @ShabiOmar
    @ShabiOmar Рік тому +8

    Uko vizur broo kazi yako na ray ni nzuri sana hongera

  • @RajabuSingano
    @RajabuSingano Рік тому +3

    Kweli dogo Yuko makini sana mungu ampiganie sana maana wanga ni wengi ❤

  • @VicenteCristovãoJosoVicenteCri
    @VicenteCristovãoJosoVicenteCri 3 місяці тому +1

    Miso misondo we ndo noma una kimbiza vizuli tu

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 Рік тому +25

    Dogo anajua ninamkubali sana ,Mungu amsaidie atimize malengo yake

  • @isackkimath8471
    @isackkimath8471 Рік тому +1

    Dj yupo VIZUR maswali ya kuleta mgongano unayakataa vizuri..Huna baya keep it up

  • @networkerhazardtz
    @networkerhazardtz Рік тому +5

    Miso misondo🔥🔥🔥unaitisha saana dogo

  • @menloofnjovu6140
    @menloofnjovu6140 Рік тому +23

    Mungu akiamua kukupa anakupa Kwa wakati sasa ni wakati wao Kwa Sasa .

    • @SophiaMsindo
      @SophiaMsindo Рік тому

      mungu hamtupi mjawake kila jambo nawakati wake ongera sana

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx Рік тому +10

    Vijana Naon Wamekuja Kihukwel Kikubw Wapamban Na Wasilew Sifa🎉🎉🎉🎉

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому +3

    Misso nakukubali sana ushatoboa tyr❤❤❤🎉🎉🎉

  • @allymwinja2693
    @allymwinja2693 Рік тому +5

    I real appreciate misondo
    #The home drum#🤝😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌

  • @Waziri258Nyaturu
    @Waziri258Nyaturu Рік тому +5

    Jamaa yupo active sana kichwan

  • @HamsafuMohamed
    @HamsafuMohamed 10 місяців тому +2

    Noma sana

  • @isaselogistics7266
    @isaselogistics7266 Рік тому +8

    MAJIBU MAZUR

  • @FilimonGabriel-p5k
    @FilimonGabriel-p5k Рік тому +1

    Umetisha san dj miso

  • @stamelistameli8461
    @stamelistameli8461 Рік тому +1

    Yupo vzr sana vabe tu noma

  • @halimamaulidilàli
    @halimamaulidilàli Місяць тому +1

    😮😮kijana amepass life😮😮😮

  • @Mrkigoma
    @Mrkigoma Рік тому +2

    Miso majibu yako nondo nimekubali❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @IssaNamanga
    @IssaNamanga Рік тому +3

    Miso yoko powa sana

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 11 місяців тому +1

    Nimekubali kbx miso misondo

  • @dollovictor
    @dollovictor Рік тому +6

    Safi sana ,kilichobaki upate muda wa kutumia mixa za kisasa zaidi ya laptop unazotumia

    • @Truth4ever
      @Truth4ever Рік тому +2

      Ukimpa mashine huyo unamfelisha. Aendelee kutumia laptop yake. 😂

  • @IssaNambasya
    @IssaNambasya Рік тому +4

    miso misondo unatisha sana

  • @HappinessBunna
    @HappinessBunna Рік тому +9

    Kuna sangula kali Sanaa big up misondo🎉

  • @IlhamuKazumari
    @IlhamuKazumari 2 місяці тому +1

    Vizuri sana umeongea pwent

  • @Zamson-12
    @Zamson-12 3 місяці тому +1

    Hongeleni sana miso❤❤

  • @LameckMwansa-bb7fj
    @LameckMwansa-bb7fj Рік тому +5

    Mwandishi msenge kinoma yani

  • @pitapauromaisha
    @pitapauromaisha 15 днів тому +2

    You have

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Рік тому

    Asante Dr Kumbuka❤❤

  • @Kassimngonyani
    @Kassimngonyani Рік тому +1

    Hongera sana dogo

  • @SofiaAugustino
    @SofiaAugustino Рік тому +2

    Dogo aisee mungu akupiganie ❤❤

  • @kassimkambona8649
    @kassimkambona8649 Рік тому +7

    Take care bro

  • @GamanielKatani-nw8ll
    @GamanielKatani-nw8ll Рік тому +4

    Kijana unajua kujibu vizuri Kwa ufass huna unafiki mungu akutanguli Kwa mambo yote unayo ya fanya Tena mazuri Skype baraka tele usije kuja kujisahau pesa mbele majibu mkAto

  • @HuyannyBoy-me7rb
    @HuyannyBoy-me7rb Рік тому +1

    Miso missondo nimekubali

  • @mussahosseni8229
    @mussahosseni8229 Рік тому +11

    Kweli waandishi wa habari hawana mamb yakuuliza wanachonganish watu tu hawa

  • @saumu3007
    @saumu3007 Рік тому +13

    Anajibu vizur kiutu uzima 🤣

  • @Fundnlly
    @Fundnlly Рік тому +2

    Yani umejibu vizuri sana

  • @MarkoLyimo-ny9ku
    @MarkoLyimo-ny9ku Рік тому

    Safi sana vijana mpo vizuri

  • @Swahili14
    @Swahili14 Рік тому +8

    Huyu brother atafika mbali sana
    Ana akili na hekima ya kuongea ❤️🔥
    It seems like Misso misondo anawakubali WCB
    Mana ile mix ya honey beat lake ni 🔥🙌🏿🤣🤣🤣

  • @JacksonAlex-w1f
    @JacksonAlex-w1f 2 місяці тому +1

    Kijana uko vizur unaaongea kiuhalisia bila unafiki umetisja huo ndo ukwel mungu akuzdishie loo ua ivo ivo tuko pamoja nawe

  • @Ngwea_Crazy
    @Ngwea_Crazy Рік тому +10

    Kweli maan kuna dj collaz ndo father wenu kusin yoteeee..

    • @OtmaryKiowi
      @OtmaryKiowi Рік тому

      Huyo collaz labda mkongwe tu
      Nimeona ngoma zake video kama nne tofauti hatii mguu hapa

  • @verobecamfipa8655
    @verobecamfipa8655 Рік тому +28

    Mwandishi kuwa makini na maswali yako please🙏 husimchonganishe mtoto wawatu haonekanike mbaya kwa ajili yako

    • @twahachano7410
      @twahachano7410 Рік тому

      kweli kabisa waandishi sio watu wazuri maswali yakichonganishi ila nimempenda dogo anajishusha sana

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 День тому

    Miso akili nyingi sana🙌🙌🙌

  • @SelemaniMkumbo-y3i
    @SelemaniMkumbo-y3i 2 місяці тому +1

    Miso misondo respeck ila muxhizoo ana mpinzani aseeeeeeee

  • @ClemencyBeda-b4t
    @ClemencyBeda-b4t Рік тому +3

    Respect

  • @Homamtezi.midondoko.familly
    @Homamtezi.midondoko.familly Рік тому +3

    Umetisha man

  • @mashakakaoneka8082
    @mashakakaoneka8082 10 місяців тому +1

    Dogo anajibu vizuri sana

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 Рік тому +4

    Mbna mtangazaji maswal yako ya kinafiki kwel...mbn mchanganishi....umemzoea meneja wew...ujibiwe Mpka upaliwe na mate...

  • @MizzoFighter
    @MizzoFighter Рік тому +1

    Watu wakusini bendela tumekukadhi wew kwahyo watembezee bendela mpaka mwisho

  • @Ronaldofficials
    @Ronaldofficials Рік тому +6

    Maswali gan nyie uyo dogo ana fight afike mbali.

  • @Tonymataruma
    @Tonymataruma Рік тому +3

    Awo wadishii sasa
    4:52 4:54

  • @Abdul-j2q
    @Abdul-j2q Рік тому +1

    Dg anaweza mashine ya kaz

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk Рік тому +7

    Miniliwapenda toka nilipowaona sikuyakwaza

  • @MathewElias-sl7mt
    @MathewElias-sl7mt Рік тому +1

    Majibu yako yako powa sana kijna

  • @DaudiMauya
    @DaudiMauya Рік тому +3

    Waandish wengi mnamaswal ya hovyo maswal gan ayo

  • @FARAJIYUSUFU
    @FARAJIYUSUFU Рік тому +2

    Safi

  • @Ngwea_Crazy
    @Ngwea_Crazy Рік тому +6

    Timu COLLA like hapa..

  • @nassibhassanali5082
    @nassibhassanali5082 Рік тому +1

    Kusin rahaaa

  • @StelaYakobo
    @StelaYakobo Рік тому +1

    Ongera sana tupo nyuma Yako

  • @JovinusJoakim-f4z
    @JovinusJoakim-f4z 10 місяців тому +1

    Kwel dogo anaweza anayekataakatae sema watanzania unafiki bahali.

  • @SululuZungu-kx8ws
    @SululuZungu-kx8ws Рік тому +4

    Mamaeee kumekucha 😂😂😂😂

  • @BoscoDunia-gb6co
    @BoscoDunia-gb6co Рік тому +2

    Miso misondo nitakupa dada

  • @FidostAžižAbre
    @FidostAžižAbre Рік тому +1

    Mimi napeda sasana misisodo asiashe

  • @YonaSimon-um9cj
    @YonaSimon-um9cj Рік тому +4

    Nimependa majibu yako misomissondo

  • @MeryYohana-l4j
    @MeryYohana-l4j Рік тому +4

    Hawa waandishi wetu ukijibu maswali bila akili unaweza kujikuta unajiingiza kwenye mtego pasipo kujua

  • @HadjaSefu
    @HadjaSefu 9 місяців тому +1

    Umeuwa

  • @PikipikiUsed
    @PikipikiUsed Рік тому +1

    Akiri kubwa sana

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 Рік тому +1

    Good young man

  • @FabianLutobeka
    @FabianLutobeka Рік тому +1

    Brother good game

  • @HamadHaji-fz3nn
    @HamadHaji-fz3nn Рік тому +7

    Ety nyimbo nyimbo anatoa na rayvanny ana muweka harmonize hii media

  • @petermbise
    @petermbise Рік тому +4

    Nimekupenda binafsi unavyojibu maswali vizuri kwakujiamini hongera hiki ni kipindi chako cha kutrend.
    Umepigaje apo?????

  • @bitaliohamis3860
    @bitaliohamis3860 Рік тому +7

    Dj ally b anapiga miluzi kama anaitwa mbwa 😂😂nmecheka

    • @DoshiboyTZ
      @DoshiboyTZ Рік тому

      Miso misondo anaakili saana kwahyo kazi yake hajakurupuka na mkubali saana, good answers bless saanaaa🙏🙏🙏

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 Рік тому +1

    Dk kumbuka angalia asipotezwe au kuchukuliwa nyota yake kamasonder tz

  • @buberwarugaiganisa5190
    @buberwarugaiganisa5190 Рік тому +1

    Waandishi mnazingua saana

  • @MbongoBoy-yg9tq
    @MbongoBoy-yg9tq Рік тому +1

    Yupovzr

  • @IdrecMavula-kt7yx
    @IdrecMavula-kt7yx Рік тому +2

    nimekupenda bure brother kwa majibu yako mazuri

  • @swelehemkumba5007
    @swelehemkumba5007 Рік тому +3

    Mwandishi Rudi shule ukasome Bado sana hujajua kumhoji mtu ww ni mgombanishi.

  • @ramzanurdini5474
    @ramzanurdini5474 Рік тому +1

    Majibu mazur sanaa

  • @misifaskills745
    @misifaskills745 Рік тому +1

    Nmependa namna anavojibu mwaswali ya wanafiki wanaojiita watangazaji wana maswali ya kimtego na Kuchonganisha watu ila dogo anazani atakuwa ashapewa darasa la namna ya kukwepa maswali la kinafiki.

  • @TigerMgana
    @TigerMgana Рік тому +3

    Kila kitu nimuda ivyo kazi kazi familia

  • @EliyaPatrick-cn8gw
    @EliyaPatrick-cn8gw 7 місяців тому +1

    Huyo jamaa yupo safi hajikwezi, aendelee kuwa mbunifu atafkia malengo asio yatarajia

  • @FARAJIYUSUFU
    @FARAJIYUSUFU Рік тому +2

    ❤❤❤

  • @feelNice-vi3lo
    @feelNice-vi3lo Рік тому +7

    Kumbuka nakukabidhi dogo huyo msaidie asitengane na madancers wewe chukua uongozi hapo ucwe kama wakina fulani wenye roho kubwa watakuja kujifanya wameokota kumbemaokoto ndio lengo lao niletee kima hao niwa panguse

  • @FadhirMwegelo
    @FadhirMwegelo Рік тому +1

    Mwamba kutoka Ruangwa

  • @RamadhanMbura
    @RamadhanMbura Рік тому +2

    Nnacho Kushauri Dogo Hata Kama Umekuja Mjini Usije Ukawatenga Wale Jamaa Wa Makoti Machafu Wale Ndiyo Wamefanya Uonekana na Kujulikana Zaidi Ile Staili Ndiyo Itakutoa Kimaisha Zaidi

  • @Kingdenis_crocodile
    @Kingdenis_crocodile Рік тому +1

    Hatar

  • @hajinambuta1792
    @hajinambuta1792 Рік тому +4

    Dogo anajua kujibu maswali ya mtego

  • @henrysangiwa1731
    @henrysangiwa1731 Рік тому +5

    Ila usije tu ukam.... Mtoto a watu 😅😅😅

  • @kubwalaodancers
    @kubwalaodancers Рік тому +5

    🔥🔥🔥🔥🔥🥂🔥🙄🔥

  • @mussahosseni8229
    @mussahosseni8229 Рік тому +3

    Yan waandish wa habari ni wanafiki