Ila Kuna watu akili zao zimejaa funza hivi Kibu hana akili ya mpira wkt mtu anateseka kujiposition anaomba mpira anapewa anafunga goli 2 michuano mikubwa.....!!
Tokea lini watu wasielewane wakati wote mnaopita njia Moja mnao msapoti ni Wana vyura wenzenu saiz mashabiki wa simba hatuhusu ndo maana comment zinazod kushika kutoka lak mpaka kupata 20 au 15 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 mchome mapuvu Eti mzima nani ambaye ajala 5
hamna
❤❤❤❤❤❤❤❤
Unajua sana kuchambua kaka hupendi kona kona umenyooka sana kaka
Mchome unajua kabisa mwamba big up👍👍👍
Mwanaume anae jiamini apo sawa😅😅😅
Upo Sawa Sana mchome
This time!! Kiaz kakariri
PRINCE DUBE JIFUNZE KWA PACOME NA CHAMA WANATULIA SANA WAKIWA KWENYE BOX
Oyoooooo mchome wake
Mchome endelea kuwafahamisha wasiojuwa
Safi sana mchome
Mchome we tunakupenda sana burundi
Mchome bigup sanaaa
Huyo ndio shabiki wa kolo mwenye akili ya mpira hongera sana Mchome.
Mchome👏👏👏👏
Mchome mauwa Yako 🎉🎉🎉🎉
Kweli Dube ubwera haujaisha
🎉🎉🎉
😂😂😂 makolo yanga bingwa
Et Joshua Mutale anakosa 😅😅
Saf kijna
Ila Kuna watu akili zao zimejaa funza hivi Kibu hana akili ya mpira wkt mtu anateseka kujiposition anaomba mpira anapewa anafunga goli 2 michuano mikubwa.....!!
Mchome watakuuwa 😂😂😂mutale atakuroga
Nakuelew sana ila wapo awaelewi
Huyu ni kuma Sana Yanga kamfunga nani Gen gold
Kolo hakufungwa tano?
Kibu anafunga magoli yanayosukumwa kichawi ila mpira hana kabisa mguuni
Mchome mimi nakuelewa sana kaka mchome 🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏🤜🤜🤜💯👇🇹🇿
Wasio juwa mpila zao nimatusi tu mwamba ndio uyo sasa mtamchukia mtacheka wenyewe
uyosio kolo n utopolo unamfananishaje mzizena ateba sikwambii nani Bora ilaubora u onekana
Acha matusi kinachokuuma nn
Kwanin Mpanzu,,, Mpanzu anamtesa sana uyu jamaa Kwa sababu anamwaribia malengo yake.
Me ni yanga ila katka suala la kibu,kibu anajuw sana mpira ila tuh hana akili z mpira kma aliv mpanzu, pacome, max au dgo matata chasambi na balua
Hapao Kwenye Kibeg Mzee Umetupiga..Me Mwenyew Nimetoa Buku..Na Amepokea Sasa Utasemaje Kwenye Kibeg Hakuna HAta Buku..🤪
Muongo ww😂😂😂
Unajipya ww
Wape ukweli mzee
Waambie makolo hao penalt fc namm nilishangaa heti kibu anatakiwa uarabuni kwa uchezaji gani hahahahahaah madunduka fc mnachekesha
Tokea lini watu wasielewane wakati wote mnaopita njia Moja mnao msapoti ni Wana vyura wenzenu saiz mashabiki wa simba hatuhusu ndo maana comment zinazod kushika kutoka lak mpaka kupata 20 au 15 😂😂😂😂
poa dgo ongea ixiogope
𝑾𝒆 𝒇𝒂𝒓𝒂 𝒏𝒂 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒊𝒐 𝒎𝒏𝒂𝒐 𝒉𝒐𝒋𝒊𝒂𝒏𝒂𝒐 𝒎𝒖𝒅𝒂 𝒕𝒂𝒇𝒊𝒌𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒑𝒐𝒔𝒕 𝒌𝒂𝒎 𝒎𝒏𝒂𝒗𝒚 𝒑𝒐𝒔𝒕 𝒔𝒂𝒊𝒗......
𝑾𝒆 𝒇𝒂𝒓𝒂 𝒔𝒆𝒎𝒂 𝒔𝒉𝒂𝒃𝒊𝒌𝒊 𝒘𝒂 𝒏𝒚𝒖𝒎𝒂 𝒎𝒘𝒊𝒌𝒐
Katobwe