UCHAMBUZI JUSTIN KESSY | HII YANGA INATOA PUMZI YA MOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 27

  • @KhamisShabani-v1n
    @KhamisShabani-v1n 2 години тому

    Upo sahihi broo 🎉🎉🎉

  • @GwamakaAmosi
    @GwamakaAmosi Годину тому

    Upo sawa tunapenda kazi yako

  • @FriendOlesafi
    @FriendOlesafi 2 години тому

    Justin kessy mchambuzi Bora kabisa, unachambua kwa vigezo sana hongera

  • @mtigandibori7244
    @mtigandibori7244 5 годин тому

    Upo vzr broo sema wachambuzi wa kibongo ushabiki mwingi

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e 2 години тому

    Uko vizuri kaka

  • @FriendOlesafi
    @FriendOlesafi 2 години тому +1

    Brother keep on analysing football matches

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 6 годин тому +1

    Ww ndo mchambuzi wangu bora kessy

  • @MrishoAme
    @MrishoAme 5 годин тому +2

    Kaka kessy naomba uwe mwalimu wa kisugu usomeshe uchambuzi mimi nitakuwa mzamini wake

    • @MaryamKhan-zz6dh
      @MaryamKhan-zz6dh 3 години тому

      😂😂😂kuna wa kufundisha sio kisungu😅😅

  • @Izzoh2021
    @Izzoh2021 3 години тому +2

    Wewe huwa unachambua mpira na team husika kwa wakat husika na sio kama wale mapimbi wanao jitia wachambuzi kumbe ni mashabiki tena maandazi bg up sana kaka hao kenge maji wanao jiita sijui mbuyu sijui frij wakaendelee kugandisha maji hohoho

  • @MalickMakange
    @MalickMakange 4 години тому +2

    Huyu ndy mchambuzi Sasa, hachambi Wala kusimanga wtu

  • @SIMONLIGONEKO
    @SIMONLIGONEKO 5 годин тому +2

    SEMA ukweli usifiche

  • @SerageSaide
    @SerageSaide 3 години тому +1

    Alikokuwa alikuwa anafundisha Bila kuwa kacheza timu ambayo Mairi🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 3 години тому

    Yanga wamepiga bomu muchuari😂

  • @janethmoshi3362
    @janethmoshi3362 5 годин тому +1

    Kwa kweli unatufungua vichwa unatuelimisha

  • @ShomariAthumani
    @ShomariAthumani 6 годин тому

    Nipo south Africa lakini nakupata Justin kessy ogela sana mpila unaujua

  • @FriendOlesafi
    @FriendOlesafi 2 години тому

    Huu ndio mchambuzi naye mpenda

  • @zuberimwatambazi7523
    @zuberimwatambazi7523 3 години тому

    Mkuu Mimi nakuelewa mno,wewe si mchambuzi maandazi aisee!!

  • @MrishoAme
    @MrishoAme 5 годин тому

    Kaka kessy wewe unajuwa

  • @henelckneatunga2720
    @henelckneatunga2720 4 години тому

    UKWELI NDIO HUO ILA WASHABIKI WANAIONA YANGA NI MBOVU BASI WASUBIRI MWISHO WA LIGI WATAJUA YANGA HII NI YA AINA GANI.

  • @rajabubwakila1977
    @rajabubwakila1977 5 годин тому

    Huyu ndio mchambuzi wangu wa muda wote ebu mwenye namba yake anipe

  • @bisejulius4100
    @bisejulius4100 5 годин тому

    Hiyo timu ina umaiti gani, acheni utoto nyie kasongo fc

  • @simonnjovu586
    @simonnjovu586 6 годин тому

    Unaumwa kila kitu. Hana leseni? Huko alikokuwa alikuwa anafundisha bila kuwa na leseni stahiki? Madaraja ya leseni unayajua wewe?

  • @allyrembo6714
    @allyrembo6714 6 годин тому

    Hivi hili zee kumbe nalo ni senge mtu kacheza na timu ambayo ni maiti

  • @SAVINPONSIAN
    @SAVINPONSIAN 7 годин тому

    Ukwel yanga saiv hatupimwi kwa kucheza na Ken gold mwaka huu kuna shida project zimekwama kabisa sisi sio wa usajil kocha wa leseni isiyoweza kucheza kukaa bench muda wa mechi

    • @rajabubwakila1977
      @rajabubwakila1977 5 годин тому

      Tulia wewe hii timu hata wewe ukipewa ufundishe kwani wachezaji wake wote wanafundishika,kwa hiyo tulia acha munkar