AMBOKILE:YANGA WAMEPIGA BOMU MOCHWARI,DIARRA AKAJIFUNZE KWA CAMARRA,SIMBA UBINGWA UPO WAZI,YANGA OUT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025
  • #uchambuzi

КОМЕНТАРІ • 83

  • @RichardAntipas
    @RichardAntipas 3 години тому +1

    Ambokile bonge la mchambizi nakubar sana 34:22 ❤❤❤❤

  • @HusseinJumah-md3ck
    @HusseinJumah-md3ck Годину тому +1

    Mech imenunuliwa aiwezekan wachezaj wazoefu waliotambulishwa hakuonekana ata mmoja YANGA aishind bila kununua 😅😅😅😅

  • @simonnjovu586
    @simonnjovu586 4 години тому +4

    Huyu Ambokile kweli ni mwehu. Huyo triple C kwenye 5-1 na 2-1 si alikuwepo? Sasa striker bora Tanzania ni yupi? Mwenye hat-trick ni Dube pekee hadi hii raundi ya 17. Hao mastriker unaowafikiria wewe ni akina nani?

  • @hilarylaurian7896
    @hilarylaurian7896 Годину тому

    Mwanaume gubu hawezi kukaa na Mwanamke alikadhalika na kinyume chake hivyo hivyo😂😂😂😂

  • @anthonymilinga8696
    @anthonymilinga8696 34 хвилини тому

    Hahahaaa😅😂 Gusa achia twende ujerumani. Tunawasubiri tarehe 8.

  • @Mussa-zg7gt
    @Mussa-zg7gt 4 години тому +2

    Yanga ni mbovu inapiga bomu mochwari alafu tunajisifu ujinga kombe tusahau msimo huu

    • @JohnMbogo-c1n
      @JohnMbogo-c1n 4 години тому

      Yanga washazoea kupiga bomu mochwali nimekumbuka zile 5 walizopigwa makolo

    • @hilarylaurian7896
      @hilarylaurian7896 Годину тому

      Zile 5 za kununua😂😂😂😂

  • @rickyphilemon2623
    @rickyphilemon2623 5 годин тому +1

    Mwamba mnafiki HUYU balaaaa😊😊😊😊

  • @malekanomedia3132
    @malekanomedia3132 3 години тому

    Msimu Ulio Pita Tulisemwa Sana Simba Na Yanga mukawauna Sifia Leo Zamu Yenu Sasa Kumbukeni kuimba ni Kupokezana Huu Ndo UBAYA UBWELA SIMBA 💪

  • @kadirichannelonlinetv4258
    @kadirichannelonlinetv4258 5 годин тому +1

    NMEKUBARI KWELI WACHAMBUZ WANABEBA VIBAHASHA KUMBE HAMNA MAANA YOYOTE TUMEKUZOEA KWAN HATA AKIBEBA UGOLIKIPA BORA NIZIDHAMBI WE SUBIR MTASEMA2 MSIJE KUJA KUISIFIA YANGA MWENDELEE NA UBWEGE WENU

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct 3 години тому

    Raundi hii yanga mmeyanyaga nimechekaaaaa chuma cha mjerani yani

  • @SimonMasami
    @SimonMasami 4 години тому +1

    Unaongeaga ukweli brother

  • @maigemayasa3382
    @maigemayasa3382 5 годин тому +1

    😂😂😂😂
    Wanazuruda kama chizi wa VIP
    Duu! Maneno sijui yanatokaga wapii

  • @wazirimahamudu3878
    @wazirimahamudu3878 5 годин тому +1

    Hakuna mchambuzi hapa.ni bendera fwata upepo

  • @JohnMbogo-c1n
    @JohnMbogo-c1n 4 години тому

    Njaa mbaya sana yaani leo unasema pacome ni takataka duuh! Unajiabisha sana asee!

  • @SenoNorbertKiemena
    @SenoNorbertKiemena 3 години тому

    Du ambokile bwana... Et pazia la mama ntilie 😂😂

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 4 години тому

    Simba inacheza mpira aisee mpira wa kisasa wengine wanacheza kama vita

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 3 хвилини тому

    Ambokile nilikua nakukna mchambuziwakweli kumbu pumbatu lyo timu Yako yakolo walifungwa awajafunhwa na yanga kila timu lkicheza na mbovu kenge mwekunduwe

  • @PeterFabian-z8c
    @PeterFabian-z8c 3 години тому

    mmefunga wali wenzenu

  • @Orgy-go1gj
    @Orgy-go1gj 3 години тому

    Bongo kila mtu mchambuzi,😂😂😂 cjajua chuo kinachotoa vyeti kwao

  • @vitalismakyaohamnakitu1714
    @vitalismakyaohamnakitu1714 3 години тому +1

    Nasema ww na madunduka acheni ujinga hovyo ww

  • @SiboEzira
    @SiboEzira 3 години тому

    Hapo sioni chuma Cha mjeromani bali we nitakataka2 Tena mavi mkojo

  • @MwajumaNgaruma
    @MwajumaNgaruma 3 години тому

    Simba tunajenga timu

  • @LengaJeremiahManual
    @LengaJeremiahManual 3 години тому

    Akili zako zimeoza kweli

  • @AlexThobias-wn6tw
    @AlexThobias-wn6tw 4 години тому

    Serikali tiali wamejitokeza huku wachambuzi uchwara kamateni peleka shule

  • @generosekahwa3535
    @generosekahwa3535 3 години тому

    Wamenunua mechi mbona wachezaji wakina yondan kaseke chilwa Morrison awajacheza

  • @ManMwakaseke
    @ManMwakaseke Годину тому

    apo alikua kamara mgeni wa ligi saizi yupo makini San asa diara nae vp mana ni goli la dhalau San kutokea kweny ligi yetu

  • @bavonichristopha1693
    @bavonichristopha1693 3 години тому

    Oya chuma cha mjerumani huna baya mzee wangu endelea kumwagika kk

  • @tcmwakambonja2431
    @tcmwakambonja2431 2 години тому

    Kwani umelazimishwa kuchambua kila mechi? Si uache zingine zipite tu. Ona unavyoumia kuchambua mechi uliyotaka matokeo yawe tofauti na haya waliyopata. Ushabiki utakutesa sana mpaka msimu unaisha utakuwa umepata maradhi ya moyo.

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 4 години тому

    Mtangazaji huna kazi ya kufanya achana na huyo shetani

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 5 годин тому

    Camara alifungwa goli kama hilo dhidi ya coastal union

  • @rebekazakayo-e3s
    @rebekazakayo-e3s Годину тому

    Kashambulie ww mana unaichukia yanga

  • @KontawaMagician
    @KontawaMagician 4 години тому

    Tatizo hili jamaa linajisifia lenyewe lkn hakuna kitu sifa tu kujisifia tu mihemuko tu ndio imemjaa sio mwanamichezo huyo kelele nyingi tu

  • @MawazoWilliam-g9l
    @MawazoWilliam-g9l 4 години тому

    Natokea mkoa wa songwe, huyu ambokile akapimwe akiri mpira hajuwi kuchambua,naona akiri yake mda mwingine anajitoa ufahamu ,mbona simba alishinda 4 naye nimbovu ?acha ushabiki maadazi huo.

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 4 години тому

    Huyu jamaa ni mkimbizi kwao ndola zambia

  • @KontawaMagician
    @KontawaMagician 4 години тому

    Mnafiki kweli huyu ndio huyu aliekuwa akiponda usajiri wa simba kuwa wachezaji wabovu Hanna kitu Leo hii anasifia kinoma alafu bad mnamuita mchambuzi et upuuz mtupu anaongea wa ovyo sn

  • @Mussa-zg7gt
    @Mussa-zg7gt 4 години тому

    Ila dube ni mshambuliaji wakawaida saaana kinacho mbeba ni ukowap wa Viungo

  • @wazirimahamudu3878
    @wazirimahamudu3878 5 годин тому

    Goli 12 kwasababu ken gold walikuwa wamesimama

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 4 години тому

    Tz shida sana kila mtu anajua

  • @AshaMakenzi
    @AshaMakenzi 5 годин тому

    mchambuzi fara

    • @RichardAntipas
      @RichardAntipas 4 години тому

      Mchambuzi fara vipi vitu anavo ongea vya kweli kwanza nnacho mkubali ana wapasua kote kote we hujui mpira

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 4 години тому

    Ww Una umwa afya ya akii chums cha mjerumani

  • @Reherstephanimhanje
    @Reherstephanimhanje 4 години тому

    Kuna maisha baaada ya mpira

  • @generosekahwa3535
    @generosekahwa3535 3 години тому

    Wamenunua mechi hao ndio maana kimataifa hawafiki kokote kapeto

  • @xaverisunday699
    @xaverisunday699 5 годин тому

    Kapige ww bomu mochwali

  • @Maro_tv05
    @Maro_tv05 2 години тому

    Mwanzo niliwahi kuona huyu jamaa ni bonge la mchambuzi ila kumbe nilikua nakosea, huyu ni mchambuzi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania kwanza huyu sio mchambuzi huyu ni mchambua mbuzi.. huyu ni mamluki kbx kwanza ethics za uchambuzi hana huyu jamaa ni mropokaji sio mchambuzi, yaani huyu jamaa sijui apo redioni ameingia kwa style gn daaah😂😂😂😂😂

  • @MuddyAlly-jt8rn
    @MuddyAlly-jt8rn 4 години тому

    Baba uko sawa chuma cha mjerumani unaongea ukweli

  • @RebeccaAndrew-dd4kj
    @RebeccaAndrew-dd4kj 4 години тому

    Ndio maana wameambiwa waende shule kwanza 😂

  • @saidimgina8299
    @saidimgina8299 4 години тому

    Wewe ambukile ni mnafiki mnoo wewe jamaa

  • @Mussa-zg7gt
    @Mussa-zg7gt 4 години тому

    Sawa kabisa anaongea iliokua kwer acheni kumshambulia kimaneno yanga dube hamna kitu bale

    • @JohnMbogo-c1n
      @JohnMbogo-c1n 4 години тому

      Huyo huyo asiye na kitu anawatoboaga makolo kila akikutana nao

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 5 годин тому

    Sioni logic. Mmetumwa na Mo?. Rudisheni tu hizo Rushwa mtaumbuka.

  • @JohnMbogo-c1n
    @JohnMbogo-c1n 4 години тому

    Kwani jana timu yako ilipocheza na vibonde walina asali ilishinda ngapi?

  • @EstherMulinga
    @EstherMulinga 3 години тому

    Usijisifu unambio msifie na anaekukimbiza,we akili huna unaejiita chuma cha hovyo sn ww.hujui mpira mbwa ww kojoa kalale tuachie dube wetu

  • @MtapankunduLyowa
    @MtapankunduLyowa 5 годин тому

    Wewe ni kuma kama kuma wengine

    • @MzeeBabu-s6y
      @MzeeBabu-s6y 4 години тому

      matusi ya Nini Sasa sindiyo awa awa wali wasifia miyaka mitatu mfulu lizo vipi Leo mitusi Tena timu yenu mbovu

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 3 години тому

      Kama la Mama yako zuri liweke mtandaoni tuli tupie like. Bora huyu Kuma. Kuliko wewe Mtapan Kundu lilo lowa. Jina lako tu ushahidi tosha kua hauna Utimamu wa Kundu lilo lowa. Acha vitusi

  • @mendasaleh7816
    @mendasaleh7816 5 годин тому +1

    Chuma cha mjerumani nipe namba zako nikupe soda

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 5 годин тому

      Bomu mortuary? Kolo hapohapo alitaabika kumfunga Kengold 2-0.

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 4 години тому

      We sijui Mkulima wa Mkoa gani usiye jua Mpira. Mnyama kampiga 2-0 Kigodeko alimpiga 1-0 Nani aliye taabika hapo? Mchezo wa Soka ni mipango husika ya Mechi. Kagera Kigodeko alimpiga ngapi kagera? Na Mnyama alimpiga ngapi Kagera.? Subiri Mnyama arudiane na Ken Gold ndio uanze kutema mate kama una ujauzito.​@@simonnjovu586

  • @NaivaetNai
    @NaivaetNai 5 годин тому

    Ili jitu linafiki sana kama rahisi ungecheza ww shenzi wewe

  • @KamaraMarwa
    @KamaraMarwa 5 годин тому +1

    ambukile ni ndumia kuwili

  • @KamuriMaraika
    @KamuriMaraika 2 години тому

    Kaka wewe kama nichawa wa simba kazi unayo

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 5 годин тому

    Weenyoko

  • @francishoti1465
    @francishoti1465 5 годин тому

    Mwambie avue miwani kwanza

  • @EstherMulinga
    @EstherMulinga 3 години тому

    Mnafiki tu ww na daby tutawaonyesha mbwa ww

  • @AnjelaMasaki
    @AnjelaMasaki 4 години тому

    Goli 12 ingia wewe ufunge nyani wewe

  • @afriqoelearningtanzania
    @afriqoelearningtanzania 5 годин тому

    Chuma kasema wanatufanya wajinga ww nani upinge

  • @kadirichannelonlinetv4258
    @kadirichannelonlinetv4258 5 годин тому

    Et chuma wewe uwe chuma labda chooo bro mpira hujuwi ndo maana unatumia nguvu nying na kutunisha mishipa kwa ajir ya ujinga2 ety nanyie wachambuz hz redio hz zmevamiwa

  • @eliakisinga5360
    @eliakisinga5360 4 години тому

    Dube wewe humpendi

  • @browntv1119
    @browntv1119 5 годин тому

    fala wewe chambua perfomance ya timu

  • @PeterFabian-z8c
    @PeterFabian-z8c 3 години тому

    dunduka ni wewe na kamwe

  • @MakarotiKamugisha
    @MakarotiKamugisha 4 години тому

    Walio cheza leo wote marehem

  • @henrydanlord7822
    @henrydanlord7822 5 годин тому

    Ndumilakuwili

  • @MirajiMohamed-be1qc
    @MirajiMohamed-be1qc 5 годин тому

    Tuna mchambuzi mvuta bangi hapa

    • @hilarylaurian7896
      @hilarylaurian7896 Годину тому

      Kama bangi ndio hivi aendelee tu kuvuta kama Bob Marley 😂😂😂

  • @AshoooraMct
    @AshoooraMct 5 годин тому

    yani uyu chizi sana