Daah tesaa mama kama bado yuko mzimaa yaan kama amekufa kwenye movie yarabii Allah amuangaziee nuru Kabul lakee jaman tusalmnii.sana kifo tunatembea nachoo kila hatua yetuu😢😢😢😢😢 dah tesaa
😅😅😅😅kashauro huweza Jude moja kwa kumi...nae jb amempotea chidi😢😢😢kibibi nae kubakwa kila siku😅😅😅😅furugu kila konà fai na Abby kamgeuka huku wapi kuzuri sasa ila kwa Nicol tu😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Sidi yanamtumbukia nyongo sasa ataka sana kuondoka ila anawaza nikiondoka alafu JB arudi mjini na awe na utajiri wake sita weza kurudi tena mana alie mkaribisha Tima hayupo APO SO nitaanza je Happy si ata enjoy maisha peke yake 😂😂😂😂😂😂 unalo ilo hajuza sidi
Jamani tesa cheko lako 2 MashaAlla mungu akuweke mahala pema
Kifo cha tessa kwakweli kinaniumiza sana 😢Allah amuondolee adhabu ya kaburi 😢😢😢
Daah tesaa mama kama bado yuko mzimaa yaan kama amekufa kwenye movie yarabii Allah amuangaziee nuru Kabul lakee jaman tusalmnii.sana kifo tunatembea nachoo kila hatua yetuu😢😢😢😢😢 dah tesaa
Poleni sana kwa msiba wa tesa😢inshaAllah 🙏 mungu amuake pema palipo na wema🤲
Jmn Happy i always lyk the way u act..❤❤
Jb nakupenda bure hiyo ni funzo tosha kwetu sisi wadada
Tima na Devi mnaendana sana mfanye kweli❤❤❤Tesa mama tuta kukumbuka daima😢😢
Sidiiii tokaa uwende kwnu...JB hakutaki tenaaaa
Nimemiss doris kulia kwake kwenye mapenzi njoo basi mama😂😂😂😂
Amazing 🎉🎉
Hubaaaaa jmn its so interesting
Mbona mwatuliza jaman huyu tesaa tutamumisi 😢😢😢poleni sana wana huba
Timaaaaa jmn wajua kupikaaa
Devi n'a Tima mnamech ❤❤
Mnapendaaa sanaa umbeaa
Kifo ca huyu mama kimeniuma muno tena zaidi ya sana Allah amuondoleye azabu za kaburi😢
Sio azabu ni adhabu
Sio muno ni mno😂
Na ww n waitwa baraka au balaka😂😂😂😂@@BalakaMakuza
@ZenaHemmy umeolewa?
@BalakaMakuza bado vp kuna mtu ataka mke pande hizo kwn
Dave na tima i wish ingekuwa hivi in real life ❤❤🎉🎉R.I.P mama tesa😢😢😢
Timaaaaa na Dev
Majibu ya JB yanatishaa,I say.l like blend ya Tima na Dev
Tesa mama umetuweza sana mama, aisee Mungu fundi😭😭😭😭😭😭😭😭
Tuwekee jua kali bas
pumzika kwa aman madam tesa🙏
Masiku i tesa wangu upmuzeke kwa amaniii inshallah
Tessa jmn Tutakumbuka daima Mungu akupumzishe kwa Amani Tessa😭😭😭
Timaaaaaa jmn
We will always miss Tesaa
Timaaaaa jmn Mnaendana na Dev
Pumzik kwa amani Tesa
Tima siku hizi kawa good girl
Nampendaga tesa anavyocheka Tu 😅😅😅
Haki tena 😢hiyo tabasamu lake
😅😅😅😅kashauro huweza Jude moja kwa kumi...nae jb amempotea chidi😢😢😢kibibi nae kubakwa kila siku😅😅😅😅furugu kila konà fai na Abby kamgeuka huku wapi kuzuri sasa ila kwa Nicol tu😂😂😂
Mimi wakwanza Leo haloo😂😂
Tesa my roll model rip mummy😢
Jaman tessa 😢😢😢😢 jaman jaman
Jmn uyu ngosha siku akimjua kibb atajiskia kuhalaaaa asaivi anajiskia ajakubwa 😂
Chidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Jmn...
Nellioooo kizunguui mingiii
Pumzika salama mama yetu ila jud ww hapana eti mmenikodoley mijicho
Tesa mama pumzika kwa amani
Sidi joto la roho unalipata tamaa haijawahi muacha mtu salama😂😂
Poleni huba jamani
Ila Mhogo Mchungu😂😂
Pumzika kwa Amani Mama Yetu sawasawa na Mapenzi yake MUNGU
Ila Judy eti uswahilini kila mtu anataka kujua habari za mwenzie😂😂😂😂
Abbyy Na Roy
Yani kifo hiki kumchukuwa tesa😢 kwakweli huba haitanoga tena
Judi na tesa warikuwa wananogesha sasa kabak jud pekeake duuuh
Judy mwili unatisha😂😂😂miguu mikono hiyo weeee
Part ya Tesaaa iondolewe jmn apwe mtu mwengne
😅😅😅😅mimi tesa kwa hii kipindi naona ikipoeka aki
Pumzik kwa aman mam tes
Ila sidi uliona wenzako wafaidi ukajiingizamo hivi unakapitia balaa😂😂
Timaaaaaaaaa jmn
Yaan nikimuona tesa siamn kma ayupo nas Jmn
Jamani mm nitasahau Tesa kweli😭😭😭😭
R.pc mama tesa wawatu kifo akizoeleki
Ila sidi n kituko
Napenda penz la tima na dev
Bidu uyu chiz kwel😂😂😂
Mm sijawahi kumuelewa zaidi yakuskia kelele tu😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Sidi yanamtumbukia nyongo sasa ataka sana kuondoka ila anawaza nikiondoka alafu JB arudi mjini na awe na utajiri wake sita weza kurudi tena mana alie mkaribisha Tima hayupo APO SO nitaanza je Happy si ata enjoy maisha peke yake 😂😂😂😂😂😂 unalo ilo hajuza sidi
Tesa umemueza just anakera
Sidi nenda kwenu bana😂😂😂😂😂
Hana kwao na hana watu wao, sasa hivi akiona pahari kuna utajiri ata shikilia amuache jb😅😅
Ila judy bwanaa😂😂
Uyu mama alie mseidia kibibi anaongea kama tessa nani ame notice kama mm
Jb anatufunza wanawake tuache tama zapesa ongera baba iyi nafas ulisema uyo sidi aende kwao wakat asha njitowa kwawatu nemda ukafiye mbali sidi jitu nzim
Sidi watu wote aliwadharau ataenda wapi.😂😂akaombe msamaha kwa Tima hata Happy naona akirudi kwa Tima😂
Judi wacha na tima baba😅😅
Tesa Mama kwanini umeenda ghafla😥😢
Mm wapili
Tamaa mbaya Tesa
Jamani msituoneshe tesa mnatutonesha kidonda😢
hi kipindi siniajana
Eti kichekeko cha tesa leo ndio mumekiona tutoleyen makelel
😂😂😂hiki kicheko nitakimiss sana
Kibibi si upatie huyu bidu adabu
Sidi na Jb matukunyema😂😂😂😂
Kifo hiki jamani Mama mbere ysko nyuma yetu safali yetu sote ila mama umetangulia
Bindu eti kinapikwa kwenye mitume na manabii😅😅😅!!
Aiiiii Tesa wewe 😭😭😭😭
Alafu hii niya jana mbona 😢😢😢
Ww ya jana ujaiyona
@sharifamahamudu182 yenye nimecomment ndio yajana yenye tesa yuko yaleo hakuna kuna tesa
@@dhahabudeche926 nitumie hy ya leo cz mm jana niliona nyengine na tesa pia alikuwepo sema ilikuwa kule clab alafu Hz nikaziona kwenye ijayo
Tesa jmn kifo having hurum😭😭😭😭😭😭😭😭😊
Sidi bado hujasema😂😂😂
Mama tesa umetuwa huku tunakuitaji
Na fay aliendanga wapi jamni
Judi wacha kusonya sonya ww nikidume waachie kina tima
Tesa rip 😭😭😭
Sidi nenda kwenu utakiwi tena
Judi jamn
Lala salama tesa
Nenda Sidi
Huyu tessa siyo mumesema amekufa tena vp
Ndio lakini hizi movie zinakuwa zimeshachezwa
Kafufuka. Mana mnaulizaga kama sijui nn khaaa
Swali linatia aibu! polee
Kafufuka mwaya
Wa 2😂
Ila.Jb hiyo Nguo😂
❤❤❤❤
😢😢😢😢😢😢
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😢😢😢😢😢
Judi na ilo fridge lako linafanya kazi kweli??😂😂😂😂
😂😂😂
Oooooh😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭
Mbona aindelei hhi
🎉🎉🎉
Jameni tess😢😢😢😢