Fid Q Ft Matonya - Usinikubali Haraka (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 7 жов 2024
- #FidQ #UsinikubaliHaraka #Matonya #SlideDigital
FID Q Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Fid Q
Follow Fid Q on
Twitter: / fidq
Facebook: / fidhop
Instagram: / therealfidq
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Hiii ngoma Hadi mwaka 3000 amini nakumbia ewe msomaji
Respect fid Q
2024 tuko pamoja
I'm crying in the 2024 room😢
I'm back 2019 gonga like kama tupo sambamba
Who is here ©2020?
hii ngoma yani nakumbuka long time nikiwa class wakati huo naonekana bonge la mshamba kisa cna dem lakin saiv namshkuru sana mungu nina familia yangu maisha yanakwenda by 4shizo bby
Here I am
2021
Ngoma yakitambo Ila nakubali can nkiiskiliza kama imetoka Jan vile respect kwa Tonya and fid q🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟
nani yupo 2024
Kwangu ngoma haijachuja bado 2020 nipo nayo gonga like Kama tupo pamoja.
Kabisa
Nan Yuko hapa 2024 😊😊😊😊😊😊
ni miaka minne tangu dude hili litoke ila kama limetoka jana hivi 2023
Sio miaka minne umuongo
2024 but this is for 2050 and above, the first time i listened to dis track was 2010
Wangapi wameona interview ya Wasafi medea nakuja huku Usimkubali haraka🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻🙌🏻😆
Nimeletwa Hapa Na Kim James Miriti after Posting the lyrics on Facebook
Nani anasikiliza hii nyimbo 2021
Mimi
2023 still rocking hard men!
Matonya alifanya ngoma iwe nomaa
Wameuwa mziki wetu ulikuwa mzur San ilandobac ten
haitoweza kuchuja hii ngoma
Miaka yote
Napenda saaana
2022, whoz rocking with me??
Ilipotoka hii nyimbo mabinti walituzungusha na kutuzingua sana aisee...
Back in days, DEE 7 wa Kiss FM mwanza alilalamika akisema "Kwa super star kama fid q sawa, ila mimi nahitaji demu chap, tusizungushane" hahahah
😂😂😂😂😂
Marco Chali ni Noma.
Daaa hiingoma nimemuskilizxhia demu haaa ndookaamua kunizingua sasa
Sikupingi FID Q
we ndio mkubw wao wa kazi
best rappers of all time in Tanzania
1.Fid Q
2.Mwana Malundi
3.Fareed Kubanda
4.Young Killer
5.Nikki Mmbishi
Bro utakua hujaskiliza ngoma za Chid benz , Lord eyez , Godzila mwamba wa Salasala huyu dah mdogo wangu kuna miamba imesafisha njia mno kwenye Hii sekta ya kuimba
@@allymnyenye8109chid Benz is the best
2022 bado ni moto 🥰❤️❤️
2023 bado ni 💥💥 fid q ,we mkali ,+254.
Naucklza kwa mapenzi makubwa sana 2021october
Kazi nzuri sana nice song
Hii ngoma ukii piga enzi hizi sipat picha mtu anapigwa saund asubuhi join kamba
mzee mbuzi🔥🔥🔥
Kwangu bado kabisa Ngoma Kali 2023
ngoma iko topssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss!!!!!
"nasio kukudanganya nikaishia kukuhoa"
Tutazikumbuka daima
Hii ni zaidi ya ngoma 👊
10/4/2020 gonga like twende sawa
Legendary records ...hii album 2050 bado inavuma
Usinikubali halaka
Hii ngoma nimeizimia tangu zamani asante sana fid q na matonya
Hiii ngoma aichakai hata punje
Nakubali
Nashangaa kwanini hawa jamaa wa Kili Music Awards hawajawahi kumpa tuzo huyu jamaa @fidQ. He's Tanzania's all time rapper. Tangu zama za huyu na yule wayback 2002 kama sikosei
Mzee mbuzi"🐐🐐🐐 unajua wewe ndie ngosha the Don.!!
Mpaka leo,sitaki anikubali haraka💯Pamoja sana Kubanda🙏🙏
Gonga like hap km unaamin goma kali
Tusikutane Leo mtaan alafu kesho uibukw getto 🔥🔥🔥🔥🚻🚻 mapenxi ya kileo hayo #Mwanamarunde
Good song for the rong time
02.01.2022 Hot hot Song la Carne
2020 n we still here....
Who's with me in 2020? #fav
2050 nilikuwa hapa 2022/8 🇰🇪🇰🇪
Maneno yako yamenisaidia kaka
Mad respect to Fid Q and Matonya. Still going hard in 2024. Real Hip Hop from the 2 legendary artists.
Yaan unakuta Ngoma kama hii hata views 1M Haina Dah! Dunia inaubaguzi sana 😢 still 2024 an
Manze hii ndi ngoma ya kweli!. Big up!
😢 King hip hop ngomaa hazichujiii kwangu😢
2020bado'ngoma'yangu:kali
Ngoma kali kama ya leo
Wa kwetu
Kipind hicho matonya anaimba kila chorlas ooooooow verry nice moment
October 24/2021 🔥🔥🔥
2022 still hitting differently.
2024 good song.....
On 🔥
Sitaki kukuacha love naomba ujiamini I'M STILL WATCHING 31/1/2019
this was the first song where by Ngosha started singing the soft hip hop
Good Music.
**Mimi ndo mkubwa wao wa kazi**
Hahah mkongwe atabaki kua mkongwe
Msodoq
Am From Uganda....Respect Fid Q.
Ukizungumzia Fid Q unaizungumzia MWANZA.yani FAREED QUBANDA ndio NGOSHA da DON chata inapigika 2021
Fid Q, this is a music that you made a big blow man. Many years have gone and still sounding like a new release.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hujawah kukosea mkubwa
ngoma Bado Kali san huwez fananisha kabisa na sasa kuazia uandish mpaka uandishi
Nakumbuka linatoka 2008 2009
2023🔥🔥🔥
Kwamala ya kwanza mbongo akawa Na maneno ya kikorea
Nikumekuja baada ya kuona interview ya FID About Stamina ngoma kali🔥🔥
2020🇲🇿 tunakipenda tems boa mensagem
WACHAWABONGE 2
Miaka7000💥💥
2023, bado ngoma ina hit🎉
Nilikupenda rong time hahaha leo8-9-2020 corona nipo nayo ngoma kali bro
Hii ngoma ni hatari haichuji kila nikisikiliza 2020
Our music was so classic that day
2021🙌
Another underated hit
Nimekumbuka😅
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimerudi tena 2019💥💥💥
November 24/ 2021 still 🔥🔥🔥
Ngoma zinazoish am now chilling somewhere nakula upepo taratiib naiskiliza 😅
2021 and still hot🔥🔥🔥🔥
Bro bado hii haichuji
2021🤞🤞🤞🤞 ipo apo
Bado kama imetoka jana
International album 🔥🔥🔥🔥
Usinikubali haraka
Those days listening to Radio Free Africa.. My childhood man.. 2020 going strong!
I remember like yesterday.. Kisii Kenya tuliweka aerial juu ya mabati😂😂😂😂
@@Kobe_254 best times!!
Du kizaziiiii xn bong la ngom Aixeee mmetixh maixh xio Rahix ila pongzi mnaxtailiiiii!!!!!!!!!
💫all time favorite
🌟🌟🌟🌟🌟