Fid Q - Siri ya Mchezo Feat Juma Nature (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 20 сер 2019
- #FidQ #SiriYaMchezo #JumaNature #SlideDigital
FID Q Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Fid Q
Follow Fid Q on
Twitter: / fidq
Facebook: / fidhop
Instagram: / therealfidq
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Eti Wakenya wanamuona kaligraph ni mkali, nachekaga sana. Fid q hana wa kumfananisha, hachani chani, ana- spit knowledge na wisdom
Ni kweli kabisa. Nakuunga mkono. Jamaa ni kichwa sana in poetry. Mimi binafsi kwenye nyimbo zake napata sana ujasiri na kupata nguvu ya kusonga mbele hasa ninapopitia magumu
kuusaka ukwl ni sawa na kumenya kitungu..,kila ganda litakutoa machozi utabaki macho juu....✍️✍️🙏
Ninachokiona ni kama Tanzania kuna mashabiki maandazi sana! Wengi wanajua huu Ni wimbo mpya! Poleni sana!
Wasanii 3 bora wa HIPHOP bongo ni-
1- FID-Q
2-NGOSHA
3-FARID KUBANDA
Upo imara sana kwenye game ya HIP HOP,nakufwatlia toka ktambo,,,,, #respect from 254...
FITTY BLACK Hahahaha
Umetisha
Joseph Kamiza shukran
Hahahahaha
Ni jesh la mtu mmja
Kidumu chama cha masela.
Respect Farid Kubanda.
Naomba like 10 tu
Umetisha sana
Uzipeleke wapi?
amani kwa chachage na makuwadi wa soko huria, baba asante kwa tafiti na zawadi ya almasi bandia
Ngoma ya kitambo ila utafikil ndo imetoka leo aisee noma sana mafund wawili wamekutana mfalme wa tmk na king of hip hop tz kama ujui siri ya mtungi ajuae kata na # SIRI YA MCHEZO# anaijua yeye ngosha ze swagger don
Jiwe kalisana miaka yote
Aminia Makamanda.... Rashake ray from Nairobi Kenya.... Mzuka Sana
Wangapi wamekuja hapa baada ya kusikiliza ngoma ya dizasta vinna @chupa moja ya ziada😊😊
Hata mm
fid-Q the future 🔥
Jamaa namkubali sana fid q
Mtanzania one hapa....tuko pamoja sana...nakusiliza sana kila ile mbaya...q baba q farther.....yule jamaa mtamadu ni
Seats pretty in my top ten of all time.
hahaha ngoshaaaaaa kusaka ukweli nisawa na kumenya kitunguu kila ganda unalotoa lazima machoz yatakutoka mwisho utabak macho juu ..
Ukishindwa kujiandaa Jiandae kushindwa
Ngosha hufai Hata kwa maziwa
Nakuelewa Sana'a toka zaman.ulianza ww wakaja wabana pua wale mwewee
Fid Q ft Nature chumaa makini sana watu Makini sana
Hakuna utumwa mbaya kama wakujiona uko Free 😳🤔🙌
Kumwelewa fid q inahitaji iq kubwa mjue!
Anaweza akawa anakusema ukadhani anaongelea mtu mwingiiine😅#beautfulart hapa ni zaidi ya roma anaovoisema serikali ila watu hawajastukia
Fid Q Kamanda ni Kamanda , unatisha Bro Ujumbe kama wote nakubali 100%
Jamaa kapotea hatupati mambo yake
Nyumani nasikiliza dunia ya sasa marujiwani
Who ellse listening to this jjoint over here!!!
Fidc Q beats them all hip hop wannabes,khaligraph jones +254 is his perfect match,,,,collabo would be a murder...fid Q +254 we wanna be waiting...thanks for the real hip hop beats,,,salutes legend Juma Nature.+254 love
Nature una ua sana kweli talent haizeeki
Hip Hop for ever
Respect bro
Like your job
Darius From Australia
Fid Unajua wee jamaaa
Hii ngoma nimeirudia mara 20
Hii style ndio inakufaa fid q chunguza hii style huwa unauwa Sana💥
Ngoshaaaa ze swagger 👊🏻👊🏻
two legandary in one track
WTF* is that intro, habari san! from Kenya tnakubali sauti senu .. salimia Fiddy, from deep in America Seattle..
Wazi....ngosha....kizazi sana
Mbona FIDDY ukamwosha DUDUBAYA adharani…. This reflects DUDU 😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👽👽👽👽👽
Anamwoshaje Dudubaya kivipi hapo fafanua Kiongozi
🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤
🔥💪👏👍
Sikuyangu leo nduguzangu like zangu
2023✍️
Bado we twitching books… deep in America….
Heavy sana
jikombe ugongwe ili mtaa ukuone hauna ishu..
#Ngosha_kubanda yote majina Yako
kamanda umesuka.umeaua
Nakubali ngoma
Kizazi fid umetu ispaya
🇹🇿🔥🔥
Nakukubali sanaa afu mbona hii nymbo kama nilishawah kuisikia au ni remix
wakongwe kwenye game
Real Hip hop mkubwa Fid Aijavunjwa vunjwa 🔥
PRIDE OF BONGO HIPPOP
Fq Umeturetea N+
Tulimumss
Safi mkali wala Usishangae Views tatizo halo tete bando hamna
Mtazania ni d'em, wa mzungu,,, gari bovu aisukumwi ukiwa ndani yake. Hahaaa
Badilisha flow na style Fid. Hi track utadhani ni ngoma ya 2006. Audience tunaukubali uwezo wako wakuandika ila tunataka something new & refreshing manzee
Haujui unachokisema! Pole sana Kaka Kama unahisi Ni wimbo mpya! Hi ngoma aliitoa kitambo sana ! Ina miaka mingi sana zaidi ya miaka 5 ama 6 nyuma!
Tony El Shabbaz 😂😂😂Sihitaji pole yako,,nimekwambia naumwa malaria? Main Point yangu bado inasimama wima, style ya fid haijabadilika mpaka leo. Ngoma yake na rosa ree, fresh, etc,,,they all sound the same. Gtfoh!
@@mausant2000#KLMY
nomaaa
2022
#TheCode
#BongoHipHop
📌📌📌Tuna ishia kufia mabatani kama inzi ndani ya Glas ya beer📌📌📌
👌🏿👊🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
👍👍
🙏
Nipeni likes zenu tafadhali
Farid kubanda
Imetupya kwenye account yenyewe sasa
Fid q nakupa salute....sichoki kusikiza kazi zako. Real hiphop, mbonge ya elimu ndani yake.
Mfalme wa hip hop bongo fid q farid qubanda nakukumali sana mzeee
🔥🔥🔥