Mbunge amshauri Mpina kujiuzulu ubunge

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • Mbunge wa Kasulu Vijijini, Augustine Vuma amelishauri Bunge kumshawishi mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kujiuzulu kutokana tuhuma za kudharau mamlaka ya Spika na Bunge.
    Vuma ametoa kauli hiyo wakati akichangia mjadala wa kujadili taarifa ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge iliyowasilishwa bungeni leo Jumatatu Juni 24, 2024 kuhusu tuhuma za Mpina kudharau mamlaka ya Spika na Bunge.

КОМЕНТАРІ • 13

  • @ourearthmatters5206
    @ourearthmatters5206 3 місяці тому +1

    Wewe ni mjinga sana

  • @PaschalphillipLugwisha
    @PaschalphillipLugwisha 3 місяці тому +1

    Akili ndogo

  • @ufundi_tz
    @ufundi_tz 3 місяці тому

    Hatufuatiriii bunge tena mpaka mpina atakapo rudi tena bungeni ...

  • @samsonsamwel8782
    @samsonsamwel8782 3 місяці тому

    Hapo mwenyeakil yupo nyuma apo kushoto wew pumba tupu

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 Місяць тому

    Ngoja tuwaambie hapo mmewekwa kutusemea wananchi , hamjawekwa na huyo tulia mjinga wewe mxiiiuuu

  • @ufundi_tz
    @ufundi_tz 3 місяці тому

    15 days au vikao 15 ??? ... hata hujui unacho kichangia

  • @georgeamry7545
    @georgeamry7545 3 місяці тому +1

    Heunda shinda ni ngozi nyeusi

  • @markoshem-ij6cf
    @markoshem-ij6cf 3 місяці тому

    Tumekusubiria kasulu vijijini tuko na meshaki wewe tutakupga kama ngoma

  • @InnocentYangaza-zv2gh
    @InnocentYangaza-zv2gh 3 місяці тому

    Vumahole huna akili kigoma vijij hamna ktu unaleta ujnga bungen

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 3 місяці тому

    Yaani hayo mambo yanachosha akili sana sana hao wenye hekima wa kizazi chetu ni changamoto