Kibendu na keina mashallah 🙏🙏 mmependeza hadi raha sania mwenezi Mungu akuongezee kila hitaji la moyo wako kwa kum badilisha kibendu nawe Chiko litakukuta jambo hadi ushangae kwa huo mpango wako wa kutaka kumzuru Mr Tasha...
Jaman kibendu umependeza mashaalah mungu akubadilishe daim, kai napenda sana kukuona upo na zuu mda wote na ukitoka kuigiza kai zuu fanya mpango umuoe kabisa
Dooh kwan hamunioni jmn sijawah kuwah kama leo mimi na nyie wote si mshanikuta hapa😂😂😂😂❤? Mnipe like ya mwisho wa mwaka ili tufurahie ndoa ya kibendu 🎉🎉🎉🎉🎉
Nimepata mafunzo mengi kupitia hii move toka season one mpka leo hii season three daaah mungu 2barki xixi na vizazi vye2 mungu ni mkubwa na mungu achen haitwe mungu🙏🙏🙏🤭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mashallah mr kibendu up vizur san mashallah bwana harusi wetu timu inaogezeke tu kina mama kijacho kein ❤❤ hila nime miss mm bibi zuu jamana bad baba kirukuu kupeleka barua kwa m kijacho sania hum 2
Tunaemuombea kilamba afanikishe mtongozo kwa somoe😂😂😂like maana sio kz ndogo jamaa mijasho nginja nginja hongera kibendu na mchumba wako mmependezana kubadilika kwenu ata Sania mashallah
mashaaAllah tabaraka Allah kaka kibendu umefanya jambo LA busara Allah akutangulie kwenye ndoa yako 🤲❤❤🌹💕💖chiko we hujielewi ujue ulichokipanga basi wenzio washakutangulia humuezi Tasha hata sekunde😅😅😅😅
Ongereni Kibendu na Keina na Sania kwa kubadilika pokeyeni mauwa yenu🎉🎉🎉Ciko roho mbaya haijengi ubomowa kilakitu utafeli tu huwezi kufaanikiwa munafki mkubwa
Crazy Love ep 01 👇
ua-cam.com/video/Mj0gnwm-0p0/v-deo.htmlsi=eiUIzV2s2shfKzPA
😂hii mimba ya zii inachekeaha
Sania utapata twawabu sana ulifanya kibendu kabadilika pamoja na mpenzi wake mashaallaah watabarakaallah ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wanaofurahishwa na ndoa ya kibendo na keina kama mm nipeni like basi ❤️❤️🥰
Hawana maadui 😂❤
Kibendu na keina chukuen maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nilijua tu mpango wako chiko Ila kaa ukijua kuwa Kuna watu Wana akili zaidi yako, Me. Tasha najua uko makini Sana so utashinda🤜🤛
Ya mipango ya Tasha NI lazima hitiki waoooooo ongera Sana kwa kuliona hili
Katika muvi hii mi sioni mtu mwenye akili bwana huyyo tasha mwenyewe anapambania mapenzitu akili gan hz
Hongera sana me Tasha kwamupango wako
Kama unaamini kipara mtelezo ataharibu mipango ya chiko na kumsaidia Tasha nipe like
😂😂😂😂😂
Atakua amefanya la maan san😊
Yaani kibendu wacha nikupe mauwa yako🌹🥀🌹🥀✌️
💐💐💐💐💐💐
🎉🎉🎉
🌹🌹🌹🌹🌹
🍭🍭
🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Kikubwa nilichojifunza hapa tutazunguka sanaaaaa na Dunia hii lakini kwa Mungu tutamrudia sanaaa.🥰
Asante Queen
Point ❤
@@aishaomar9621🙏
Umeona eeeh
Kabisa ❤ Mungu atupe Mwisho Mzuri🙏
Masha allah kibedu umependeza navazi uisillam muzulijaman anayekubaliyan nami niwaon
🎉🎉🎉
Leo leo. Nimeway jamani. Wanaopenda kubadilika kwa sania tujuwane apa.
Anae amini chiko atatokewa n mzimu wa dadake kama candy tujuane
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂
Ndioooo tunakisubiri kizuka cha chiko
Ataongea hadi kiarabu
Natamani sana kimtokee kama candy
Tunaomba chiko ateswe na rahma kama vile candy kateswa na mamake. Weka like ❤
Kibendu na keina mashallah 🙏🙏 mmependeza hadi raha sania mwenezi Mungu akuongezee kila hitaji la moyo wako kwa kum badilisha kibendu nawe Chiko litakukuta jambo hadi ushangae kwa huo mpango wako wa kutaka kumzuru Mr Tasha...
Yoyote utakayesoma hii comment uwe na weekend njema ❤🧡💛💚💙💜🤎❤🧡💛💚💙💜🤎❤🧡💛💚💙💜🤎
Kumbe kibendu n handsome ivi wap like zake wweeee❤
Yaan we acha t
U hand some wake niliuwona zamani tu mbn 😂❤
Huyu ni wangu jamn shemeji yenu plzzz😅😅@@MariamuHamidu
😂😂😂😂😂😂mimicpia niliuona zamani @@salhatiddy
😂ewaa kibendu tomola yake🎉
Mashallah mashallah mmependeza jamn kanzu huwa haimkatai mtu umependeza kibendu
Sanaa
Wallah kanzu haijawah kumkataa mtu, kibendu we ni hundsome❤❤
Nilikuwa tuu huyu chiko kubadilika harak hivi Kuna jambo,kitakuramba mwenyewe maana Tasha yuko makini sana,bt kibendo handsome boy❤❤❤❤from Kenya🇰🇪
Kibendu MashaAllah TabarakaAllah
Alhamdulillah
Hakika Mungu yupo ❤❤❤
Chiko utafel yot u nayofanya mwenzi kashajua mchez wako like kwa tasha🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nitoe pongezi kwa Sania na kibendu mungu awaongoze kiukweli nimefrahi sana 🎉🎉🎉🎉
Apa Mwendo Ni WA Arusi . Masha allahy Tukilamiza Ya Kibendu Tusubiri Ya Kilamba Ukwaju na Samoe
Mashallah kibendu umependeza❤❤❤❤❤
Jaman kibendu umependeza mashaalah mungu akubadilishe daim, kai napenda sana kukuona upo na zuu mda wote na ukitoka kuigiza kai zuu fanya mpango umuoe kabisa
Ha ha izo husna,unadhan mchumba wa Kai au zuu atajisikiaje kwa hayo mnayosema mashabiki,hii ni kazi
Zuu kamimba kametoka mbio😂 anyway congrats 🎉 love you ❤
Hapo mnafurahisha njia moja ya mabadiliko ni uislamu ongera movie
Dooh kwan hamunioni jmn sijawah kuwah kama leo mimi na nyie wote si mshanikuta hapa😂😂😂😂❤? Mnipe like ya mwisho wa mwaka ili tufurahie ndoa ya kibendu 🎉🎉🎉🎉🎉
Wow kibendu Mashallah nilikuwa ninaona umemsalit keinah hongera sana🎉🎉🎉
Wooh mashallah kibendu yuko so cute naye sania hongera kwa kuadika
Mashallah keina na kibendu mmependeza san mungu awaongoze vema katika ndoa yenj
Mashaallah kibendu umependeza sana na keina mashaallah ❤❤❤❤❤❤ bila kumsahau sania❤❤❤❤❤❤
Hehehe muislam jamani hamna mkristo anyway glad to see you kibendu uko handsome af nahisi nyie n wapenzi 😂😂
Zuu ni mkristo
@marynabwile4086 really? na mbona anajifunika mara anavaa mavazi buggy
Jamani kibendo kapendeza mashalla ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hii movie stamani ihishe Ina fundisha sana
@@BernadAyubu22 kabisa
Mwanzo kweny imefika n kuendelea ndo kutamu zaid y tende n haluw❤
Kuna nyengine initwa Dunia nzuri sana
@@aishajuma7128midia gani I mean inapatikana wap
Anaya jua meng yaliyo moyoni mwangu naogop kucheti. Shenzi me nisha chiti kitambo🤣
Nimepata mafunzo mengi kupitia hii move toka season one mpka leo hii season three daaah mungu 2barki xixi na vizazi vye2 mungu ni mkubwa na mungu achen haitwe mungu🙏🙏🙏🤭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sifa kwa mwenyezi mungu🙏, hongera ka kibendu ❤❤
Mashallah mr kibendu up vizur san mashallah bwana harusi wetu timu inaogezeke tu kina mama kijacho kein ❤❤ hila nime miss mm bibi zuu jamana bad baba kirukuu kupeleka barua kwa m kijacho sania hum 2
Nafurahi kuona Kibendu na Keina wanataka kufunga ndoa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 sheikh wetu kibendu Mashaa AllAh ❤❤❤❤😂😂😂😂
Tunaemuombea kilamba afanikishe mtongozo kwa somoe😂😂😂like maana sio kz ndogo jamaa mijasho nginja nginja hongera kibendu na mchumba wako mmependezana kubadilika kwenu ata Sania mashallah
Kilamba 😂😂😂 kilamba wacha vituko ❤
Mashaaalah Kibendu umependeza ❤❤❤❤🙏🙏🙏Mashaalah tunasubiri harusi tu werawera halo halo
Kazi nzuri🇹🇿
Mimi maoni yng hii series iishe tu maana hamna tena stori😅😅😅
Nilichijifunza apa nikuwa rafiki mzur niyule anayewaza kuhusu majanga yanayokukabili nakuhisi kama yakwake ameyababa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Kibendu unatukunywa madem wa gulf😂😂😂 team strong unamkubali kibendu kwa uhandsome wake ukiwa pandegani
Jamani huyo kibendu ni wangu tusisumbuane tafadhali
@JudithSimiyu-ps7ee uzuri huja mueka plate no kwaiyo subiri uniowe🤣🤣🤣
Asante Mungu kwa siku ya leo 🙏
❤
Mashaallah kibendu umependeza sana. Sasa bado chiko😊
Hii movie kwakweli inamaadili inafundisha inahuzunisha pia inafurahisha big up
Najuwa wewe mr Tasha ni genius❤❤❤ awezi kukufanya chochote chiko ❤❤❤❤❤
Waoo kibendu kabadilika
Jamani nimewafurahia Kibendu na Keina. Hadi machozi yamenitoka.💖💖💖💖
Chiko chiko nakucukia kabisa munafiki mukubwa ata ibrisi itakukataa
Wa moja mie leo naomba like
Jamani tuponesheenii Kendy wetu
Mafan wote wa busatitv Allah awalinde sana hata kama mwenye atakae soma huu ujumbd🙏🙏🙏🙏
Amin
Nilikuwa na mashaka na msamah wa chiko kwa tasha kumbe aujatok moyoni jmn chikoo chiko chiko nakuita mala tatu unamatatizo ww😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉 18:04
Daah Allah Akibar. Allah katuchagulia waisilam vazi zur ijabu na kanzu alijawai toa Mt vibay
Mashaalah kibendu na keina
Mwenzenu nahisi wivu maana Sina wangu
Kitu najifunza hapa mungu ndie kila kitu kwa maisha ❤
Yanii kwa siku sote leo nimefuhishwa na kibendu kuona hako handsome maua yako bro🎉🎉🎉💐💐💐💐🪴🪴🌿🌿🌿🌿🌼🌼🌼🌼💓💓💓
Wa kwanza 🌎🫶❤️
Hongera ila house girl hainaga no 1
Mm wakwanza kutoka Kenya naomba like zenu😅😅
Naona Leo nimechelewa mpaka mshaangalia wengi
Kibendu umenifraisha sana unahaki yakumuowa keina nimwanamke bora kamuuguza mama yako mpaka kufa ❤❤
Maashallah Kibendu, Mungu akuongoze na vazi limekipendeza
Keynahh eti tuende ndani kupta dhambi tna😂😂😂
Hupendagi amani 🤣🤣, nipitie nikupitie pia
Walai nilijua to chiko hawezi badilika huyu 🤔🙆🏾
Mr Tasha be careful nimeskia chiko anajipanga hku😢 but najua hawezi shinda 😂😂😂😂😂😂
Kipochi manyoya Kaz anayo,😂😂😂
@FinindyFiana kazi anayo na hawezi chochote 🤣🤣🤣
@@FinindyFianaaky nimecheka kma chizi fresh candy mtaniua huku😂😂😂😂😂😂😂
@@MELVINBBY 🤣🤣🤣
Leo nimewahi wana busati niko wa 21 , nimefurai kuona kibendu jamani kwa kweli n handsome ❤❤❤❤
Maashalh sania kibendu na keina. kwa kubadilika😊
I have been waiting for it ❤, Nawapenda nyote na Mungu awabariki sana🎉🎉Natokea Kenya🇰🇪🇰🇪 asanteni 🙏
Wechiko nishetani kubali kushindwaa😮😮
Mashaallah kibendu umebalika kweli mungu akuongoze inshallah
Nafulahisana nandoa ya keina n'a kibendu ❤❤❤❤❤ wanaofulaishwa n'a ndoa ya kibendu n'a keina naomba mnipe like
Mashaallah mashaallah kibendu na keina nawapenda sanaa sanaaa mnoooo mubarikiwe mungu azidii kukusimamiaa kibendu🤲🤲🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mashaallah kibendu umependeza na vaz lako lakanzu
Kibendu keina na sania mungu awabariki sana yani mumenfurahisha mno mungu awazidishie muzidi kutukumbusha nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤
👏👏👏👏kibendu,ila keina vaa vizuri upendeze zaidi 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🎉🎉
Nimechelewa leonimekua 35nipeni likes 🎉🎉🎉jopo moja
Afadhali ww, wengine wanadai no 1 ni wao,karibia comment kumi wanajiitan no 1😂😂😂😂
Hahaha hahaha!! Nilijua tuu Chiko hajawahi badilika ile ilikuwa ni kopi tuu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤waooooooooo hongela ka kibend😅😅😅😅😅😅😅😅
We chiko chiko mungu anakuona na ujinga wako 😅😅ongela zako kibendu umependeza maichallah ❤❤❤
Kibendu ma love ❤️ 😍 💖 ❣️ yako mana umependeza sana
Mashallwh ❤ kibendu umependza
Nakupenda sana kibendu ❤❤❤❤❤❤❤ na msimamo wako😊
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
mashaaAllah tabaraka Allah kaka kibendu umefanya jambo LA busara Allah akutangulie kwenye ndoa yako 🤲❤❤🌹💕💖chiko we hujielewi ujue ulichokipanga basi wenzio washakutangulia humuezi Tasha hata sekunde😅😅😅😅
Ongereni Kibendu na Keina na Sania kwa kubadilika pokeyeni mauwa yenu🎉🎉🎉Ciko roho mbaya haijengi ubomowa kilakitu utafeli tu huwezi kufaanikiwa munafki mkubwa
Keina mzuriashallah nampendaaa jamani
Kibendu mm nakukubalii sana.
Waoooooo move inaendelea kunoga🎉
Ww chiko hujuwe mungu ni mkubwe hutaumbuka tu hachana na tasha from saudia
Ama kweli imani haiji ila kwa incha ya upanga,,mama kibendu kafariki Kila mtu kabadilika,,mashallah ❤❤❤❤kibendu na keina mumetoka vizuri sana
Tam jamani Pat zote ninezikubaki kasoro kwa chiko tu
Leleeeeeee kw kibendu mmwaaaa🎉🎉🎉❤❤❤
Ndo tunao hatuna ya kibendu 🎉ooyaa mpo au hampo vingelengele basi 😂😂😂😂ulululululuuuuuu
Kibendu umenoga jmn waoooo chukua mauwa yako ❤🎉🎉
Sania shukran munoooo umefanya kibendo akabadilika mashaallah hongera sana