MPANGAJI | 23|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 202

  • @fahruq4486
    @fahruq4486 13 годин тому +7

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Leo nimekuwa miongoni mwa wanao fika wakwanza🎉🎉🎉🎉🎉kazi nzuri sana

  • @AggreyJonathan
    @AggreyJonathan 13 годин тому +10

    Wapi maua 🎉 yake kakoso ,kazi nzuri director, from 🇰🇪 +254

  • @PartinaerOption
    @PartinaerOption 13 годин тому +6

    Kazi nzuri sana super genius
    Wangapi wana mkubali kakoso kwanza hacheleweshi kazi

  • @JustinJeremiahJackson
    @JustinJeremiahJackson 13 годин тому +29

    Wapenzi wa hii movie wote Nawatakieni Herry ya krismas

  • @ShazieBreejoh
    @ShazieBreejoh 13 годин тому +8

    Merry Christmas 🎄🎄 wadau mzidole pokea maua yako 🎉🎉🎉🎉 nawapenda sana from zakayo's country

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 11 годин тому +9

    Mzee wa Miuno Mgando, Watu Kecha na Washa Gari Akateleza ❤

    • @NurahMummy
      @NurahMummy 10 годин тому +2

      Aka mzidole😂😂

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh 9 годин тому +5

    Namkubali sana TANU ni mwamba asie kulupukaga kweny maamuzi yake respect bro

  • @jasminejuma-s6r
    @jasminejuma-s6r 12 годин тому +5

    mzidole nakupenda we kaka had naumwa jmn ❤🥰

  • @deboramwakyusa2842
    @deboramwakyusa2842 13 годин тому +11

    Merry Christmas Team Mzidole 🎉

  • @LilianJuma-q6y
    @LilianJuma-q6y 8 годин тому +2

    Nawatakia marry Christmas 🎄🎁🎄 team mpangaji nyote kwa jumla chukueni maua yenu🎉🎉🎉🎉

  • @MWANAISHAMTENGO
    @MWANAISHAMTENGO 5 годин тому +1

    Mbwela uchokozi na unaogopa mshenyeto, kazi nzuri

  • @Arnasir_1
    @Arnasir_1 13 годин тому +9

    Sema kakoso rudi kule kwa clam my dauta wanaikimbiza ilimladi iwe ndefu kuna ubunifu umepotea uliokua una ufanya

    • @MkayulaDavid
      @MkayulaDavid 11 годин тому

      Acha wauwane kakoso usirudie matapishi

    • @ShukuruSemwenda
      @ShukuruSemwenda 10 годин тому

      ​@@MkayulaDavidkwan w
      Wamezinguana

    • @HIDAYAKAMPAKASA
      @HIDAYAKAMPAKASA 8 годин тому

      kwani wamegombanaa na clam??

    • @mussamene
      @mussamene 2 години тому

      Kwani lazima kurudi kule

    • @JasintaSalum-p9k
      @JasintaSalum-p9k 18 хвилин тому

      Acheni v2 vya wa2 viende kama Mungu alivyo pang

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 12 годин тому +6

    Leo sijachelewa sana saidi komba mwenyewe nipo apa mwanzo mwisho

  • @JosephDiwani
    @JosephDiwani 9 годин тому +1

    Great job mr kakoso this is the best episode ever❤

  • @ZuraOmarSaide
    @ZuraOmarSaide 13 годин тому +8

    Wakwanza leo nipeni like zangu jamani

  • @Nojabz
    @Nojabz 12 годин тому +2

    Move ya moto 🔥🔥sana, from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @IrakozeHami-t9m
    @IrakozeHami-t9m 45 хвилин тому

    Daddy KAKOSO nakuomba usiwai muacha Mzidole nyuma tafadhali❤❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @NurahMummy
    @NurahMummy 11 годин тому +2

    Mzidole❤❤🎉🎉love iko mob❤❤
    Merry christmass to all🎉🎉🎉

  • @RidhiwanMbaga
    @RidhiwanMbaga 13 годин тому +19

    Kama wewe ni shabiki wa mzidole gonga like hapa❤❤❤❤

  • @RachelSaidi-c5e
    @RachelSaidi-c5e 12 годин тому +2

    ❤❤❤ naipenda sana hi movie

  • @aliathumanijuma852
    @aliathumanijuma852 13 годин тому +4

    Leo mtu wa kwanza kuona mpangaji

  • @kadegeolesaita6515
    @kadegeolesaita6515 12 годин тому +4

    Christmas 🎄🎄 wanangu

  • @RuthKangaria
    @RuthKangaria 8 годин тому +1

    Team kakoso Merry Christmas 🌲🌲⛄, nawe mbwela woga Kila saa ata mkeo ni afathali maua nyenyu🎉🎉🎉❤🎉

  • @halimaali8732
    @halimaali8732 9 годин тому +1

    Merry Christmas 🎅 🎄 and happy new year ❤keep going

  • @TonyWhite-t7g
    @TonyWhite-t7g 13 годин тому +5

    kaz nzuri

  • @AllyAlly-w2x
    @AllyAlly-w2x 12 годин тому +3

    Kher ya x masi familia ya kakoso kaz nzur lkn mzidoleee hzoo nguo mhhh

  • @MikodizzoOfficial
    @MikodizzoOfficial Годину тому

    Aaah mr genius ❤nakupenda Sana kakoso
    Keep it up brother 💯💪

  • @Arnasir_1
    @Arnasir_1 13 годин тому +6

    Mwamba huyu hapa

  • @lisahke
    @lisahke 11 годин тому

    Hii movie yawaaaa🎉🎉🎉🎉🎉moto wa kuotea mbali❤❤❤❤mzidoleeeee na sengo jamani❤

  • @MwanashaSuleimanTabwara
    @MwanashaSuleimanTabwara 12 годин тому +4

    Ila sengo wacha kuuwa watu hovyo kwani umekuwa mbaya kiasi gani paka unasahau kuna mungu

  • @YassinMohd-w3j
    @YassinMohd-w3j 13 годин тому +6

    Wakwanza leo

  • @FinindyFiana
    @FinindyFiana Годину тому

    Me nilikua kwenye kamponi zingine,nimechelewa sana💃💃

  • @BukolSamwel
    @BukolSamwel 13 годин тому +3

    Mnachelewa sana tunasubiri sana jaman

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 11 годин тому

      Tuliza boll hujui tz wanavyo kataga umeme

  • @DavidIndimu-ui5sg
    @DavidIndimu-ui5sg 13 годин тому +6

    Leo n Mimi ndio kudonjo wap like zangu🎉

  • @Marty-z8q
    @Marty-z8q 13 годин тому +5

    Habari za Christmas 🎄 wapendwa

  • @sofiaabdallah8741
    @sofiaabdallah8741 11 годин тому +1

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉kali sana

  • @collinsnasri5071
    @collinsnasri5071 13 годин тому +3

    Kazi nzuri

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td 13 годин тому +6

    Pamoja sana mkuu kutoka Bujumbura Burundi 🇧🇮♥️🙏👑

  • @JacksonFaustine-be1gk
    @JacksonFaustine-be1gk 13 годин тому +3

    Kaz nzur

  • @danielmosota2315
    @danielmosota2315 13 годин тому +6

    Unaesoma comment hii MUNGU akujalie tuone mwaka mpya tukiwa na afya njema. Na akupe hitaji la moyo wako. 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FarajiSaluum
    @FarajiSaluum 13 годин тому +3

    Dah nimechelewa kidogo

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 12 годин тому +2

    Kapela umetisha sana

  • @GwagwagwaMkaliwao
    @GwagwagwaMkaliwao 8 годин тому

    Kicheko sio mwana kabisaa😂😂❤

  • @mariamdjuma-d9y
    @mariamdjuma-d9y 12 годин тому +5

    Haaa jamani nilizani leo ni krismasi mtakua mpo kwenye ibada kumbe mmejificha huku kwa mzidole aiii 😂😂 haya nipeni like hata 10

  • @buja_fleva
    @buja_fleva 12 годин тому +5

    e e e eeeh Bwanaa

  • @chrismamesofficiel1996
    @chrismamesofficiel1996 12 годин тому +2

    Director wangu

  • @Awoshy
    @Awoshy 8 годин тому +1

    Anajita Simba la masimba Sengo au mzee wa mishenyento chuma cha mjerumani😂😂😂🙌huku
    kuna Mzidole Mzidole Mzidole apwiih mzee wa miuno mgando watu kechaaa🔥🔥🙌😂😂😂😍🎉🎉🎉

  • @JamesCoolkid-f3s
    @JamesCoolkid-f3s 13 годин тому +5

    Nimewahi namm like tafadhali

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 6 годин тому

    Sengo mshenzi unajua bhana naomba uzidi kulegeza Shingo😂😂😂😂😂

  • @samwelkanuth4394
    @samwelkanuth4394 12 годин тому +1

    Kazi nzuri Sana

  • @hafswamwinyi4163
    @hafswamwinyi4163 8 годин тому

    Mashallah ime fikiya patam sengo ww Bana upo Sawa

  • @maurine3503
    @maurine3503 9 годин тому +1

    Simba la masimba Sengo nisikupate kwa Mzidole 😂😂😂😂😂😂

  • @EddaMajiyamoto
    @EddaMajiyamoto 13 годин тому +3

    Leo nimewah

  • @zmboy7522
    @zmboy7522 11 годин тому +1

    Nawakubali wote humu ndani

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 8 годин тому

    😂😂😂😂😂Kchekooooo sio kwa kuchungulia huko 😂😂😂😂😂

  • @PingaBombwe
    @PingaBombwe 11 годин тому

    😂😂😂😂😂 Mbwela fundi sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SaidShemweta
    @SaidShemweta 9 годин тому

    Sema mzidole kacheza sana hii movie

  • @MansurLili
    @MansurLili 12 годин тому +1

    Mutowe tu sengo mana nimekereka mimi

  • @RamadhaniOmary-e3d
    @RamadhaniOmary-e3d 12 годин тому +1

    Mnaweza sana

  • @MariamHamisi-h4g
    @MariamHamisi-h4g 12 годин тому +5

    Mzidole nakupenda jamani🎉🎉🎉🎉

  • @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r
    @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r 9 годин тому

    ❤❤❤siwezi kuixhi bila mzidole 🎉🎉🇰🇪🇰🇪

  • @ISSACKFRANK
    @ISSACKFRANK 3 години тому

    Naipenda sana hii beat

  • @Scolayusuph558
    @Scolayusuph558 26 хвилин тому +1

    Nyie jau we kakoso unajiita jiniaz na uwez kuweka move sawa asa mchaw gan anaangaika kujua tatizo nn saw mnajifunza ila bado ujajua chcht jiite #kakosovevo sio unavojiita

  • @RichardMhehe-k1z
    @RichardMhehe-k1z 6 годин тому

    Mery Christmas and happy new year

  • @UmkulOman
    @UmkulOman 13 годин тому +3

    Sengo kayatimba

  • @jacquelinekivamba8541
    @jacquelinekivamba8541 12 годин тому +2

    Watu kecha unawasha gari unateleza😂😂😂

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 3 години тому

    My daughter nikaenda Dunia namalizia mpangaji....mnajitahidi kutupa burudani....

  • @BukolSamwel
    @BukolSamwel 13 годин тому +3

    Wekeni na sanda juuyakabuli

  • @AthumanMiraj
    @AthumanMiraj 9 годин тому +1

    😂😂super genius kumbe ni mwanariaza😂😂😂

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 11 годин тому +1

    Eti shiongo kama nini........😂😂😂😂

  • @MRKEY038
    @MRKEY038 13 годин тому +4

    Wapi likes za mzidole ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    #mrkey038

  • @willymzawa9183
    @willymzawa9183 4 години тому

    Mwarim gan uyu

  • @ZainabuMathias-x6p
    @ZainabuMathias-x6p 4 години тому

    Mzidole mzidole😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ibraaahmwanyello6233
    @ibraaahmwanyello6233 13 годин тому +33

    Yani leo nmetoka kwa clam MY DAUGHTER nikaenda kwa Sengo THE HOUSE Nikarud hapa MPANGAJI nikitok hapa naenda kwa madebe CHAKI🥰😁

  • @WaithiraGift
    @WaithiraGift 11 годин тому +2

    Mshenyenti wa mishenyento leo kashenyentwa

  • @FariOfficial142
    @FariOfficial142 13 годин тому +5

    Wa kwanza washakuwa wengi acha niseme mimi ni wa 50

  • @EdwardGeorge-o3o
    @EdwardGeorge-o3o 12 годин тому +2

    Kwa clam mov ya kichawi kwa sengo pia ni uchawi kwa kakoso ni uchawi pia akuuna ubunifu mwingine jamani ebu tuoneeni uruma basi

  • @mwapesaidd
    @mwapesaidd 13 годин тому +4

    Much love kutoka kenia

  • @MarcelinbbmBirindwa
    @MarcelinbbmBirindwa 9 годин тому

    Wa kwanza leo toka DRC 🇨🇩 congo tunawa kubali sana 🎉🎉

  • @ZuhuraSwai-k3k
    @ZuhuraSwai-k3k 9 годин тому

    Tanuu yupoo juuu yaan upande wa steling mpo juu

  • @OengaMildred
    @OengaMildred 6 годин тому

    Marr Christmas 🎄☃️ all of them guys ❤️ be whit Jesus Christ always ❤️ and happy new year ❤ like ya mzidole jmniiii 🌹🌹

  • @desjuh0017
    @desjuh0017 4 години тому

    Kakoso maliza hii movie ishapoteza maana.....malizia na next episode

  • @annabahati4940
    @annabahati4940 7 годин тому

    insha'Allah 🤲🏿🤲🏿

  • @Marim-c6k
    @Marim-c6k 2 години тому

    Yani mbwela wewe naona mshenyeto ukikupata kabisaaa😅😅😅😅

  • @salmingeana-v8x
    @salmingeana-v8x Годину тому

    Mimi ni team Sengo kitambo tuu😄😄
    Huyu wa sasa ndio Simba la Masimba sasa 🙌
    yani Chuma cha Mjerumani✅

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 7 годин тому

    yani huyu kicheko anafaanana na kaniki 😢😢😢hiii kitu nyeusi uwiiiiii,,,,,ila ananifurahisha sanaa😂😂😂😂 siwezi kuishi bila kicheko jamani😢😢😢

  • @SereneIcyComet-gd5we
    @SereneIcyComet-gd5we 12 годин тому +3

    Wangapi walimuona mwasi jinsi alivokuwa kigwagura kwenye movie ya snake boy ila kwa Sasa ni mweupe

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 47 хвилин тому

    20:02 😂😂😂 yani shaaa,ila mbwela 😊 🙌

  • @mildredowino7323
    @mildredowino7323 Годину тому

    Ila mbwela 😂😂😂😂😂etii shingo kama nn😂😂😂😂

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 11 годин тому +1

    Mzee wa 1 second 😂😂

  • @ZeinabMohammad-t2z
    @ZeinabMohammad-t2z 4 години тому

    Kazi nzur sn

  • @WaithiraGift
    @WaithiraGift 10 годин тому

    Mbwela😂😂😂😂muoga na kusitasita...

  • @AminaUjumbe
    @AminaUjumbe 6 годин тому

    Ila kakosa hili ingizo umelipatia sana haswa kwa watu wako yaani mzidole sengo mbwela na mwasi wake wamefaiti vizuri sana

  • @HajiMwadin-t9l
    @HajiMwadin-t9l 11 годин тому +2

    Daa sengo had huruma 😅😅

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 7 годин тому

    Mzee wa Mshenyendo! 😂🤣 😅

  • @NjoleZuma-ue9yo
    @NjoleZuma-ue9yo 10 годин тому

    ❤❤❤🎉🎉🎉merry Christmas 🤶 🎄 ❤️

  • @amossiri1107
    @amossiri1107 4 години тому

    Doko na God fist,clom na my daughter,mpagaji kakoso

  • @rehemamutua44
    @rehemamutua44 55 хвилин тому

    😂😂ety kasongo

  • @ZuhuraSwai-k3k
    @ZuhuraSwai-k3k 9 годин тому

    Mmezingua kumuua mwalimu jmn

  • @gloryjohn4531
    @gloryjohn4531 9 годин тому

    Yani mzidole unakwama wapi jomon😂😂😂😂 huyu sengo anakera