Mm nliflash cm kila kt kikaftika adi namba nkawek line nyingine kbc sas line ilokuepo kabla ya kuflash imepotea na cm nlivoflash nkaeka line zingine sas natak ni renew line ileee eti kuna uezekano wa kurudish izo namba nlizo Flash cm yote?
@@Vinei natak kurudish sms za mud mrefu Lengo nikupat namba ambayo sikuwah kuisev kweny sim lakin niliwah kuchart nayo halaf simu niliyokuw natumia mwanzon na sas ni tofaut vp inawezekan?
Vipi email ikigima kurud ntafanya nn kuzirejesha
Kam namb nilifuta 2020 nawez kuipata
Mi nmefuta kwenye email nataka kuzirudisha nifanyeje
Email zilizo futwa zinakua kwenye Trush
Bos Kuna sms hazitakokufutika kwenye sm ndogo ya batani nifanyeje!?????
hakiksha sio locked hizo sms
@@Vinei Sawa sikunyingine tunaomba jalibu kutufanyia utafiti kufanya sms zitakazo ingia ziwe locked zisi futike kwenye sm ndogo na kubwa
Mm nmefuta namba moja kwa bahati mbaya nafanyaje kuipata
@@Shakira-Nb kama ulikua una save Kwenye Email una restore tu contacts
Je kwa sisi tunaotumia iPhone hii application inatufaa?
Tumia ku export contacts kwenye icloud
Simu yang imeflashiwa cjui nafnya nn
Sorry ikiwa nime restore simu na majina yaliseviwa kwenye simu inawezekanikana kurudishia majina yaliyofutika ?
labda kama ulikua unasave kwenye gmail
Nahtaji namna ya kurudisha sms pls nisaidie
Kama ulifanya backup au simu uliweka on Trash
Kuna namba nilipiga kwenye sm yangu sikuosave nikaifuta ssa nataka nirejeshe nisaidieni nifanyaje😔😔
Angalia kwenye call history
Mimi nilikuwa nayatunza kwenye emel lakini majina mengene yapo mengine hamna
Hata me
Naitwa fatma mm namba zangu zimefutwa tokea mwezi uliopita je naweza kuyarudisha yote
Kama hukufanya backup huwezi
aman
Ni kwa mfano nambaa sikuisave haiwezekan kuipata
hapana
Nilisevu kwenye simu ndogo saiv natumia kubwa naweza nkapata hizo namva
hapana
Mm sijaelewa
Mm nliflash cm kila kt kikaftika adi namba nkawek line nyingine kbc sas line ilokuepo kabla ya kuflash imepotea na cm nlivoflash nkaeka line zingine sas natak ni renew line ileee eti kuna uezekano wa kurudish izo namba nlizo Flash cm yote?
Kama namba uli save kwenye simu haiwezekani, na kama ulikua hufanya back up
@@Vinei natak kurudish sms za mud mrefu Lengo nikupat namba ambayo sikuwah kuisev kweny sim lakin niliwah kuchart nayo halaf simu niliyokuw natumia mwanzon na sas ni tofaut vp inawezekan?
hello
VIP Kama umefuta kwa miez 4 nyuma inawezekana kurudisha
Apo hapana
H
Mi nataka ya jinsi ya kuludisha sms
Sms lazima uwe umefanya backup kabla