D Voice feat Zuchu - Nani (Official Lyric Audio)
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Click👇🏾 Download The Song
dvoice.lnk.to/...
/ @itsdvoice
For Bookings:
dvoice@wcbwasafi.com
Follow D Voice On:
Instagram: / dvoice_ginnii
Facebook: / dvoice_ginnii
Twitter: / dvoice_ginnii
TikTok: / dvoice_ginni
#DVoice #Music #Wasafi
Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Zuchu anajua nyimbo za mahaba jameni❤❤
Zuch Unasauti Mzur Umeua Kweny Hili Goma💯💯💯
Kwa wale mashabik wa WcB tukutanea apa kulike💯🇹🇿
Dvoice I ❤u so much mikwako paaah why why why hii inaitwaje kitalamu hey guys nipe likes na maua yangu
Licha ya uchawi wa Mzee Popo Harmonize Bado WCB wanasonga mbele na hit after hit...👍🦁🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wimbo wa familia yangu nzima ❤️ umetisha Sana jux🎉
Dvoice nyimbo nimekubali halafu nyimbo ya mapenzi kila dakika lazima nisikilize nimeikubali sana nyimbo big upo🎉❤
Lichaa ya uchawi wa Mzee Popo Harmonize bado WCB wanasonga mbele kwa nguvu ya Mwenyezi Mungu🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mimi ndo shabiki wa d_voice number 1 wa Congolese🇨🇩🇨🇩🇨🇩 wenzangu nipeni likes
❤❤❤❤❤❤❤
Its tanzanian kids so talented ❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
True uncle its your Tanzania 🇹🇿 k
Child love you dee voice ft zuchu
Sisi kama Kenyan twa upenda huu wimbo,❤❤❤@zuchu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gonga like tukisonga
Wenye tunakubaliana mapenzi yalianzia tz ninyosheeni mikono
"Wanasubirii livunjike penz hilii hatutishwii na tumbilii kuachana apange mwenyezi" aseee🙌🙌❣️❣️🫶
Nakubl jmn
Huyo ndio mzenji
Watanganyika hawjui tumbili ndio nn.
Nani amegundua D Voice akimshirikisha Zuchu ngoma ndo inanoga zaidi
D V humu ndio unatkiwa uishii achana na cngeli mziki wa hovyooi.................Huku unakuwa mtu wa Maana kabisa wewe
Hata km ni wewee huezii kuwa falaaa budaaa😂😅
Hakika😂
Chemistry ya hawa imeenda shule,,,,I love zuchu jamani
i like you zuchu and d voice
Ambao mnakubali zuchu tujuane Kwenye Like
Fcfxfzxrhg😢fbbjn😊t
R
Rdrrttr
R
Dyfryfyftt
Dvvtb❤
😂😂😂😂dah😂x and u guys ❤
❤❤
HIYO MZIKI YA ZUCHU NI KALI
Walai from kenya likes zangu😢😢😢😢
Zuchu bana akiingia kwenye nyimbo yoyote mpaka iwe kali, ana chemistry na kila mtu ❤❤
🤣🤣😅
Yaani huyu mtoto ana balaa
Zuzuzu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤👏🤩😍
To
F😢@@issamwakinyo3203
Huyu murio kuna vile wanaandamananga vizuri kwa hizi staffs juu venye wao hupika hizo ngoma joh🎉🎉🎉
Kazi kubwa kaka tuko na wewe sambamba from Madagascar 🎉🎉🎉
I love his spirit, be cos nothing is impossible, those ones the have it's, the work in there dream until the make it's , let wait and see, God is going to provide him, I trust him Damond platunmz make it's happening, I support you my brother 🤞🙏🙏🙏🙏 more life to yr enemies
Kiukweli apa da zuhura kauwa kinoma yaani unyamweezi Mwingi sana naukubali
Nawapenda hawa watu Wana sauti nzuri wote maua yenu❤❤❤❤
American🇺🇸,Nigerians🇳🇬,South Africans 🇿🇦, Tanzanians🇹🇿, burundians🇧🇮, Rwandans 🇷🇼,kenyans🇰🇪,ugandans🇺🇬, Zimbabweans🇿🇼, Canada🇨🇦, ghananians🇬🇭,cameroonians🇨🇲, togonians🇹🇬, Congolese🇨🇩, my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
❤🇺🇸🇬🇦👌❤️
❤❤
Zuchu is a shining mamaa 😀😃😀😃 Bado tuñajiuliza Ngoma ya Raha ulienda wapy ww n diamond simba dangote alafu collabo ya wewe zuchu na chinga ibraah lini
@@eysherqdout8361 bro chinga ni balaa we love zuchu,chinga,rayvanny,na d voice
Ngoma kali sana zuchu and d_voice mnauwa kinoma from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💥💙🇨🇩❤❤❤
🎉🎉🎉
Nyinyi wabongo watoto wakiume kama mnafirwa xx inakuwaje herini na kurembusha wacheni usenge
Me wa pili jaman nipeni maua yang
Drop heart❤ in my comment and like kam umeipend huu wimbo
Im from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿
Nimeupendaaa zana huu wimboo wa
Koo
Wimbo muzur San kama na wew umewupenda kama mm naomba like zang hata sita bas plz from🇧🇮🇧🇮🇧🇮
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
un understandable!!!Geez
Nawapenda sana wasanii wetu wa tz haswa zuchu na d voice
Natafuta bibi na nmekuona unatosha mommie😘
Siku zote jitihada hazmtupi mtu i love wasafi
When two talented artists meet they produce masterpiece 🔥🔥🔥
Band ilipopata misukosuko niliumia sana, nafarijika kuona comeback ya nguvu 🔥🔥🔥
Waaaaa jamani dazuchu hako kasauti mashallah💜💜💜💜 much love from 🇰🇪
Date na huyu kijana mnatoshana wachana na wazee
Wa kwanza naombe like apa kama una mkubali d voic❤
chibaby angu Zuu🥰☺️☺️
wimbo mzuri, keep winning
Wa kwanza Léo kutoka kongo nipe like zangu kama unamupenda dvoice na zuchu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Vous parlez Anglais 😅😂
Dvoice umeweza honey🥰🥰🥰
Hao waendana wewe huoni
Ca va
Zuchu kila nyimbo anayotoa na D voice lazima amfunike tuuu
Kitu ichoooo mamaaaa weee hatariii canaa
Who else is here for zuchu❤❤❤
Nimechelewa kidogo ilacjachelewa san naomba like za Zuchu kauwa sana
@@MashakaFedrik nani alie kwambia hujachelewa sana 🙄
Me napita to kupata like zenu mana d voice anatupa pia elimu ambao hatujui voko Kapa 😂😂😂😂
Elimu ipi
Kama unampenda zuchu like hapa❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤
Zuchu ilove
Mimi pia ❤ 0:00 nampenda zuchu piga kelele
Ila zuchu sauti yako mama na unavyo jibebisha Kwisha habari yangu 😍 alafu apo kwenye NYAM NYAM Jamenii 😅🙌🙌🫡
💯💯💯💯💯
ZUCHU NI MZURI LKN JAMANI BEUTIFUL🎉🎉🎉🎉
wakwanza mimi wa Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪❤️🔥❤️❤️🔥
Very soon naona kama zuchu atawacha diamond nakuendea d voice ama niaje wadau
Wakenya tumekubali huu wimbo sana ❤❤❤ ver nice
Jaman mimi na nyimbo nzur naomben mkaisikilize ina u jumbe mzur sana❤❤❤❤
Na zuchu wetu amenona😊😊Kumanisha analishwa vinono na Simba❤❤❤au sio😂
Asante sana zuchu ume imba vizuri
Zuchu always happy like za zuchu weka hapa🎉🎉🎉❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mshaanza kuiga mifumo ya jaymelody..mmhh. ..bongo flavor imeisha kweli
Hapa tutapata singeli tena kweli kwa mwendo huu!
😂😂😂
Hamna kitu apo tafta ela D voice kikombe we
Daaah uandishi huu ni htae❤
Wimbo Wa Moto Sana ....😂😂😂umemdondosha Simba kwenye trending
Wapili leo naombeni Like zangu😅
Like zikusaidie nn😂
❤❤❤❤❤
kama una mkubali zuhula zuchu dondosha like hapa kwangu me im from zambia
Wakwanza Mimi naombeni like zangu😅😅😅
The video is not clear...😢
😂
Kaza
Sawa tumekupea sasa kojoa ulale 😂😂
Shfrg
just asking for your likes guys.... Zuchu kaua kwa hii goma,gonga like tukisonga 🇰🇪
Wap mafansi wa zuchu jmn hii nyimbo mmeionaje❤❤
Kali sanaa❤❤❤❤
Melody zimenyooka sana. Wote metisha sana🙌
🔥🔥🔥🔥kama unaelewa nyimbo like apa
Mziki wenyewe aueleweki .dvoice aezan na bogoflava arudi tu kwa singeli ..founder tz kiboko Yake
@@user-ue8rz3om4hAisee umeongea mie sioni muziki wa dvc hapo
@@user-ue8rz3om4htoa yako sasa kenge wewe😂
❤❤❤❤❤❤
Oyaa D voice inamaana ile singeli ndo umeipotezeaa au
You both your voice compliments eachother 🔥 love from Kenya 🇰🇪
Duuuuh zuchu na dvoice mambo ni moto kiukweli ❤❤❤
Zuchu anajua adi keloooo❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Kila mtu anaombq like mimi sitaki like ila nachotaka mukaawaambie ndugu na jamaa waje kusikiliza huu wimbo wau support ili uwe na views wengi kama mmeukubali kuomba like ni ushamba mshuuuu
Napenda huu wimbo sana 👌👌
❤❤❤❤❤❤❤ Nc Sana munaweza Sana kabisa
Kwa D voice leo nimewai jamani like mbili basi niwe salama na haka kanyimbo😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉Kali Sana d voice ft zuchu
Iiiii ngoma kwann asikae kiba🔥🔥🔥🔥🔥🔥itatisha
Wakwanza hapA nipeni like
Kwa mpigioo. .
Moja safi
Tafadhali Kwa nithamu zenyu nataka likes ata 1000
🎉🎉🎉😂
Hallo
@@OnlinetuberAtoz How are you
Asali yangu ni likes zenyu😂😂😂
Ccxcccx
Wangapi tunamkubali ZUCHU CHU CHU❤
wimbo mzuri sana love is a beautyfulthing zuchu snapenda diamond sana
D voice na zuchu Huwa kali sana Bado sijasahau bam🎉
They always have a good connection ❤❤❤❤❤❤❤❤❤Hongera kwenu
Hongera yao
Bro bitterness will not make you make it. Be grateful for all you've gone through coz it makes you better. Kutusi watu won't make you make it.
Zuchu ana imbasannna❤❤❤❤
Zuchu niruhusu nikutukane mamae dah 😢❤
Ngoma Kali saaana maua kwa WCB
Nyimbo nzuri sana ❤❤❤ zuchu
Wakwanza hapa naombeni likes zangu
Zuchu unajua kwawanawake wote d voisc amepoa sana
Zuchu always never dissapoints
Atakama n dem wa bos ndo mnashindw at kuchez pamoja cjapenda
Zuchu chu chu chu 🔥🔥💯
Likes kwa wingi
Apew mauwa yak💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
Dvoice free kenya 🎉🎉🎉
Hizi Likes mnaomba mnazipeleka wapi Ndugu zangu....Haya nipeni Likes za ZUCHU..CHU..CHU🎉❤😊🥰
Hahah😅😅😅aha
Zuchu nakupenda bure mammaaa❤❤❤
sikuzote wakenya mnang'aaga mkipewa collabo na wa bongo by the way femi umetisha bi dada🎉🎉🎉
Zuchu flow resembles Jay melody..... Creativity iliisha kitaambo
Kwani like zinasaidia Nini nambieni nijue na Mimi niombe 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
@@TawasiruHatibu 😅😅😅
😂😂😂😂😂
@@mwinyimatopa2283 😅😅😅😅
Hata mm sijawahi kuerewa nn msaada wa like
Wakunipepe Ni Lale Diamond Kaandika Hiii...🔥
Any Rwandans here✌️est africans nyote tujuane acha ubaguzi bana🧐