Sawa boss kwa kazi nzuri lakini boss nasikia et iPhone ukipiga picha inauwezo wa kuisafisha yani kuna app ambayo ipo kwenye sm ina edit automatically ukichukua picha ukaweka pale je sm nzingine hazina uwezo huo ?????
nimedowload iyo app ya kuangalia uwezo wa sim vidudue vyote vimepiga tik ila kimoja tu cha mwisho kabisa kimeandikwa raw support kimeweka ex sasa sijui kama iyo app itafanya kazi kwangu
Telegram group t.me/vineiTV
Bro mimi kwangu zote tiki ila ile ya mwisho row support haijawekwa tiki kwaiyo haiwezi kukubali au
itakuzingua
M imeweka tiki zote
Telegram inasumbua kuleta code nemhangaik mpka basi sijui shida nn
Aquos mzigo umetick❤️🔥❤️🔥
Good work 🎉🎉🎉
Camera hi ni unyama sana mana ni kama kamera ya Google pixel
Hii video kali ndo Maan nme subscribe
Pamoja kaka
Sawa boss kwa kazi nzuri lakini boss nasikia et iPhone ukipiga picha inauwezo wa kuisafisha yani kuna app ambayo ipo kwenye sm ina edit automatically ukichukua picha ukaweka pale je sm nzingine hazina uwezo huo ?????
Hakuna simu ambayo haina uwezo huo labda iwe toleo la zaman sana
Kwangu imegoma kuweka tik kwenye kipengele cha mwisho, inaweza kufanya kazi
Itasumbua
nimeshaidownload lkn nikitka kuistor ..inaniadikia hv .. There was problem while parsing ther package .. bro em nisaidie🙏🙏🙏🙏
Vp ulipo scan iliweka tick sehem zote kama kwenye video?
Na mm natumia huawei nova 2
Natumia pixel yaan imekubal tiki zote
Kwenye simu yang sehem zot imeweka tiki lk imegom kuwek tik kwenye ile sehemu ya mwisho, itaweza kufanyakaz?
itasumbua
nimedowload iyo app ya kuangalia uwezo wa sim vidudue vyote vimepiga tik ila kimoja tu cha mwisho kabisa kimeandikwa raw support kimeweka ex sasa sijui kama iyo app itafanya kazi kwangu
itasumbua
Hiyo manual camera comapability Inata kulipiwa
Hapana
Kwangu raw support haijaweka tiki je ina tatizo kukubali
kama ni RAW pekeake inaweza kubal
Nisaidie
Kwa Sim za Infinix je..?🤔
Kikibwa ikubali Kwenye test
Na tecno
Mm nimefungua lkn video lakn video imekubali haipig picha
Je iliweka tick sehem zote?
Camera inataka kulipiwa tatizo nn
Umechukua sio
Mbona haipigi picha au Kuna sehem ya kuset msaada kiongozi
Unatumia simu gan
Mbona wanadai ulipie
Ume download sio
Kwan hii inatumia bando
Hapana
Naomba namba yako ya mawasiliano bro ikiwezekana ya whatssap
0624741607
Kaka itakuwaje ambao hatuna telegram na hazitaki kufunguka
Tumia VPN
Fundi vinei
Wewe kaka usemi uongo upewe maua yako
🙏🙏
mm simu yng i tiki zote zpo but kudownlod haijakunl
Aina gan sim yako
Inaomba kulipia Tsh 9000 kwa nini
Umeenda siko
Nimeingia play store
App yao moja ya kulipia ila hio nlioonyesha sio ya kulipia