Jinsi ya Kufungua YouTube channel ya Kulipwa 2024
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2024
- Video hii itakuonyesha jinsi ya kufungua channel ya UA-cam ya kulipwa kwa kutumia simu tu, na maelezo muhimu unayopaswa kufahamu kuhusu kupata pesa kupitia UA-cam na kufika vigezo vya kuanza kulipwa youtube.kupata pesa mtandaoni.
SUBSCRIBE 🔴
ahsante kak
Asante kwa maelekezo, mimi tayari nimeshavuka $100 but kwenye adsense account wanahitaji tax information maelekezo please
Jaza Tax kwenye info, angalia kama kun Tax ya United States
@@Userminamka mbona sjakuelewa
@@Userminamka kunaulazima wa kwenda TRA
@@Userminamka Iyo United States Tax Info PDF unaipata wapi
Jaza tu kaka ni simple
Ahsante
Good
Asante kwa elimu 🎉😊
Pamoja sana 😀
Nashukuru sana
Alaaa
Big up🎉
Apo nimekuelewa brother
Asante sana bro
Samahan Naomb kuuliza Je Mfano Siku 365 Zikipita hujafikish Hayo Masaa 4,000 Inamaana nikaendelea kukatwa Kadri Siku zinavyoenda
Ndip , lengo ni "ufikishe ndan ya siku 365"
Hapa nimeelewa sasa Asante sana bro 🙏
Pamoja kaka
Mimi ni Software content Creator .HONGERA SANA KIJANA ,UMEONYESHA HUNA UBINAFSI WEWE NI MZALENDO KUTAKA WENGINE WAFANIKIWE. MUNGU AKUBARIKI SANA.
Pamoja sana kaka
Nice
Motivation nifanhaje
Nimeiskia hii View ukuduu ukujuu 5:38 😂😂😂
😂😂 I'm only human
@@Vineiulimi hauna mfupa😂, all in all nimeskiliza kwa makini great tutorial 👍
Bro vp kuhusu kutoa pesa unatoa. Kwa. Bank tu au na mitandao ya simu
Unatumiwa bank
🙏
Kaka nimefungua nimefikia sehem ina hv vitu sijavielewa naomba nieleweshe,Watch page ads, memberships, shopping, shots ads n.k me sijaelewa vinahusianaje kwenye kulipwa kupitia matangazo naomba nielekeze
Nimesha zungungumzia Kwenye video ya mwanzo
Mimi channel yangu watch hours ipo 0, short views inasogea kuna namna ya kuchagua au ipo automatic maana mimi nataka watch hours ndio naona rahisi msaada
Ni automatic
@@Vinei 🙏
Mfano kama ac niliiaacha mda na nikairejea bado ntakuwa naweza,kulipwa na ikiwa hata hiyo utube studio wija2ahi kuida2load
Ndio , kikubwa ufikishe vigezo
Boss account yangu ya you tube inapungua views na time hours
nchek
Wanakata ya nyuma
@@Izakupdates mawasiliano bos
@@Vinei kivipi
@@nasrimbaraka341 andika yako nkuchek
Mwakatobe
(C C) inamaana gani....? maana katika kuapload naambiwa C C unavailable
CC ni captions
Asant sana
Sasa video ya namna ya kupata subscribers imetoka au bado?
Bado
Broo na shida naomba namba yako kama uto jali
0624741607
Kuna uwezekano wa kununua Watch Hours na channel ikawa Monetized
Ndio
@@VineiUnafanyaje kununua
Kaka napataje subscribe
Check video nmepost
Views elfu kumi au million kumi
Million 10
Mmh ndani ya miez mitatu cndio
@@MOUDXCLASS ndio
@@Vinei naweza pata namba yako kwa mawasiliano mkuu tafadhali
@@Vinei naomba namba yako mkuu
Ahsante