MWINAMILA=AFRIKA MASHARI ENZI ZA UHAI WAKE

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 15

  • @martindonald804
    @martindonald804 7 місяців тому +3

    Mpaka sasa hajatokea mbadala wa mwinamila. Mwl. Nyerere alimpenda na kuona kipaji chake. Hapo ndipo utaona ukubwa na umahiri wa Wanyamwezi.

  • @AronLwassa
    @AronLwassa 6 місяців тому

    Nimeingia mtandaoni kuitafuta nimeiona nimefarijika sana nishukuru na nitoe pongezi kwa kutunza historia iliyotumika ya mzee wetu RIP Mwinamila

  • @user-mw6es8nw2k
    @user-mw6es8nw2k 7 місяців тому

    Pumzika kwa amani babu yangu

  • @user-mw6es8nw2k
    @user-mw6es8nw2k 7 місяців тому

    Mashaka issa

  • @user-ej4do9zw8r
    @user-ej4do9zw8r Рік тому +2

    HII ILIKUWA NI NEMBO YA MKOA WA TABORA AMBAYO IMEPOTEA HATUJAPATA MPAKA SASA.

  • @ramadhankangambili976
    @ramadhankangambili976 Рік тому +2

    Namuomba Allah akupatie pepo Mzee wetu. Ulikuwa na akili nyingi mno. Tungo imetulia, imefundisha, wapokeaji pia makini. Duh haiji kurudi tena

  • @user-mw6es8nw2k
    @user-mw6es8nw2k 7 місяців тому

    Issa at yahoo

  • @nicholauslupimo2851
    @nicholauslupimo2851 Рік тому +2

    Kiukweli huyu mzee tumuenzi kabisa hii ni hazina kwa taifa

  • @stamelistameli8461
    @stamelistameli8461 Рік тому +1

    Kweli uchungu wamwana aujuae mzazi mwenyewe RIP mwinamila

    • @saumumbarak689
      @saumumbarak689 8 місяців тому +1

      Am from kenya love more tabora

  • @petromaganga8152
    @petromaganga8152 Рік тому +2

    Nikweli

  • @masoud9169
    @masoud9169 Рік тому

    Naomba munitumie hizi nyimbo kwa yeyote alienazo mtu kama huyu kwa sasa tanzania hakuna nyimbo zake zinaelisha sana

  • @PatrickJoseph-vw2tn
    @PatrickJoseph-vw2tn Рік тому +1

    Mwinamilaenzi zake

  • @nassorally8991
    @nassorally8991 Рік тому +2

    Hizi nyimbo akili iliyotumika ni kubwa sana. Huyu Legendary 🎯

  • @edwardpeter701
    @edwardpeter701 2 роки тому +2

    Very good