John Komba wa CCM - Sasa Kumbekucha Jogoo limekwisha wika, yule pale nnamuona, apewe kura za ndio.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Captain John Komba akiwa pamoja na wana TOT wakiimba "Sasa Kumekucha" pale Dodoma kumuombea Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kura za ndio.

КОМЕНТАРІ • 148

  • @reubenmwengela8015
    @reubenmwengela8015 7 місяців тому +24

    Kwa wale wote tunaomkumbukaka baba yetu JPM weka like hapa Kwa ishara ya kumbukizi ya heshima kwake♥️♥️🙏🏿🙏🏿

  • @nyabisemaro8885
    @nyabisemaro8885 4 роки тому +36

    Hiiii Nyimbo Niliipenda Sana kwenye Coras Jakaya kikwete Amechukua Ameweka waaaaaaaaah CCM Shangilia Ushindi Unakuja like twende Sambamba

  • @anithaisraely5808
    @anithaisraely5808 4 роки тому +9

    Wimbo mzuri Sana Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi tutakukumbuka daima

  • @mariakomba1646
    @mariakomba1646 3 роки тому +7

    Komba kama komba. Wangoni tuna tone nzuri

  • @prettynesspastory3111
    @prettynesspastory3111 4 роки тому +9

    Sijui ni vipi nikisikia ngoma ya ccm yyt nasikia vinyweleo vinasisimka! Yani nasikia raha mwili mzima! Sio mwanasiasa Ila nazielewa pigo za ccm! Ngoma zimetulia najikuta nacheza mwenyewe chumbani kwangu!💓💓💓💓

    • @mariamgeofrey6390
      @mariamgeofrey6390 4 роки тому

      Hahaaaaaaa yan ww km nm kbccc

    • @prettynesspastory3111
      @prettynesspastory3111 4 роки тому

      @@mariamgeofrey6390 hahahajahahah acha tu ndg yangu

    • @shalomizrael667
      @shalomizrael667 4 роки тому

      Ikianza bit tu hata km nimekaa migu inahimiza kusimama🤣siyo kwa utamu huuuu jmn

    • @prettynesspastory3111
      @prettynesspastory3111 4 роки тому

      @@shalomizrael667 😂😂😂😂raha jipe mwenyewe mwaya! Ila ngoma ni tamu hizi uongo mbaya

    • @shalomizrael667
      @shalomizrael667 4 роки тому

      @@prettynesspastory3111 utasema Mzee Komba alidondoshea tone la asali hazichoshi kabisaaa😋

  • @blasidajulius2240
    @blasidajulius2240 4 роки тому +10

    Mwenyezi Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi kapten John Komba

  • @erickhaule5591
    @erickhaule5591 2 роки тому +5

    Komba bana alikua fundi kupitilizaa kwakweli mungu akupe unachostahili ktk mchango wako kwa taifa hli tulikupenda sana homefather kutoka lituhi village kweli tumepoteza kitu

  • @azizizabron7792
    @azizizabron7792 2 місяці тому +1

    Mimi ni Kada wa Chadema lakini nilikuwa namkubali sana komba na nyimbo nzake ingawa siipendi Ccm....R.I.P KOMBA HAKUNA WA KUZIBA PENGO LAKO

  • @charlesmuhagama2358
    @charlesmuhagama2358 4 роки тому +32

    Yulepale namuona jonipombe magufur ameket juuyakti chake akuna awezae kumshusha kamaunamkubar magufur achia ishara yeyote ileee

  • @thegreatsource2953
    @thegreatsource2953 4 роки тому +30

    Captain Komba haupo nasi kimwili, ila tunazidi kuburudika na nyimbo zako nzuri zisizochuja. Mungu akupumzishe mahali pema peponi🙏

  • @alliyseleman162
    @alliyseleman162 4 роки тому +10

    Du hakika mwenyezi ampunguzie azabu ya kaburi komba kept

  • @salamaseifu6008
    @salamaseifu6008 Рік тому +3

    Mungu akupunguzie azabu za kaburi akuwekee wepesi

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 4 роки тому +9

    Rest in Peace, hakika nyimbo zako zinaishi hakuna nyimbo za kuamasisha km za Mr Komba 💔

  • @imanrashid6450
    @imanrashid6450 3 роки тому +16

    I shall never forget my forever president JPM 😥 , this song makes me cry 😭

  • @blasidajulius2240
    @blasidajulius2240 4 роки тому +8

    Naupenda sana huu wimbo woyoooo na kumekucha kweli ssa n John Magufuli tena kachukuwa kaweka waaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥

    • @arecmahwela5057
      @arecmahwela5057 4 роки тому

      Huyo amechaguliwa na mungu kwaajili ya wanyonge mungu amubaliki sana makufuli

  • @emmanuelkid85
    @emmanuelkid85 4 роки тому +7

    Komba ni mmoja! Fundi wa muziki.

  • @bahatimagwira5499
    @bahatimagwira5499 4 роки тому +9

    Naupenda Sana huu wimbo

  • @farealapple7962
    @farealapple7962 4 роки тому +5

    Nyimbo yangu bora ya mda wote wa chama cha mapinduzi CCM

  • @joshuakalinga5970
    @joshuakalinga5970 2 роки тому +1

    Wewe kifo mbona watuliza sana j.knyerere,mkapa,jpm,capten comba, wote hawa umewameza wee kifo mshenzi huna adabu⚰️👈😭😭😭😭r.i.p viongozi we2😭😭😭😭😭😭😭

  • @kim45734
    @kim45734 4 роки тому +10

    Hii nyimbo n kali San, Captain Komba was talented ...

    • @skulfees5453
      @skulfees5453 Рік тому

      Nimeirudia kama mara mia nane 😂😂 na mimi nimkenya inabamba mbaya

  • @jutomzelu3692
    @jutomzelu3692 Рік тому +3

    Naamini Kikwete asikiapo nyimbo hizi lazima atokwe na machozi kidogo, kuna vitu vingi atakuwa anavikumbuka

  • @richardzakaria8669
    @richardzakaria8669 4 роки тому +8

    Mungu amweke mahala pema peponi ndugu Capt, Komba

  • @rajabumwegango7645
    @rajabumwegango7645 4 роки тому +10

    Aisee komba lilikuwa jembe sanaaaa mana sio kwa mapigo hayaa

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 4 роки тому +14

    Nimezimis hizi nyimbo

  • @florabenard5504
    @florabenard5504 2 роки тому +2

    Jamani aliyerirhishwa kipaji cha baba ajeaendeleze au hakuna aliye bahatika kupata urithi Capten komba ameondoka na muziki wake tunaendelea kufurahia nyimbo zake but hakuna tena ladha hii jamani da! Rest in peace baba

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 4 роки тому +4

    Izo ndo zilikua nyimbo ccm oyee hatuiachi ng,oo

  • @kefamariba6622
    @kefamariba6622 3 роки тому +1

    Taifa limepoteza hazina kubwa sana. Capten John komba was not only a ccm pilar but also tz as a country...

  • @tajaelmichael227
    @tajaelmichael227 4 роки тому +4

    Dah utunzi wako bado Upo imara RIP cap John Komba

  • @deodarius8513
    @deodarius8513 3 роки тому +4

    Jamani naitafuta ile nyimbo ya "Watanzania CCM yawina"

  • @shadracksilayo9699
    @shadracksilayo9699 3 роки тому +1

    dah ungemuimbia magufuli leo anaagwa dodoma rip komba magufuli self mkapa kijazi na nyerere

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h Рік тому +1

    Naipenda ccm adi basi nakumbuka nikicheza kwaya

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому +4

    ,,,,,,,his songs had great contribution to the victory of the ruling party CCM, but I don't think so far, if the party members have done enough to honour the great job done by this man during his life time! RIP

  • @mafwelemalima2548
    @mafwelemalima2548 4 роки тому +3

    Mpen kura za ndio kada wa CCM MAGUFURI

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 3 роки тому +1

    Naipenda ccm sana chama langu la nguvu.

  • @amosmichael487
    @amosmichael487 2 роки тому +2

    Oooh my God miaka inaenda sanaaaaa

  • @PaverinaChitanda
    @PaverinaChitanda 4 місяці тому

    Nyimbo nzuri na bora

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 4 роки тому +6

    Saund good iyo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому +1

    Enzi yetu ya dodoma kumekucha tukiwa tunakula bata chako ni chako mungu amlaze mahali pema peponi

  • @wardaYohana-fp8vb
    @wardaYohana-fp8vb 2 місяці тому

    2024 daaah nyimbo za Captain Komba zilifanya 2015 nipige kura kwa mara ya kwanza Ccm pumzika salama huko ulipo😢

  • @lucympinda7979
    @lucympinda7979 3 роки тому +2

    Huu wimbo unanikumbusha mbali sana nilikuwa Bado binti mdogo sana nikiwa grinigadi kata ya dungunyi ikiwa wilaya ya ikingi kwakampeni za kikwete

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 роки тому +14

    R.I.P John,we miss you

  • @yusuphndundu8836
    @yusuphndundu8836 4 роки тому +12

    R.I.P.komba daima tutakkmbka.

  • @respiciuszephania6035
    @respiciuszephania6035 4 роки тому +1

    Daaah!! nakumbuka mbali sana ,mwaka 2005 nilikuwa nae katika harakati za kampeni mkoani Kagera wilaya ya biharamlo

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 роки тому +2

    NDUNGU John komba tumekukumba sana

  • @mafwelemalima2548
    @mafwelemalima2548 4 роки тому +2

    Tutakumiss mzee wetu komba, pumzika kwa aman

  • @mamalamama7010
    @mamalamama7010 Рік тому +1

    Pumzika kwa amani baba etu komba.

  • @sogoyikissoyi8400
    @sogoyikissoyi8400 10 місяців тому

    Bado kitambo kidogo tu, Kada wetu wa CCM ndg Samia Suluhu Hassan tutamwimbia na tutampa kura za ndiyo kwa wakati mwingine

  • @ayubumkojera7144
    @ayubumkojera7144 4 роки тому +5

    yes ccm number one

  • @isihakangereza187
    @isihakangereza187 4 роки тому +2

    Capt dah hajawahi kuimba song mbaya

  • @lidyamensah174
    @lidyamensah174 Рік тому

    Rip Captain Komba sauti yako ni balaa mno na hyo anayeimba na wewe pia mashaalaah Kwa kweli 💓

  • @allyshafi4391
    @allyshafi4391 Рік тому +1

    Daima mbele nyuma mwiko 💯💞

  • @shalomizrael667
    @shalomizrael667 4 роки тому +4

    Wacha walie chama cha mapinduzi kina wenyewe 💪🇹🇿

  • @anonmgoo7960
    @anonmgoo7960 4 роки тому +1

    Nitakukumbuka daima john komba

  • @malingazeboss9351
    @malingazeboss9351 3 роки тому +1

    Ilimuradi nikada wa CCM hata Kama Hana akili nzuri apewe kura za ndiyo😁😁😁😁#pumba kweli hizi# nyooooooooooooo kaimbie mizimwi kaburini

  • @benardotieno3584
    @benardotieno3584 Рік тому

    A nice one, seems like it was a common thing in African countries, can only compare it to Mobutu Seseko of tpok jazz

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 12 днів тому

    Nakumbuka nikiwa chuo pale mlimani ,nikaacha kupiga mitihani,nikakimbilia gari ya kampeni la Chama du maisha yanaenda Kasi kweli

  • @peteradams5494
    @peteradams5494 3 роки тому +1

    Kali sana!May Jemedari rest well!

  • @rosekisogole4161
    @rosekisogole4161 4 роки тому +2

    Mungu ajua umhim uliokua nao kwa chama letu duuu

  • @mwanaalybuda
    @mwanaalybuda 2 місяці тому

    naipenda sana

  • @williamkirway4620
    @williamkirway4620 3 роки тому

    Komba captain hawatakuiga,kipaji cha pekee barani Africa umefunika.utakumbukwa daima na Wana CCM na upumzike Kwa Amani/01/04/2021.kutoka Haydom-manyara.

  • @priskajustin707
    @priskajustin707 4 роки тому +5

    Mrisho gambo arusha apewee kura za ndiyoooooooooo😘

  • @abdillahkamonga9477
    @abdillahkamonga9477 5 місяців тому

    Hatari saàna ukisikia hii jua kz ipo

  • @yusuphidd6068
    @yusuphidd6068 3 роки тому +4

    Rest easy Magufuli

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 роки тому +1

    JK amechukua ameweka waaaah

  • @emaliezachilemeji105
    @emaliezachilemeji105 4 роки тому +2

    Lala salama komba

  • @Gideonnaire
    @Gideonnaire Рік тому

    Tiktok imenifanya nije niutafute huu wimbo. RIP JPM, RIP KOMBA

  • @collyalinani2407
    @collyalinani2407 Рік тому +1

    Caption Komba R.I.P ulikua mkongwe T.O.T

  • @innocentgeorge1117
    @innocentgeorge1117 Рік тому

    Masanja umenifanya nije kuangalia hiii nyimbo daaah aiseee tunakumbuka mbali sanaaa

  • @jacobedward598
    @jacobedward598 3 роки тому +1

    Apumzike kwa aman

  • @othmanramadhani6962
    @othmanramadhani6962 6 місяців тому

    ,😂😂😂ukikisikia hiyo kura zitaenda kwanjia yoyote ani 😂😂😂ukisema haaa SUKUMA NDANI😂😂😂

  • @geoffreyeliezaelieza7390
    @geoffreyeliezaelieza7390 6 місяців тому

    Jamani magufuli wangu ndo mtu wa kwanza kumpa kura ya gu nammic sana magu 😢

  • @catherine-BK
    @catherine-BK Рік тому +2

    Rest easy Magufuli 💔😭😭😭

  • @theaidanny753
    @theaidanny753 2 роки тому +4

    Once a CCM always a CCM❤️

  • @shedrack01ilomo68
    @shedrack01ilomo68 Рік тому +1

    Siwezi kumsahau raisi wangu magufuri yule ndo kada wangu pumzuka baba

  • @HarsonLaizer-m5r
    @HarsonLaizer-m5r 6 місяців тому

    Nyimbo za ccm

  • @felisternjovu7198
    @felisternjovu7198 4 роки тому +2

    Unakumbukwa sana hasa kipindi hiki cha campaign. Nyimbo hizi ziliamsha kila mmoja

  • @user-bi1xt3nq5o
    @user-bi1xt3nq5o 10 місяців тому +2

    2023❤❤❤ like here

  • @amosmichael8986
    @amosmichael8986 Рік тому

    Kizota mahali amezaliwa mzee wangu Yohan Michael Mphanda mzee mwanzilishi wa kizota nzima ukienda ukiulizia kwa mzee Michael Mohanda unapelekwa mpaka miss hom

  • @FreddyLemapoorme
    @FreddyLemapoorme 2 роки тому +2

    wonderful

  • @edwiniedwin3347
    @edwiniedwin3347 3 роки тому +3

    Rest in peace wakunyumba

  • @julianabudigila6023
    @julianabudigila6023 2 місяці тому

    Apewe kura za ndiyo

  • @nobertcyriacus4762
    @nobertcyriacus4762 Рік тому

    Kipaji kikubwa..Komba tuko na were kupitia kipaji chako!

  • @araphatnyagala3924
    @araphatnyagala3924 6 місяців тому

    Komba ulitishaa kipindi Cha uhai

  • @julianabudigila6023
    @julianabudigila6023 2 місяці тому

    Apewe kuna za ndiyo

  • @DoctorEdwin-mr7zx
    @DoctorEdwin-mr7zx 2 місяці тому

  • @DayanaSuphian
    @DayanaSuphian 5 місяців тому

    Apo naukumbuka utawala wa mcheshi wetu jakaya unapotaka kuchukua nchi

  • @VeredianaKalembi-gs4vs
    @VeredianaKalembi-gs4vs Місяць тому

    CCM oyeeeeeeeeeeeee 2025 tunachukua kama kawaida yetu

  • @boscokagali6240
    @boscokagali6240 3 роки тому

    Pengo la huyu mwanaume John komba halitazibika

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 5 місяців тому

    Hii nyimbo lazma jk kikwete huwa ina mliza

  • @Shabanguga
    @Shabanguga 2 місяці тому

    CCM mbele kwa mbele

  • @stephanokalisti9107
    @stephanokalisti9107 Рік тому

    Saw bos

  • @momepeter9161
    @momepeter9161 3 роки тому +1

    Wacha waseme Chama cha mapinduzi kina wenyewe 👻👻

  • @sudimwanga7914
    @sudimwanga7914 4 роки тому +3

    Jakaya Kikweteeee tunatamani agombee tena

  • @ramadhansalum3878
    @ramadhansalum3878 4 роки тому +3

    Good song

  • @ramadhanishabani8503
    @ramadhanishabani8503 4 роки тому

    Furaha Dominic Jacob apewe kura za ndio

  • @HamisMtumba-zs1wb
    @HamisMtumba-zs1wb Рік тому

    😊😊sawa

  • @AllyIssya-cy9yg
    @AllyIssya-cy9yg 4 місяці тому

    nani atakae vaa viatu vya john komba mashaili yake ndani ya ccm?.

  • @jonahmathayo5156
    @jonahmathayo5156 2 місяці тому

    2024 nani anasikiliza😂

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому +1

    2005

  • @elizabetsabuni9636
    @elizabetsabuni9636 4 роки тому +3

    Dah R.i.p Mzee wetu