Video kama hizi Joti uwe unaweka ilani maandiko mwisho au mwanzo uvutaji wa Bange ni hatia kinyume na kanuni za serikali, ina madhara kwa afya na hatari kwa wanafunzi, vizazi vijavyo na hata watu wazima. Madhumuni ya video hii ni kuelimisha Jamii juu ya madhara ya matumizi ya mihadharati. Kitu kama hio la sivyo madenti watavuta kukuiga wawe wa kwanza darasani 👌
I see King Majuto in Joti. RIP king but your Image is Living in Joti. Bravo Joti Aisee.
Video kama hizi Joti uwe unaweka ilani maandiko mwisho au mwanzo uvutaji wa Bange ni hatia kinyume na kanuni za serikali, ina madhara kwa afya na hatari kwa wanafunzi, vizazi vijavyo na hata watu wazima. Madhumuni ya video hii ni kuelimisha Jamii juu ya madhara ya matumizi ya mihadharati. Kitu kama hio la sivyo madenti watavuta kukuiga wawe wa kwanza darasani 👌
Acha ujinga dawa haina madhara ni kichwa chako tu
Kweli.
Aliyekwambia ina madhara ni nan
Wazo lako zuri sana
@@scottytyga2627 mkeo alipokuja kwangu kupata fungu la kutoa nyege
JOTI JOTI JOTI 🙌 King of comedy ever, 🤗🔥🔥🔥
I love joti so much, should have English sub tittle hata nchi zingine waelewe utakuwa juu sana hadi mawinguni kama basket mouth so much love
Yeah
Best comedian ever,,hujawai niangusha Joti💪💪💪
Leo wa Saba naomba like 10. Sijawaji
🤣🤣🤣 Joti wewe mbinguni utafika umechoka sana 🤣🤣🤣🙏👏💪
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
😅😅😅😅
😂😂😂
Mwehu wangu,a real KING of comedy...JOTI
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
Wauuweeee jot is no 1 comedian tanzsnia like kama unakubaliana na mm
JoTi😂😂😂😅😅😅😅🍁🍁🔥🔥 nimecheka sanaa Sio poa from 🇿🇦🇿🇦
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
Mwamba na mlewa wanafaa sana katika kazi yako joti
Joto we hujawah feli unachekexha kinyama yan ,,,,😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Yani Joti ungekua ndugu yangu ningekua sikukaribishi kwangu😂😂😂
Buenas noches 🌌✨ jotyyy TV ..es lo más 😁😁😁🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🤗🤗es un cómico único y conserva su suajili ..un abrazo grande 💕💕💕🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Safi mfalme wa burudani.asante joti u made ma day kenya to USA we r happy.
ntapenda next episiode umefika shuleni itakuaje !ha!ha!h!ha!ha
We love you joti keep shining ✨ 💛 💖
😂😂😂sema congratulation kwa Mwamba skudhani atacheza scene Poa ivo kushinda mlewa
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
Aisee umetisha
Huyu tumjengee Sanam hata fupi inatosha😄😄😄
Joti get love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Joti ashadukamata kiukweli
🤣🇧🇮
Jotiii 🤣🤣🤣 nakuona Binti 😆😆😆
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
Nakubali wazee mko poa sana ktk comedy ☑️
😂😂😂😂😂😂huyu #joti sio mzima 🤣🤣🤣🤣🤣ila nakupenda bure mie jmn
😂😂😂😂 amakweli bangi sio chai aise kazi nzuri nimeipenda nimecheka mpaka mbavu zinauma aise
Nenda nyumbani 😂😂😂jotii we binti😂😂😂🤸🏿♀️
Joti hatariiii mama mtu viboko vya matako nenda nyumbaniiiii😃😃😃😃
Yani ndio tuna mark register 😂😂😂 alafu itakua makosa nisipowajulisha ANDUNJE ni jina la kiluhya (Margoli) huku Kenya
Haha umeonaeee sahivi sisikii naona 😅😅😅😅❤👏
The best comedian and talented joti.. nakukubali xanaa
Joti kilaza sana eti wamisho wa pili😂😂😂
Nmecheka
Joty Mungu akupe maisha marefu nacheka Kwa sauty mpaka majirani wananiuliza nini tena
Joti unaniua ukiigiza mtoto. Wewe mtoto chizi kweli🤣🤣🤣
Pamoja sana Chanel pendwa
*Kweli Joti ni king of comedy*
Joti uko sawa...🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tunaraha sana
Sema uyo maza anajua sana bonge la msanii yan 😄😄😄
So kigoma yombooo
Tuliaaa wee mtoto mdogo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
Mama kawa Binti na bakora kachezea duu 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila joti nahsi mbinguni utaiskia tu kwny tviii🤣🤣🤣🤣 aiseee hii ya leo kali 🤣🤣
Mhm… Joti uta tuuwa kabisa 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇧🇮🇧🇮mupo?? China 🇨🇳 una weza anza kazi zako ukiwa na mutaji mu dogo karibu basi 🔥🔥
Chunguliya apa😊 👉🏽ua-cam.com/video/dkv3akB7xn4/v-deo.html
Like zangu from Canada
Eti genius wa mwisho wa pili😃😃😃😃niokotwe kinodoni
Nimecheka walahi🙌🙌 ni yeyeee😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umemtimua Bimkubwa Hahahaha
🤣🤣🤣
Daa namba moja ukimpa anahalisha mmetisha sana
Namba moja ukimpa tu anaharisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Andunje alikuwa wa mwisho wa pili🤣🤣
Joti utakuja uniue mm jamn😂😂😂
Ona jotti Tnamkumbuka soba bwaba uku love from🇧🇮
Kkkkkkk joti bom trabalho jovem
Yeye ndo kawa mzazi pola mama😂😂😂😂😂🤣🤣🤣❤
Nakubalii kaz yako bro
Usingempa cha Arusha 🤣🤣🤣🤣
noma sana🔥🔥🔥🔥😁😅
😂😂😂😂🤣 Joti mbinguni utapaskia bro😂
Kkkkk Wamwisho wapili
😂😂😂😂😂😂😂😂😁🙌am dead this guy will kill us one day 🤣🤣
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
joti unaua sana Bro 🤣
Sasa hivi sisikii sasahv naona😅😅😅😅😅😅😅
Wa mwisho wapili 😂🙂
Wewe tulia wewe mtoto mdogo😅😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣 wa mwisho wapili!!!
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
Nishacheka hata kabla cjaangalia. Hahahaha
Nilipambana nkawa WA mwisho WA pili paka nyumba wakanipigia makofi hhahahaaww
Hahahahaha vutia picha unampiga kibao cha makalio mama yko mzazi
kweliwamekuvutisha mdogowangu😂😂😂😂🤗😄
Ahahahaaa
Huyu mwamba eti we binti nenda nyumbani haraka
Andunje Amepiga Cha Arusha🤣🤣🤣🤣
😁😂🤣 joti kibokoo😜
😂😂😂😂😂 wa mwisho wa pili
Jot miaka mia nakukubali uncle
Kali wazito👊🔥😂
My ribs Joti saizi ni saa sita usiku asubuhi kazini niko hapa halafu kumbuka natumia bundle la kazini 🤣🤣🤣🤣
,😂😂😂 kazi unayo
Tanzania haichoshi tunaenjoy tu JOTI bana
Umejua kunichekecha sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Arusha oyee. Nimecheka yangu yote!
Nakupenda sana mpenzi joto😂
ua-cam.com/video/GPdHYblbqAc/v-deo.html
Dah hakun wakukushush broo sku zte utabak kuwa namb mpk utakapodanji
Safi sana kaka
🤣🤣🤣🤣🤣 hahhaha sasa kumchapa mama tena duuh😂😂😂
Wa mwisho alafu wa pili yake 😂😂😂😂😄
Glass half full or half empty
Joti umenichekesha are asubuh hii😂😂😂
Aty sasa izi siskii..."naona 'nishakuwa wakwanza sasa
Hapo kwenye balora mie hoiiii 😂😂😂
Nimeirudia Tena wallah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Joti heshima zako kaka
Wamwisho wapili hio nna mjombangu mmoja ndio anga zake hizo shuleni 😂😂😂
Sema joti ukiect hvyo inakuwa babukubwa😅😅
Hahahaaaàaaaa mapema sanaa
🤣🤣🤣🤣🤣we binti navyokuona😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂🔥 nI yeye
Nzuri Ila washikaji wakwapi Bw Kipande na Pedezhee Sopa
Wako wapi?
Kunawengine wezi walimuibia joti ndomana uwaoni
Wezi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo jamaa hapo alipo sema ahhh mjomba uyoooo
😆😆😆😆 jiti mseeee kwel kwel we ni noumaaa
😂😂😂 sema joti unajua sana kwenye kikohoz tu sauti ata aijabadilika 😂😂😂
Mlewa anajua sana
Dah jot noma san
Konde boy kapata pacha wake uku kikohozi tu😆😆
Mwamba baada ya kusikia anatembea na bimkubwa kashangaa🤣🤣🤣 eti ahaaaa🤣🤣🤣
King of EAST AFRICA COMEDY