Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Wapenda kusoma comment kama mm tufahamiane bas ktk like japo ata kumi tu 👍
Tupo wengi mimi binafsi napenda kusoma comment
@@رقيهالخصيبي weacha kama mm siwezi maliza kuangalia clp piba kuchungulia comment
Nimecheka
Tupo
Andunje mtoto mzuri🤣🤣🤣🤣🤣kumbe panya rodi nayo kazi🤣🤣🤣ila joti kipaji chako sio cha nchi hii🤣🤣🤣mashaAllah
😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimecheka mpaka ila naomba like hata tano
Afande kanyinyi joti namuona kanyinyi mbali sana kazi nzuriiiiiii
Joti(Nishai) is a super comedian around the east Africa and almost in all Africa love you ma brother joti God bless you 🥰🥰🇹🇿🇹🇿
Nakuona Raisi wa comedy TZ God bless more
Ukila ndumu unaweza kula miwa eka mbili😂😂😂😂
Nkubali sana kazi za nishai, andunje, kiboga a.k.a jot 💥💥💥
Joti nomaaaa 😂😂
Akili yako Joti aijuae zaidi ni alikuumba jameni , ✌✌✌kutoka Kenya ni ❤ tu - MUMBI
KAZI NZURI KAKA... HAUKURUPUKI UNAJIPANGA NA HUKOSEAGI👏🙌
Yeah
Hiyo gari la polisi joti umetisha best comedian afrika mashariki na kati na jangwa la sahara
Kazi nzuri ila imeisha vibaya inaonekana inahitaji muendelezo
Kwa kweli huu ndio usanii,tangu hii character ya Andunje yanitia kichefuchefu mpaka sasa naipenda.Pongezi
Joti my number one comedian in tanzania 🇹🇿 🥰
me two
Ujambo
Joti 4 life We love you in USA🇺🇲🇺🇲
Hi
@@AsmaAsma-gd3mv umechanganyikiwa na bendera😁.... Yuko buza huyo shaur yako
Haaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁joti nenda mtoto mzr andunje 😂😂🤣🤣🤣
safi sana manina na ndomana sasa iv tuna jidai ktumbea usiku kumbe polis mefanya vizr sana kulishika gwiji tulikua tuna laaa jamani
Joti,kibogaa,nishai,the best unachezaa part zoteee vzriii😍😁🙏
Oh adunje you are super star like it🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ship dont tell any ono🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫
🔥 hatari sana sijawah kosa
Nimependa namna mlivyoonesha Polisi wetu wako imara katika kudhibiti majanga ndani ya Nchi yetu, safi sana
Big up💪💪 Best 🇹🇿 comedianKeep it up💯
Anduje 😂🤣🤣🙌 kayakanyaga
I don’t understand Swahili but I do enjoy watching joti.
U should learn swahili its simple
Tupumzishe🙄
Acha uongo
hahaha sorry
Yeah it's a problem because at this point Joti should know he's popular in all Africa. He should atleast write English subs
The super Comedian Mr Joti
Hahahhas😂 Malkia panya buku Mwamba hahha Huko mahabusu hatakunyonga ulimi mwamba 😂
Joti amebarikiwa sana na uasaniii..hongera sana
Keep up the good work
Nishai, JOTI,Andunje 🤣🤣🤣ilo limwamba limekaaje kwa tank jamn lilivyo kubwa 😂😂😂
😂 umesahau da kibogaa🙌🤣
@@aisharashidy9796 kweli jmn
Nmestukaa😂
@@aisharashidy9796 c ndooo huyoo huyoo jot kiboga adunje
Darasa la misita hahaha😂😂😂😂😂
Jaman nitachek mpka nife jot I appreciate you brooo
Love from Muscat 🇴🇲 🇹🇿
Hallo...
Nadir Kuna kitu nataka kukuuliza kuhusu muscat labda utakua na ukweli Zaid ..asante
Mji gn
We are together ✌️
Best comedian wangu bora huyu Joti ndio bora sana yaani mtupie kokote pale atafanya vile ambavyo jamii inataka kama unakubaliana na mimi please dondosha like hapa ili tujuane kama tupo pamoja
Natural talent Bro! Hongera aise
Mi nafanywa chambo😂😂😂, mlewa anakichwa kikubwa 😂😂😂
We appreciate your job andunje all the way from Tanzania 🇹🇿 tuna ku support wauni tupo south Africa 🇿🇦 wewe ndiye mrithi wa mzee majuto 🎊🎉🌹
Haswaa
🤣🤣🤣🤣 Andunje umeupiga mwingi sana jamani subiri hukumu jinga wewe 😁😁
Oya brother joti respect sana master
Andunje 🔥🔥🔥
Tanzania we got #joti 🖤
God job jot I like it
Yani hiyo nchi yakisenge Sana 😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥😂😂
shamba zima la miwa🤣🤣🤣
Nikiona hili gari la Askari Mimi hoi wallah 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Gar ya mchongo
I like this na mafunzo kibao
Namkubali sana huyu jamaa weka zingine comedy zake
Imeweza bro joti.... Nakukubali 🇰🇪
Andunje andunje andunje nimekuita mala 3utapona kweli 🤣🤣🤣🤣🤣
Heka mbili za miwa umekuwa nguruwe kkkk 😂
hiyo gari ya polisi iko nimeikubali 😂😂
Omg this man he is sooo funny 🤣 I just love his video 📷 a lot ☺️
Na bado ata hujaifungua😁😁😁
Kazi nzuri kaka
Bonden kwa mandella😆😆😆😆😆😆😆😆
Best comedian ever🙌
Eti mnara wa kumbukumbu daah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏽
Aaaahahahaaa I got you #Joti all the way from #TEMEKE255.
Unakula hata heka mbili za miwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 *Hilo Guta ndio Gari la Police kmmk* 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅
Weeeh ni noma ,, umefumbua vitu vingi xana🤣🤣🤣
Salute sanaaaa
Uko vizur sana
Number 1
NI KWELI KABISAAAA!!!!!
🤣🤣🤣🤣Anaomba apumueee kidog maana Ana pressure
Umenifumbua hpo kwenye mzigo nilikuwa sijui ,kumbe kupokea mzigo wa mtu bila kujua n nin. Ni hataree sanaa
Mwamba yeye ni panya Buku 😂🤣🫵🫵🔥🔥🔥 anduje weye
😆😆😆salut andunje kwa madiba apo
Napenda anavyo pumuwa nihatari 😁😁
Hhhhhhhhhhhhh😂😂😂😂 ahsnt sana broooo
Joti ww sio mzima,😂😂😂😂😂
Adunje andunje🤣🤣🤣👏👏
Hola buenas tardes Joty 💕 y equipo ...😁😁es muy simpático ver tus videos . gracias sinceramente..un beso a Tanzania 😊😊
Mwanjisi
Iyo gar Yaa police mumeiyona😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Ety Mwamba ni Panya Buku 🤣🤣🤣🤣🤣
Kaka mungu azidi kukubariki akulinde akupe maisha marefu xnaaaaaa 🔥🙌🤣
Panya buku aliyetoka face bukuu🤣🤣😂😂😂
Yuko vizuri ANDUNJE.
😂😂sio panya Road ni panya buku 😂😂😂
Kumbe uncle panya 😆 🤣 😂
Kenya tunakupebda joti ❤💪
Good 👍😅😂😂🤣🤣
This guy eish, he's on another level
Mkubwa wetu ana geto lake🤣🤣🤣🤣
USIKUU USIKUU 😁😁
Sana tyuu 💪💪💪
Mwambia alipokuwa sasa🤣🤣🙌
Huyu joti ni chz kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaaa mapanyaa au mabuku hayo yamejaa
Joti we ninouma sanaaa chali wanguu
😂😂😂msengee sana andunje
Haaaaaa haaaaaaa Joti
Joti umebarikiwa sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
hahahaha hahahaha! tangu darasa la 4 mpk sasa niko la 6 nafanya panya rodi
Banya Lodi katika maelezo yaliyonyooka🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂wee ni kali siku zote
Good ideas brother jot good creativety
🤣🤣🤣🤣 Andunje umemchoma mwamba 😂😂😂 ni panya buku, Facebook na counter book 🙌🙌
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
Na kukubali sana
Make kwanza nipumue😂
Joti Comedy Namba1 Duniani

Big up💪💪
Best 🇹🇿 comedian
Keep it up💯