ALAMA YA MNYAMA - MCHUNGAJI PAUL SEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 51

  • @estherkusaga9181
    @estherkusaga9181 2 роки тому +3

    Nashukuru mlefi,nimekusoma kwa habari ya udanganyifu Mungu asante kumtumia mja wako

  • @stefanomganga8463
    @stefanomganga8463 2 роки тому +2

    Pr. Semba nakusalimu, ubarikiwe Sana kwa kumbukizi na ufafanuzi wa kina.

  • @emmanueltunduru7470
    @emmanueltunduru7470 2 роки тому +3

    Mungu wa mbinguni akubariki sana Pastor, Mungu wa mbinguni amebadilisha sana maisha yang kupitia wewe.🙏

  • @estherkusaga9181
    @estherkusaga9181 2 роки тому +3

    Mungu naomba tabia yako iwe katika maisha yangu.

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 2 роки тому +4

    Ubarikiwe sana Mchungaji 👏

  • @lugembezenzele6555
    @lugembezenzele6555 2 роки тому +1

    Barikiwa na BWANA mtumishi,mwenye akili na azidi kuyafahamu maneno ya unabii huu.

  • @tinomusic2904
    @tinomusic2904 Рік тому

    Unanibariki Sana pastor kwa mafundisho ya biblia nazid kuielewa

  • @ellenmbota1241
    @ellenmbota1241 2 роки тому

    amen pr ubarikiwe yani Mungu atusaidie tupate kusoma na kufahamu andiko lake takatifu Mungu nisaidie nipate kufahamu

  • @comeletsreasonisaacmuriuki5816
    @comeletsreasonisaacmuriuki5816 2 роки тому

    Asante sana mchungaji. I've been following your sermons for a time now. What amazes me is that every time I listen to your sermon, i feel renewed in Faith, being brought nearer to my saviour. May you continue in that great spirit.
    Mungu atulinde kwa hali zote tuzidi kusimamia imani ya kweli. Hii ya leo imekuwa ya kutulinda namna ya kuomba mungu na kutii njia yake.
    Barikiweni sana waadvebtista

  • @rizikimanamaua9216
    @rizikimanamaua9216 2 роки тому

    Ubarikiwe Pastor Semba kwa mafundisho. Inanisaidia kujua kweli ya neno la Mungu na kuleta mabadiliko. Mungu akubariki na kukujazia hekima na maarifa ili uendelee kulitoa kwa uaminifu. Asante

  • @NestoryBudeba-vc2cb
    @NestoryBudeba-vc2cb 9 місяців тому

    Amen, Ubarikiwe pastor

  • @linetkerubo9945
    @linetkerubo9945 2 роки тому +1

    Wapi mtiririko wa kwanzia siku ya kwanza tafadhali!

  • @cosmassamon9723
    @cosmassamon9723 2 роки тому +1

    Asante Sana kwa somo pastor

  • @NestoryBudeba-vc2cb
    @NestoryBudeba-vc2cb 9 місяців тому

    Amen

  • @samuelmussa4809
    @samuelmussa4809 2 роки тому

    Natamani siku moja nikuone pastor

    • @paulsemba_TV
      @paulsemba_TV  2 роки тому

      BWANA ATATUJALIA NEEMA YAKE SIKU MOJA TUTAONANA

  • @bravolerttv7720
    @bravolerttv7720 2 роки тому

    duh hili hubiri ni moto

  • @charlesladislaus407
    @charlesladislaus407 2 роки тому +1

    🙏🙏

  • @linetkerubo9945
    @linetkerubo9945 2 роки тому

    Naomba mafundisho haya kwanzia mwanzo tafadhali!

    • @jamesmgonda
      @jamesmgonda 2 роки тому

      Alijibu ,hakufanikiwa kurekodi tangu mwanzoo

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 роки тому

    Yani kwakweli kwa hili somo ninamshukuru MUNGU kwa ajili yako mchungaji na mimi sijui nitakupataje nisaidike ktk mafumbo ya biblia

  • @alphoncearmony9116
    @alphoncearmony9116 2 роки тому +1

    POSTOR NABARIKIWA NA MUNGU KUPITIA WEWE NEEMA YA MUNGU IZIDI KUWA NAWE

  • @msalaba6768
    @msalaba6768 2 роки тому

    Nashukuru sana Ps. Nina haja kubwa ya mawasiliano na wewe, Jaribu kunipa au Watsp au mail ili unisaidie zaidi.

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 5 місяців тому

    Mbona hujafafanua 666 n nn?

    • @OnesmoJoseph-e4c
      @OnesmoJoseph-e4c 4 місяці тому

      Kaelezea vizuri maana ya 666 labda hukuelewa mr yuda

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 2 роки тому

    Acha kuwapotesha waumini.....!

    • @charlesjanuary1798
      @charlesjanuary1798 2 роки тому +1

      Amepotosha nini?

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 роки тому

      Juu ya mnyama na alama yake....,
      Yuko na bias nyingi, pili haelewi vizuri kuhusu mnyama aliyetokea kwenye maji na nchi kavu...
      -Hivyo, maana zote atakazotoa mbeleni, hazitokuwa na maana kamili, ikiwemo malaika aliyeweka mguu wake baharini na nchi kavu akiwa ameshika kitabu kidogo.
      - hayuko relevant na uhalisia wa maisha, akijihisi yeye atakuwa salama.....
      Jambo la kumshauri ni mawili, Usimchukulie shetani kwa kawaida sana...,
      Kuwa makini kwa yale unayoyanukuu, na yale uliyorithishwa na watawala walio pita....utawatupa motoni waumini wako

    • @charlesjanuary1798
      @charlesjanuary1798 2 роки тому +1

      Kwani mnyama bahari au upepo, kiunabii huwakilisha nini kwa mujibu wa maandiko?

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 роки тому

      Hey, kujua maana ya hivyo, haikufanyi ukaielewa chap na ujumbe wake...
      Nipe mawasiliano yako ya telegram, nikupe maana kamili

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 роки тому

      Siku ukiujua ukwel..
      Utachukiwa na wengi.
      Ukiutangaza ukwel utauwawa

  • @kanyata217
    @kanyata217 Рік тому

    Amen

  • @marthanakhungu8370
    @marthanakhungu8370 2 роки тому

    Amen